WIZI MPYA ARUSHA, WAKALA ATAPELIWA MILIONI 4, JINSI WANAVYOIBA, POLISI WAINGILIA

  Рет қаралды 130,375

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Baadhi ya mawakala wanaofanya biashara ya fedha kwenye maduka mkoani Arusha wamezungumzia aina ya wizi mpya unaodaiwa kuibuka ambao hupiga simu kwenye maduka hayo nakudai kwamba wao ni mawakala wakuu nakuwataka kufuata maelekezo wanayowapa huku wengine wakitumia njia nyingine mbalimbali ambapo ndani ya miezi miwili zaidi ya wateja wanne wameshaibiwa.
Raimu Said ni kijana ambaye anadai kutapeliwa million nne wiki iliyopita anasema alipigiwa simu na watu waliojitambulisha kwamba ni wakala mkuu nakumtaka abonyeze namba walizomtajia ikapelekea kubadilisha mfumo wa simu alizokuwa nazo ambapo alituma million nne baada ya kutaja kiasi cha fedha kilichokuwa kwenye simu anazo fanya nazo biashara
"wakati naongea nao wakanipa maelekezo wakaniuliza kuhusu cammision ,wakaniambia niwape namba zangu nikawapa baada ya hapo wakawa wananitajia namba kumbe nilikuwa natuma pesa wakaniuliza una kiasi gani nikawataja"-Raimu Said
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo amesema wamekuwa na kitengo kinachohusiana na makosa ya kimtandao na kuhusu wizi wa kwenye maduka ya mawakala atalifanyia kaz nakuwataka watu kuwa makini na matapeli hao

Пікірлер: 353
@vibetz9991
@vibetz9991 3 жыл бұрын
Utapeli Sio Mpya huoo... Labda ndo unaingia Arusha.. Ila Pole sana mzee baba ndo life
@thomasmanoni373
@thomasmanoni373 3 жыл бұрын
Pole Sana wakala mwenzangu
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 10 ай бұрын
Walikamata nyota yako kichawi . . .wanatumia nguvu za kipepo . Jamaa usiku asali na hata akiamka hashukuru mungu.. .. . . Anza kusali na kushukuru mungu .. nakukemea jintu yadia , shatuuu kwa jina la yesu . Hayo mapepo . ..ndo wanatumia . Kwa msaada nicheki nikufundshe namna ya Mungu kushinda
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 жыл бұрын
Poleni, Mwenyezi Mungu yupo nanyi watapatikana wahalifu hao na Wachukulkwe hatua za Kisheria hao Wezi wa Mitandaoni.
@mariamuthobiass318
@mariamuthobiass318 3 жыл бұрын
Jmn mungu nisaidie mimi nimeanza hii kazi ya uwakala leo mungu nitie nguvu
@leokamil6284
@leokamil6284 3 жыл бұрын
Kuwa makini na mtangulize Mungu
@hemedramadhani7946
@hemedramadhani7946 3 жыл бұрын
kua makini mom matapeli sio wazuri
@hobokelamikael9682
@hobokelamikael9682 3 жыл бұрын
@@hemedramadhani7946 Usijali wakala mkuu hayupo mbali,🤣🤣🤣
@allynguvumali4741
@allynguvumali4741 3 жыл бұрын
Hamna usiogope uo wizi yy ndo mzembe ni wa kitambo sana alafu usipokee sm ya wakala ikiwa inaita labda no. 100 na watakuuliza kama kuna alietoa kimakosa wao ndo wanarudisha sio ww kuirudisha hakuna kitu kama icho.
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
KWA NINI CAMPUNI HUSIKA ISI ORODHESHE NAMBARI ZOTE ZA MWAKALAA WAKUU NA KUWAPA WAKALA WADOGO WADOGO ILI WAZIJUWE,????
