Ndacha francis, you are gifted my brother.You are good at teaching and debating.I love the way you have taught the owuor guys.
@bigirimanajeanclaude1614 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtu wa mungu Francis NDACHA. mungu akuzidishije ujuzi wa kuhubiri injili, huku bujumbura tunakufuata 5/5
@pmwendemusyoka109 Жыл бұрын
Congratulations ndacha,, hakika Roho wa Mungu anakuongoza kwa sababu ukona jibu la kila swali, yaani ushindwi kujibu swali lolote.
@previneyoung82903 жыл бұрын
I just love the way the Bible stands for it's self
@rasheedshariff40922 жыл бұрын
realty check. bible never stand for itself Jeremiah 8:8 and more....
@jeanmuzaliwa90232 жыл бұрын
kabisa umenena vyama
@DaudiWabwile Жыл бұрын
@@rasheedshariff4092000 pp
@japhetndoro65332 жыл бұрын
Ndacha mungu akubariki xana
@biblianenolamungubypr.lusa24134 жыл бұрын
I'm still getting blessing from God through Pr. Ndacha
@mombasa00762 жыл бұрын
You are the follower of Ndacha but God will not bless you. Ndacha is just preaching the PROPAGANDA to oppose others. I have done the reserch and see that NDACHA has nothing new . ISLAM is the right religion to follow and not otherwise.
@sospeterkogei28592 жыл бұрын
@@mombasa0076 kweli wewe hujui biblia
@josmovertv48132 жыл бұрын
We are together!!!!
@ENOSBAHATI-c9d3 ай бұрын
Watumishi wa mungu mmbarikiwe sana msirudi nyuma mmefika Mahali pa ukweli
@clementmuriuki24029 ай бұрын
Be blessed mr francis dacha surely I like your teaching,,in Embu County, Manyatta tunakuskia sana
@jeremiahnjagi Жыл бұрын
Bwana ndacha mungu wa rehema akubariki sana. Kazi yako ni ngumu na inahitaji uvumilivu
@alexmutambuki9862 жыл бұрын
Dacha unafundisha poa sana,naoba mwenyezi mungu ateremshe gazi upae nayo tukukute uko tukija home binguni
@MchPeterАй бұрын
Naomba Mtumishi wa Mungu Mch.Ndacha uwe mwangalifu hao watu wanaweza jitoa jihadi
@omwoyoonchweri69334 жыл бұрын
Great message from God .....Preach the Gospel Mwalimu Ndacha & your team. Let every creature listen to God's Word.
@janenjenga56394 жыл бұрын
En the Holy spirit to guide
@josmovertv48132 жыл бұрын
Thus right
@BensonKonsolo Жыл бұрын
You are the true pastor and be blessed
@JohnKim-hv1kf Жыл бұрын
Napenda the way pastor Ndacha anawambia watu ukweli kutoka Kwa bibilia
@ranouskurgat9190 Жыл бұрын
Thank you for your teachings Pastor Ndacha and your team. May God shower you with His abundant blessings
@brex_walkergeornsonie12942 жыл бұрын
Ndacha a man with true mesage of GOD, may GOD bless you biiiig🙏🙏🙏
@hannahmuturi07 Жыл бұрын
Hubiri injili bila kuogopa mwalimu...mungu akutie nguvu
@Janetmoraa-t8f11 ай бұрын
Waaaa moto kweli be pleased pastor ❤❤❤
@rosekerubo53972 жыл бұрын
Umbili injili ya mungu tunakuombea pamoja n kundi lako mubalikiwe kabisa tuko nyuma yako pst ndacha God bless you
@roggersowino55814 жыл бұрын
waa Ndacha endeleza ujumbe wa Mungu
@koinijosepholemomboshi71212 жыл бұрын
be bleesed pastor ndacha
@majariwagift14984 жыл бұрын
Waambie ukweli..
@ruthvilinga77803 жыл бұрын
Kabisa
@omaebarongo18923 жыл бұрын
Mwalimu Ndacha kweli uko na ujasiri Mwenyezi Mungu akutete na kukutia nguvu Amina waja wakristo tusome Sana neno LA Mwenyezi Mungu na kuamini na kuishi maisha matakatifu tukingoja kurudi kwa Yesu Kristo Mara ya pili Amen
@Mark-x6f7o2 жыл бұрын
Sure God has remnants
@t7zkc5tpxgim284 жыл бұрын
God bless you abundantly pastor Ndacha
@janenjenga56394 жыл бұрын
My people perish for luck of knowledge and wisdom.watu walikataa Yesu wanaamini wachunganji kuliko Yesu aliye kufaa juu yao.
