WIN 20190506 12 18 43 Pro

  Рет қаралды 15,455

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 5 жыл бұрын
Huyo mwanadada ameuliza swali nzuri sana mbna hiyo aya huwa mnaivunja kivipi
@abcdg1995
@abcdg1995 4 жыл бұрын
Praise God Teacher Francis Ndasha MAY GOD Almighty bless you beyond repair
@Alichadeh
@Alichadeh 5 жыл бұрын
Mungu Awabariki Mwalimu Ndacha na Onyango, tunu mtapata
@mussajoshua1261
@mussajoshua1261 5 жыл бұрын
Rev.ndasha Mungu awenawe daima
@جانيتكينيا
@جانيتكينيا 5 жыл бұрын
Ninawapata kabisa Mungu awabariki
@emmanuelcantozy7156
@emmanuelcantozy7156 3 жыл бұрын
Karibu mtwapa mchungaji
@abcdg1995
@abcdg1995 4 жыл бұрын
If you believe in God he will never let your feets slips to fall he will hold your hand..Praise God Teacher Francis Ndasha can somebody say kachaaa
@adalbertkatabaro153
@adalbertkatabaro153 3 жыл бұрын
Hahahahahaha you make me laugh
@adalbertkatabaro153
@adalbertkatabaro153 3 жыл бұрын
Kachaaaa....
@juliuswaitathu8995
@juliuswaitathu8995 2 жыл бұрын
Joshua 6:14-15,,Wana wa Israeli walizunguka siku sita na siku ya Saba mji wa Jericho....swali ni siku gani walipumzika ya sabato???????
@GilesKhamis
@GilesKhamis Жыл бұрын
Bado hujui kwamba sabato jmamosii????
@michaelsyuma3860
@michaelsyuma3860 Жыл бұрын
Watching reply from Mombasa 001 County
@shishshikoh4979
@shishshikoh4979 5 жыл бұрын
Good Job Ndacha
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 5 жыл бұрын
Ndacha acha kudanganya huyo mwanadada, sema tu huna elimu, mbna hizo ngoma mnaweka kwa kanisa, na mbna hamfunikangi vichwa vyenu? Wapi andiko linasema mwanamke aubiri acha uongo ndacha, unafuata Paulo na alipeana wakristo kwa shetani ili amfunze nyie mshindwe
@abcdg1995
@abcdg1995 4 жыл бұрын
We shall go on with spreading the good news about Christ massage by every means available ..in God we trust
@simeonnyamwaya8407
@simeonnyamwaya8407 Жыл бұрын
Hatari sana
@simonnzuki8884
@simonnzuki8884 2 жыл бұрын
You guys I like your questions
@janekwahada580
@janekwahada580 5 жыл бұрын
Mungu hakuweka Sunday, lakini Bible inasema fanya kazi siku 6 siku ya 7 ni siku ya bwana. Pia Mungu alisema katika vihongozi wa duniyani mimi ndiyo niliwachanguwa muwasikiye kama taiffa la Kanye sarikali imetie siku ya bwana waka weka siku za kazi ni sita siku ya 7 sarikali ikaweka siku ya bwana. Na Mungu aliamuru tuwasikiza na siku hiyo ndiyo watu wote wakaona siku ya wotu wote kuambudu ni Sunday so tunateda yele MUNGU alisema siku 6 fanye kazi siku 7 kupumusika hatufanye hivyo.
@amaniurio1657
@amaniurio1657 4 жыл бұрын
Na mm hapo ndo na shanga maana mwenyewe wanasema siku 6 za kaz siku ya 7 ndo ya ibada ss iyo siku ya Saba inaitwa he maana yy anasema n .jumamoc jumamoc n siku ya Saba mm najua sanday ndo siku ya 7ii
@janenjenga5639
@janenjenga5639 5 жыл бұрын
Sema kabisa.nautuletee mjandala na wawakurino.
@juliuswaitathu8995
@juliuswaitathu8995 2 жыл бұрын
Ndacha nimeanza kuwa na Shaka na ww. Kwa nn Ezekiel 21:26 God was speaking to the king ndio maana aliqwa ananiambiaatoe taji: (2)Malaika akaamurishwa amvarishe Joshua kilemba zekaria 3:5. (3)1timothy 2:8,,,,,,wanawake wanyamaze.swali tukuskie ama tuskie Paul?????u are good pastor bt don't convince our mind bro
@janekwahada580
@janekwahada580 5 жыл бұрын
My brother yote unayo neno ni mandiko ya kweli ya Mungu natena unabiri ndani ya Bible. Yangu sipingi neno lolote katika hayo, lakini nikunungunika kwa ajili wote tunataka kumuona Mungu ama kuingia katika ufalume wa MUNGU. Langu ni hili katika warumi 13:1-9,Serekali yetu ya kenya ama Africa yote wametii amari ya Mungu siku 6 fanye kazi siku ya 7 usifanye kazi, mimi langu ni hii siku ya bwana YESU Christo ni kutoka morning to evening na ni muchana si usiku juu Mungu alijuwa muchana ndiyo mtu anafanya kazi na ndiyo masaa yeye anasema usifanye kazi siku hiyo. Jumamosi sarikali ndiyo imewaka siku ya 6 jumapili ndiyo siku ya 7 so huyu dakitari, mwanye kufanya bank, watu wote wanafanye kazi ya Serekali wasiende kuambudu? Wewe tayari unawafungiye watu wengine kuambudu juu jumamosi wako kazi. Siku ya jumapili Serekali mbele za Mungu hawana kosa, siku 6 fanye siku ya 7 kupumusika sasa huyu wa jumamosi kakumbali kuwazuhiya watu wengine kuambudu lakini kamuruhusu akaa kwa nyumba asifanye kazi apumusika lakini si siku ya Mungu. Tusitazame siku ni siku ngani mbali tutazame hakika siku ya 7 unafanye yele MUNGU kasema katika Bible kwa sababu Bible inasema muji wa Bwana utajulikana kwa mataifa ni kumbukumbu la torati
@saitotisapiyo7167
@saitotisapiyo7167 5 жыл бұрын
Hahaha siku ya sabato jumamosi usi fanye kazi yeyote soma bibilia vizuri. Iyo serekali una sema ina fanya kinyume na bibilia. Sunday vile yesu Ali fufuka Ali patana na wawili wa wanafunzi wake waki enda shamba so Sunday si siku ya sabato. Tena Friday jione una pumzika hadi asubuhi soma luke 23:52-53-53
@janekwahada580
@janekwahada580 5 жыл бұрын
@@saitotisapiyo7167 my question is all want to see God those who work in government want will they do.
