Ndacha ww ni mwinjilisti wa kweli Na Mungu atazidi kukusimamia ili utusaidie sisi tulitambue vema Neno la Mungu. Ubarikiwe sana (Egidius)
@qerysir44105 ай бұрын
HESHIMA ZANGU KWA MCHUNGAJI NDACHA, ROHO AMEMTUMIA KUTUFUNULIA SIRI HII👌
@daudimichael73384 ай бұрын
Mungu ni mmoja, anajitambulisha katika kazi zake. Baba (Kazi ya kuumba), nafsi ya Mwana( ukombozi), Roho Mtakatifu (Utakaso).
@ChandeDaudi5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ni mmoja tu ni muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote nae ni ALLAH sio yesu
@emmakimisha12215 ай бұрын
walimu wa utatu wanajenga imani kuwa ukipinga utatu unamkataa THE HOLY SPIRIT... hiyo ni sababu wanakuwa wabishi wakiteta hoja kwa kujinadi basipo kuoneshaa ukweli wa maandiko ambayo ndio msingi wa imani,, ndacha MUNGU azidi kukutumia ili uzidi kuwaamsha wengi .. Barikiwaa sana mjoli ndacha unaongozwa na MUNGU
@georgekimasaofficial16295 ай бұрын
Mbona ndacha kazidiwa Kwa hoja 😂😂😂
@emmakimisha12215 ай бұрын
Hakuna hoja iliyomshinda ndacha.. wacha Ushabaki kwa maandiko
@DavidSimfukwe-h4t5 ай бұрын
Kwa nini Yesu Asiseme nasasa Baba Na roho mtakatifu mnitukuze mimi kwa ule utukufu nilio kuwa nao pamoja nanyi kabla ya Ulimwengu kukwako lakini Yesu Lugha ya Baba kumaanisha kabla ya Ulimwengu kuwako Alikuwepo Baba na Yesu full stop which is roho yupo ndani ya mungu si Mungu bali ni roho wa Mungu basi so Yesu Ni Bwana 1 wakorinto 8:6 _7 yohaha 17:3 yohana 17:5_9 God bless you ndacha ❤ and be with you all
@fredrickgitonga19725 ай бұрын
Kweli kabisa
@MathayoGervas-z6g13 күн бұрын
daa kweli yesu niyesu mungu nimungu 1 Wakorintho 8:6 lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.
@Frankgamanuel3 ай бұрын
Ndacha Nimwalimu Mzuri sana Hila Nilicho gundua Huwa hataki kujifunza zaidi kutoka Kwa wengine nikama yeye Ndio Anaona anajua kila kitu,kila andiko hapo Ndipo tunapo pishana na yeye. Kwa mfano tu Ameambiwa hapo Yesu aliwaambia wanafunzi wake mkabatize Kwa Jina la Baba,mwana,na Rohmtakatifu Then wafilipo 2 pia inamtambulisha kabisa kabisa Sasa sijui Ndacha hanakuwa kama wale ambao kazi yao ni kubisha tu hata kama wakiambiwa hukweli Ndio simsomagi Ndacha hapo Hila mi Namfatilia sana na Ninaamini Niko mwalim Mzuri sana Sababu yake na Mwalimu Danieli Mwakwema na wengineo wakina Ndimbo Nazani Hawa Ndacha Sijui kama anawajua.
@GodfreyErene5 ай бұрын
Barikiwa sana mch mwakema, tatizo wasabato wapo mwilini hawaelewi kabisa habari za rohoni, niatari sana kusikia mkristo haelewi utatu wa nafsi za mungu,
@estakenia5 ай бұрын
😂unahitaji kujifunza vizuri
@BakangayaBantaba5 ай бұрын
Wew ndie huelewi unachozungumza ndugu nafsi tatu ni nini
@AlexMlaba3 ай бұрын
Yesu alipokuwa duniani aliwaombea wanafunzi wake akisema Baba uwalimde hawa kwajina lako ulilonipa mimi kwahiyo Baba,Mwana, Roho mtakatifu katika umoja jina ni Yesu
Mwalimu mwankemwa ubarikiwe sana ndacha umempa kibaruwa,na meenyekiti wake Wana Hila Niko Mozambique Pemba ubarikiwe mwl Danieli
@fredrickgitonga19725 ай бұрын
Utatu ni upagani
@petromachanga55385 ай бұрын
@@fredrickgitonga1972 mathayo 28:19 yesu nimpagan?
