BIBI HARUSI AFUNGUKA KWA UCHUNGU NDOA YAKE KUVUNJIKA KWA SIKU MOJA KISA EX WAKE KUMLETEA ZAWADI YA

  Рет қаралды 24,958

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 280
@DeborsJoseph
@DeborsJoseph Ай бұрын
Mtu umeachana nae nguvu ya kwenda kumuaga inatoka wapi wew dada muongo sana
@KhamisChaz-td4nz
@KhamisChaz-td4nz Ай бұрын
Shukuru MUNGU sana Yohana kakuonesha mapema tabia ya huyo mwanamke ukilazimisha kuendelea nae huyo mwanamke baadae atashirikiana na Kendrick kukumaliza ili wachukue mali waendelee na mapenzi Yao ya toka utotoni kua makini sana
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Ай бұрын
Very true
@brunodavid-yy4xu
@brunodavid-yy4xu Ай бұрын
😢😢😢😢😢💔💔💔
@user-wn9bp5cl1j
@user-wn9bp5cl1j Ай бұрын
Ulichohalibu nikwenda kwake na mkafanya mapenzi😂😂😂
@generosennko8343
@generosennko8343 Ай бұрын
Hujatulia kuwa mke. We bado uko unstable.bado ulikuwa unamtamani kenric ndio maana ulirudi kupiga mapicha. Mtaka yote hukosa vyote
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Mwanamke ndio mjinga ulikwenda kufanya nn wakati una mume mwingine
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 Ай бұрын
KWELI ,YOHANA....MSAMEHE MKE WAKO ...KWELI AMEOMBA RADHI NA MSAMAHA WA KWELI..MSAMEHE
@chrispinkaja1331
@chrispinkaja1331 Ай бұрын
Amsamehe ila asirudiane nae
@AmosiNilongo
@AmosiNilongo Ай бұрын
Ila huyu dada sio mzima wallah
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Ай бұрын
Yohana mbatizaji kaepushwa sana yan ungekuwa anachapiwa tu na huyu Kendrick,,demu hajatulia huyu
@christinachilongani9586
@christinachilongani9586 Ай бұрын
Pole sana Yohana.Tatizo lako umeharakisha sana kufunga ndoa, Uchumba miezi miwili tu na kutangaza ndoa? Soma Mithali. Vijana, Kuna la kujifunza hapa.
@rahema1992
@rahema1992 Ай бұрын
Ulikwenda kumuaga wa nn wkt mtu mlishaachana haya kama mapenz yenu ni tangu utoto mwambie akuoe mana uliyataka mwenyewe
@LucyRafeali
@LucyRafeali Ай бұрын
Umeyataka hata picha ilikuwa ya nini unajuwa una Mchumba Bora ungepiga kabla hata ya uchumba uko kwa uchumba Bado upo naye tu dada unasitaili kuachwa
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 Ай бұрын
Dada unajua kuigiza wewe ,mchezo mzuri huu,kama wayule kijana dada nakupa maaua Yako unafaa kupewa tuzo ya uugizaji bola,
@SarahLegonda-c8w
@SarahLegonda-c8w Ай бұрын
Kwanza hakupendi angekua anakupenda asinge achakukuoa aliekua anakupenda ndomaana alikuowa nakilichokupeleka huko Ninini mtuanakuchelweshea mda wako unaona anakupenda kwanza kwamuonekano huyo xwako muhunitu
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Ай бұрын
uwezi kumuacha huyo jamaa sababu inaonekana alikutoa bikla pole
@WinfridaRaphaer
@WinfridaRaphaer Ай бұрын
Akipewa msamaha lazma akiludi nyumban kusalimia lazma atamsalimia na kendrick ili wakumbushie penzi la utoton
@brunodavid-yy4xu
@brunodavid-yy4xu Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🫀💔💔💔❤️‍🩹
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 Ай бұрын
Ukiachana basi yamekwisha!!!ya nini kujipeleka eti kumuaga kwani mzazi wako? ulilofata umelipata!!