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
Pole Sana nduguyang
@issaathuman2447
@issaathuman2447 3 жыл бұрын
Wanatumia akili nying sana hao matapael pia wanajua kucheza na akili yako pia wanatumia uchawi yan hata uwe mjanja cku wakikuotea uchomoki....polen sana ndugu zetu
@maheitumdintunya2928
@maheitumdintunya2928 6 ай бұрын
hakuna uchawi ni akili tuu uyu jamaa nimihemuko
@pendomarco8928
@pendomarco8928 3 жыл бұрын
Pole Sana wakala
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
Pole Sana !
@nemambelwa142
@nemambelwa142 3 жыл бұрын
Vizuri Sana Saidi kwa kulitangaza hili kwani wezi wameibuka upya sasa hivi
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 жыл бұрын
Sasa ndo naelewa Magufuli alikuwa anafanya kazi ya ziada maana sikuwahi kukutana na matukio kama haya 5years ago
@tabusalumu1061
@tabusalumu1061 Жыл бұрын
Matapeli ni wengi wanatuuibia hata SS wastaafu hawafai kabisa
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
pole aisee😭 milion 4 ni nyingi sana asee
@evratvkenya9263
@evratvkenya9263 3 жыл бұрын
Pole sana kijanaa
@mussakasimu2811
@mussakasimu2811 3 жыл бұрын
Daah Unaweza ukataman somo la kukabiliana na utapeli liingizwe kwenye mtaala sasa.
@elibarikihiiti256
@elibarikihiiti256 3 жыл бұрын
Umeongea point na sheria za mtandao zifundishwe shuleni 🙋🙋
@fantamohamedi8564
@fantamohamedi8564 3 жыл бұрын
Kweli thobiasi si utapeli mpya niwa zamani hao nakutana nao sana na uliwaambia una hela nyingi ktk simu wanahangaika sana wakiona umewagundua wanakutukana
@usamaharith
@usamaharith Жыл бұрын
Da Pole ndugu yang mm mwenyewe leo nimetapeliwa kama hivyo yani mm mwenyew sikujielew jinsi nilivyo kua nikituma hiyo hela sijui wanaturuga au sijui vipi
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 жыл бұрын
Ilishapangwa hio hela ipotee pole Sana broh
@gerkombo6512
@gerkombo6512 3 жыл бұрын
Arusha mmefeli sana. Ujanja wote mmeingizwa mjini.
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 жыл бұрын
Poleni jamani. Mungu awaadhibu
@mtitagirloriginal9472
@mtitagirloriginal9472 3 жыл бұрын
Pole hukujua ila ni wa mud mrefu
@gerkombo6512
@gerkombo6512 3 жыл бұрын
Kwa hiyo kusajili laini kwa alama za vidole haijasaidia chochote cyo?
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 жыл бұрын
Pole sana sana ndugu yangu
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Mh . Hii Kali wezi wamechachama. Mataperi ninoma
@shuwaiaramadhani1789
@shuwaiaramadhani1789 3 жыл бұрын
Hiyo haijaanza leo n ya cku nyingi ila mawakala tunachokosea nikupolea cim ambazo zinapigwa kwenye hizo lain za uwakala kila laina inawakala mkuu wake na inapaswa umjue na kama kuna shida inapaswa afike ofisini kwako au ww uende ofisini kwake tofaut na hapo ucikubali kupokea cim yoyote inayoingia kwenye lain ya uwakala. Lakin pia hao matapele wanakueleza ww unabadili lugha kwenye cim af wakati wanakutajia hizo namba wanakutajia namba ambayo n ya kutuma hela ww unaweka na unawatumia hela na ss weng tunaweka hizo namba bila kusoma maelezo kwamba unatuma hela kwasabu unakuwa umebadili lugha na kingereza chenyewe huelewi ndo unajikuta ushawatumia hela na wakijua umeshagundua wanakuibia na wakashindwa wanatukana matusi af wanakata cim
@alexjoseph951
@alexjoseph951 3 жыл бұрын
Ni kwel kabisa maana hata ukipokea na kuambiwa wakala mkuu unamwambia tuu ajihudumie mwenyewe..
@adamfundikila
@adamfundikila Жыл бұрын
​@@alexjoseph951 anaetapeliwa ni mjinga tuu siku moja mke wangu kidogo nimzabe makofi
@ramadhanyusuph7633
@ramadhanyusuph7633 3 жыл бұрын
🙆🏻 Du hatari na nusu kwani namba 100 si ndo namba za kampuni mitandao yote au siku ya kufa nyani miti yote kuteleza
@jumahili8121
@jumahili8121 3 жыл бұрын
Arusha ni wajanja sana. INAKUWAJE MNATAPELIWA NA UTAPELI WA KIZAMANI SANA?
@kennedyessau5169
@kennedyessau5169 3 жыл бұрын
Eti wakala mkuu anakuuliza kwenye ACOUNT yako Una shi ngapi 😄😄😄😄😄
@omarydauda3237
@omarydauda3237 3 жыл бұрын
We mpumbavu tu siku zote hujawajua tu
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
@@omarydauda3237 Nikweli kaka huyu jamaa ni mpumbavu sanaa
@jennytugara9470
@jennytugara9470 3 жыл бұрын
Hata mimi nashangaa alafu hadithi za kitoto
@texastexas2545
@texastexas2545 3 жыл бұрын
Arusha wana ujanja gani zaidi ya kuvuta bangi🤣🤣
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 6 ай бұрын
Nawew wakala mwenzangu hujui huduma kwa wateja ni 100 mwee njia nyingine acha kupokea cm zinazoingia kwenye cm ya wakala pole duu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Hy mdada twaweza sema kwl ametapeliwa
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Poleni sana
@tenten921
@tenten921 3 жыл бұрын
Wanaoiba ni hao hai mawakala mm Kuna siku nilisajili lain mpya na sikuwah kuitumia Wala kumpigia mtu yyt nilikuwa natumiwa sms "ile hela tuma kwenye namba hii"
@Bruno-ed1ps
@Bruno-ed1ps 3 жыл бұрын
Huo utapeli wa kwanza ni wa zamani sana, huo wa pili kidogo afadhali, wakala mkuu hapigi simu kwenye laini ya wakala
@evamhufu7698
@evamhufu7698 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@christophermedau9955
@christophermedau9955 3 жыл бұрын
Me tarehe 24 walimtapeli mdogo wangu nliemwacha kwenye duka 300000 dah hawa wamezidi
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 3 жыл бұрын
We muongo mbona namba uzijuwi za wakala au kutuma,.. Bora uyu dada mkweli..kjana 1 muongo
@saudambinga3832
@saudambinga3832 3 жыл бұрын
Watamkumbuka Ole Sabaya
@annamablacharlescharles327
@annamablacharlescharles327 3 жыл бұрын
Nikweli sabaya watamkumbuka
@hawamabira1499
@hawamabira1499 3 жыл бұрын
C walkua wanampigia kelele za “Mwizi” kumbe wezi wapo nao wenyewe!😅
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
hii maana ya kuandikishwa number za cm kwa vitambulisho ina maana gani ? kutwa watu wanaibiwa na hawakamatwi lakini wakiwa na jambo lao la serekali wanakujua mara 1 sasa ule usajili wa mitandao hautumiki ?
@naifatykombo9494
@naifatykombo9494 3 жыл бұрын
Ni mtihani tu ila kiukweli ukipokea sim na mtu ajitambulishe vyovyote vile ila akikuuliza kwenye cm yko una sh/ ngap bas jua matapeli hao na huo sio wizi mpya huku zenj tumesha usahau
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mtihani utapeli
@mughdhalimapande8139
@mughdhalimapande8139 3 жыл бұрын
Shida nyingine ni hii mitandao inakuaje mteja anatoa ela alafu anakua na access ya kurudisha muamala bila ya kufanya mawasiliano na wakala?
