MCHUNGAJI FEKI AANZA KUWASHAMBULIA WAISLAMU

  Рет қаралды 4,921

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 159
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 9 күн бұрын
Masha Allah sheikh mwaipopo anaumia kwa sababu sadaka zinamtoka na yeye ishallah iko siku atajuwa ukweli
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 8 күн бұрын
Asante bwana sheikh wetu wabane mbavu hao nachuki zao.na watazidi kuchukiya tu sababu niwengi tu sana wataitoka ukristu waje kwenye dini ya haki kwa hiyo pole yawo.
@FelixMurishi
@FelixMurishi 9 күн бұрын
Wewe ni mganga wa kienyeji,huna lolote,wadanganye hao hao makafili wenzenu 😊😊
@fahadmsophe9192
@fahadmsophe9192 9 күн бұрын
Sasa umefata nin kwenye channel ya mganga, nenda kwa wachungaji wako ukachungwe vizuri.
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 8 күн бұрын
Sasa kama ni mganga haumuachi na ugangawake?ni kipaji hicho kapewa na mungu.
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 8 күн бұрын
Wewe chakwako siuko unakitumikisha kanisani kutabiriya watu nakuwaombeya Kisha unajigeuza kama yesu unadanganya Watu eti nu mungu ndo kaja kutabiri nakuponya Watu .
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 8 күн бұрын
Acheni kupoteza watu kwakutumiya uganga uyoo si uganga mnafanya na nyiye? Kisha mnapitisha kwenye jina la yesu il mooteza Watu.
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 8 күн бұрын
Kwani Uganga wa Kienyeji Ukiwa unafuata Mafundisho na Matendo Halali yanayoridhiwa na MwenyeziMungu ni Kharamu? Mfano; Ukichuma Majani ya Mpera na Ukachemsha Ukanywa Kwa Kutaja Jina la Allah Kutibu Maradhi yanayotubiwa na Majani ya Mpera ni Kharamu. Uganga wa Kienyeji si Kharamu Bali Kharamu/Dhambi Uganga wa Kushirikiana hata Kama utafanywa na Muislamu/Mkristo, Mzungu/Mwafrika nk Na kwanza Uislamu na Muislamu Safi/Muumini wa Kweli hawezi Kufanya Uganga wa Kushirikiana (Kutibu/Kutibiwa) 🙌
@OthamanOmar
@OthamanOmar 10 күн бұрын
Hongera shekhe mwaipopo kumjibu hiyo hasidic mwankemwa.
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 9 күн бұрын
Huyu nae ndie mwingine hajielewi ajibu hoja acha kukuepa
@adammjomba5814
@adammjomba5814 10 күн бұрын
HAKUNA mchungaji hapo ni muongo chungaji anachunga kondoo zake na WEWE mwaipopo jifunze kitu Apo Huyo jamaa sio mchungaji Lakini kama amesilimu ni sawa ni chaguo lake is up to you
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 9 күн бұрын
Shekh Mwaipopo Allah akuhufadhi na akupe umri mrefu Ni kweli Daniel n CHUKI KUBWA SANA MOYON MWAKE JUU YA UISLAM NA WAISLAM .
@mobutu3884
@mobutu3884 9 күн бұрын
Kwa hiyo mwaipopo yeye sio chuki kwa wakristo na hivyo vichwa vya habari anavyowekaga? Au ndio ile nyani haoni .... 😂😂
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 7 күн бұрын
Chuki anayo huyo Daniel kachukia huyo Dominic kusilimu ndio akaanza kuropoka
@mobutu3884
@mobutu3884 7 күн бұрын
@@maymunamakungu6265 kwa hiyo hujawahi ona humu mwaipopo akiweka video ya walioretad na kuanza kuwasema? Au wewe ni mgeni humu 😂, yaleyale nyani haoni....... nyie tumewazoea mtu akiukosoa uislamu basi ana chuki ila kila siku walimu wenu wanauongelea ukristo mpaka misikitini kina mazinge wakipewa nafasi lazima waugusie ukristo ila huwa hamuoni na husikii wakristo wakisema ni chuki ila mkikoselewa tu nyie basi inakuwa chuki 😂, mkiambiwa ukweli mnaita chuki, shame on you.
@MsumariMdoe-th8gm
@MsumariMdoe-th8gm 9 күн бұрын
Shekh wetu tunakupenda sana
@MathayoCharles-z2u
@MathayoCharles-z2u 9 күн бұрын
Sisi mungu wetu alisema atutakua mikia na wew unajionea mungu wetu alivyo mkwer acha kulalama,
@pastoremanuelnicodemus8648
@pastoremanuelnicodemus8648 2 күн бұрын
Yesu ni Mungu Hana Mpinzani
@MustafaKarama-k3q
@MustafaKarama-k3q 9 күн бұрын
Sheikh tunaekuekupenda kwa ukweli wako Shukran
@samweli7985
@samweli7985 9 күн бұрын
Mwaipp, sema uliongoza kanisa lipi? Mbona unayumba kwenye kulitaja kanisa? Likowapi hilo kanisa ulilo liongoza
@adammjomba5814
@adammjomba5814 10 күн бұрын
Shida kubwa shekhe mwaipopo huweki wazi bei zako angalau weka bei hata isiwe wazi sana Lakini kiufupi toa price please shekhe
@paulmushi2428
@paulmushi2428 9 күн бұрын
Hata kusujudu kuelekea Makka kwenye Kaaba yenye JIWE JEUSI huku ukidhani unamsujudia Mwenyezi Mungu huo pia ni ujinga yaani umedanganyika
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 9 күн бұрын
kbs umenena kweli
@AdanHumbe-os8dg
@AdanHumbe-os8dg 8 күн бұрын
Yesu amezaliwa na dada yake yohana na ana wadogo zake kwako ni Mungu sio ujinga huo?
@AdanHumbe-os8dg
@AdanHumbe-os8dg 8 күн бұрын
Yesu amezaliwa na dada yake yohana na ana wadogo zake kwako ni Mungu sio ujinga huo?
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 14 сағат бұрын
Kwa hio kuchonga masanamu kwa mkono wako mwenyewe alafu ukayaweka kanisanu ukaiita miungu huo nao ni uwerevu?
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 13 сағат бұрын
@janerouhassanjanerou7933 mbona masjid zote duniani zimejaa mwezi na nyota juu izo si sanamu?kama kuna watu wajinga kwa mambo ya Mungu ni waislamu!
@charlesmapunda-g5l
@charlesmapunda-g5l Күн бұрын
Yesu ni Mungu kila goti litapigwa mbele yake anaepinga Yesu ni Mungu huyo ni mpinga Kristo na nimfuasi wa Shetani.
@priencedamdoek508
@priencedamdoek508 9 күн бұрын
Jibu hoja mwaipopo acha maneno mengi jibu hoja😂
@rasgwandumikaisi7489
@rasgwandumikaisi7489 9 күн бұрын
..hana jibu 😁
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 7 күн бұрын
Ukiwa na fikra mgando hutolisikia jawabu la mwaipopo. Mwaipopo anajibu point wise
@daudimichael7338
@daudimichael7338 9 күн бұрын
Mchungaji feki mwenzio, wewe wenyewe uliwahi danganya kwamba ulikuwa mchungaji wakati siyo kweli😂😂😂😂
@JohnBenedict123
@JohnBenedict123 8 күн бұрын
Waislamu si wajinga, yaani huwa wanadanganywa mchana kweupee na bado hawatambui
@ShedrackKisumbe
@ShedrackKisumbe 9 күн бұрын
Ahsante mchungaji wetu
@martinmkoba361
@martinmkoba361 9 күн бұрын
Alisema wajinga kwakua mnatapeliwa sababu mtu kasema yeye mchungaji.basi mkafurahi nchi nzima.ila imekuuma sana mpaka umejitokeza😂😂😂😂
@triuneapologeticsevangelis5912
@triuneapologeticsevangelis5912 6 күн бұрын
😂😂😂😂wewe mnafiki wa kawaida
@ChristianMahanga
@ChristianMahanga 9 күн бұрын
Wewe c ndo ulimdhalilisha shekhe wa mkoa wa kwanza. Ukadhalilika wewe? Wewe huna hekima ni mlopokaji tu
@robertphilip385
@robertphilip385 9 күн бұрын
Tuambie Sasa ulikua mchungaji wa wp naulisomea wapi na ulipewa uchungaji na nanani ? Tapeli mkubwa umejaza majini kichwani
@samweli7985
@samweli7985 9 күн бұрын
Ulikuwa mchungaji wakanisa gani? Sema ulikuwa mchungaji wakanisa gani
@priencedamdoek508
@priencedamdoek508 9 күн бұрын
Mwaipopo mbona haujibu hoja za mchungaji Daniel? Hoja za Daniel ni wewe haukuwa mchungaji, nani alikupa uchungaji?
@AdanHumbe-os8dg
@AdanHumbe-os8dg 8 күн бұрын
Prience mwambie mchungaji Danieli aje na Dominic studio akane hajasilim tofauti atakuwa na hapo amewadanganya na kuwafanya nyie ndo wajinga
@priencedamdoek508
@priencedamdoek508 8 күн бұрын
@@AdanHumbe-os8dg Kwanza weka sawa, Daniel siyo mcjungaji yeye ni Mwalimu. Kuhusu hilo Mwalimu Daniel ameshalisema, kuwa wanaweka utaratibu mzuri wa kuwa live na Dominic na sisi tutapata nafasi ya kimhoji .