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu Ай бұрын
Huyo kijana aliekuw a mpenzi wake alita ka wapige picha ili a mharibie bila huyo bint kujua pole zake kwa kweli
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 Ай бұрын
Bint ni Malaya ,km angeamua kuachn nae ata namba angebadili lkn pia angekuwa mkali jamaa asingefany Ivo uyo ni kicheche na ndiomn alienda
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 Ай бұрын
Fikilia mchumba wa mtu unawezaj kuwa uhuru kias mpk kukutn na ex ? Uyo ni kicheche labd km ni kiki za kwenda mjn saw lkn ki uhalisia
@roseambrose5858
@roseambrose5858 Ай бұрын
Kabisaaaa
@boyngota4497
@boyngota4497 Ай бұрын
Mwamba wekagoma ndan ww tushatumia gharama ivyo vinaoshwa navinatumika tena ova vyomba vyandani cool down mwamba
@SelineChandja
@SelineChandja Ай бұрын
Bora watu wahachane na vurugu kwali wakihachana kwa Amani lazima watarudiana tu😂😂😂😂
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 Ай бұрын
Yategemea na ugomvi wenyewe 😂😂😂😂
@ShedrackmartinBalama
@ShedrackmartinBalama Ай бұрын
Baadhi ya wanawake sio binadamu wa kawaida ni kama mashhetani yaani nikimuangalia anavyoongea usoni anaonekana kabisa ni ajenti wa kuzimu hapo hamna ndoa bana
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 Ай бұрын
Eti ajent wawapi 😂😂😂😂
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@omaribuloze7455
@omaribuloze7455 Ай бұрын
😂
@hemedynyuki4389
@hemedynyuki4389 13 күн бұрын
😂😂ulienda kumpa mara ya mwisho sio coz waolewa utammic
@frankpatrik-fd9gh
@frankpatrik-fd9gh Ай бұрын
Yohana achana nae huyo siyo mke wa kuweka ndan 😭😭😭😭pole ndugu yangu tafta mwingine utapata inshallah
@SiwatuSaid
@SiwatuSaid Ай бұрын
Bwana harusi kafanya vizuri Angelea watoto siwake
@JudithAdonis
@JudithAdonis Ай бұрын
Huyu dada mwongo sana.....alisema ni best yake na hawajaonana muda mrefu...... hapa anasema alienda kumpa taarifa kabla ya ndoa na walikuwa na mahusiano 😝😝😝😝
@user-hn3lx6ys8n
@user-hn3lx6ys8n Ай бұрын
We uyu dada anatuigiziy mtizame vizur 😂😂😂
@renildevenerand9473
@renildevenerand9473 Ай бұрын
Anaigiza😂
@user-jj4om9kg1v
@user-jj4om9kg1v Ай бұрын
Uyo ni mnafiki tu mwanzo alisem ni best wke wamesoma pmoja half saiv anasem ni mchumb wke tokea shule dah uyo dada mnafiki 😂😂😂
@marychiwowa1759
@marychiwowa1759 Ай бұрын
There's one problem with this generation..we think that we are whites😢.yaan kwakweli muntu unaolewa alafu unafunga safari eti kwenda kumuaga X kweli? Kizazi hiki jaman hadi naogopa
@OlivaPeter-sl8ce
@OlivaPeter-sl8ce Ай бұрын
Yohana nakuomba bn samehe dada amejutia makosa yake hatorudia tena samehe kaka maisha yaendelee
@sirilaswai6206
@sirilaswai6206 Ай бұрын
Mimi naona km kiki tu
@omaribuloze7455
@omaribuloze7455 Ай бұрын
Duh tena siku ya harusi njo ukaenda ku piga Pic 😢 Yohana pole una bahati uyo angekuacha ucku umelala na kwenda kw Kendrick
@IMANIMWAITEGE-ve8gr
@IMANIMWAITEGE-ve8gr Ай бұрын
Kiufupi huyu binti Ni mwongo najiuliza kitu gani kilimfanya aende Tena kwa mtu anaejua kuwa kaachana nae.huwezi kupenda watu wawili kwa siku moja umejiharibia wewe mwenyewe sio huyo mpenzi wako wa zamani
@bahatilyimo659
@bahatilyimo659 Ай бұрын
@IMANIMWAITEGE-ve8gr Huyu hakuwa ameachana ni kwamba alikuwa anacheza probability kwamba Kendrick akisema anamuoa angemuacha Yohana hivyo Kendrick hakuwa na habari kama ameachwa. Kuachana kuna process hivyo huyu binti alikuwa ameficha mahusiano ya Yohana hadi alipoona ndoa inafungwa kisha akaenda kumstukiza Kendy ili kumuumiza roho na hata hivyo huyu dada sio mwaminifu. Alitakiwa aweke wazi kwa Yohana kwamba mimi nipo na mahusiano kabla yako. Amweleze ukweli wote. Eti kupiga picha na mtu uliyemuacha na pia unamuachaje mtu ili hali yeye hana habari. Huyu naye alichanganyikiwa akapunic akaona ameshachelewa kwa vile alimsuprise kuwa anaolewa naye kaona amuharibie ni ngumu kumhukumu huyo Kendy. Mungu awasaidie vijana ili mumjue na haya mahusiano muwahusishe wazazi ma walezi wenu na viongozi wenu wa kiroho. Mkiwashirikisha haya yote yasingetokea. Mambo kama haya yanaleta maafa kwenye jamii. Wengi wanauana kisa kama hiki. Kwanza ni jambo la kumshukuru Mungu kwamba hajasababisha Mambo magumu kama ya kuua. Huyu dada hata Yohana akijakumkosea atarudi kwa Kendrick. Mrudie Mungu na akupe msimamo.
@BAYOUDAWA
@BAYOUDAWA 7 күн бұрын
Kiukweli inaniuma sana kama mwanaume kwa kilicho mtokea mwanaume mwenzangu umeamua maamuzi magumu na mzur kwa kweli
@annamlozi4538
@annamlozi4538 Ай бұрын
We dada mwongo sana mara useme ulienda kwake kumuaga mara tena unasema hukuenda, bora yohana ajihami mapema MUNGU tu kamuonyesha.
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 Ай бұрын
Mm namshauri huyo mumewe amsamehe huyo binti Atakuwa amejifunza sana na atakuwa mke mwema Ansanehe tu
@user-jj4om9kg1v
@user-jj4om9kg1v Ай бұрын
Uyo mdada ni mnafiki tu kma aliamua kwenda kwa mwanm wke kabla ya ndoa ujue anampenda wakat siku hyo hyo ndo anaolew dah uyo dada hafai kuwa mke wa mtu jamaa kafanya maamuz sahihi
@ElishaMyovela
@ElishaMyovela Ай бұрын
Na ulipiga picha baada ya kutoka kunyanduana😂😂😂
@alisabyozani9796
@alisabyozani9796 Ай бұрын
Hihi iwe funzo kwa wanawake wengine kama mumesha hachana basi hiwe hivyo kwanini wende kuhaga mtu ambaye mumesha hachana?????? Duh 🙄 umeyatimba mwenyewe fom USA 🇺🇸
@BAYOUDAWA
@BAYOUDAWA 7 күн бұрын
Huyu mwanmke malaya tu kama malaya wengine
@ZeinabBakar-je4nr
@ZeinabBakar-je4nr Ай бұрын
Mmmmmh dada pole bt ulikuwa mjiga huyo yohana ulikuwa umwabie kila kitu kuhusu huyo jamaa akuelewe ndio kama utafunga ndoa nae awe anatarajia mazuri na mabaya
@AtanasMoro
@AtanasMoro 16 күн бұрын
Tamaa mbaya mshikamawili Moja humponyoka, bas kuwa na huyo wa utoto,
@LeahJohn-q8o
@LeahJohn-q8o 28 күн бұрын
Wewe ni muongo 😂😂ulifatata Nini kumuanga wa Nini. Wewe unampenda tu acha kumuumiza kaka wa watu
@zenassylvester125
@zenassylvester125 Ай бұрын
Shida wewe ukumwambia anekuoa kuwa ulikua na mahusiano na mhuni kama uyo na tatizo lingine ukiolewa achana na makoroni yako mazima na usigeke nyuma, na shida kubwa mnaleta huruma kwenye ukweli wa maisha.
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi 16 күн бұрын
Tupeni ndoa ya shera tujiridhishe.
@JoycePatriciaKaduma
@JoycePatriciaKaduma Ай бұрын
Wee binti unatakiwa umrudie Mungu aliyekupa bahati kubwa ya kuolewa, jishushe uombe toba kama kweli unataka ndoa,
@BAYOUDAWA
@BAYOUDAWA 7 күн бұрын
Haya wanawake wa kisasa hawana akili ata ya kunywea maji
@ONESMOANDREW
@ONESMOANDREW Ай бұрын
Mapenzi ya SIKU hizi ni kama movies.Yohana pole sana kijana uliuziwa mbuzi kwenye gunia.dah!!