@paschaltsaxara2376
@paschaltsaxara2376 3 жыл бұрын
Yaan mtu anakwambia wakala mkuu wa voda alafu amekupigia kwa namba ya airtel watu sijui wanafeli wapi wanatapeliwa kizembe sana
@highvoltages4169
@highvoltages4169 3 жыл бұрын
😁😂😁😂😂
@bayokonelson6508
@bayokonelson6508 3 жыл бұрын
Hawa jamaa wana ndumba
@paschaltsaxara2376
@paschaltsaxara2376 3 жыл бұрын
@@bayokonelson6508 sio kwel
@petermanala6138
@petermanala6138 7 ай бұрын
😂😂😂wanadawa hawa sio bure
@thakibuiddi1857
@thakibuiddi1857 3 жыл бұрын
Yaan tumesajili mpk lain navidole lakin sheria bd imelala2 mm sjawahi ona serekali ishindwe na wananchi wake ht sk moja lakini Tanzania naona serikali imeanza kushindwa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Kwa serikali imeshindwa tuseme tuu
@msetikebwasimasatu8849
@msetikebwasimasatu8849 3 жыл бұрын
Yani ni kwamba huu usajiri wa laini ni ubatili mtupu .
@lissacosmas6978
@lissacosmas6978 3 жыл бұрын
Wezi ndo hao serikar
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 жыл бұрын
Tukisema matapeli wanashirikiana na mitandao kuibia wananchi wala waskatae kma cm zote zinarecodiwa na inakuaje mitandao inashindwa kugundua mapema wakazuia kwa sababu kuongea na mtu mpka akubali kutuma pesa ni maongezi marefu.. Mpka mtu kujitambulisha yeye ni wakala lazma hiyo elimu wanakua wanaijua hao matapeli ndo mana inakua rahisi kutapeli
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
Jamaniii..! Kwani mbona sioni kosa la serikali hapo..? Kama ni Sheria ipo "cyber law crime act" (sheria ya makosa ya kimtandao 2015). Kama wakifanikiwa kukamatwa wanahukumiwa kwa sheria hiyo. Alafu hao si WEZI bali ni MATAPELI. Kakupigia simu ukapokea mazungumzo ya dakka 10 nzima ukaingia laini kakutapeli, sasa serikali imkamateje mtu ambae hujatoa taarifa jamni..? Hebu kuweni makini basi, Sio kila kitu ni serikali. Mwisho hata mwanao akikuibia ndani kwako utasema Serikali haikujali"
@mjombaamadodo9808
@mjombaamadodo9808 3 жыл бұрын
We kuwa makini pole sana mi hata awe wakala cwz mtajia kiasi kilicho kwenye akauti yang
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
Hatari sana
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 3 жыл бұрын
Wamekuloga akili broo pole sana
@rodasanga1312
@rodasanga1312 3 жыл бұрын
Woooooi huo siyo wizimpya ulikuwepo tangu zamani wakala mkuu nini waaaiii
@chekatucomed9141
@chekatucomed9141 3 жыл бұрын
Dah pole sana brother hio ndo njia tunayoibiwa nayo kila siku watu wa kenya poleni sana WATANZANIA jamaa wamefika kwenu mm juzi niliibiwa laki moja na elfu tano olmost 2.2m tsh/_;hivyo hivyo kama alivoibiwa huyo jamaa kueni makini sana
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 3 жыл бұрын
Mmeshaambiwa msipokee simu iliyopitia simu ya kazi. Yaani ya Uwakala.Tigo wakikutaka 100. Airtel 25100. Hamjiongezi??? Wengine.waongo wanasuka.na.matapeli. Kama mnaelezwa kila siku shida ipo wapi??
@johnsonmaro5060
@johnsonmaro5060 3 жыл бұрын
Sielewi trc wanakazi gani kama wameshindwa kung'amua hao matapeli
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 6 ай бұрын
Ndiyo utashangaa kwani wakifuatilia hela ilitumwa kwenye namba ipi. Si watawapata. Ata Kama baada ya kutapel wanahamisha hela kwenda simu nyingine hao watu wa mitandao wanaweza kufuatilia. Ata Kama hela imeenda kutolewa watajua hela ilienda kutolewa wapi... Ni ajabu Sana haya mambo yanaendelea!!
@majukigagaboy7931
@majukigagaboy7931 3 жыл бұрын
Sasa we Wakala Mkuu anakuomba utumeje pesa apo umepgwaa kishamba ivyoo boyaa wew
@mwanaiddi9660
@mwanaiddi9660 3 жыл бұрын
Wakala mkuu hapigagi sim hata siku moja wala tigo wenyewe huo niuzembe kuibiwa
@bensonwissa5777
@bensonwissa5777 6 ай бұрын
Mimi siamini mbaka ipigwe namba 100
@abdulaziz703
@abdulaziz703 3 жыл бұрын
Kiukweli hao matapeli kuna vitu wanatumia kumfanya mtu asijielewe wanapokuwa wanaongea nae. Haiwezekani mtu unaelewa process zote za kutuma au kutoa hela then unafanya tuu kama zwazwa.
@simonidibili555
@simonidibili555 3 жыл бұрын
Daaa mnatapeliwaa kizembee sanaa
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 жыл бұрын
Jamani Ayo na Mimi nina tatizo langu na TIGO wameshikilia pesa zanguuu nitawapataje Ayo Niko nje ya nchi Kwa sasa
@allyally9591
@allyally9591 3 жыл бұрын
Huu wizi ni wakitambo sana yani kwa sisi mawakala na ht wasio mawakala ila kwa arusha km unaingia sasa hv
@yeasrmsafi7152
@yeasrmsafi7152 3 жыл бұрын
Utapeli wa kishamba sanaaa
@upendoabraham2942
@upendoabraham2942 3 жыл бұрын
Pole Kaka Mimi njia hiyohiyo nilitapeliwa mwaka2015 na mtaji ukafa siku hiyohiyo 😭😭😭😭
@rehemahramadhani3428
@rehemahramadhani3428 3 жыл бұрын
pole. san
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 3 жыл бұрын
Mtu mwenyewe anaonekana ni mzembe tu🚶‍♂️🚶‍♂️
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Usiseme hivo! Hujui kesho yako ww unayejidai mjanja. Mtegemee Mungu.
@hesabugabo
@hesabugabo 7 ай бұрын
Muache..aropoke
@petermanala6138
@petermanala6138 7 ай бұрын
Mwenyewe siwapend Kuna siku walinilamba af nikashtuka ila nliwapa kidogo wanambinu mbwa hao sitak
@alkasusjaasus7015
@alkasusjaasus7015 3 жыл бұрын
Hehehe huyo Saidi anakodoa macho 👀👀👀 akiongea utadhani mjusi 🦎kabanwa na mlango🚪...🤣🤣🤣🤣
@saidmsangi3
@saidmsangi3 3 жыл бұрын
Ww
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Jamani mawakala wanahitaji wapate elimu ya kutosha Mara kwa mara! Maana hizi kesi zinazidi kuongezeka na Hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kumaliza hili tatizo!
@benardboaz6347
@benardboaz6347 Жыл бұрын
Ukiwa na tamaa lazima utapeliwe hasa wafanyakazi ndo wanao tapeliwa make huambiwa kuna bonansi ili bonansi ikiingia wazifaidi bila mabosi kujua wanajikuta wanatapeliwa kuwa makini.
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Ml nne jamani' ningelazwa I'C'U. Eeee Mungu jamani' hao mbwa Mungu awalaani
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 жыл бұрын
We nawe million NNE tu ulazwe uwiiii
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
@@hisanmwakijungu10 heee' au hujui kama huo ni mtaji wa biashara. We kama unazo nyingi ni wewe asee. Kuna mtu hajafikisha hiccho kiwango. Tofautisha A' na B. Mhh.