@daudimichael73385 ай бұрын
Mwalimu Daniel hapa ulimfundisha Ndacha maana ya Utatu Mungu mmoja. Asante sana, mwenye akili ameelewa vizuri. Mkawabatize kwa JINA la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Kwa JINA siyo kwa majina. Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni JINA moja.
@Shomariamuri12 ай бұрын
Mmepotea ninyi 😂😂😂
@JoshuaLeonard-y2w5 ай бұрын
Mungu ni mmoja TU
@HamzaAdam-z3c21 күн бұрын
nyinyi wakristo yesu siyomu ngupu mbavu
@fauwilliam67805 ай бұрын
Nakukubali sana ndacha kwa kufundisha
@shadyz92085 ай бұрын
Ila naomba ukubali Mungu zaidi
@HamzaAdam-z3c21 күн бұрын
yesu kama mungu mbona katailiwa
@AlexMlaba3 ай бұрын
Sura ya Baba na ya Mwana na Roho mtakatifu ni moja andiko linasema yumfanye MTU Kwa Sura yetu na Kwa mfano wetu
@AlexMlaba3 ай бұрын
Mungu mmoja mwenye nafsi tatu jina lake anaitwa YESU kutokana na mathayo28;18-19 na hakuna MTU yeyote ndani ya Biblia aliyebatizwa kwajina tofauti na jina la Yesu
@Shomariamuri12 ай бұрын
Wrong 😂
@AlexMlaba3 ай бұрын
Jina Yesu ndilo jina lipitalo majina yote mbinguni na duniani kulingana na andiko
@UswegeJohn-ov3ym5 ай бұрын
Ndacha amefeli kabisa kwenye hii mada.,wewe huna tofauti kabisa na waislam. Daniel ni Mkristo wa kweli anayeongozwa na Roho Mtakatifu. Be blessed in richly!
@Ayyub_Semtawa4 ай бұрын
Kwa iyo anaeongozwa na roho mtakatifu anatumia nguvu nyingi sana kupayuka..,? Hakuna haja ya kupiga kelele [using agrression tone to get your point across]
@justine-27075 ай бұрын
Moja mara. Moja mara moja ni moja was shida
@DanielErnest-nn2zj5 ай бұрын
Hata mtoto we chejechea hiyo hesabu ataksambia ni 3😂😂😂
@DanielErnest-nn2zj5 ай бұрын
Watu we jumapili wasipochunga, Yesu siku akiludi watanngamia, wabadilike waludi njia kuu
@abdallahdataguy5 ай бұрын
moja jumlisha moja jumlisha moja jumlisha moja jibu ni moja kwa imani yako badala ya usawa kuwa ni tatu 😂
@rehemashariff31195 ай бұрын
Yaani hapa ndio wale Yesu akasema wanamasikio lakini wasielewe ndio hawa tanzania kwaheri kenya wapo pia wapo kule kongo pia tuliwaona nihuruma sana😢😢😢😢
@DanielErnest-nn2zj5 ай бұрын
Inauma sana mtumishi
@Globaladventministries5 ай бұрын
Mwakemwa Mungu akusaidie kuelewa unachokifundisha..akuondolee dhana..hakuna mungu wa utatu katika maandiko
@medadykyabashasa17945 ай бұрын
Wapi hujaelewa mpaka hapo au upofu umekufunika? Mwankemwa kaweka wazi UTATU
@DanielErnest-nn2zj5 ай бұрын
@@medadykyabashasa1794analeta ushabiki bila kufatilia maandiko
@emmakimisha12215 ай бұрын
Imani huja kwa kusikia ,, na kusikia ni kusema imeandikwa,.... Leta andiko mzee
@denisbarasa20355 ай бұрын
Exactly ni vizuri ku prove na andika
@gabrielsaelie80913 ай бұрын
@medadykyabashasa1794 Kwa namna gani kadhihirisha maandiko kuwa Mungu ni utatu? Yeye kashikilia fundisho moja tu Matayo 28: 19 ambayo ina maana wakabatizwa kwa jina la Yesu Kristo kama inavyonenwa kwenye Matendo ya Mitume 2: 27 - 42
@MarthaMasha-e6q5 ай бұрын
Ndacha, hoja zako zina make sense wallah bila ushabiki
@petermabada56284 ай бұрын
WAISLAMU JIKONI WOTE.
@Nolithajack125 ай бұрын
Mwalimu balikiwa sana❤❤❤❤
@MichaelMaduhu-y6e4 ай бұрын
Nilitaka ni juwe kwanza maana ya ushilika , ukisoma 2 wakorintho 13:14, pia 1 yohana 5:7, Mungu ni mmoja ,
@Anza_tz5 ай бұрын
Wasabato mnachekesha sana mbona elimu iko wazi sana hapo ...Mungu ameamua yeye kua katika Hali tatu Ili utendaji wake na mahusiano yake na wanadamu yafanikiwe ..kwa mfano ..Mungu baba kwa utukufu wake ukimuona kwa macho utakufa kwanza sauti yake tuu inasemekana ni kama radi hata malaika mbinguni sidhani kama wanauona uso wa Mungu baba kwahyo inabidi Mungu baba ajifanye yeye kua na mwili Ili aweze kuwasiliana na watu vizuri..lakini tunajua kwamba Mungu baada ya Yesu ameamua kufanya makao ndani ya watu sasa atakaaje kama hajawa katika mfumo wa Roho? Sasa Mungu ni mmoja lakini ameamua kua katika sehemu tatu Ili kuwezesha uhusiano wake na viumbe vyake uwe na ufanisi zaidi kuliko angebakia katika utukufu wake hakuna mtu angeweza kuongea nae Wala kumsogelea kwanza tuu ukiwa na dhambi hata kidogo ukisogelea utukufu wa Mungu unakufa na ndyo sababu Mungu akaamua kutoa damu yake mwenyewe kama sadaka Ili iwe Kinga kwetu kwa msamaha na ondolea la dhambi.
@philipjoseph59315 ай бұрын
Usiseme Wasabato, Sema Ndacha.
@kailangalugenge467314 күн бұрын
GOD IS ONE INTO 2 INTINSTRUMENTS, SON , HOLLY SPIRIT.Hivo mfano mwana nikitemdea kazi Cha Mungu kama mkono wake ambao anaweza uelekeza uchukue kitu kama atavotaka Mungu.mfano roho mtajatifu ni kitendea kazivl chake kama mguu ambao anaweza uelekeza umpeleke pahala. Hivyo vyote hivyo ni Mungu kwakuwa nisehemu yauungu wake.NIMEJARIBU KUELEZA KWA MFANO HUO NASISUTIZA NIMFANO KWAKUWA SOMOHILI NIGUMU SANA KUELEWEKA LABDA KW MIFANO KAMA HUU
@JajiZakayo-fw9mk5 ай бұрын
anapotajwa Mungu baba ni katika hali ya uumbaji, Mwana ni pale aliposhuka kuja kumuokoa mwanadamu, Roho mtakatifu ndiye huyu anayetenda kazi ya Yesu hadi leo .
Mwankemwa unakula MB zangu Bure,nafahamu Wewe umesoma Ila tatizo lako unatafta kuwa mshindi sio kujifunza,na ukishikilia unachotaka hauwezi kujifunza Wala kupata vitu vipya Kwa wenzako.Kwanza ACHA jazba.Maana hii sio Vita Kubali ukweli ACHA fundisho la utatu halijawahi kueleweka kwenye Akili YANGU.
@MohamedMohamed-u3t1n5 ай бұрын
Nyote mmepotea ndio maana maana mpaka leo mna mgongano katika kumjua mungu huu mtihani
@zakayomwalongo93305 ай бұрын
Ndacha ndacha ndacha we ni mchungaji ni na unafwatiliwa na watu wengi angalia jinsi unavokataa utatu na kuwaaminisha watu... kumbuka watoto wa eli walivyokua makuha n wakawa wakaidharau sadaka ya Bwana. Dhambi inayofanywa kinyume na mpango wa Mungu kwa ajili ya ukonbozi wa wanadamu hawawez kusamehewa hata wakaomba toba . waebrania 6:6. Wanadamu hatuwez kupata wokovu kama hatutaamini katika utatu. Usimuhuzunishe Roho wa Mungu hata akawa adui yako. Mungu akupewepesi wa moyo na uelewe vile Mungu kajifunua kwetu kupitia neno lake
@DavidSimfukwe-h4t5 ай бұрын
YOHANA 17:11 Wala mimi simo tena ulimwenguni lakini hawa wamo ulimwenguni nami naja kwako Baba mtakatifu kwa Jina lako ulilo nipa uwalinda hawa ili wawe na Umoja ka sisi tulivyo ;;;: Swali sasa kwanini Yesu asiseme nami naja kwenu baba mtakatifu na roho mtakatifu lakini anasema nami naja kwako Baba mtakatifu ni kwamba wewe mwl.? Mwankwemwa unataka kutuambia kwa andiko hili yesu hakujua kama na roho ni Mungu na yupo mbinguni na ndiko anako kwenda??? Wewe hujui ingelikuwa ni kumukosea Mungu roho, na ingelikuwa ni kumshusha Mungu roho hazi ya uungu ila Yesu anacho kijua au anacho tufundisha ni kuwa Mungu ni Baba na Mungu ana roho wake kwahiyo roho si Mungu wakujitegemea bali roho ni roho wa Mungu ndiyo maana yesu hakuona sababu yakumusema roho kama Mungu, bali kuna roho wa mungu Mwanzo 1:2 issaya 40:12_13 Mattayo 3:16
@zakayomwalongo93305 ай бұрын
Matendo ya Mitume 28:25 [25]Na walipokuwa hawapatani wao kwa wao, wakaenda zao, Paulo alipokwisha kusema neno hili moja, ya kwamba, Roho Mtakatifu alinena vema na baba zetu, kwa kinywa cha nabii Isaya, [26]akisema, Enenda kwa watu hawa, ukawaambie, Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu; Na kuona, mtaona wala hamtatambua; Hilo fungu linasema Roho mtakatifu alinena kupitia kinywa cha nabii isaya... haya tuone huyo roho alinena vp na nabii isaya..👇👇 Isaya 6:8-9 [8]Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi. [9]Naye akaniambia, Enenda, ukawaambie watu hawa, Fulizeni kusikia, lakini msifahamu; fulizeni kutazama, lakini msione. Jibu liko hapa tunaona Roho Mtakatifu anazungumza na nabii isaya akisema naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu. Ko tunaona hapa Roho Mtakatifu anasema kwa niaba ya nafsi zingine ambazo ni MUNGU BABA NA MUNGU MWANA. hivyo Roho Mtakatifu ni nafsi hai ya inayojitegemea. Roho Mtakatifu azidi kukusaidia pale unaposoma bible uzidi kuelewa jinsi Mungu alivyojifunua.
@JohnNchimbi-i8t4 ай бұрын
Na wewe acha nikuswalike Mwanzo 1:26 kwanini Mungu asiseme "na nifanye mtu kwa mfano wangu?"
@kisachegoinas12 күн бұрын
Mwankemwa tubu wakati u machache ndugu yangu fahamu maandiko
@theheraldbroadcastingnetwo48364 ай бұрын
Mungu pia ni roho.... Ni roho mwingine ❓
@careysonscollections50234 ай бұрын
Mungu ni mkubwa kuliko sisi na tusitarajie kumuelewa katika kila jambo. Utatu ni jambo gumu kulieleza kwa kina. Hakuna mwanadamu anayeweza kulielewa kwa undani zaidi. Biblia inafundisha kuwa Baba ni Mungu, ya kuwa Yesu ni Mungu na pia Roho mtakatifu ni Mungu. Biblia pia inafundisha kuna Mungu mmoja tu. Ijapokuwa tunaweza kufahamu uhusiano tofauti tofauti wa sehemu za utatu huu ni vigumu kuelewa kwa akili ya kibinadamu. Hii haimaanishi kuwa si kweli au si maagizo ya Biblia.
@banyankirubusamarc17275 ай бұрын
Munayo sema mungu wa utatu au mungu wa uwili nyie wote muapotevu, Mungu ni mu moja ni Yesu tu ,
@AgnesMhanzi3 ай бұрын
Mbona mungu hamuiti yesu baba kma mnasema wote sawa hakuna mungu utatu na watu kuelewa mpaka yesu atarudi ila ndacha mungu amekufunulia utueleweshe lakn tunakaria ubishi tu kisha eti tumekuta familia zetu zinaabudu hivyo tutaangamia
@HellenaMky5 ай бұрын
Tatizo wajumapili wanaisoma biblia kwa theologea. Mungu. Awafungue macho. Muelewe. Wote niwamoja.
@msemakweli2435 ай бұрын
Leo ndo nimejua mwalimu mwankemwa yeye kakalilishwa elimu ya kusoma chuoni sio kusoma biblia na kuomba maarifa kwa mungu amuongoze
@theheraldbroadcastingnetwo48364 ай бұрын
Mwalimu ndacha ubalikiwe, Utatu haupo kwa bibilia
@adamsonkyando-l4i5 ай бұрын
Mungu ni mmoja !! Ila anafanya kazi kaktika nafsi tatu,Yesu Roho mtakatifu ni Mungu huyohuyo Yesu ni mwokozi ,Roho mtakatifu nimtendaji ,,Yesu tuko kila mahali Roho mtakatifu anajuwa yote!!! Hizi sifa ni za Mungu tu. Huwezi kumuomba Mungu bila kutaja jina la Yesu,na huwezi kuomba ipasavyo bila Roho wa Mungu Mungu!! Kwahio Mungu ni mmoja katika nafs tatu Baba ,Mwana,na Roho mtakatifu, hizi nafsi tatu ndo anakamilika Mungu alie hai.Kwahio Yesu ni Mungu,
@donaldmwahalende48415 ай бұрын
Maelekezo mengi no fungu
@japhetndoro65335 ай бұрын
Wew mwongo
@DrNelsonJohnMuhirwe5 ай бұрын
Mheshimiwa Ndacha
@MillanDunga5 ай бұрын
Ukiwa makini unaposoma (YOHANA 13 NA 14). Jiulize hili jambo 1."nitamuomba BABA awatumie msaidizi kwa Jina langu" "YESU KRISTO 2." Msaidizi huyo dunia haimjui ila nyinyi mnamjua kwa kuwa yuko pamoja nanyi na baadaye atakuwa ndani yenu"", YESU ALIKUWA PAMOJA NAO KATIKA KIMWILI NA BAADAYE ATAKUWA NDANI KIROHO 3."Nitamuomba BABA awatumie msaidizi,,,,, ni vizuri kwenu nikienda, nikienda nitamtuma" "YESU ANASEMA ATAMUOMBA BABA AMTUME HUYO MSAIDIZI MBELE KIDOGO YESU MWENYEWE ASEMA NIKIENDA NITAMTUMA.. 4"MUNGU NI ROHO na wamwaputuo wapaswa kumwabudu kwa uwezo wa roho." ikiwa MUNGU NI ROHO NA TUNAELEWA MUNGU NI MTAKATIFU KUMAANISHA ROHO MTAKATIFU Kwa hiyo YESU KRISTO ndiye MUNGU BABA MUUMBA, NDIYE MWANA NA BADO NI YEYE TU ROHO MTAKATIFU
@petersammy2185 ай бұрын
Na ni nani huyu atamuomba ama yesu ni muongo??
@christophersimwinga66894 ай бұрын
Wafundishe ndugu yangu . Kimsingi maandiko yanakubali kwamba yesu ni Mungu sasa wanaokataa wanasemaje kuhusu maandiko hayo yanayokubali kuwa yesu ni Mungu?
@rehemashariff31195 ай бұрын
Kweli ndacha wewe ni mwalimu maandiko hayasemi mungu Baba mwana Mungu mwana Mungu roho hakuna kwenye bibilia imeandikwa hivi Mungu baba mwana roho mtakatifu kweli tunapotea ndacha elimu uliyo nayo niya roho mtakatifu hawa wakuenda shule wanapoteza watu
@paulkamula91175 ай бұрын
Ndacha ni mbishi ndacha si mwalimu hata hajui kitu hata hajielewi chenye anaongea..
@MillanDunga5 ай бұрын
Uongo ndugu,, MUNGU NI MMOJA.. Naye ni YESU,KRISTO,, kwa mfano raisi wa Kenya ni Ruto, mkewe ni Rachael, mwanawe ni Sharleen.. Nikisema enda umsalimie raisi wa kenya, bwana wa rachael, babake sharleen utagundua ni William Ruto.. Ni mtu mmoja ana titles Tatu baba, raisi bwana lakini haya si majina,, jina ni Ruto
@comsmkemwa26715 ай бұрын
Kama hujui biblia kaa kimya, ndacha ni mwalimu lkn kipengele cha utatu wa Mungu hajui qnachemka sana, mkristo hakuna mkristo asiyejua utatu wa Mungu na ndio ukweli
@richardchimba38005 ай бұрын
@@comsmkemwa2671utatu ni mapokeo tu
@celestinshayo72954 ай бұрын
@@comsmkemwa2671wasabato wote ni mbumbumbu wa Maandiko siyo Ndacha pekee yake. I stand to be corrected
@OLUNGAJOSHMAH5 ай бұрын
Wapendwa Huu ndio mwisho wa Dan mwakemwa kusikika.. wote walio jadili na mtumishi Ndacha leo hii wasikiki maana sio Ndacha wanao pinga ila ni Mungu Baba kupitia Mwanae kwa Watumishi....sio Utani huu
@fredrickgitonga19725 ай бұрын
Kweli kabisa
@zacharynganga21245 ай бұрын
❤❤❤
@faithakinyi946315 күн бұрын
Ndacha ana kupoteza watu umeanza kupoteza watu
@princeandersoz43913 күн бұрын
Ndacha Ni Mwalimu lakini apa Kwa utatu haelewi Na simulaumu kwasababu ili fundisho la utatu Ni gumu, wakati Mungu alisema TUFANYE MTU KWA MFANO WETU, Je Huu mfano Ni upi?
@kulwasandali22795 ай бұрын
Anachotetea huyo mwalimu mwakemwa hakipo anatia huruma Sanaa Mungu amsaidie tu maan hatak kukubali ukweli
@vincentdaud99545 ай бұрын
Wewe ndo hujitambui .wayahudi hamna jipya. Dhehebu lenu lilianzishwa saa6 mchana siku jumamosi 7 .7.1945 na mwanamke Ellen Gabriel white . Michigan marekani aliyekuwa mtawa wa estern orthodox alipoasi akajiundia kikundi cha wabishi
@DanielErnest-nn2zj5 ай бұрын
@@vincentdaud9954ondoa mhemko, Zile amri za sinai zlianzishwa mwaka huo?
@kulwasandali22795 ай бұрын
@@vincentdaud9954 hahaha pole sana ndugu eti limeanzishwa 1945...sasa akili zako ziko sawa kweli daah huyo unaemsema unajua kuwa amefariki miaka ya 1880 huko sasa unasemaje 1945 ndio ameanzisha hahahah aisee unatia huruma sabato Iko Toka mianzo ya ulimwengu imewekwa hiyo ibada na ndio maan Yesu had anakuja akaendeleza tu hkn Kipya acha kufuata mkumbo kijana unapotea Sana unatia huruma
@nicksonlyimo15624 ай бұрын
YESU ni yote ndani ya yote , Bikira atazaa mwana ,mshauri wa ajabu Mungu mwenye nguvu ,mfalme wa Milele,hata YESU aliwaita wanafunzi wake wanangu.
@barakaharony43965 ай бұрын
Ndacha MUNGU ni mmoja TU naye jina lake YESU kristo ndiye MUNGU Baba na ndiye mwana ye mwenywe hawako hawo wawili unao wasema
@qerysir44105 ай бұрын
kwa hiyo YESU alipoomba alikuwa anajiomba mwenyewe?! LAHAULA!