@Footballer-19924 жыл бұрын
Please please please Ndacha! Never lose hope God always be with you.,preach this word of God from Bible. We love you.
@Maya_arsenal2 жыл бұрын
Pastor ndacha may GOD BLESS YOU Karibu tena nakuru manyani watu wapate injili ya bwana
@edwinkaris96022 жыл бұрын
@17:44 city of Tyre and Siddon...isaiah 23:17 nashangaa sana watu wanajaribu kutwist word recheck na Ezekiel 28...Ndacha uko sawa kabisa
@allanongukah63192 жыл бұрын
May the lord bless you ndugu ndacha
@halkanodenge43642 жыл бұрын
Keep it up mw francis Ndacha..May God continue leading you
@wycliffemutai68364 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi Francis Ndacha. Mungu azidi kukunehemesha unapomfanyia kazi. Tunakuombea pamoja na kikundi chako nzima.
@triciamwango73422 жыл бұрын
No word will remain unveiled in the bible,,,,go go go Ndacha and never give up,God is faithful He will protect you through.
@teresiakwambo90184 жыл бұрын
Ndacha Mungu akuchaze nguvu na nitazidi kukumbea
@japhetndoro6533 Жыл бұрын
Amen sana
@abcdg19954 жыл бұрын
Enough blessing Teacher Francis Ndasha MAY GOD Almighty CONTINUE to bless you Exceedingly am impressed with your updates notifications SIR
@williamkadzomba25704 жыл бұрын
Barikiwa Sana Mwalimu Mungu akuongezee hekima hii
@totojaphet92124 жыл бұрын
Ubarikiwe sana sana unahubiri kweri w amungu mimi murundi
@josykogei76472 жыл бұрын
Wee ata mungu anashanga na viumbe vyake
@davidaramat46743 жыл бұрын
You are blessing me
@mombasa00762 жыл бұрын
GOD WILL NOT BLESS YOU
@vincentasava15292 жыл бұрын
Haya ndio mafundisho
@kohelethpaul Жыл бұрын
Kwa kweli Mungu amekusudiya sasa tujuwe ukweli uliyo fichwa dhama zote mdaa huu ni muda wakuamuka usingizini
@dominicbirika77344 жыл бұрын
Ukweli Utambae .......us we are waiting for the second coming of Jesus Christ
@nicholaskibitok23842 жыл бұрын
God bless you pastor ndacha
@mwambinguphilip554 жыл бұрын
Pst nice teaching
@biblianenolamungubypr.lusa24134 жыл бұрын
Hakika Pr. Ndacha anatimiza andiko linalosema " Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri injili kwa kila kiumbe aaminiye na kubatizwa ataokoka asiyeamini atahukumiwa. Marko 16:15-16. Huyo jamaa akiendelea kutoamini iko wazi, namnukuu pr. Ndacha hapo ni " jikoni" by mwinjilisti Lusajo from Tanzania.
@Footballer-19924 жыл бұрын
Please please Mr Ndacha, preach this Good News let everyone hear 👂. God is leading you.
@obedlwinga91942 жыл бұрын
Ndacha kuwa makini na hao wapingaji wa neno la Mungu
@nahashononditi817 Жыл бұрын
Am happy when the bible speaks and answers.No doubts.
@BensonKonsolo Жыл бұрын
You shall know the truth and the truth shall set you free
@africaglobal.2 жыл бұрын
Francis ndacha. God bless you.
@hudsonwamalwa87522 жыл бұрын
God bless you
@jamesirungu16474 жыл бұрын
Mbarikiweni sana watu umishi wa Mungu.