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 жыл бұрын
@@shakilamasoud2983 huhuhuhuhu
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 жыл бұрын
@@shakilamasoud2983 hahahaha na bado uko hai unajiita mwanadam
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
@@hisanmwakijungu10 kwani kuna tatizo
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 3 жыл бұрын
"Mwananchi, Usikubali kutapeliwa.Usitume pesa kwa mtu usiyemfahamu.Hakiki ujumbe na simu inayokutaka utume pesa.JESHI LA POLISI LINAZINGATIA USALAMA WA PESA ZAKO" Sijui hawapatagi hizi meseji
@rashidjoseph2624
@rashidjoseph2624 3 жыл бұрын
Hahahahhahahah
@ramlazuber6038
@ramlazuber6038 3 жыл бұрын
Mbona polisi wamekuaa wakituonya kila siku. Mimi Nipo Oman Lakin kila Mara napokea ujumbe wa polisi. Kutahadhalishwa na haoo matapeli. Tuwe makini
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
Namba 100 ndio namba ya kampuni mitandao yote.
@innobugobola1694
@innobugobola1694 3 жыл бұрын
Et wakala Mkuu 🙆😪🤪😪🤪ulipenda kupokea sim na kufuata maelezo,!
@magrethbenjamin4969
@magrethbenjamin4969 3 жыл бұрын
Jamn kila siku mnambiwa mnasikia stor zao imekuwaje ten mnaaibiww pesa
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 3 жыл бұрын
Mbona wametapeliwa kizamani sana
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 3 жыл бұрын
Nimewahi kutapeliwa Ila kwa maelezo yaliyoshiba zaid sio Kama huyo Dogo japo Mwanzo kidogo kwenye maswala ya Commission ndio Mwanzo na hiyo ilikuwa 2017.
@elizaberthjeremiah2178
@elizaberthjeremiah2178 3 жыл бұрын
Kazi iendelee maendeleo ndani ya miezi miwili tokea Magufuli aondoke ni uhalifu juu ya uhalifu huku kwetu boda boda nao wanatuibia mapochi
@winterkasela9033
@winterkasela9033 3 жыл бұрын
IGP Alisharuhusu kukaa na panga ndani anajua haya majira sio kabisa mama ni mpole sana ukiporwa pochi okota fatuma jitetee hakuna vita ndogo vita ni vita mura.
@stellah3844
@stellah3844 3 жыл бұрын
Mimi nauliza tu Kwan situliambiwa bila kusajil line na number ya nida huwez tumia kwahyo hao matapeli siwatafutwe hiyo number yako kama walisajilia NIDA au hapa kwenye NIDA tuliingizwa mkenge?
@ngekewanice3806
@ngekewanice3806 3 жыл бұрын
Ata mm nashangaa
@noahchisanga9852
@noahchisanga9852 3 жыл бұрын
Huwa watumia namba zilizosajiliwa kwa nida za wengine
@joharikitundu
@joharikitundu 3 жыл бұрын
mnajua mnarahumu NIDA mjitambuye mbona bank wanaiba bank nini
@christinachriss9231
@christinachriss9231 3 жыл бұрын
TCRA wako wapi
@stellah3844
@stellah3844 3 жыл бұрын
@@joharikitundu Tunalaum kwakua tulihakikishiwa alama za vidole wiz utakua hamna na mbona kama ni alama za vidole mbona hawakamatwi hao matapeli?
@saidakassim3639
@saidakassim3639 3 жыл бұрын
Loòooohhh pole
@williamkirway4620
@williamkirway4620 3 жыл бұрын
Watu wanatapeliwa sana hata vijijini nida haina maana halisi kuwawaweka watanzania salama,TCRA wao wanajihangaisha na siasa simu zinadukuliwa kimya,ukimtukana kiongozi wa ngazi za juu lazima wakupate,wezi hawahangaikiwi kabisa,minadhani sehemu pekee kuwa salama ni BANK kuweka fedha siyo simu
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 3 жыл бұрын
Baba hao walinipiga laki 4 kwa mtindo huo huo. Nahisi wanatumia ushirina maana unakuja kuzinduka baadae sana.