@FadhiliMakasi-g5m
@FadhiliMakasi-g5m 9 күн бұрын
Huyu Akili hana.Mwaipopo Usipoteze muda wako kubishana na mwakemwa Anawenge kidogo
@nzigamasabojohn430
@nzigamasabojohn430 8 күн бұрын
FPCT maana yake ni Free Pentecost Church of Tanzania na siyo ( Free Pentecost Swedish of Tanzania).
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 9 күн бұрын
Waislamu ni wajinga kwa sababu wanapenda uwongo kisha wanafurahia na kusifu huwo uwongo,chanukeni enyi makafiri waislamu
@flm1530
@flm1530 9 күн бұрын
Inatakiw MUNGU ajitetee sio sisi kumtetea MUNGU tofaut ndo ipo hapo
@Melimeli7719
@Melimeli7719 9 күн бұрын
Ila Wazungu na Waarabu walituvuluga sana. Yaani tumekuwa watumwa mpaka fikla zetu. Yaani Mimi najiulizaga kaswali haka, hivi Kama Waafrika tungekuwa wakwanza kwenda Bara la Ulaya na Arabuni huko, tungepeleka Dini gani? Hebu mnisaidie jamani, manaake khaaa!!!
@Masotastv1389
@Masotastv1389 7 күн бұрын
Ulikuwa Mchungaji wa Kanisa gani ?
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 9 күн бұрын
Nakuonea huruma wewe mwaipopo usipo rudi kwa yesu na utubu jehanamu inakukodolea macho,pastor feki dominic alirudi kwa yesu akatubu mungu amemsamehe,nakuombea kwa mungu akurudishe kwa njia ya haki ya yesu
@AbasHabimana
@AbasHabimana 9 күн бұрын
Ww ndio wakuonewa huruma kwa sababu umepptea Maipopo kua Mwislam Roho inakuuma utakufa na presha kafiri mkubwa ww Sheikh Maipopo tunamkubali sana kishaacha ujinga hivi ni Mwislam
@AdanHumbe-os8dg
@AdanHumbe-os8dg 8 күн бұрын
Alisilimu Dominic live anarudi kwenye ukristo kupitia meseji za mwankema studio tafakari na wewe huo ni ujinga shituka wewee
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 9 күн бұрын
Mmh, mmh, FPCT ni FREE PENTECOST CHURCH TANZANIA siyo FREE PENTECOST SWEEDISH TANZANIA kama unavyodai sheikh.
@binseif2216
@binseif2216 9 күн бұрын
Mchungaji Daniel asiposilimu na akaendelea kupotosha watu bas angoje adhabu kali kutoka kwa Muumba
@alexmukama3801
@alexmukama3801 9 күн бұрын
Jomana wanasema nawewe aukukuwa mjugashi kabisa
@charlesmapunda-g5l
@charlesmapunda-g5l Күн бұрын
Yaani ungetafuta Quran ufundishe Waislam wenzako hicho unacho kitetea juu ya Dominic na Uislam wako ni kujichoresha.
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 9 күн бұрын
Sikia maneno yake kwahiyo nawewe mwaipopo unajua roho wakweli nimuhamadi kweli? Roho anaoa roho ana kula roho anapiga bakora watu roho anaoa wake tisa roho anakufa acheni ujinga waisilam.
@samweli7985
@samweli7985 9 күн бұрын
Mwaipopo waislam, niwajinga, maana hawajui, kwenyeukristo, ukisoma biblia kunacheti unakabiziwa,
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 9 күн бұрын
Na ww ulokua mwerevu uliwahi kufikiria pindipo unaemwita Mungu akija na wkt anakula mtapanga foleni ya choo nyote? Mtu na Mungu wake?
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 9 күн бұрын
❤❤❤
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 9 күн бұрын
Walikwambia mkutane utoe vielelezo ulisomea wapi na ulisimikwa wapi kuwa mchungaji lakini hukutokea lakini hapo umejificha chumbani unawadanganya waislam
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 9 күн бұрын
Kumbe mwaipopo ulikua R.C. MUNGU haisomwi darasani.
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 9 күн бұрын
Uongo hakuna RC
@LameckismThomas
@LameckismThomas 9 күн бұрын
Afu kwanini unapenda kulamba Mdomo inaoneka we ni liongo
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 8 күн бұрын
Akilamba yanakuusu
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 8 күн бұрын
Wewe uongo wako unajulikana Dounia nzima mbona huusemi?
@mwesi527
@mwesi527 9 күн бұрын
Haya madhehebu ya kilokole yana kama miaka 120 ,wakati sisi tuko wadogo ndo yameanza kipindi hicho zeee uongo ziiii ni suna kwa waisilam atae upokea ni mpinga kristo.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 9 күн бұрын
Tatizo la kuitwa waislamu wajinga ni Kwa sababu hamuwahoji watu wanaodai walikuwa wachungaji wanaposilimu mnaishia tu Takbiriiiiii 😂😂😂 na kuwapa pesa misikitini kama Dominic kule Dodoma! Lakini pia kama Waislamu wanachonganishwa na kupigana wenyewe Kwa wenyewe basi pia huo ni ujinga!!
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 9 күн бұрын
Wakristo ni wajinga kwa sababu wanachukia pale mchungaji alipo amua kuingia kwenye dini iliyoaahihi
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 9 күн бұрын
Mnabaki tumsifu yesu kristo
@MussaBakil
@MussaBakil 10 күн бұрын
Ww akuna muisilam akatapeliwa shee uyopo nakitokea atakula bakola mpaka ss tuna fuata kuluani tukufu kuluani nimoja akuna nyingine nyinyi mna baibo ngap jitafali idunia tuna pitar iyo ni bishala zawatu
@paulmushi2428
@paulmushi2428 9 күн бұрын
Unavyo andika tu unaonekana mjinga!! Siyo kuluani andika Qur'an siyo baibo andika Bible!! Dominic ndiyo keshawatapeli kuwa alikuwa ni Mchungaji wakampa pesa basi kachape bakora msikitini Dodoma😂😂😂
@josephmchila6467
@josephmchila6467 9 күн бұрын
Hakuna shekhe hapo
@AbdonJonathan-r1w
@AbdonJonathan-r1w Күн бұрын
Amakweli dini ni upofu, kunawatu wanampongeza mwaipopo ati kambana mwankemwa, kam bana kwalipi,hajavunja hoja hata moja.
@JosephMadeleke
@JosephMadeleke 9 күн бұрын
Mwlm Daniel Mwamkemwa hii ardhi yenye chumvi hata ukipanda mbegu Gani haitaota.huyu jamaa pamoja alikuwa mkristo kwa mda Fulani lakini ametoka huko hajui kitu kabisa Wala Yesu hamjui kabisa hata kwakupapasa yanayohitajika ni maombi tu ili Giza limtoke au aendelee kuuza madawa tu kuliko Dini.
@SaidMaliatabu-n7q
@SaidMaliatabu-n7q 9 күн бұрын
Hiyo Dua yenyewe haijulikani kaitoa wapi
@MathayoCharles-z2u
@MathayoCharles-z2u 9 күн бұрын
Mganga yupo kazin na din yake ya kutugwa na mud
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 4 күн бұрын
Acha kutoa povu yule shehe kukimbia majini na kuludi kwenye ukristo ni haki yake utaumwa homa bure kuwa mpole cc tunashukuru atueleze yaliyomokwenye uislamu
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 9 күн бұрын
Yaniuisilam niuongo kabisa 100%1000, hivi adam alikua mwisilam nisaidieni kivipi? Haya manabii wote walikua waislam kivipi? Hapohapo uislam ulianziswa mwaka 610 na jamaa mmoja muhamadi, sasa jibya tena kuingea ametufundisha mwisilam kupika ametufundisha mwisilam, je sio dini ya uongo?
@amanipeace6642
@amanipeace6642 9 күн бұрын
Kirefu cha FPCT ni ninij eti,,mbona hata kirefu chake Tu hukijui?
@AbdonJonathan-r1w
@AbdonJonathan-r1w Күн бұрын
Wewe ndo umeanza kutukana, unasema mabinti wakikristo hawajui kupika, ukibanwe utoe uthibitisho macho hayawezi kukutoka? hata sisi tunakuacha kwakuwa tunakuona mshamba tu,ulifanya utafiti ukagundua kuwa hatujui kupika na kuvaa, wewe ukitukana jiondae kutukanwa nawewe, usiwatishe watu, wakristo nao sio wanyonge kama unavyodhan.
@liberatusmboje8332
@liberatusmboje8332 8 күн бұрын
Kusilimu kwake ndo azushe mambo ya uongo kuhusu ukristo?angesilimu akasema nimeamua kusilimu haikuwa na shida.pili,huyo mchungaji kama ni kweli atoe vyeti na aseme alikuwa mchungaji wa kanisa gani.
@RoseRashidi-p9b
@RoseRashidi-p9b 9 күн бұрын
Wewe ulikua mchungaji ila hukuyajua mambo yakiroho ndiomana ukasilimu kiufupi hukumjua roho wakweli nahujazwa huyo roho wakweli angekufundisha kweli yote wewe ndio uliuanza uislamu mimi nimezaliwa ndani yauislamu ila leo hata uniambie uchague kufa au kuslim nibora nife kuliko kua mwislamu nakuombea kwamungu akupe macho yarohoni ili umjue mungu kwaundani
@rizikiyahya5254
@rizikiyahya5254 6 күн бұрын
Umependezeshewa Dunia dada, Uislamu ndio dini ya haki Wewe ulizaliwa katika uislamu lakini je ulishashawi kuujua uislamu vizuri? Familia yako na wewe mlikuwa watekelezaji wa uislamu?
@samweli7985
@samweli7985 9 күн бұрын
Hajatunga, nikweli hakuwa mchungaji, na hajasoma hivyo vyuo. Na ukisoma chuo chabiblia, kunacheti
@SaidMaliatabu-n7q
@SaidMaliatabu-n7q 9 күн бұрын
Huyu mwankemwa yeye ni mtu mwenye roho mbaya sana nachuki isiyo na kifani na Allah atampa haki yake
@halifaisuja5082
@halifaisuja5082 8 күн бұрын
Raha kuzaliwa mwislam....siyo dini ambayo hata mashoga wanafungishwa ndoa na dini Yao ya kikristo
@JosephMadeleke
@JosephMadeleke 9 күн бұрын
Wewe mwenyewe ni tapeli chuo Gani ulichosomea elimu ya dini ya Kikristo. Kwa hiyo aliyokuwa anayasema na hao waliokuwapo walikuwa wanashangilia ambayo Dominick alikuwa anafundisha uongo kinyume na Biblia. Twambie chuo ulichosomea huko unguja
@ShabaniMussa-f3k
@ShabaniMussa-f3k 9 күн бұрын
Ndio kasha watoroka huyo
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 9 күн бұрын
Kasha kua mganga wa Sina huyoo
@JustusNteghay
@JustusNteghay 8 күн бұрын
FPCT...FREE PENTECOSTAL CHURCH OF TANZANIA.Sweedish umepata wapi?Acha kudanganya.Ni kweli Ukristo si dini.Kwani dini ni kitu cha maana? Cha maana ni Yesu tu.
@ISSAJR-f5
@ISSAJR-f5 9 күн бұрын
MUSSA BIN MBIQUE = MOZAMBIQUE.
@MusaBuhe
@MusaBuhe 9 күн бұрын
Nilisikia wamuwea sumu alilazwa sasa sijajua maendeleo yake vipi lakini wenzetu wanachuki sijui ni zanini mtukaamua yeye mwenyewe wewe unachukia jamani kama vile pepo yao
@MusaBuhe
@MusaBuhe 9 күн бұрын
Kumbe ni huyu sasa uyu mbona amna kitu kichwani jamani uyu anatumwa na wenzie ili wandelee kuwapiga hela wenzao
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 10 күн бұрын
Mchungaji aomba msamahaa kzbin.infodEAhkUllbBc?si=razSwulExrcPmIMw
@AbdonJonathan-r1w
@AbdonJonathan-r1w Күн бұрын
Wewe ulifaa kabisa kuwa mwislam, maana hakuna mkristo bwege kama wewe, mwislam kamfundisha kuvaa mkristo bwege.uislam umekuja miaka 600+ walikuwa hawajui kuvaa, mjinga kweli, sasa mtu anauyekugonganisha huon kama anakushinda akili? unakataa nini? kama nikweli mkristo anawagombanisha, basi kubali hamna akili.
