Wana BIBLIA NURU YA DUNIA KUJENI TUONGEE +254705602959

  Рет қаралды 2,713

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@felixmuasya6601
@felixmuasya6601 6 күн бұрын
Tuko pamoja mwalimu..... Hii kazi ni yetu sisi wote..... Na uweza WA mwenyezi Mungu tutashinda. Nawaomba wote wanaousikia ujumbe huu tujitolee kwa chochote kile Mola ametujalia tuchange Gari irudi kazi ya Mungu. Amin
@Lukashuaka1984ok
@Lukashuaka1984ok 7 күн бұрын
mtumshi...ndacha..jitaidi..mugu..atakusaidia..sana...usichoke..endelea..kuaonyesha..watu..jia.ya..mungu...
@Lukashuaka1984ok
@Lukashuaka1984ok 7 күн бұрын
mimi...ni..masai..pole..sana...niko..nchi..za..nje..
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 6 күн бұрын
Tusaidie Basi mtu wa mungu 🤷🤷
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 7 күн бұрын
Mtumishi pole sana lakini Mungu atakishindia na atatushindia sote ambao tunamtegemea yeye atushindie kwa kila jambo.
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 7 күн бұрын
Pole Sana mwalimu
@PeterMagoye
@PeterMagoye 7 күн бұрын
Mlingoti chuma bebdera chuma neno la Mungu na Yesu kristo lazima atangazwe
@PascalMbilinyi-u6d
@PascalMbilinyi-u6d 4 күн бұрын
Saf mwalimu umeifunua kweli ndugu iliofichwa kwenye quruan kiarabu watu wamejua Hadi waliotoka kwa kristo yesu baada ya kudanganywa
@paulocharo7780
@paulocharo7780 2 күн бұрын
AMINA..
@CelestineKerubo-ko3ni
@CelestineKerubo-ko3ni 7 күн бұрын
Everything will be ok.In God we trust.
@NaftalNathan
@NaftalNathan 7 күн бұрын
Mungu akutie nguvu
@zachariamichael8871
@zachariamichael8871 7 күн бұрын
Wapendwa Emu kila Mkirsto aguswe kwa uwezo wake maana kazi hii ya kupeleka injili mbele ni kazi ya kila mfuasi wa Yesu Kristo emu tuguswe maana ndacha anajitoa sana emu tuone umuhimu wake sasa tukiwa na uzima mana mda ni mdogo sana wapendwa
@Mitama49
@Mitama49 7 күн бұрын
Tuko pamoja mtumishi
@EbengocostantinMusicale
@EbengocostantinMusicale 7 күн бұрын
Songa mbele mwalim tusirundi nyuma tuki hanguk nikusimama tu
@samsonbar5213
@samsonbar5213 5 күн бұрын
Nakubali sana❤❤❤
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 6 күн бұрын
Indeed mwalimu Ndacha 🙏🏿🇺🇬
@peterkailibi1278
@peterkailibi1278 3 күн бұрын
Haturudi nyuma
@ANTONIILOMO
@ANTONIILOMO 5 күн бұрын
Songs mbele
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 7 күн бұрын
Tuko pamoja brother
@BendantokilaBalichako
@BendantokilaBalichako 6 күн бұрын
Pole sana mtumishi
@EbengocostantinMusicale
@EbengocostantinMusicale 7 күн бұрын
Nikweli mwalim tunajuwa hilo
@peterkailibi1278
@peterkailibi1278 7 күн бұрын
Atutakubali ijili isimame
@petermabada5628
@petermabada5628 2 күн бұрын
Mtumishi ndacha, weka namba
@paulocharo7780
@paulocharo7780 2 күн бұрын
Nambari iko kwenye screen...
@osbornmutuku4331
@osbornmutuku4331 7 күн бұрын
Tuchange live TikTok
@QuickBaby-o3i
@QuickBaby-o3i 4 күн бұрын
Tuko pamoja mwalimu na ninaamini kila kitu kitakuwa Sawa na gari itakuwa barabarani
@JeanineRuharuka
@JeanineRuharuka 6 күн бұрын
We need you 100 people so each can pay 100 and so we can able to finish this problem everybody come on we can work together thank you
@petermabada5628
@petermabada5628 2 күн бұрын
Kenya shillings or Tanzania shillings?
@t.v.a.i.s.s6842
@t.v.a.i.s.s6842 5 күн бұрын
Umeangukia pua wana ndacha 😂😂😂😂 pole sana... Even now ate the moment while you are talking, i see the jeen shayatween with you. I m so sorry brother. Fundisha ale ambae unayajua, sio kusundisha yanayo ku furaisha mwenyewe
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 5 күн бұрын
Gari itakuwa sawa tu..atakama unaumia
@RezdaimGeorge
@RezdaimGeorge 5 күн бұрын
Bh'abh'alaye umekaribia kufa
@RezdaimGeorge
@RezdaimGeorge 5 күн бұрын
Watasikia lakini hawataelewa lakini kuto elewa kwao hakutufanyi sisi kunyamaza lazima neno lihubiriwe
@petermabada5628
@petermabada5628 2 күн бұрын
Majini kwenu Jehannamu, DAMU YA YESU KRISTO MNAIOGOPA MAANA MNAJUA NI MUNGU YUKO KWENYE DAMU YA KRISTO.
@paulocharo7780
@paulocharo7780 2 күн бұрын
Wewe mtu wa majini ,una huru wa fundisho unayodai kuwa unajua..Ndacha anachokisema ni kweli wala si uongo...
@marrygicho4050
@marrygicho4050 7 күн бұрын
Kazi ya MUNGU itaedelea tu sio kwa nguvu zetu ila kwa nguvu zake mwenyewe. Je nikipi kigumu mbele zake mwenyezi MUNGU? Uliogopa anasema kwenye kitabu cha Isaiah 41:10. Tufanye kama mwalimu ameoba jamani.
@AlbertMakori-u2l
@AlbertMakori-u2l 7 күн бұрын
Wewe una shida gani bwana ndacha juu ya uislam:siku moja namba tujadiliane na wewe kuhusu majini kama ni wakrist ama ni waislamu aja ufala kujiongelesha mwenyewe
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 7 күн бұрын
Wacha matusi ww
@whatmakesthisthingsimpossi7487
@whatmakesthisthingsimpossi7487 7 күн бұрын
Wewe hujatafsiri ata neno Moja wakosoa wasomi wenu wanaokiri majini ni nduguzo
@zachariamichael8871
@zachariamichael8871 7 күн бұрын
Wapendwa Emu kila Mkirsto aguswe kwa uwezo wake maana kazi hii ya kupeleka injili mbele ni kazi ya kila mfuasi wa Yesu Kristo emu tuguswe maana ndacha anajitoa sana emu tuone umuhimu wake sasa tukiwa na uzima mana mda ni mdogo sana wapendwa
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 6 күн бұрын
UKweli lakini mungu yupo Kwa ajili yetu.Me am happy for the work on
@nelsonishengoma9548
@nelsonishengoma9548 6 күн бұрын
Mungu akutie nguvu
@zachariamichael8871
@zachariamichael8871 7 күн бұрын
Wapendwa Emu kila Mkirsto aguswe kwa uwezo wake maana kazi hii ya kupeleka injili mbele ni kazi ya kila mfuasi wa Yesu Kristo emu tuguswe maana ndacha anajitoa sana emu tuone umuhimu wake sasa tukiwa na uzima mana mda ni mdogo sana wapendwa
@zachariamichael8871
@zachariamichael8871 7 күн бұрын
Wapendwa Emu kila Mkirsto aguswe kwa uwezo wake maana kazi hii ya kupeleka injili mbele ni kazi ya kila mfuasi wa Yesu Kristo emu tuguswe maana ndacha anajitoa sana emu tuone umuhimu wake sasa tukiwa na uzima mana mda ni mdogo sana wapendwa
USHIRIKA WA mungu roho ni ushirka wa shetani.
1:19:59
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 1,5 М.
NUNUA  HII +254705602959
14:47
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 6 М.
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 22 МЛН
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 11 МЛН
NILIONA RAISI  WA TANZANIA AKIPINDULIWA: PART-2 SANAMU YA TANZANIA
25:33
UNAMUAMBUDU NAN? +254705602959
3:39:52
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 1,9 М.
SOMO: HAKUNA NENO UTATU MTAKATIFU KWENYE BIBLIA.
24:04
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 1,4 М.
#iNooroTVLive
Inooro TV
Рет қаралды 3,4 М.
JE! WATU WATAENDA MBINGUNI???
1:16:26
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 14 М.
CHRISTIAN VS MUSLIM DEBATE KENYA
3:36:17
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 4 М.
Je Majini Ni Waislamu?
55:28
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 49 М.
Kisumu
1:23:20
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 49 М.
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 22 МЛН