hongera mwanamke mwenzangu tunapitia mengi sana wanawake
@naliakafatuma98702 ай бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana dear kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana nyote shalom
@Haarun-h4q2 ай бұрын
Yohan umepata mke mwema.Mungu amekupatia mtihani. Yohana huyu Dada usimuache,utabariki,utatajirika na utakuwa na furaha nyumbani kwako.
@AminaJuma-r4y2 ай бұрын
Mungu ni mwema sana tumefurai sana wewe na yoana kurudiana ❤❤ mtangazaji akija mchukua tuletehe mrejesho tuwaone wakiwa pamoja nyumbani kwao
@aminakombeloicy19592 ай бұрын
Praise the Lord ✋, nimekuwa nikikuombea dadangu, nimefurahi Mungu amejibu maombi🙏
@BahatAri2 ай бұрын
Waaooou dada hongera Sana kwa kupambana ndg yangu Sasa kilichobaki tulia Linda ndoa yako mweshim mume wako ya zamani yote achana nayo mungu akawatangulie katika Masha yeuni Amina 🙏
@TatuTatu-f1v2 ай бұрын
😢mapezi hayaingiliwi wakowapi wenye midomo
@Elliesillayo2 ай бұрын
Waoooo!!!!! Mwanangu nimefurahi sana kwa kweli Mungu awape maisha mazuri na ya baraka kwenye ndoa yenu. Haleluya ❤😂
@marryngaiza20612 ай бұрын
Hiyo ni habari njema sana. Mshukuru Mungu na uzidi kumuomba, umwombee mumeo
@DANIELJOHN-j2f2 ай бұрын
Mungu ametenda usirudie Linda ndoa yako iwe funzo Kwa wengine
@upendomwampulule17242 ай бұрын
Huyu mwanamke Ana hekima sana Yohana usiache mwanamke wa aina hii pamoja na yote huyu ni mwanamke wa kuigwa
@Blessedboi80192 ай бұрын
Ahsante mungu, Ki binafsi Nimekuwa nikikuombea Sana. Mungu awe nawe daima.
@JoyceNdunguru-lg1ug2 ай бұрын
Endelea kumwamini Mungu na kumtumikia Kwa bidii.Mungu awabariki ,.Amani Furaha na upendo udumu ktk Maisha yenu ,uso wa Mungu uwe nanyi SIKU zote za maisha yenu.Mw 15:1
@hassanahmedmwijaa2 ай бұрын
MashaAllah alyk tabarak ALLAH naamini ndoa yenu itakua ya kufanya sana n yenye furaha pongezi sana nyote wawili
@JumaDida-sq9jl2 ай бұрын
Yani Hadi machozi yamenitoka kwaflaha mh Asante mugu
@EnockSylvester2 ай бұрын
Waoooo nmefurahi sana mungu awabarik sana
@HawaOman2 ай бұрын
Hungera Dada mungu akulind kwenye maisha yenu
@Haarun-h4q2 ай бұрын
Yohana huyu dada pia ni mzuri wa umbo,Mungu awape watoto wazuri.
@ElizabethNyamai-me2id2 ай бұрын
Halleluja Mungu ni mwema ilikuwa jaribu
@HamisiSamweli2 ай бұрын
Kwel mm toka mwanza dada the best one in interview so wadada waige hana kejel hana dharau anakubali matokeo na kuwa chini
@mwanamkeshujaabongoflavama71802 ай бұрын
Yo hana mungu akubariki, mola aizidishie furaha ndoa yenu lakini unge ngoja mpaka mume wako akarudi waja wabaya
@latifakikoti98082 ай бұрын
mungu akusaidie endelea kumuomba mungu
@MohammedAfrica2 ай бұрын
Mashalalaaaaa mungu awatanguliye katika ndoa yenu👏👋
@teedullah57082 ай бұрын
Alihamdulilah km amekusamehe mkaregeyana
@Haarun-h4q2 ай бұрын
Dada nakushauri epuka sana marafiki,watakuharibia ndoa.Siri yako na mumeo usimpe mtu.