@IsayaOkwomi Жыл бұрын
Mbona mgongano
@tukikopaul23713 жыл бұрын
Be blessed Frances ndacha
@Samsiet2543 жыл бұрын
This guy is really a blessing
@mombasa00762 жыл бұрын
PLEASE YOU MUST UNDERSTAND THAT NDACHA IS JUST DOING HIS PROPAGANDA TO OPPOSE THE RIGHT RELIGION. ESPECIAL ISLAM. GO EAST AND WEST BUT ISLAM IS THE RIGHT PLACE TO GO. DONT WASTE YOUR TIME TO LISTEN NDACHA WHO IS JUST TALKING FALSE EVIDENCES. WE ARE PREPARING TO MAKE NDACHA UNDERSTAND THAT MUHAMMAD IS THE RIGHT PROPHET TO FOLLOW . JESUS WAS THE RIGHT PROPHET TO FOLLOW DURING HIS TIME ... I LOVE ALL PROPHETS
@faithfultoyeshua45762 жыл бұрын
@@mombasa0076 uislamu ni uchawi
@rachealnazi9115 Жыл бұрын
@@faithfultoyeshua4576 tena wa marehemu wao Muhammad 🤣🤣🤣
@saeedsaleh34602 жыл бұрын
Wakristo wanabishana wenyewe kwa wenyewe 🤣🤣🤣 Komesha yenu Mazinge 💥💯
@mercykariuki67242 жыл бұрын
Wewe. Kasikze quran toka hapa Pepo mchafu, wakristu wengine jina Tu Sawia na waislamu bandia ..heri wao watafuta ukweli nyinyi hata hamjui mnaabudu nini wala Nani..jichekee mwenyewe mshenzi.
@isaacmugunda83703 жыл бұрын
I love this man's courage
@judithcherono25954 жыл бұрын
Si Mungu unipe hii roho ya Francis ata robo 1%4..
@agnesmuhonja74683 жыл бұрын
Mungu akupe roho ya mwanadamu ama akupe roho mtakatifu? Ona uyu kristo alisema anapoenda kwa baba hatuaji yatima ila anatuajia roho mtakatifu, c ya Francis, o God have mercy on us
@moshantoj4 жыл бұрын
Huyo mlevi kwa background anachekesha😁😁😁
@judithcherono25954 жыл бұрын
😁😁😁
@quickwebcyber95653 жыл бұрын
Mlevi ako ngangali. Kama mlevi ako ngangali hvyo zembuse wafuazi wa Uwour?
@normaltv87172 жыл бұрын
Wwe potosha wa2 hvohvo .. Mungu anakuona
@josephdavid9859 Жыл бұрын
I feel your pain😀😀😀
@kevonngetich2 жыл бұрын
ukweli usemwe
@hillaryarande7453 жыл бұрын
Atuendi mbinguni kwa kujua maandiko sana tunaenda mbinguni kwa kutenda mapenzi ya mungu,kuusu sabato yesu ndio bwana wa sabato ,ukiwa ndani ya yesu day does not matter,coz mafarisayo,ambao naweza kuwalinganisha ,na SDA,walimulaumu yesu kwa kufanya kazi siku ya sabato,akawajibu yeye ndio bwana wa sabato
@agnesmuhonja74683 жыл бұрын
Amen Amen Amen and Amen Glory to JESUS
@ojwangrumo70413 жыл бұрын
Kama ni Bwana wa Sabato basi mfuate yeye... Kwa sababu kulingana na desturi yake Yesu alitunza Sabato
@jannyrose53673 жыл бұрын
@@ojwangrumo7041 Siku haitamfanya mwanadamu.. 🤔
@okothwickliff16162 жыл бұрын
Ndugu yangu, kwa mujibu WA biblia iliweka siku moja tu ya kumuabudu
@gracenjoroge5952 Жыл бұрын
Kama wewe ni mfuasi wa yesu lazima ushike amri zake
@LiveOnTheHolyWord3 жыл бұрын
Huyu msomaji bibilia jameni!
@agneskhakali20694 жыл бұрын
Ukiwa n.a. Yesu una yote elimu yake iliwashangaza wote.Mwlimu teach them
@sulehassanshall61404 жыл бұрын
Pole Dada Kwakubakwa nashetan ucku unapo lala. .nikazi yashetan kuwabaka wanaadamu wasio msujudia mungu..Shetan Anawabaka wanaume nawanawake wasio msujudia mungu..Hana huruma namtu Asie msujudia mungu . Anawamiminia maji yake machafu kwamikundu yenu.pole Dada hio ndio kz yashetan..mchana nirafiki yenu kanisani ucku niadui yenu Anawabaka..Pole sana.pole sana..huyo ndacha Ashajaa maji yashetan kwamwili wake.ndio Anamtukana mpka mungu.huyo ndacha Atadhalilika hapa Duniani nakesho Atakwenda jahannam pamoja nshetan...
