Pole sana mungu ampe nguvu huyo mzee,hii dunia sisi sote niwapita njia maana hapa duniani nikilio tupu mbinguni ndiko kuna furaha mungu atuongoze jamani
@wowclipskanairokenya24065 күн бұрын
Ndacha God bless you man of God.Through you nikajua kuhusu utatu.May God help me to be a better Christian and live according to God's will 100%