@JudithRichald-x7jАй бұрын
Recho endelea na msimamo usiogope maneno ya mtu yyt mungu aendelea kukutia nguvu
@Lovebryan-x7c2 ай бұрын
Mungu ni Mwema all the time❤
@joanbatrasar2 ай бұрын
Hongera sana kumtegemea MUNGU kunafaida 13:52
@PatsonDavid-yq2xs2 ай бұрын
Mungu mwema kwa kweli maana wengi tulikuwa tukiiombea ndoa hii
@KulwaAudax2 ай бұрын
Mwenyez mungu ametenda, hongera sana
@HalimaJuma-q6g2 ай бұрын
Ilikua ni jalibu ila mw/ mungu amewapa nguvu ya kulishinda hakika mnapendezana mw/ mung awape nguvu zaidi ma zaidi muweze kushida majalibu mengine
@sherryx.78972 ай бұрын
Mungu aihifazi ndoa yenu mudumu milele..Rechal unaonekana mtoto mzuri ..na mwenye heshima..ila nakulaumu usingeingia on TV kujitangaza kama mpo vizur..its to early dear..sasa Shangazi yake akisikia hivyo na yeye hajakukubali tangu mwanzo? Pia kuna binaadamu wabaya wanaweza kuleta fitna baina yote. .nakuombea kwa Mungu mufanikiwe.natumai na wewe umesoma
@AishaAisha-u1q2 ай бұрын
Recho furaha hadi jino la32 tunaliona mungu akudumishe na akufungulie hizo pingu
@zulfahaji912 ай бұрын
Yohana hongera mm binafsi nilikuunga mkono kwa kugoma lkn mwisho wa siku nimefurahi kwa maamuzi na kufkiria kusameheana yaliopita yamepita
@mercydirisha89032 ай бұрын
Punguza maneno hayo ndiyo yanayokuponza ya wengine usiyaongelee mdomo uliponza kichwa
@AmAm-xt1og2 ай бұрын
Mungu awabariki
@kilogreekachananawatuwasio40542 ай бұрын
NAZIDI KUKUOMBEA MUNGU UENDE KWA MUMEWAKO MKAISHI PAMOJA AMEEN AMEEN 🙏 ♥️ ❤️
@hassanahmedmwijaa2 ай бұрын
Walahi nimefurahi na maombi yangu mungu ameyaitika
@annamwinuka61902 ай бұрын
Nakuomba sanaa recho mapenzi yenu yawe siri acha mambo ya mtandaoo huyo mama mdogo wa mume aliongea vibaya sana kuwa makini sana
@ramadhaniomary70832 ай бұрын
Asee huyu dada pamoja na yote ila ni mwanamke mvumilivu sana yohana usimuache huyu mwanamke
Mimi dada ckufaham lkn nakushauri ucjekufanya nistake kwa hyo aloleta picha mshukuru mungu kakuonyesha mtu mbaya hyo hata angekuoa angeweeza hata kukuua maana kafanya jambo baya saana endelea na mme hyo mungu amekuepusha muheshim saana mmeo sana
Binafsi nimefrahi kuona kheri imerudi ktk ndoayao kwasbabu ndoa niibada kutoka kwa Allah
@HawaMkomwele2 ай бұрын
Endelea kwa maombi usiyaache mrudie Mungu wako tu
@neemaraphael87322 ай бұрын
Omba mungu akupe kibali kwa wakwe kwani wasipokupenda ni shida pia
@AthmanMhapa2 ай бұрын
MM HUNIJUWI ILA NAKUPA USHAURI USIJE KUWA NAMAWASIRIANO NA YULE MTU AITWA CANDIRICK YAAN SHEITWAN ASIKUDANGANYE TENA DADA YOHANA NIMUME SAHIHI HAKUNA MUME KAMA YOHANA WALLAH ANGEKUWA MUTU MWENGINE SAAJABU WANGEKUWA WAMESHA ZIKA JAMAA ANA MAAMUZI YA KIUME NIMEMUKABALI SANA
@OmanOman-f7r2p2 ай бұрын
Mashaall👌🥰
@mariumseif67512 ай бұрын
Usiongee yote mtandaoni shangazi atakuloga.usimpe lako bado hujaludi
@GodfreyMolel2 ай бұрын