@sulehassanshall61404 жыл бұрын
Pole sana .nakusikitikia kwakumiminiwa maji yashetan.kwamkundu wako..Pole sana
@saitotisapiyo59974 жыл бұрын
Waa ivi ndo watu wana poteza mandiko waaa.
@normaltv87172 жыл бұрын
Mpuuzi ndacha
@halkanodenge43642 жыл бұрын
Mpuuzi ww kwa kuwa uelewi ndugu yangu
@junicnamuwenge69572 жыл бұрын
Amina Amina Amina 🤣❤️😂🤣🤣🤣🙌🙌🙌👋👋🇸🇦🇸🇦
@under8484 жыл бұрын
Nice teachings
@jannyrose53673 жыл бұрын
Jameni wakristo wakigombana inatisha 🤔, what you do not have don't rebuke it 🙏🙏
@millicentmuia5652 Жыл бұрын
Watu wa awuor hold on ati Eliya aki😂😂😂
@mohapromo61143 жыл бұрын
Hong era jamaa wangu, umemuweza ndacha, cz hajielewi
@suzanaagustinookelo49533 жыл бұрын
Kwa akili zako kuufanya moyo wako mgumu utajua ujuiii
@suzanaagustinookelo49533 жыл бұрын
Kwa akili zako kuufanya moyo wako mgumu utajua ujuiii
@erickmaisha47732 жыл бұрын
Yani pia ww n pimpi?
@mohapromo61142 жыл бұрын
@@erickmaisha4773 pimpi ni ww nawakwenu nyoote
@mohapromo61142 жыл бұрын
@@erickmaisha4773 yesu ni mungu!!!!!reasoning ndio mbovu
@sulehassanshall61404 жыл бұрын
Bblia iko natuci makubwa ya kumtukana mungu Wakirsto token huko kwenye ujinga naukora
@williamkadzomba25704 жыл бұрын
You are totally lost turn to God and ask for forgiveness
@jameskariuki79614 жыл бұрын
Thanks Mr dacha
@kevinshima74144 ай бұрын
Ndio hio twende sasa.huyo Jamaa amenimaliza
@cyrusmutsami11959 ай бұрын
Acts 5:36-38 [36]For before our time there arose Theudas, asserting himself to be a person of importance, with whom a number of men allied themselves, about 400; but he was killed and all who had listened to and adhered to him were scattered and brought to nothing. [37]And after this one rose up Judas the Galilean, [who led an uprising] during the time of the census, and drew away a popular following after him; he also perished and all his adherents were scattered. [38]Now in the present case let me say to you, stand off (withdraw) from these men and let them alone. For if this doctrine or purpose or undertaking or movement is of human origin, it will fail (be overthrown and come to nothing);
@rosemutinda30764 жыл бұрын
Hawa watu wa Awuor ukiwaona na suits, hawana lolote walindanganywa na mungu wa Awour kabisa
@janenjenga56394 жыл бұрын
Brainwashed by him
@tukikopaul23713 жыл бұрын
Ha
@erickangima970 Жыл бұрын
Neno linajisimamia
@idrissatuppa39974 жыл бұрын
Wamekutana pipa na mfuniko🤣🤣🤣
@willisonyiego98092 жыл бұрын
Big up to the drunkard on the background. 🔥🔥🔥😂😂😂 His comments are great👍👍
@mohapromo61143 жыл бұрын
Ndacha hapo umeweza na huyo mutu wallah, jibu swali Lake wewe
@charlesmbogo99153 жыл бұрын
Owuor ni mwizi tu
@hopememba4 жыл бұрын
Hebrews4:8 is referring to joshua 22
@apollorutamucero69719 ай бұрын
21:35
@sophiaesmarcharo97755 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤲
@eliabamayi43444 жыл бұрын
Natamani siku moja dacha akutane na owuory live live,,yaani kutawaka fire moto 😁😁😁😁😁😁😁
@janenjenga56394 жыл бұрын
Owour hawezi kubali
@eliabamayi43444 жыл бұрын
@@janenjenga5639 yap koz anajua hes a false prophet indeed
@mimbamimbz3990 Жыл бұрын
The camera man didn't do us justice
@anthonykariuki24383 жыл бұрын
hata elena g white muazilishi wa sda munamuita nabii nyote mko kwenye meli moja
@erickmaisha47732 жыл бұрын
Huyo kijana wa sikunyingine huyo
@josmovertv48132 жыл бұрын
Angalia venye wamejisunda suit, nanisandaka ya watu masikini,wamewafanya watu kua masiki lakini wao wakawa matajiri kwa ujaja wao!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shirikaniyonkuru65604 жыл бұрын
Huyu ni mu islam Bandiya kweli!