@salustiashayo3486
@salustiashayo3486 3 жыл бұрын
Sasa TCRA ,si ndo kazi yao kuzuia hata mambo auu
@nizarrama225
@nizarrama225 3 жыл бұрын
naamini asilimia kubwa hawa wanaofanya haya matukio ni watu wakaribu na wafanyakazi wa mitandao ya simu kama TIGO, VODA, AIRTEL n.k! Hii ni sawa na matukio yakibenki ya watu kuporwa fedha nakuuliwa, hawa wanaofanya haya matukio asilimia kubwa wanaukaribu na wafanyakazi wa mabenki
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 3 жыл бұрын
Exactly
@bizzboy5490
@bizzboy5490 3 жыл бұрын
Uzembe wako pole sana
@sirajially576
@sirajially576 3 жыл бұрын
Hata kama ni wakala mkuu ndo umtajie kiasi cha Pesa uliyonayo?
@edwinaugustine6836
@edwinaugustine6836 3 жыл бұрын
Hiyo mbona poa jifunze sasa uwe wa mjini
@charleshabibutz2358
@charleshabibutz2358 3 жыл бұрын
Mbona hata kujieleza hajui
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 7 ай бұрын
Mimi ndo mana stak mambo y biashara y uwakala mana ntazimia ndo mana nimemwambia mme wangu anitafutie biashara ingine tu
@ericfelix9466
@ericfelix9466 3 жыл бұрын
kazi ya uwakala ni ngumu sana mazee ni kua makini tu
@samwelmangi843
@samwelmangi843 3 жыл бұрын
Watu wanabadili hadi namna ya kuongea utadhani kweli ni watoa huduma kumbe ni matapeli wakubwa, na kadri anavyokuambia bonyeza *150*00# au *150*60# au *150*01# ndo unawatumia ela bila wee kujua
@vintz338
@vintz338 3 жыл бұрын
Wakala mkuu na huduma kwa wateja hua nitofaut,Sasa hawa mawakala kuu ndo hua wahuni kwasababu wanawajua hawa mawakala wadogo
@Donrugi
@Donrugi 3 жыл бұрын
MBONA KAIBIWA KIZEMBE SANA, nikajua wamekuja na bonge moja la Idea. POLE YAKE LKN. Huyo dada ndo kaibiwa ila hela yeye mwizi anaweza kukamatwa VIA ID NUMBER
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 3 жыл бұрын
Yaan hata naahangaa... Wizi wa kizamani
@mosesmwailenge5192
@mosesmwailenge5192 3 жыл бұрын
Kweli kabisa namimi nijua ivyoivyo ujinga nauzembe kabisa Wake mwenyewe 😏😏😏
@usamaharith
@usamaharith Жыл бұрын
@@mosesmwailenge5192 sio kama uzembe bali tushatapeliwa wengi tu
@khalifanoti6974
@khalifanoti6974 3 жыл бұрын
Mnapowapa kazi vijana muwatreni kuhusiana na huo ujuzi au kazi anayofanya vinginevyo watatapeliws kila siku.