@MathayoCharles-z2u
@MathayoCharles-z2u 9 күн бұрын
Tatizo ujui nini maana ya ulokole, sasa kama yesu siyo mungu mungu nani,,? Kama alha anamswalia mtume kira siku kwa iyo mungu gani anaswali na anamswalia kwa nan? Alha siyo mungu muun tu
@crisantisindani3830
@crisantisindani3830 9 күн бұрын
Amesoma vitabu vyenu mwankemwa, wewe nimganga wakienyeji haukuwa mchungaji. Mwaipopo hauna la kuwashinda wakuwashinda wakilisto 🤣🤣🤣😆🤭
@MathayoCharles-z2u
@MathayoCharles-z2u 9 күн бұрын
Wewe mpumbafu aunaoja sasa kwenye kutoka na torati yesu ameonngea kuusu kumtuma roho mtakatifu? Ila bominic anaongopa munafurai baada kushangaa nyinyi ni mahamuma tu
@babazungu3180
@babazungu3180 9 күн бұрын
Uislam n din ya kweli ndugu zangu,njoo south Africa halafu vaa kanzu na kofia tembea usiku mji wwte huwez kupata tatizo llte sasa vaa suti tembea usiku 😂😂😂😂😂😂
@paulmushi2428
@paulmushi2428 9 күн бұрын
Ukivaa kanzu na kofia wanaogopa wanaona umbo la jini 😂😂😂😂
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 7 күн бұрын
VIBARAKA KATIKA UBORA WAO. Juzi vibaraka wamekaa nakutoa msimamo dhidi ya Israeli kwa maelekezo ya Israeli. Mpaka sasa ni mwaka mmoja na mwezi mmoja na nusu Israeli kwa msaada wa wamagharibi wakiongozwa na Amerika wanashambulia ghaza na kuvunja zaidi ya 85% ya makaazi ya Ghaza na kuuawa waislamu zaidi elfu 45 na misikiti zaidi ya 600 kuvunjwa. Hawa vibaraka walikuwa kimya wala hawakuthubutu kutoa msimamo wowote zaidi ya porojo za Edroghan. Ama sasa hivi katika kipindi ambacho Israeli anatufuta mbinu ya kumaliza vita baada ya kutofikia malengo yake. Ndio wanaibuka hawa wapumbavu na kujitia wanatoa msimamo wakiongozwa na ibn Salmaan na baba wa Sanaa Edroghan. Bila ya kupeleka aina yoyote ya msaada na nguvu za kijeshi kwenda kuzuia uovu na dhulma hiyo kwa Waislamu Ghaza na Lebanon Ni wazi kuwa mkutano wao na misimamo yao ya ovyo kipindi hichi ni agizo la Israeli na bwana wake kwa hawa vibaraka ili wapate njia ya kuondoka Lebanon na Ghaza ili kukwepa aibu. Kwa hoja kuwa ili kulinda amani na nchi wahisani kwa kuzingatia ombi lao la kuwataka waondoke Lebanon na ghaza wameona ni bora wafanye kwa kuzingatia maslahi mapana ya mashariki ya kati. Hawa wapumbavu laiti wangeacha mipaka wazi tu kwa waislamu waende kuwanusuru waislamu wa Ghaza basi leo Israeli ingebaki historia. Lakini wao wamekuwa ndio ngao ya kuikinga Israeli. Taifa ambalo liko taabani katika uwanja wa vita pamoja na msaada inaopewa kutoka America na nchi za kimagharibi. Mpaka sasa wanaomba askari kutoka Afrika wakawasaidie. { فَتَرَى ٱلَّذِینَ فِی قُلُوبِهِم مَّرَضࣱ یُسَـٰرِعُونَ فِیهِمۡ یَقُولُونَ نَخۡشَىٰۤ أَن تُصِیبَنَا دَاۤىِٕرَةࣱۚ فَعَسَى ٱللَّهُ أَن یَأۡتِیَ بِٱلۡفَتۡحِ أَوۡ أَمۡرࣲ مِّنۡ عِندِهِۦ فَیُصۡبِحُوا۟ عَلَىٰ مَاۤ أَسَرُّوا۟ فِیۤ أَنفُسِهِمۡ نَـٰدِمِینَ } [Surah Al-Māʾidah: 52] "utawaona wale ambao katika nyoyo zao kuna maradhi (Katika waislam) wanajipendekeza kwao (makafiri) wanasema tunaogopa tusije kuwekewa vikwazo...." Kutoka kwa Sheikh Khatibu Imran.
