Aisee kunabaadhi ya mikoa ni tunaburuzwa kama ngombe Nilienda nikaambiwa nianze na kulipa Mbaya zaidi upewi elimu yoyote Yaani mpka nawachukia Ilukifika ni kuburuzwa tuuu jama kenge
@jeremiaaugustino718715 күн бұрын
wajinga sana wafanyakazi wengi wa TRA
@manethmwiyanja2452Ай бұрын
tatizo TRA wanajikuta kama polisi nguvunguvu tu we kaka umeelimisha vizuri
@GraceObedi-t1l3 ай бұрын
Namba za TRA huwa hamtoi
@JohnKilagin-x3h2 ай бұрын
Shida ukienda TRA wanalazimisha uingizwe kwenye mfumo wa kulipa mapato
@gilbertrogati97222 ай бұрын
Hii video haitoi sauti
@alhamiramadhani Жыл бұрын
Shukran
@JohnKilagini7 ай бұрын
TRA mbona huku wanatupiga sana
@aap99alalawy Жыл бұрын
Mimi mkulima. Nataka kufuga mbuzi ili niuze kipindi cha sukuku ya kuchinja. Je kodi na lipa vipi