Ahsante Yesu kwababu ya kukutumia paster Mbaga.Yesu umebadili maisha yangu ya kiloho na kimwili. Yesu ahsante ahsante ahsante
@KatemboRichard-u4d10 ай бұрын
Asante kWa mahubiri
@essymutseke Жыл бұрын
Amen amen and amen. Mungu akuongezee nguvu za ROHO MTAKATIFU .
@MaombiJofre-k8m Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mteule wa Mungu David Mmbaga Hakika Unanifungua Akili Maishani mwangu.Tangu nilipoanza kukufuatilia Nimejua Mengi Niliokuwa sijui Mungu aendelee kukutumia zaidi
@margrethkaserikali14582 жыл бұрын
Pastor Mungu azidi kukupa nguvu na uhai namshuhudia Mungu kuwa mahubiri Yako yamekuza Imani yangu kwaukubwa sana..umegusa MAISHA YANGU kupitia mahubiri Yako..Mungu wambinguni akuweke hai uzidi kunifungua kiroho🙏
@judithcherono25954 жыл бұрын
Amen Makampi yako tamu sana Naomba Mungu anifungulie njia ili nami niwepo mwaka ujao,Mungu akubariki pastor injili imetufikia huku kwa umbali sana leo umefunza Kabisa na ni kweli tunayo shida ya akili Kweli Baba mwenyezi Mungu twaomba utujaze nguvu Amen
@donaldmwahalende48414 жыл бұрын
Amen
@fortunatusnagabona19249 ай бұрын
barikiwa sana pastor Mungu aendelee kukutumia
@eutropiangido96844 жыл бұрын
Somo lilikuwa langu. Nimependa huo wimbo wa Roho Mtakatifu. Ubarikiwe pastor; timu yako na uongozi wote
@rosemutinda30764 жыл бұрын
Hizi testimonies hua zinanibamba sana nikisema Amina 🙏🙏🙏
@jeikary8767 Жыл бұрын
Mungu akuongeze miaka .vizazi na vizazi vikupata niweze kubabikiwa na neno lako Amina
@elienew3788 Жыл бұрын
Amen Roho mtukufu wa Mungu Karibu ingia moyoni mwangu nioshe na utakase dhambi na maovu yangu yote na nifanye kiumbe kipya kwa jina la Yesu 😢😢
@VirginiaMusyoka-t8v8 ай бұрын
May God continue to enrich you with wisdom and knowledge to deliver more,be blessed pst. Mmbaga..Listening from Nairobi
@MaryMmbone-pz3ps11 ай бұрын
We love God bless you umeponya na kuokoa mioyo zilizo potea na taji imekugoja binguni amen tunakukaribisha vihiga county plz
@janetkahada52064 жыл бұрын
Amen amen thank you ubarikiwa na Jina la Bwana libarikiwa.
@EsterKasimu-xy1su Жыл бұрын
Nimepata amni moyoni kusikia neno la mungu. Imani yng inaongezeka kwa kiwango chengine. Mungu akubariki mtumish wa mungu
@GaudensiaDaudi-n5z Жыл бұрын
Amina ubarikiwe mtumishi
@sheilaombongi80864 жыл бұрын
Aminaa! Naomba Mungu anijaze na roho mtakatifu nipate kumuona hallelujah Amina
@collinschepkwony41383 жыл бұрын
May God bless you and your family, whenever iam down spiritually your preaching inspires me "mungu hakuonekanie"
@askahonchomba80924 жыл бұрын
I thank God for you Pr. David Mmbaga!!! I have learnt alot about finances and Spiritual life.
@roselineombati67010 ай бұрын
Amina Mungu anastahili sifa kweli, tafadhali jina la choir hii,nimesikiza wimbo huu mara nyingi kwa video hii natamani kua na huu wimbo maana unanipa faraja ya pekee sana,
@plankalkimly48112 жыл бұрын
Mungu akuweke salama pastor
@dorcasrhobi82112 жыл бұрын
God bless you umeòngea ukweli ubarikiwe, mikopo imetumiza asante
@emmymwasalwiba191211 ай бұрын
Hakika Mungu amekutumia kunizogeza msalabani. Uishi maisha marefu kwa utukufu wa Mungu.