Sasa la muhimu la kufanya ni kuokoka kisawsawa bila utani na kuchukua msimamo dhabiti kumwaminisha yohana bila kuwa n mchipuko kwa Sasa hivi macho na masikio Yao yatakufuatilia halafu cm yako usiweke password uwe mdhauri kwa wasichana wanaolewa waonyo waache ujinga uliofanya wewe kwenda kupiga picha na x ni mbaya lakini najua umeimarika kiimadili hongera sana yohana kwa maamuzi mema ya kumsamehe mwenzako mungu akubariki recho mheshimu shangazi yako amevaa viatu zako nampongeza kwa kweli
@imanihassanisaidilumanga2 ай бұрын
Hongera dada mungu mwema kila wakati
@AdelinaCharles-oy9ug2 ай бұрын
Recho mdogo wangu mshukulu mngu kwa hili nimefulahi kuona umelejea kwenyefulaha yako nawanao kuchukia we wapende tu
@msokole50502 ай бұрын
Mungu atunze na kuilinda ndoa yenu
@KhamisChaz-td4nz2 ай бұрын
Ndoa ina heshima yake we mwanamke kua mjanja muombe mkutane mpe vitu moyo upowe siku zikizidi atachachua pembeni ujue
@arafaally2895Ай бұрын
Naamini hii ndoa itakuwa imara zaidi
@LeticiaMwonge-f3q2 ай бұрын
Kendriki mbaya ,,,usimurudie tena
@RyobaWambura-j8b2 ай бұрын
mwanamke ameonyeshaujssili kutoa ya moyononi nakujutia makoza aliofanya nakujishusha na hakutosa luga chafu kwa yohans vingekuwa vidada vingine ungeona vinavyojibetuswa hii ni mfano mzuri
@Bilioneabichwa3312 ай бұрын
Hamna kitu hapo
@isunga19642 ай бұрын
Ila umefanya haraka sana bidada ungetulia kidogo ila hongera
@NyanyamaNkombe2 ай бұрын
Utarudi dada kwenye ndoa yako usiogope maneno ya wanadamu
@SamiraseifAlfan-ph4ke2 ай бұрын
Nimefurahi km ni Mimi vile yohana mchukue mke wako yaliopita SI ndwele nawapenda wote jmn
@latifakikoti98082 ай бұрын
hizo picha choma moto
@Queen-be1uf2 ай бұрын
Yohana asije akawa kakupangia kukutoboa macho na wewe. Kua makini. Watu hawana dini kuua kwao kawaida tuu. Hawaogopi siku ya hesabu , watajibu nini
@teedullah57082 ай бұрын
Lkn ni singe mpenda kuyaweka Tena adharani mna hujui mbaya wako ninani unge kiti tu kimya
@JumaDida-sq9jl2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@TshikalaPalasi2 ай бұрын
Naomba namba za yohana Mungu akupe hekima kwa kumsamehe mke wako
@WaziriOmari-j8q2 ай бұрын
Saw ❤❤on
@ShukurMkan2 ай бұрын
Nami nimejipa moyo
@KhamisChaz-td4nz2 ай бұрын
Mapenzi wenyewe wanawake ushaanza kunenepa siku moja tu
@neemaraphael87322 ай бұрын
Udirudie dada mheshimu mume wako sana
@DANIELJOHN-j2f2 ай бұрын
Lakin wanaume na wanawake ni tofauti sana ingekuwa ni nyie ni ngumu kusamehe
@TatuTatu-f1v2 ай бұрын
Apo sadaka
@RoseRashidi-p9b2 ай бұрын
Waoooo ongera sana mwaya
@KipoliceNaax2 ай бұрын
Wakwanza nipeni mauwangu
@MadinaShekalage2 ай бұрын
Mh!!!!!
@TshikalaPalasi2 ай бұрын
Niko marekani naomba namba za yohana
@MaksMedia12 ай бұрын
No media +255712358000
@rachelkamaze2 ай бұрын
Yohana hongera sana kusamehe usimwache mkeo Mungu awatunzie ndoa kiukweli nimefurahi sana@@MaksMedia1
@rahma61892 ай бұрын
Shukuru Mungu ila Usirudie kosa
@Blessedboi80192 ай бұрын
Ahsante mungu, Ki binafsi Nimekuwa nikikuombea Sana. Mungu awe nawe daima.