@saitotisapiyo7167
@saitotisapiyo7167 5 жыл бұрын
@@janekwahada580 God will judge them ndo manake una ambiwa si kila mtu ata uwona ufalme wa Mungu myb ata ni mtu mumoja ata ingia so bibilia ndo una fwata zaidi ju ndo njia yako sikila kitu una fwata ya serekali
@janekwahada580
@janekwahada580 5 жыл бұрын
@@saitotisapiyo7167 so we close to others doors, kwa sababu siyo wote watakao ingiya ufalume wa MUNGU. Wakolosai 2:16-20.ikawa wewe wasabato umeshika siku ya sabato ndiyo lakini huya tendi mampanzi ya MUNGU huyu wa jumapili kwa sababu ya sabato lakini anayatenda yote Mapenzi ya nani atauona uafalume wake?
@janekwahada580
@janekwahada580 5 жыл бұрын
Hapa MUNGU alisema siku ya sabato but katika hapo akasema hivi, wala wako, wala binti yako, wala Mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. Na hili andiko Warumi 13:1-4,12:17-21 .mimi niko katika country isiyoo mujuwa YESU Christo hakuna kanisa na kukuwa nataka kumfuta YESU Christo na katika andiko nimekupa kutoka 20:10.
@abcdg1995
@abcdg1995 4 жыл бұрын
@ Ribabababababa Shikayamamasuka Likayamamamusuka Rikayabobobobobo Somebody say kachaaa Praise Teacher Francis Ndasha please spr my ribs BRO kudos Ribabababababa katarobobosaya kaliambalisukumandaniyakabati somebody say kachaaa Praise
@janetkahada5206
@janetkahada5206 5 жыл бұрын
Hata jumamosi Mungu hakuweka Sabato imetokana nano saba, kutoka 2:2. Hata Bible hakuna neno jumamosi.
@janetkahada5206
@janetkahada5206 5 жыл бұрын
@@قاسمابنماءالسماء alikuwa nani kama uwesilamu Muhammad Ndiye ameanzisha hajuwi kusoma wala kuandika, hakujuwa imani nini, you don't think before you talk. Qur'una inasema ulizani wale walikuweko kambla ya nyinyi, qur'una yanyewe so who are you to listen to you out work is to take you more full. Because you want to force all properties to be musilim and the Quran tells you go back to those who where they before you.
@janetkahada5206
@janetkahada5206 5 жыл бұрын
@@قاسمابنماءالسماء to take with you is to West my data
@janetkahada5206
@janetkahada5206 5 жыл бұрын
@@قاسمابنماءالسماء which gospel are we preaching kama unakata maandiko ya mwenyezi MUNGU, kama ni gospel neno lolote katika Bible ungesimama kinyume nayo. Hata Tito amekusema.
@janetkahada5206
@janetkahada5206 5 жыл бұрын
@@قاسمابنماءالسماء kama unajuwa YESU alifunza kwa upole na unyenyekevu mbona unapingana yale yy alifunza kuuliza maswali hayana musingi na unajuwa ukweli. So you do what you know about and asking the things you understand. The Bible says if you do what you know you will not forgive. May God forgive you. That's why I say Tito knows you very well, ndiyo that why I see l be far to person like you.
Injili karioko Nairobi  | Biblia nuru ya Dunia
1:41:55
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 11 М.
NTV Kenya Live | June 2024
1:06:02
NTV Kenya
Рет қаралды 66 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Generals Arrested / Scandal in Military Command
12:47
NEXTA Live
Рет қаралды 954 М.
YESU MRASTA AJITOKEZA KENDU BAY
1:02:14
Straight Path Dawah
Рет қаралды 6 М.
TV SATURDAY | BIBLIA NURU YA DUNIA | PART 2
2:42:28
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 12 М.
wandahuhu na ihii ciake kunanga andû baru kandara
12:57
IHII CIA WADAHUHU OFFICIAL
Рет қаралды 272 М.
kisumu lazima kieleweke hatubaduki!!
1:39:03
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 6 М.
WELCOME  TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA
1:13:34
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 29 М.
Mjini kisii
1:35:14
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 11 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН