MashaAllah...shaikh ramadhan kuria bin kaguo mungu akuzidishia ilmu na hikma na subra na IKHLASW...na ndugu timothia umeonesha uhusiano mzuri na Mungu akuongoze kwenye haki na uione haki na uifuate haki...amiin
@eusterusaji19203 жыл бұрын
Nakumbuka wakati niliposlim nilisoma Qur an kila cku kutoka fatiha hadi annas nilienjoy kila kisomo, nilifika mahali natabasamu mahali pengine nahuzunika pengine nacheka haswa mpaka naskika mahali pengine nalia kulia hakika katika Qur an nilipata kila kitu. Allah hajaacha jombo lolote nnje kila jambo Amelieleza nilijiambia kua Hakuna kitabu kama Qur an dunia mzima hiki ni kitabu cha kipekee
@SalmanMughal-lq5lt8 ай бұрын
Hakika
@sallybabz13983 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah mjadala mzuri umetulia Allah awatuongoze jamii Islam
@ambbabu41223 жыл бұрын
Mashaa Allah..hicho kilikuwa chanzo lakini mashaa Allah chanzo kizuri sana nawaomba tu ndugu zangu waislam na wakristo tusiwe na maneno ya kejeli kwa walimu wetu sababu kejeli halitatusaidia na lolote tuwaishim na tuwapende wote na tujifunze kupitia kwao walimu wetu. Shukran na kama ntakuwa nimeongea makosa munisamehe Nawatakia kila la kheir
@achanifumos10933 жыл бұрын
Uko sawa ndugu ktk uislam...tupendane kwa ajli ya Allah
@suleimanmumani41803 жыл бұрын
Mashallah, Kazi nzuri Shaikh.
@hassanmpemba57473 жыл бұрын
Masha Allah Allah akukinge na mabaya sheikh wetu
@hellendiana6253 жыл бұрын
Naam!!, very good bro Timmothy, inamjibu sambamba na neno
@allymussa46462 жыл бұрын
Sheikh mungu. Azidi kukuongezea elimu inshallah
@Estherm3093 жыл бұрын
Ogera pastor timothy mungu akujaalie ekima na moyo wa ushujaa
@uuubfyfftyvcf48963 жыл бұрын
Bure kabisa
@prettyaysha78923 жыл бұрын
Maskini weee
@aishawangui66353 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah iingekua kheri kwa sisi sote waislam na wakristo kua na minjadala ya amani kama hawa wapendwa wetu in shaa Allah izidi
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
Mashallah Shekhe Ramadhani Kurya Allah akuweke.
@AminaSauda-p6c Жыл бұрын
Allah akulipe kila kheri shehe weru RAMASHANI KURIA
@makenakendi90143 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
@ukweliwauislamu95903 жыл бұрын
Masha Allah , JazakAllahu kheyran sheikh Ramadhan Kuria ....
@carendeborah56872 жыл бұрын
Kabisa pastor ..yah roho mtakatikifu ndani yako ndo atakuelekeza.Faith with Actions.
@gladysrael33963 жыл бұрын
Wewe kuria unaumwa sana juu ya pastor Ezekiel nautaumwa sana na bdo waislamu wanaogolewa katika jina la yesu kristo
@khalfanikishki26463 жыл бұрын
Matayo 7:22) waovu wanaolitumia jina la Yesu
@kenyan97392 жыл бұрын
We were given power by jesus that's why we cursed demon by his names we dont have to crum arabic words
@HassanAli-eq8ko2 жыл бұрын
Mashaallaah jazakumullah kheir kwa mdala nzr wa amaan kabsa
@maherzain6153 жыл бұрын
MashaAllah.wellcome back sheikh Ramadan kuria
@marianachriss24443 жыл бұрын
YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya Yeye hapana mwingine, tubuni kabla haujachelewa
@muhammadmuhaznun3803 жыл бұрын
Sasa mnatubu nn na mshasamehewa dhambi ...
@alibabaunder18163 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu
@mgenibwanamdogo28263 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka allah sheikh mungu akulipe duniani na kesho akhera inshaallah
@bnussrahlimsantah37303 жыл бұрын
Allahuma Ameen
@khatibuhijja4593 жыл бұрын
Maashaa Allah
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
Masha Allah ❤❤❤
@jumanjenga76823 жыл бұрын
Masha Allah Ustaz.good Job
@prettyaysha78923 жыл бұрын
Waalekumsalam warahmatullah wabarakatuh 🥀
@Di-official973 жыл бұрын
Maashaa Allah shekh Ramadhan Allah akulipe kheri kwa bidii zko
@ngalahamad31482 жыл бұрын
Ma Sha Allah sheikh Ramadhan
@moanamohammed14063 жыл бұрын
Allah akuhifadh sheikh Ramadhan Kuria
@rooseupojuubuanaaarose30113 жыл бұрын
Masha Allah tabarak Allah
@nooroman25353 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah
@muminaroba91223 жыл бұрын
MashaAllah
@dedanngujo88803 жыл бұрын
Jamani wokovu ni gharama!!
@aburaasmedia36823 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH BARIIK awe missed for a while
@yusufathman24783 жыл бұрын
Camera iko poa maa shaa allah
@bnussrahlimsantah37303 жыл бұрын
Mashallah
@saumusanjiama69913 жыл бұрын
Jadhaakallahu kheri
@saumukayaa39793 жыл бұрын
Mashaa.Allah
@sulimankarusi83452 жыл бұрын
Walakum salam Mashallah
@nubianqueen67003 жыл бұрын
Asalam walaykum warahmatulahi wabarakatuh sheikh! JazakAllah khair for your efforts may Allah swt reward you abundantly. I enjoy your channel very much. I would like a copy of that book, I live in Chicago Illinois USA. How should I go about it?
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Wa aleyikum salam warahmatullahi wabarakatuh, kindly text me on WhatsApp +254777600777
@achanifumos10933 жыл бұрын
Amiin
@kingsdaughter20403 жыл бұрын
Kama mtu anaye amini mungu miujiza zipo tena nyingi sana bali kama unatashishwi mungu hawezi utafeli mtihani ya mungu
@carendeborah56872 жыл бұрын
Na kila mtu atauchukuaa mzigo wake mwenyewe,na kila mtu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu siku Ile inakuja.Jiandaye siku hamna aijuayo...
@dedanngujo88803 жыл бұрын
Sheik Ramadani anasumbuka xana na jina la Yesu masihi::
@khalfanikishki26463 жыл бұрын
Matayo 7:22)
@kenyan97392 жыл бұрын
Very true hapati Amani
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Yesu yupi?
@marvelousofzanzibar9556 Жыл бұрын
Miujiza ya uongo ipo sana tu
@shindeznur72903 жыл бұрын
Assalaam aleykum sheikh
@shabanirukundo42723 жыл бұрын
Shukra sheikh wetu kuria kwakitufunza jambo
@mutomubaya2 жыл бұрын
Hawa watu huwa wamepotoka ila hawajitambui. Kuhusu muumba wao hawamjui. Ukiwatajia Allah tazama utaona hawamjui. Kuhusu Mitume wanadai wanamfuata Yesu. Jina hilo pekee lina dalili kwamba mama yake alipomzaa hakumuita Yesu. Allah amemuita Isa bin Mariam. Lakini tazama wanavyosisitiza. Msikitini watu huponywa kwa kusomewa Qur'an. Akiponeshwa mtu msikitini kwa uwezo wa Allah haitangazwi kwamba kuna Sheikh amefanya muujiza. Kuhusu bidii ya kuleta Ukristo je Mwenyezi Mungu alimtuma Mtume yeyote mkristo?
@gladysrael33963 жыл бұрын
Ndio mwalimu wa kikiristo miujiza siko
@apostlesammymutachicfc.37443 жыл бұрын
Kuna dosara nyingi Sana katika haya mafundisho, moja wapo ikiwa, ishara, miujiza na ishara ni vitu viwili tofauti, pili, Muhammad hakupewa kufanya miujiza, yy na waislamu, sio wakristo, katika Kristo ndiko kunamiujiza, Tatu, nifafanulueni miujiza ni nini?
@salimbilali51743 жыл бұрын
Laiti mapastor wote wangekuw Kam uyu bwana BC kusingekuw na upinzani anakaa mrahisi Sana WA kuelew dini ya haki ni gani
@datestimony85682 жыл бұрын
Ile siku huu ijinga wa kuchanganua dini utaachwa na waislamu basi dunia itakua mahali pazuri sana
@grdcgv7ufdwdfghh6333 жыл бұрын
Waislamu,wakrsto ifikapo siku ya kiama kila mmoja ataesabiwa matendo yake kwa wakati wake asiyefanya mwiujiza na afanyaye kwa hivo mwiujiza hipo lkn andiko tulipewa buru tutoe bure mwenye hekima na asome maandiko vixuri na ataelewa
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Muisilam atahesabiwa lkn mkiristo na mshirikina wao hawana hesabu, watakwenda motoni moja kwa moja na hawatotoka mana waliabudu kisichofaa kuabudiwa.
@tbwoy2163 жыл бұрын
Wamekuja kwa jina LA YESU ... hawajatumwa na YESU...YESU hawajui....
@carendeborah56872 жыл бұрын
Prayer cloth (Acts 19;11_12)huyu ni pastor wa wapi sasa
@casaica29933 жыл бұрын
Mna waganga na wachawi
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Waganga wapo kila pahala. Isitoshe nyinyi mnampaka wachungaji wapumbavu, wasagaji na mabasha.
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Hao wachungaji wote wachawi wakubwa kazi kukulisheni maji ya ukeni tu mdumu kumkufuru Allah/Mungu
Sasa ostaz unataka utumie jina la Yesu Kristo msikitini ambapo hamkubaliani na nguvu za Kristo ili uone nguvu za Yesu Kristo lazima umkili Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wako.
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Katika Isaya 43 Mwenyezi Mungu anasema hapana mwokozi zaidi yake
@maherzain6153 жыл бұрын
Yesu alisujudu na waislamu wanasujudu ss nyie munakubaliana na nguvu za yesu mbna hamusujudu kanisani kama yesu? Nyie wafuasi wa Paulo sio yesu
@dedanngujo88803 жыл бұрын
Muujipa wakupaa mbinguni sio muujiz hata wachawi wanapaa mbinguni xana nakurudi makwao::
@josephmusagasa55663 жыл бұрын
Wachawi hawapai kwenda mbinguni,wao hupaa kwenda angani siyo mbinguni. Yesu alipaa kwenda mbinguni siyo angani
@alibabaunder18163 жыл бұрын
Sheikh ramadhani mm naitwa Ali mkaaji wa mombasa County mtaa wa bombolulu,,,,,nakuomba Sheikh wangu number yako nko na matatizo kidogo
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
0777600777
@shabanirukundo42723 жыл бұрын
Tymoteo nimuelewa Ila hatakitu uislam
@apostlesammymutachicfc.37443 жыл бұрын
Nashukuru kwakuwa Mwalimu Ramadhan amesema na kunukuu kuwa Muhammad hakupewa kufanya miujiza, tena eti, Muhammad kafanyaiujiza, kumaanisha Muhammad kaenda kinyume na Qur'an. Ni nini anatuambia?
@consolatandanu32642 жыл бұрын
Heri huyo atumia muijiza kuliko kuchomeka na moto ,,,Mimi nitaeda katika enzini
@dedanngujo88803 жыл бұрын
Wacheni waisilamu watafute miujiza kwa ajili za nafsi zao: wengi wanatafuta tiba kwa masheik na masheik wamefeli kufanya tiba kamili:
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Kwani nani kamzuia muisilam kujiombea mwenyewe??? Na masheikh hawakufeli ila kila jambo lazma lipitishwe na Allah na sio sheikh, Pasta, wala Padre! Hata Nabii Issa a.s /Yesu aliyoyafanikisha yote alimuomba Allah na akayapitisha na ndio yakawa. Sasa sheikh ni nani hata afanikishe kila kitu??? Na ukija kwenye masuala ya wakiristo hakuna miujiza wafanyao itokayo kwa Allah/Mungu. Mana wote ni washirikina na wanakwenda kinyume na Allah.
@shamimnassor61923 жыл бұрын
Maombi kila moja anaweza kujiombea mwenyewe tatizo nyinyi wakristo hamuamini kitu bila wachungaji mm nikipatwa tatizo maombi najifanyia mwenyewe sio lazima shekhe hao wachungaji wenu wenyewe washirikina wengi wao wamekamatwa na wamekiri kutumia nguvu za giza
@marcbanyankirubusa1353 жыл бұрын
Ramhadani umepatana na mwalimu si vile ulienda mitaani kusilimisha watu wasiojua maandiko.
@uuubfyfftyvcf48963 жыл бұрын
Mwalimu gani Huyu kapotea
@ramadhanjuma6103 жыл бұрын
Ww una unajua mandiko
@ramadhanjuma6103 жыл бұрын
@@uuubfyfftyvcf4896 🤣alo potea nani
@uuubfyfftyvcf48963 жыл бұрын
@@ramadhanjuma610 Alo potea ni pastor
@saidmzee25542 жыл бұрын
Kwanza huyu Hana sifa ya ualimu kabsa afundishwe kafiri huyu anodanganya wenziwe
@maureenmasoni12763 жыл бұрын
Jipeni shughuli muache umbea
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Mbea ni wewe ulie ingilia jambo lisilo kuhusu, fuata wanao kudanganya kwa miujiza wanao taka utajiri kwa mali za watu wanazo itisha wakisema ni sadaka lakini mshirika akitaka kazi ama utajiri anamuombea
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
@Mithika Precious Labda anayefaa kujielewa kwanza ni wewe uliyejawa na giza la shetani machoni mwako ndio usielewe kati ya uongo na ukweli
@maherzain6153 жыл бұрын
Kuna shughuli zaidi ya maneno ya mungu? shetani mkubwa ww unaechukia maneno ya mungu
@prettyaysha78923 жыл бұрын
Kwani unatesekea ukiwa maeneo yapi dada ? Usitufokee
@maureenmasoni12763 жыл бұрын
@@maherzain615 Shetani ni wewe. No wonder you cant trust what God is doing through his servant. May you not have peace until Jesus Christ comes to your life
@triuneapologeticsevangelis59123 жыл бұрын
Ramadhan,nani alimuona Mohammad akipaa na kurudi,kupasuka kwa mwezi nilikua eclipse tuu...hohoho danganya Toto @Ramadhan bin muongo kaguo
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Na nani alimuona Yesu akienda kujaribiwa?
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Nani alimuona yesu akienda kujaribiwa na shetani?
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
@UCBZCTLMVI-jmaX2GhlaqAbg Mtume Muhammad Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake aliwaambie maswahaba zake na ndio maana ujumbe ukatufikia sisi. Kwanza yesu arudishe punda alie muiba
@maherzain6153 жыл бұрын
Hakuna aliemuona. we ulimuona yesu akisulubiwa?
@dedanngujo88803 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 kwa hiyo wewe mwangi je unatushuhudis kuwa Yesu masihi alikuwa masihi?
@manenoagrey15193 жыл бұрын
Mpaka sasa dunia ipo mfumo kristo hivyo utawala wa Yesu bado hizi ni zama zama za yesu
@shepherd1x842 ай бұрын
Watu wa majinni wanaleta hoja hii na kusudi mbaya tu!
@samutykuntathebantu84023 жыл бұрын
Sheikh ameuliza hivi mathayo 12:38 kwamba Yesu hakuja kupeana inshara kwa kizazi hiki kwani ishara ya yonah kukaa tumboni mwa samaki siku tatu vilevile Yesu atakavyo kaa chini ya ardhi siku tatu ni ishara thabithi mbona unafikii kunukuu bibliana na hauamini Yesu kafaa siku tatu ardhini. Kafiri kweli waislmu
@shamimnassor61923 жыл бұрын
Kafiri ni wale wanaoabudu miungu mitatu baba mwana na roho mtakatifu kafiri mkubwa wee
@dhakomodherooherokoko60373 жыл бұрын
Uisilamu ni dini ya uongo
@carendeborah56872 жыл бұрын
Huyu mtu Yuko na wivu..mwataka Mungu awasaidie nanyi hamtaki kumtolea shukrani zake Wala sacrifice...hehe hata Abraham alitoa sacrifice woyee...someni bible(Acts 19;11_12)Pastor prayer cloth utapata hapo soma bibilia pia wewe acha ubwagizo
@catherineshatuma7662 жыл бұрын
Ni wangapi uenda kwa waganga na mmenyamaza, go to those withdocctors muwafundishe dini kwanza
@alexissangali86502 жыл бұрын
MIUJIZA NI KWELI NA HAKIKA(kzbin.info/www/bejne/a6KblXSkabx2Zsk)
@naimaabuualii5783 жыл бұрын
Nimesheka Quran ni miujiza pastor hata ss tunamini bibilia ni miujiza 😂😂
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Qur-an ni miujiza tosha mana tokea ishuke haijabadilika, inahifadhika kwenye nyoyo za waumini na utakapokwenda utakuta Qur-an ni ile ile. Lkn bible hakuna aliyehifadhi hata karatasi 20 kwa mtiririko, na kila siku inabadilika na kila nchi inabible yake.
@al_huda_theguidance50343 жыл бұрын
Qu'ran ni muujiza kwa sababu iko kwa lugha yake hasili na inaambatana kwa kila tafsir ya lugha yoyote... Swali ni jee, mbona yesu alizungumza Aramaic na hakuna bibilia ya lugha ya yesu?
@samutykuntathebantu84023 жыл бұрын
We unashida water ni maji neno la Mungu kwa kwa lugha yoyote ni ileile
@al_huda_theguidance50343 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 sijakataa, but atleast utaona kumeandikwa water ndio utajua ni maji, Sasa usipoona Hilo Jina water, utajuaje ni maji
@samutykuntathebantu84023 жыл бұрын
@@al_huda_theguidance5034 haujielewi Mungu sio mwarabu.
@andallaathman38563 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 jina mungu ni sifa hebu Tia Akili hivi nikuulize Uhuru kinyatta jina lake ni Raisi ama ni Uhuru ? Kwahio jina mungu WA dunia mzima ni ALLAH jina lake halibadili utakapo enda ni China ni Ghana ni uzunguni ni Kenya itabaki ALLAH Kwa sababu ya mungu kajiita jina Hilo ni hii kwamba jina la mungu inaitwa watu tafauti na vitu tafauti Leo kuna watu waabudu jua kwahioo wnasema jua mungu ww wasema mwanadamu yesu mungu masanamu wahindi wabaniani waita mungu ngombe wanipal ngombe Kwao mungu wachina wale wnaabudu tattoo waniita mungu BT ALLAH ni mmoja tuu na hakuna hata mmoja anaeitwa ALLAH kwahio hata yesu na Musa walikua wanajua kua ni ALLAH ww mbona wapinga
@andallaathman38563 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 kwahio Kwa Hilo jina lakiarabu ndio limekutatiza ww tuuu sasa tukufuate ww akili yako kwahio mungu ni mwanaume ,kisha ni muyahudi sio anaongea hebru ama ?
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Huyu mbona kama alikuwa muislamu.. hawa ndio watu hatari wapotoshaji
@bettywataka1753 жыл бұрын
Nauliza mukhamed alifufuka amaa
@muhammadmuhaznun3803 жыл бұрын
Afufuke ili iweje ukifa ushakufa...SS hatumuabudu Muhammad tunamuabudu Mungu
@datestimony85682 жыл бұрын
Ndugu zangu huu mjadala wa kulinganisha dini tangu uanzishe umerekebisha kipi kikubwa? Mbona msitumie muda kuombea nchi na ulimwengu kwa ujumla Mungu atunusuru na majanga mbali mbali. Hivi ni subscribers watafuta ama ni nini
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
sisi tunawazindua watu akili zao sasa wewe tusaidie kuiombea nchi kwa upande wako na pia ukipata hao subscribers uniletee, shukran
@davidmaithya5743 жыл бұрын
Ninyi wawili ni mmekuja baada ya nabii issa kwa hivyo ni makristo wa uongo shida yenu ni pastor Ezekiel tena Koran na biblia asiwesi kuendanisha
@saidmzee25542 жыл бұрын
Shekh ramadhan mueleweshe kafiri uyo aki peke yake anaongea ujinga tu
@carendeborah56872 жыл бұрын
Sasa yakuhusu nini,acha kila mtu afate nafsi yake.
Kwani nyinyi kanisani mwafanya bure hizo sadaka mnakula zann mbona kondoo wakitoa sadaka ndogo munawafokea?
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Hebu mwambie atusomee kwa ghibu angalau karatasi 20+ kwa mtiririko km kweli bible ni miujiza. Mana Qur-an watu wengi wameihifadhi juzuu 30.
@faridsaid91803 жыл бұрын
Huyu ni yule walikuwa na marhem aliyerudi katika uislam
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Hapana
@uuubfyfftyvcf48963 жыл бұрын
Uwongo
@casaica29933 жыл бұрын
Kuria umeulizwa miujiza ambayo Mohammad alifanya ww bado unakodoa macho yako kubwa hapo... Wajua Hakuna ata moja Mohammad akafanya
@khalfanikishki26463 жыл бұрын
Sahihi Bukhari no 3637) Sahihi Muslimu no 2800) miujiza ya Muhammad.
@jamalathman62193 жыл бұрын
Huyo pastor timothy ni muongo kila mtu yualala akiamka mwenyewe huo c miujiza to a miujiza ya kueleweka
@casaica29933 жыл бұрын
MUISLAMU ANA AKILI ZAKE TIMAMU ATAJUA KWELI UISLAMU NI UONGO😂😂😂 ETI MOHAMMAD ALITEMBEA HIYO NI MUUJIZA...MIMI PIA NATEMBEA HIYO NI MIUJIZA
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Ww ndie huna akili unaeabudu kinachokunya, kula na kulala km ww. Isitoshe umepata kuona wapi Mungu akafa kwa dhambi zako? Si akusamehe tu mpaka afe akuache ww aliyekuumba kwanza???
@yusufebrahim32573 жыл бұрын
Usilolijua ni kama usiku wa giza
@gladysrael33963 жыл бұрын
Sasa wewe kuria qorani na blbllia ni gani ya Kwanza tena MUNGU ndie aliongea juu ya lsilaeri wewe na Muhammad wako potesea
@khalfanikishki26463 жыл бұрын
Bibilia kitabu cha wazungu.
@gladysrael33963 жыл бұрын
Wacha kudanganya wtu kuria huyo ni mtu wa majini
@gettyjusa33523 жыл бұрын
😁😁😁😁
@joshuagikonyo72473 жыл бұрын
Timothy Wacha uongo.kila kitu kina bei.ata mafuta yaliyo OSHA yesu miguu kabla ya kusurubishwa yalikua ya bei.swali.nani shahidi kwa miujiza ya mtume?