@equilinendikubwayo56453 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi Mimi nitashinda kwa damu yesu kristo
@PeterMongola11 ай бұрын
Pasta natamani na ninaomba siku moja ufanye mkutano hapa kwetu katesh Hanang manyara, maana nabarikiwa sana na mafundisho yako, Mungu azidi kujutia nguvu na kuinua zaidi na zaidi katika huduma yako, aameni.
@MaggieG2764 жыл бұрын
I love listening to your sermons they do minister to my sprit ..regards frm kenya.
@mrembonaomi90772 жыл бұрын
Amen ninabarikiwa na haya mafundisho sana
@GuillaumeLumande-j3d Жыл бұрын
Aksanti sana mtumishi wa mungu ❤❤😂🙏🙏mungu akuongezee kabisa 🤔
@maureenjovial60833 жыл бұрын
Nabarikiwa sana napokea kwa imani
@lydiahnelima4781 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🔥🙏🔥
@rizikimarie67654 жыл бұрын
Amen Amen Amen pastor ubarikiwe Sana
@erastuskivuli54394 жыл бұрын
Asante brother.Nimebarikiwa Sana nikiwa Kenya.You are really a blessing to me.
@judithmakoye65924 жыл бұрын
Amina, barikiwa pastor Mmbaga na mahubiritv pia
@talalimpagalala62613 жыл бұрын
Mungu akulinde pastor
@freday68773 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@mlishohadija692311 ай бұрын
Amen and Amen be blessed 🙏🙏
@upendoeliudi51963 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana
@alicesidi96012 жыл бұрын
Amen be blessed 🙌
@watwegopnina64804 жыл бұрын
Amen and Amen Bwana Mungu wetu atusaidie
@lreneauma17624 жыл бұрын
Amen asant mungu ubarikiwe Dana PR mmbanga🙏🙏🙏
@ericnyongesa27312 жыл бұрын
Mungu nijaze na roho wako mtakatifu
@stellamariki68524 жыл бұрын
Mungu Aba Naomba niongezee IMANI.
@joliea29564 жыл бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu
@SermonsRoom4 жыл бұрын
am blessed pastor
@haronkemboi58122 жыл бұрын
Asanteni Sana mparikiwe
@judithcherono41414 жыл бұрын
Amen Jina la bwana liinuliwe🙏🙏🙏
@mburujamburuja5483 жыл бұрын
Mahubiri safi sana
@bruceminyacosprlrdc50843 жыл бұрын
Asante toka DR CONGO 🇨🇩
@MaryMmbone-pz3ps11 ай бұрын
Nimepona kupitia KZbin naomba no ya kusapoti KAZI ya Mungu from mbale c enteral vihiga kenya
@themsemajiwafamilia99204 жыл бұрын
kwakweli hizi ndio jumbe tunazozihitaji kanisa kwa sasa sio kupigana blabla mafungu mengi sana yanayotutisha na kutukandamiza bila kutupa njia sahihi Pr Mmbaga nakufuatilia sana umenisaidia kubadili style za maisha yangu kwa kuongea na Mungu nimelala kama nabonyeza batani ya simu hhahaha Mungu wetu MKuu sanaaa tulizoea kuomba ni kulalama tunajitesaaaaaaaaaaaaa dooooh
@constancendurya46054 жыл бұрын
mchungaji ubarikiwe sana.
@eustina8372 жыл бұрын
Mungu wa mbingun akupe nguvu na afya tele uzidi kutulisha na neno lake
@julietmusalia78010 ай бұрын
I would like you to teach about trinity please
@gladkathurima87024 жыл бұрын
Asante Mungu kwa pastor David.Tusaidie kusikia na kuenenda vilivyo kwa Roho Wako..Mchungaji Itakuja England lini?.,God bless
@dukeoyugi44674 жыл бұрын
Be blessed abundantly iam from Michigan name is Duke Oyugi pray for me please
@lidya6342 Жыл бұрын
Mungu wetu ni mwema sana .nawasalimia kwa jila la Yesu nawasalimia kutoka USA pastor Mungu akubariki sana uzidi kutufundisha neno la Mungu Mungu azidi kukubariki Amen
Mtumishi ningependa utufahamishe kuhusiana na jisi gani ya kuwaagiza malakika wa tutendee kazi na wana fananaje?
@abedimos7773 жыл бұрын
I'm blessed
@yohanaanthony34224 жыл бұрын
Kufanya mtindo wa maisha ni kufanya nguvu za Mungu zitumike hata pasipofaa
@UshindiKakuru Жыл бұрын
Amena
@joramjaphet91334 жыл бұрын
ameen somo zr
@MusaCharles-o9b Жыл бұрын
Mimi naomba uniombee mtumishi wa Mungu nasumbuliwa na nguvu za Giza Mimi mwanafunzi wa MUST
@estherwambuies17824 жыл бұрын
Amen Amen
@elizabethjulius6514 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa ujumbe mzuri pastor, ila nina swali kuhusu kinachoitwa udhaifu wa Elia "kumkimbia mwanamke" Swali, tatizo ilikua Jezebel kuwa mwanamke au kwa sababu ya cheo chake?? Je kumkimbia mke wa mfalme kama amekutangazia kukuua na kumkimbia mfalme kwa sababu zilezile ni sawa au sio sawa??
@gladnessmwaipungu17264 жыл бұрын
Ameen
@sophiamachibya98354 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@josephwaitare84634 жыл бұрын
safi san pasta Mmbaga
@stephenmbwambo95214 жыл бұрын
Amen kwa somo
@josephinejob32274 жыл бұрын
Thanks Jesus🙏
@godwinmbwambo73424 жыл бұрын
Barikiwaa pasta.
@rosanacooks2572 жыл бұрын
AMEN!
@NelluKangame10 ай бұрын
Naomba kujazwa na kufurika kwa Roho wako Mtakatifu
@tajielmahega71614 жыл бұрын
Amen
@bonifacebenjamin12174 жыл бұрын
Amen
@phibymakuyu50564 жыл бұрын
Ili tupo wengi kwa kweli
@asooraaasooraa48164 жыл бұрын
Ameen sana
@eugeniamsilikale86873 жыл бұрын
Amina
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Tulishaingia baba tuombee tutoke huko
@lydiahnelima4781 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@mnakobunde3154 жыл бұрын
PR hakika kila cku najifunzaa kwa xomo hili umenifungua macho ya kiroho ubarikiwe xana mtumishi
@esterkitugi15743 жыл бұрын
twakosa nguvu kwa kukosa imani
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@esterkitugi15743 жыл бұрын
twakosa maalifa kwa kuwa na imani haba
@tumainjulius55334 жыл бұрын
Mchungaji kuna Kutu inaitwa Q net nayo ni kukosa maarifa hii imekaaje Mchungaji nsaidie
@nidusabejean4 жыл бұрын
Pr, nina swali. Uliwahi kusema kwamba ukiwa na maoni hupaswi kutangazia wengine, leo unasema ukifanikia katika biashara wambie wenzako nzia ulipopitia, noamba ufafanuzi ktk mkanganyiko huo. Asante.
@rosemutinda30764 жыл бұрын
Kwanza elewa (maono) ni nini.. Hapa umesema (ukisha Barikiwa) kwa hivyo after maono umembarikiwa soo share vyenye ulivyo mbarikiwa na wengine waweze kubarikiwa pia. Yusuf aliunzwa na ndugu zake kwa kuwapa maono yake, soo tafakari hayo
@judyarphaxerd37754 жыл бұрын
Habari kaka Bwana Yesu asifiwe! Ningependa kukuelewesha kulingana na swali ukishafanikiwa katika biashara ni tofauti na ukiwa bado unandoto au maono ya kufanya biashara pliz!! PR yuko sahuhi hajakuchanganya asante ubarikiwe
@nidusabejean4 жыл бұрын
Asante kwa majibu yenu.
@michelinebiira16463 жыл бұрын
Naomba msaada number ya pastor mpaga ya whatsapp
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
+255 755 932 283
@MusaCharles-o9b Жыл бұрын
Mimi naomba uniombee mtumishi wa Mungu nasumbuliwa na nguvu za Giza Mimi mwanafunzi wa MUST