@mwanajakalatv8656
@mwanajakalatv8656 Ай бұрын
Recho Ni Kipusaaaaaaa....
@HawaMkomwele
@HawaMkomwele 18 күн бұрын
Yohana nakuomba msamehe mkeo mara 7 wa 70 mkeo anakupenda elewa binadamu walivyo huyo Kendrick ameamua kuwaharibia muachane mpe nafasi mkeo umwangalie
@ValentineFrisch
@ValentineFrisch Ай бұрын
Sasa kama ameweza kuchepuka cku moja kabla ya harusi akaenda kudanga yohana ilo ni gari ya mkaa trip moja shamba trip moja gereji
@zuberymasalu1452
@zuberymasalu1452 Ай бұрын
Mwanamke muongo huyu jaman na sio huyo tu ni wengi wenye tabia kama zake
@alisabyozani9796
@alisabyozani9796 Ай бұрын
Basi huyo Kendrick akuhowe tu kaka yetu Yohana amesha move on 😂😂😂
@MwajumaMkupete
@MwajumaMkupete Ай бұрын
Dada nakuonea huruma mpaka nalia na mimi ila mungu yupo.
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
😂😂😂 alinipenda na mm nikaamuwa kumpenda😅😅😅😅
@HappnecPaullo
@HappnecPaullo Ай бұрын
Vip kama ilo goli lakuagana limeacha mimba halafu uyo Kendrick sjui unavomtaja taja kumuacha kweli huezi
@ezekielmogella714
@ezekielmogella714 Ай бұрын
Rachel haya majina tana utabiri wake
@marryngaiza2061
@marryngaiza2061 Ай бұрын
Yohana msamehe mkeo saba mara sabini. Sahau yote fungua ukurasa mpya
@ElizabethNyamai-me2id
@ElizabethNyamai-me2id Ай бұрын
Nikweli akuna asiekosea ,amsamehe waishi Kwa amani,shetani apendi ndoa,itakiwa somo kabla ufanye kitu think twice
@aliykhamisi1431
@aliykhamisi1431 Ай бұрын
Wacha kufuga watu wa ovyo, watu wataendelea na maovu wajijuwa watasamehewa
@ErishaMajariwa
@ErishaMajariwa Ай бұрын
Hujatumia akili kwanza ulifanya sili wanawake nyie wew ni zilo tupu
@challemartin
@challemartin Ай бұрын
Ilitakiwa umuache mapema kabisa huyo mwanaume
@emanweljohn1240
@emanweljohn1240 13 күн бұрын
Dada vip kwanini uendekuaga namtu ulisha schana naye
@RashidMwasiposya-ck6py
@RashidMwasiposya-ck6py Ай бұрын
Kama kweli huyo mwanaume awe makini hamna mke hapo
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m Ай бұрын
Nawe umeyatimba toka siku izo zote ukamwambie siku ya harusi bado hujasema utasema tu na kwanini ukakubali kesho unafunga doa halafu unaenda piga picha sasa apo ndo ulikuwa uwachane nae umeyatimba
@mwanajakalatv8656
@mwanajakalatv8656 Ай бұрын
Yohanna mbona pisi zipo za kumwaga tu.
@Lovenesseliasmasaba
@Lovenesseliasmasaba Ай бұрын
Ulienda kufanyaje mtu kma umeamua kuolewa unamuuga wanni
@PhilipoLegeza
@PhilipoLegeza Ай бұрын
Huo ni utoto alio ufanya kendrick na huyo dada yan mtazamen vizur huyodada maongez yake kapewa mikuno na kendrick ulipata wap ujasili wakwenda kwa jamaa kumuaga kivip na wakati cm ilikuepo dah wewe dada haunamapnz na ndoa yako bado mngeendelea kunyanduana
@3leggedbird222
@3leggedbird222 Ай бұрын
Kiherehere
@IbrahimHangira
@IbrahimHangira Ай бұрын
Dada we mwongo ,mdangaji unajitetea TU...
@MumbesaPrince
@MumbesaPrince Ай бұрын
Hauna akili kabisa hatakama mulipendana tangu utotoni
@AAs-qw7fs
@AAs-qw7fs Ай бұрын
Wacha uongo dada ulienda kufanya nn kwauyo mwanaume wakati wajua waenda kufunga ndoa husituchanye wakati ulijua unacho kifanya
@CindyKazembe
@CindyKazembe Ай бұрын
Mtaften huo Kendrick please mtuletee hapa...
@renathakalamage4931
@renathakalamage4931 Ай бұрын
Mke wa mtu umepiga picha na ilo poz c ungepiga yako tena co na nguo alizo kununulia yeye ungepiga peke yako ukamtumia
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 Ай бұрын
Hauna sifa za kuwa mke.
@HasheemMsuka-pv8uy
@HasheemMsuka-pv8uy Ай бұрын
Kiki hizo, Amna lolote hapo, story za kupangwa
@swabrinahamed3620
@swabrinahamed3620 Ай бұрын
kwanini ulienda kumuaga wa nini
@AbdulwahidYussuf-w3f
@AbdulwahidYussuf-w3f Ай бұрын
Sasa picha nyingi nyingi mumepiga sasa y nini kwenda kupiga tena ww dada mungu anakuona hata ukiwa mke w MTU kw style iyo wakati mumeishi 10 uyo akikuitaji asilia 100 utaenda Tu wkt umetoroka n mbinu kw ajili y X mpk kutoroka kw ajili n mt nibjambo kubwa Sana Yani picha dada kuikosa huwezi wkt nyuma mshapiga nyingi km mshapiga picha y nini bado kuwa mdhaifu kw picha Yani ww dada Malaya tu
@user-ye7hg5pn7x
@user-ye7hg5pn7x Ай бұрын
Mimi naongea kama mama ,naomba yohana msamehe mkeo huyo pia amejifunza kitu plz plz endeleeni na maisha
@AnethSwila-tw9mv
@AnethSwila-tw9mv Ай бұрын
Nenda akuoeeee maana kimenuka
@Anitajohn-e7p
@Anitajohn-e7p Ай бұрын
Unaakili dada utapgej picha naumeolewa
@upendomumba4827
@upendomumba4827 Ай бұрын
Mchumba wa mtu kesho ndoa Leo unaenda kupiga picha na mpenzi wako dada huna stara usimchoshe yohana endeleeni na cendrick
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 Ай бұрын
Hapo inatakiwa utumie mwanasheria umpeleke kotini atakulipa fidia ikibainika ni uwongo
@abdulkabalundi3212
@abdulkabalundi3212 Ай бұрын
Pole sana dada
@neemamsuya-sj8qg
@neemamsuya-sj8qg Ай бұрын
Wewe mwanamke hebu acha uongo ulienda kweli kumuaga na penzi ulimpa acha tabia mbaya na acha tamaa
@user-cb3vw5fp8y
@user-cb3vw5fp8y Ай бұрын
Muhutasari wa habari ya kuchepuka😅😅😅
@thobymsule6045
@thobymsule6045 Ай бұрын
Malaya tu huyo Yohana achana kabisa na huyo dada
@Ally-f3h
@Ally-f3h Ай бұрын
Oya babu wanaume tunapitia mengi na mazito,mabinti wa kisasa wajiona kilakitu wanakiweza,uwongo ndiokilakitu kwao namm ni muhanga wa hilo kwahiyo uyo anacho kisema hakinaukweli wowote,broo usiombe yakukute,huyo jamaa musimshauri chochote kama maamuzu muachieni yy ahamuwe.
@kefamsafiri1028
@kefamsafiri1028 Ай бұрын
Huyu mdada ukimwangalia kwa haraka haraka ni kama kichwani hazikosawa kbs itawezekanaje siku ya arusi umepata nguvu wapi za kwenda kumuona ex wako wazamani alafu huku kwenye media unajitetea kama mwenye haki mjinga kbs wewe ni kahaba tuu hakuna mwanaume mwenye busara zake timamu anaweza kukuvumilia kwa hayo uliyo yafanya Labda awe mpumbavu
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 Ай бұрын
Ulikuwa unampenda bado
@aminabadi8663
@aminabadi8663 Ай бұрын
Ninavo jua kosa nikurudia kosa huyu hennri hakua anampenda alitqka kumuharibia hataki kuowa na akaharibu ndoa na hatq akarudi huyu mwanamke atqkudhqlilishq huyo mwanaume lk huyo aliharibu hatq yeye hatakua nq furahq huyu mwanamke hakutaka wachane kwa ubayq .