@stephensafari97454 жыл бұрын
Nahitaji mawasiliano na wewe Niko na swali. 0701 696 946
@rosemutinda30764 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Ndacha umepelekana na huyo muisilamu teketeke vyenye Biblia husema jibu mpumbavu na upumbavu wake🙉🙉🙉🙉..... Na huyo mtu wa mwisho aki Ndacha una kazi na Mungu hukutia nguvu juu kama ni kimwili, ungechoka🙆♀️🙆♀️🙆♀️
@saitotisapiyo59974 жыл бұрын
Uki soma Bible utajua watu wanasema kinyume na Bible awataki bibilia ijieleze.
@janenjenga56394 жыл бұрын
Wapinga kristo wako tu wakipinga
@personalcomputer12082 жыл бұрын
Pastor Nina swali mm ni muumin wa kristo wa kwel aliye hai Ila kuna kiumbe kinachanganya kichwa anasema yeye hana dini alafu Anatumia mistari ya biblia tena anasema mashetani watatu katika biblia ni uislam ukristo na uyahudi Msaaada kama ukisoma sms yang Na huyu Prophète Kacou 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@DavisWangodi3 жыл бұрын
na huwa nawaambia hawa watu wa owuor kuwa waache ujinga ati jamaa ni elijah hihih
@hillaryarande7453 жыл бұрын
Tuko na SDA wengi ambao nawajua nothing different from them
@alexmutambuki9862 жыл бұрын
Mwenye macho abiwi tazama, ukweli dio uu akuna kitu inaitwa mhisilamu,Islamic ni duka ya Muhammad
@carolinemwugusi8945 Жыл бұрын
People you can never advice ni hawa wafuasi wa owuor
@saitotisapiyo59974 жыл бұрын
Hii kari itabidi wajue mandiko.
@James_Kirimi4 жыл бұрын
The rest is not a day, it is a person, Jesus. Joshua took them to canaan, if that canaan was the rest, there would be no need of another rest. Christ is the real rest!
@desmonrutoh45583 жыл бұрын
Yes we’ve rest in Jesus,and we’ve to follow His life .His custom was to keep the sabbath day Luke 4:16 And he came to Nazareth, where he had been brought up: and, as his custom was, he went into the synagogue on the sabbath day, and stood up for to read.
@erickmaisha4773 Жыл бұрын
Ufunuo 14:12 utapata jibu 🤣🤣
@James_Kirimi Жыл бұрын
@@desmonrutoh4558 Jesus appearance in the temple doesn’t mean he affirms the customs. These customs are a shadow. He is the Lord of the sabbath. Remember He healed on sabbath which was not allowed under that system
@James_Kirimi Жыл бұрын
@@erickmaisha4773 hakuna ufunuo hapo, just read to understand not to respond
@samito0014 жыл бұрын
38:20 mlevi bana staki muislamu jirani yangu uhame
@abcdg19953 жыл бұрын
Aha HAHAHA oh gosh. . The gentleman is a confused element
@sammykiiru57193 жыл бұрын
Ndasha Mungu akulinde na maadui wanao chukua habari hi ya Bibilia Nuru ya dunia
@mombasa00762 жыл бұрын
NDACHA NI MPOTOSHAJI TU. WENGI WANAOMFUATA HAWAJUI HIVYO. NI SAWA NA WALEEEE WALIOTAKA KUMSULUBU YESU PIA WALIKUWA HAWAJUI WALITENDALO. HAKI NA UKWELI ATAUJUWA KILA MTU......... MUNGU ANATUSUBIRI. NA WANAOPOTOSHA WATU KWA KUJIFANYA WANAJUWA KAMA NDACHA WANASUBIRIWA. HATA WALIOMSULUBU YESU WATALIPWA UOVU WAO
@nzorimfaki8112 Жыл бұрын
Ndacha mbona hukumaliza hio Aya ya Quran na Iko wazi Wacha kudanganya watu...