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 9 күн бұрын
Shekhe mwaipopo biblia ishasema wachungaji ni mbwa kwa hio acha nao. Akili hawana
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 9 күн бұрын
Shekhe umeongea vizuri uko sawa kwa mtazamo wa diniki yako.Ila endelea kujifunza utaona hakuna na nabii yeyeto katika biblia alikuwa mwarabu au mzungu.Manabii wote walikuwa waafrika,na pale Israel sipo pa kweli pale ni uarabuni.Mzungu amebadilisha ukweli wa historia.Ukitaka jua ukweli wa hili hata bwana mtume katika hadithi sahihi amesema seyidina Musa alikuwa mtu mweusi sana,Ni mwaarabu huyo?mzungu anawafanya watu wajinga san
@slymsameer5415
@slymsameer5415 9 күн бұрын
Wewe hujui kitu kaa kimya brother hujawahi fanya hata utafiti wowote hivyo huna haki ya kuzungumza chochote nakufundisha sasa ,ibrahimu ametokea huru wa karidayo ambayo ni iraki alikuwa mkurudi sasa wairaki sio waarabu?kizazi chake chote israel wamehamia tuu na haikuwa israel palestina wewe hujui watoto wake wakawazaa akinayakubu na kupewa jina la israel kwa mujibi wenu lakini sasa basi ikiwa babayao alikuwa muarabu wao watakua akinanani?huna elimu juu ya hiyo hakuna mtume wa mungu ambaye si mwarabu kama ulikuwa hujui
@alexmukama3801
@alexmukama3801 9 күн бұрын
Wende usome kabisa duguyangu..ushawai kuwa mushugaji
@SirikwaMollel-y3k
@SirikwaMollel-y3k 9 күн бұрын
Hata mimi nakubali ww aukua mkiristo Wala mchungaji Labd m shirikina Maan ugekua unajua yesu vizur Sana ugeslimu sasa yesu alitahiriwa ndo Maan watu unahiriwa la Je alitahiriwa wakat gani? Eti unataka kuligani Qurani Na biblia wakati walio andika Qurani wamecopy kwa biblia Wacha unafiki Na chuki bwana
@YusufuMahmood
@YusufuMahmood 8 күн бұрын
Mkristo.huyo.anamatatizo.shekhe.mwaipopo
@AmosJoseph-d7m
@AmosJoseph-d7m 8 күн бұрын
Wewe sisi wakristo hatuna haja ya kumtisha mtu, tunahubiri injili ya kristo ukubali au ukatae ni wewe mwenyewe
@alexmukama3801
@alexmukama3801 9 күн бұрын
Uyu Mungotu amnalolote kudaganya watu
@kaybthepro4094
@kaybthepro4094 10 күн бұрын
Sasa kama ulikua mchungaji taja wachungaji wenzako mlikua mkifanya kazi pamoja pia ulete vyeti vyako vya kichungaji wewe umekwenda kuatapeli waislamu kwasababu wengi wao ni maamuma
@gobaonlinetv9690
@gobaonlinetv9690 10 күн бұрын
Huyu shehe kakataa utapeli kaja kwenye haki ya Uislamu
@kaybthepro4094
@kaybthepro4094 10 күн бұрын
@@gobaonlinetv9690mwambie mwaipopo auze dawa zake aachane na kushambulia viongozi wa kikristo
@madetetv6576
@madetetv6576 10 күн бұрын
Alifanya utapeli gani atuambie basi?​@@gobaonlinetv9690
@paulmushi2428
@paulmushi2428 9 күн бұрын
​@@gobaonlinetv9690 Kama Uchungaji wa Ngo'mbe sawa
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 9 күн бұрын
Hajakataa utapeli,mwaipopo slikosa cheo kanisani alitaka uongozi,aliponyimwa akakasirika.Yeye ndiye alitaka kufilisi waumini wakamnyima uongozi,sasa acha awafilisi waislamu
@martinmkoba361
@martinmkoba361 9 күн бұрын
Kwenda ukoo tangu lini mkristo akawa na chuki.uliona wapi wakristo wamelalamika.nyie ndio wenye chuki kilasiku kuongelea ukristo tu
@ramadhankhamis-l3o
@ramadhankhamis-l3o 9 күн бұрын
kama mtu yuko kenya dawa twapataje
@NuruKione
@NuruKione 8 күн бұрын
Shekh wangu achana na wajinga Allah ameshasema ameweka viziwizi ukiwaonya au usiwaonye hawata amini
@AbdonJonathan-r1w
@AbdonJonathan-r1w Күн бұрын
Kama kweli mwaipopo wewe ulikuwa mchungaji, kwakweli kumbe kuku akilala nje anaweza geuka kuwa bundi, japo aliwahi kuwa kuku. ukristo hujawahi kuujua, na haitambui utume wa muhamad biblia hiyo,haitambui kitabu kinachoitwa kurani.
@triuneapologeticsevangelis5912
@triuneapologeticsevangelis5912 6 күн бұрын
Ujinga wao ni kutumia maneno ya uongo hili kupa popularity tuu😅
@saimjonas
@saimjonas 9 күн бұрын
Wakatoliki hawana wachunguji. Logically hukumbuki unaongea nini kabla. Vingi unajichanganya sana. Kumbe lengo ni kutangaza dawa za kienyezi, khaa.
@Anonymous-w9v-i1p
@Anonymous-w9v-i1p 9 күн бұрын
Huyu hana akili huwa namwambia kila siku na kuthibitisha kuwa kweli hamnazo haachi kuongea pumba zake..😂
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 8 күн бұрын
Mjingaeni yeye mwenyewe na mapotevu zake mapumbavu zake wasioona vipovu na viziwe sisi waislam sio wajinga
@liberatusmboje8332
@liberatusmboje8332 8 күн бұрын
Na wewe huna hata chembe za uchungaji ni mganga njaa
@MiziziMti
@MiziziMti 8 күн бұрын
Mwaipopo zi zero kabisa
@yakubaosman7439
@yakubaosman7439 9 күн бұрын
wajinga ni wale wanaoamini mungu ana mtoto mungu ana taifa rake teule.mungu ana mama
@AbdonJonathan-r1w
@AbdonJonathan-r1w Күн бұрын
Mungu yupi amewasifu waislam? Waislam wajinga, nawanadanganywa, wanatoa mamilioni kwenda kumpiga mawe shetani, sikudanganywa huko, kunashetan pale.
@lusajojmwakindu2177
@lusajojmwakindu2177 9 күн бұрын
Malafyale unanichanganya sana, unawaamsha watu wasiwe wajinga tena? Nimemsikiliza Mwankemwa katika clip hii shida yake kuu ni kutoongea uongo uendapo upande mwingine, pia katumia Waisilam wajinga, hii haimaanishi wote, mfano hata shule kuna wanafunzi wajinga, kuna wanafunzi werevu, watukutu nk, Malafyale niko makini katika kukusikiliza na kufuatilia jumbe zako.
@bethmkwama6704
@bethmkwama6704 9 күн бұрын
Aiseee katika mtu mnafiki ktk uislamu ni WW jamaa ila binadamu ni wanafiki sana
@Abdul-rn5zj
@Abdul-rn5zj 9 күн бұрын
kwanini
@Kanyawela
@Kanyawela 9 күн бұрын
Ujinga mkubwa dini sio kiumbe kusema Mungu aliwaumbia wanadamu wote na hilo ndilo linalothibitisha Ujinga
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 9 күн бұрын
Point less
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 9 күн бұрын
Dominic kaeleza mwenye kupenda kumtumia akili yake atafanya utafiti na mvivu mwenye kusubiri kuletewa na wapiga pesa ataendelea kusikiliza na kuamini ya kuletewa
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 9 күн бұрын
Ujinga wakiisilam nikutokumuabudu MUNGU wa kweli nakumuabudu allah, uisilam nihewa kabisa ndugu mwaipopo, akili wewe unaijua kweli unategemea dawa unasema unamjua MUNGU, ulisha pata uganga basi sahau habari za MUNGU mimi nimetoka kwenye njia yahovyo uislam mungu ni mwema kwakwangu kwa kutambua yesu kristo nakuachana na mtume muhamadi wa kiisilam, asante yesu.
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 9 күн бұрын
Mungu wa kweli ni yupi?ni yule aliyetahiriwa alipofikisha siku 8,kisha akaja kuuwawa na wanadamu msalabani kwa kutolewa roho na Israel?
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 9 күн бұрын
Kutahiriwa ni mpango wake,hata kuuwawa msalabani ni mpango wake tangu alipojipa mwili, ndiyo maana alifufuka na yupo hai,lakini Muhammad wenu alirogwa akafa na hajafufuka.Sasa kama Allah ni Mungu,kwanini mtume wake asifufuke?Ina maana Allah si Mungu Wala Muhammad siyo mtume wa Mungu
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 9 күн бұрын
@edwardntamaboko3414 ; wowoo,natamani nimjue ngariba aliyemtahiri "mungu wa wakristo" cjui kigov* alikifukia au nacho baadae kilipaa.Muhamadi yupo kaburini kama vile tu maria mama wa "mungu" wenu alivyo kaburini.kama mama kaachwa udongoni, sembuse Muhammad?!
@qwerqasd8597
@qwerqasd8597 9 күн бұрын
Hhh nashanga huo Mungu kaaca mama yake na ndugu zake kwenye udongo duh wakristo ni zero kbs
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 9 күн бұрын
​@@hemedbamja3197si lahisi kumuelekeza kipofu hii ni njano, ndivo ilivyo kumuelekeza mwisilam kwahabari ya kristo, yesu alikua MUNGU wakweli na mtu kweli, kwa mwisilam hafaham Mambo ya kroho, ndomana ukimwambia yesu ni MUNGU atakimbilia alitahiliwa alikwenda chooni, Sasa huu niukosefu wa akili za kimungu kabisa.
WAISLAMU WAJIPANGA WAMSUBILI SHEIKH ALIYEBATIZWA
35:49
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 4,4 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
SHEIKH ALIYEBATIZWA AOMBA MSAADA POLISI KENYA
25:52
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1 М.
MCHUNGAJI DANIEL AUMBUKA KWA KUSEMA UWONGO
39:37
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,3 М.
ALIYEKUWA IMAMU NA AKABATIZWA AWAKIMBIA WAISLAMU
41:24
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2,6 М.
SHEIKH ALIYEBATIZWA ASEMA QUR'AN KITABU CHA UONGO
41:05
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 6 М.
WAISLAMU WAGOMBANA MBELE YA MCHUNGAJI
35:34
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,3 М.