@mussakiligaliga4348
@mussakiligaliga4348 Ай бұрын
Ulienda kufanya nini????
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 Ай бұрын
Uyo kama sio mngoni atakua muhaya
@LeticiaGeorge-h6f
@LeticiaGeorge-h6f Ай бұрын
Acheni matusi ashumu ugekua wewe ex wako akakufanyia hivyo ugenjiteteeje acheni hizo kaka msamehe mkeo achana na mambo ya watu nae hakudhamilia mpe msamah
@zahiruhamisi4162
@zahiruhamisi4162 Ай бұрын
Hakuna binadamu mkamilif,JOHANA msamehe tu uyu dada anaongea toka kwenye nafsi kabsa😢
@user-we1ey3yd2o
@user-we1ey3yd2o Ай бұрын
Acha uongo wedads
@taqiyyamwijage3324
@taqiyyamwijage3324 Ай бұрын
Acha uongo
@Kaneelly
@Kaneelly Ай бұрын
Watoto wa 2000 😂😂😂et aliniomba. Mpambavu kbs wew
@user-ev3tj2sh5k
@user-ev3tj2sh5k Ай бұрын
Wewe ndo umeyakoroga ulikwenda kufanyann siku moja kabla ya ndoa
@MagdalenaMatiko
@MagdalenaMatiko Ай бұрын
Mlioona nywele za bi harusi pichani za jana ya harusimukuje,ni kweli
@KaburameHamisi-fm7fo
@KaburameHamisi-fm7fo Ай бұрын
Shida sio Michael tu Ulivo mpa vingine ndio shida
@AllySeleman-p1s
@AllySeleman-p1s 10 күн бұрын
Huyu Anatamaa
@user-ct1qp3th5f
@user-ct1qp3th5f Ай бұрын
Haya maigizo au
@IbrahimIdrisa-gg4ml
@IbrahimIdrisa-gg4ml Ай бұрын
😂😂𝒘 𝒖𝒏𝒂𝒐𝒏𝒂 𝒊𝒚𝒐 𝒔𝒖𝒓𝒂 𝒕 𝒏𝒂𝒊𝒛𝒐𝒓𝒂𝒔𝒕𝒂 𝒖𝒏𝒂𝒌𝒖𝒃𝒍 𝒌𝒖𝒑𝒈 𝒑𝒊𝒄𝒉 😂😂𝒂𝒂𝒂𝒚 𝒔𝒂𝒔 𝒃𝒂𝒏𝒈𝒊 𝒊𝒔𝒉𝒂𝒂𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒌𝒂𝒛 𝒚𝒌𝒆.
@bahatilyimo659
@bahatilyimo659 Ай бұрын
Huyu asingeharibiwa angekuja kuendelea na Kendick kama mchepuko. Huwezi kwenda kumuaga mtu ambaye mlikuwa wapenzi kwamba unaenda kwa mwanaume mwingine. Shida IPO kwa Binti. Ila amejifunza na Yohana amsamehe tu.
@olicej7837
@olicej7837 Ай бұрын
Ni kweli huyu mdada ni mpuuzi
@CindyKazembe
@CindyKazembe Ай бұрын
Huyu dada ni mjinga, kwa nn upige picha kama hizo na huku wew ni bib harusi mtarajiwa?hujui kuwa mapenz yanauma?ulijiroga mwenyew akae nazo ili iweje?sio vizuri jmn...
@JuliusiMasanja
@JuliusiMasanja Ай бұрын
We dada muongo ndimila kuwili
@IbrahimHangira
@IbrahimHangira Ай бұрын
Wewe mwanamke hauna akili kabisa, uliruhisu vip kupiga picha,kumfuata huyo jamaa ,lazima ulimuaga kimapenzi pia..
@RoseMsafiri-d8j
@RoseMsafiri-d8j Ай бұрын
Wewe dada ujatulia atakidogo wewe unajua unaolewa afu unaenda kushikwa picha na mwinginei iyo siyo vizuri
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 3,8 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,3 МЛН
MSAADA WA NGUVU ZA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO
58:00
Prophetess Lily IPM
Рет қаралды 52
YATIMA AMLIZA SHEIKH KISHK/AMWAGA CHOZI HADHARANI/ASHINDWA KUONGEA
6:51
Kishki Online TV
Рет қаралды 35 М.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 160 М.
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 3,8 МЛН