@endeshyamat6773
@endeshyamat6773 3 жыл бұрын
Aiseee
@bakamuubakamuu1556
@bakamuubakamuu1556 3 жыл бұрын
Njia waliyotumia kukutapeli unajifanya ujui na wkt wamekupigia cm😅😁😃😀
@CTM.24Updates
@CTM.24Updates 3 жыл бұрын
😂😂😂😋😋😋😋😋
@husseinbakari7270
@husseinbakari7270 3 жыл бұрын
Jamaaa Wachaw Saana Ao
@anamayala8896
@anamayala8896 3 жыл бұрын
Watatapeliwa sana jpm alikomesha haya yote mtamkumbuka
@jennytugara9470
@jennytugara9470 3 жыл бұрын
Toeni elimu sana maana hao wakala wenu inaonekana shule ndogo pia shida wanafanya biashara bila uzoefu na elimu ya biashata
@mosessanga7534
@mosessanga7534 3 жыл бұрын
Nikaendelea kuongea nao Nika ongea naoooooo
@alberttarimo
@alberttarimo 3 жыл бұрын
🤣🤣
@blaqyrn3655
@blaqyrn3655 3 жыл бұрын
Huyu jamaa comment zake bn😂😂
@nakyurimwanza3901
@nakyurimwanza3901 Жыл бұрын
Yule kijana baada kuokoa ndege tayari akasajiriwa realr Madrid huyukaokoa daladala hatujamuona mamayake akitangazwa hajapelekwa hata hindia
@rashidjoseph2624
@rashidjoseph2624 3 жыл бұрын
Duuuh Hatar sana
@J96_PFT_ACADEMY.
@J96_PFT_ACADEMY. 3 жыл бұрын
Huu utapel unafanywa na watu wa mawakala wenyew wa izo kampun
@zbbyjmoh6943
@zbbyjmoh6943 3 жыл бұрын
Jmn hao waezi Acheni Huku mafya kuna MTU kataperiwa milin1 Na laki Nani wapo hao
@jonsongibesh8137
@jonsongibesh8137 3 жыл бұрын
Mimi mwenyewe nishawahi kupata hii case, wanaelekeza bonyeza hivi bonyeza hiv, ukishaweka tu namba ya Siri umeisha.
@fantamohamedi8564
@fantamohamedi8564 3 жыл бұрын
Jamani mi pia nimeshapata simu km hiyo sio mara moja wala mbili lkn nikajuwa ni matapeli wakiniuliza una sh ngapi ktk simu nikawadanganya nina laki 5 wanakuongezea hela kumbe uongo .
@agapekikoti3888
@agapekikoti3888 3 жыл бұрын
Aaaah umepgwa kishamba bhn we wakala unaibiwaje kihvo njia zote znajulkana hzo aaaa ushamba huo bwn mawakala wanakuwag wajanja mjinga ww
@kelvingesoreka999
@kelvingesoreka999 3 жыл бұрын
Kuna haja gani ya kusumbuana usajili wa alama ya vidole na Utapeli ukitokea mnashindwa kuwakamata hao matapeli? hii maanake ni jinsi gan tupo nyuma sana kiteknolojia kama sio uzembe kwa vyombo husika. Utapeli wa style hii sio mara ya kwanza kuusikia
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 3 жыл бұрын
Hata hivyo Serikali ndio imekwama inatusumbua kusajili laini bila kufuatilia watu wanaofanya utapeli. Kuwe na kikomo cha watu kubadilisha laini na kusajili laini. Iwe ni ngumu kupata laini ya cm hapo ndio utapeli utaisha.
@samwelishilabhi6005
@samwelishilabhi6005 Жыл бұрын
Kama hakuna kipengele haujaluka basi hao jamaa humtamanisha faida frani kwa mtu wanae mtapeli pole sana tujitahidi sana kuwa makini
@adamdemarch5565
@adamdemarch5565 3 жыл бұрын
Weniboya kweli ani umependa kutapeliwa mwenyew
@aminamollel5725
@aminamollel5725 3 жыл бұрын
Serikali ipo wapi jamani? Mbona wizi Utapeli Tanzania ni kama mfumo wa Maisha?
@LumolaSteven
@LumolaSteven 3 жыл бұрын
Yaani wadau wa Arusha mmetia aibu sana, mnatapeliwaje kiboya hivyo?
MASANJA MKANDAMIZAJI ATAPELIWA NA WEZI WA MITANDAO.... Wampa ujumbe wa kwenda kanisani KWAKE
11:04
Rose Muhando - Wanyamazishe (Official Music Video) SMS SKIZA 7634235 TO 811
7:20
Rose Muhando Official
Рет қаралды 29 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Schizophrenia and Dissociative Disorders: Crash Course Psychology #32
11:44