@Shomariamuri15 ай бұрын
Hakuna andiko inayosema ivo 😂
@mdanzielia7391Ай бұрын
@@qerysir4410haaaa,jibu zuri sana
@FredrickNyangweso5 ай бұрын
Kwa umoja ya Uungu Daniel mwakemwa akosahihi hapo Ndacha umelemewa mbona Yesu amwita Roho yeye,,na Kuna Mungu Baba na Kuna mwana na hawa wote ni umoja unasema nafasi tatu Kwa Uungu shida ni Moja unasoma Bibilia na fixed mind funguka Wacha kufundisha Bibilia jinsi unavyo fanya kwenye mdahalo wa kislamu naye Roho wa Mungu atakuongoza vyema
@AhmadJuma-c8e4 ай бұрын
Allah ni mungu
@ChandeDaudi5 ай бұрын
Mwankemwa imefeli na ndacha umefeli kipofu akimwongoza kipofu mwenzake watatumbuiza wote shimoni
@denismugisha22 ай бұрын
Kwa hiyo wewe ndacha kwako Yesu sio MUNGU wala Roho sio MUNGU
@Kanyawela5 ай бұрын
Ili ujue Yesu razima uwe rohoni kwenye akili utafeli ndacha
@albertvalentino1305 ай бұрын
Wasabato kwa habari ya doctrine mko hoi kweli kweli --- mnataka kumfafanua Mungu A to Z kwa kuzitegemea akili za kibinadamu,yaani kwa kujenga hoja --- yaani mwanadamu umfafanue Mungu,kwamba anaanzia wapi na anaishia wapi ? Hapo sasa mwanadamu,si atakuwa uwezo kuliko Mungu --- neno linasema," Siri ya utauwa ni kuu... 1 Tim 3:16.
@japhetndoro65335 ай бұрын
Mungu amejifunua mwenyewe ww
@AlfredMusemakweri4 ай бұрын
Yani kumjua Mungu wakweri katika utata wake ni ufunuo waroho mutakatifu siyo hakiri za kibinadamu mc ndacha wewe niwakuwahubiri waisilam ili wamjue yesu tu waokoke wasiingie jehanam
@rasitkipkoech74415 ай бұрын
Tunajaribu kujionyesha upabe wetu kw hii mjadala. Kitu moja tu munatofuutiana.... Mipakilio y MUNGU BABA, MWANA, N RONO...... WOTE WAKO NA JINA LAKE LAKINI WOTE WAFANYA KAZI PAMOJA ndio tunasema wote ni MUNGU KWA MAHANA WANAFANYA KWA NGUVU YA MUNGU... muko sawa pmoja
@fredrickgitonga19725 ай бұрын
Akuna Mungu watatu
@programminglanguagestutori91185 ай бұрын
Sasa ukiulizwa Mungu wa pekee wa kweli ni nani utasema nani? Tunaongelea Mungu mmoja
@christophersimwinga66894 ай бұрын
@@programminglanguagestutori9118Naomba nikujibu rafiki yangu NI yeyote utakaye mtaja Baba itakuwa sawa Mwana itakuwa sawa Roho Mtakatifu itakuwa sawa kwa maana ukitaja baba ni sawa na kusema mwana na ni sawa na kusema ROho Mtakatifu.Hili ndo fumbo ambalo wengi hawalijui YESU AKASEMA UKINIONA MIMI UMEMUONA BABA. akimaanisha kuwa yeye Si tofauti na baba
@programminglanguagestutori91184 ай бұрын
@@christophersimwinga6689 mimi nikauliza swali wapi imeadikwa yeyeote? Unajua andiko la mathayo 28:19 huwa mnalitumia vibaya?
@christophersimwinga66894 ай бұрын
Niliposema yeyote namaanisha MUNGU BABA AU MUNGU MWANA AU ROHO MTAKATIFU Yani ukisema Mungu wa pekee ni Yesu ni sahihi au ukisema ni Mungu Baba ni sahihi kwa sababu Mungu baba na M ungu mwana Si vitu viwili ni Kitu kilkile kimoja
@DanielErnest-nn2zj5 ай бұрын
Mwankemwa asipo angalia andiko la Uf 22:18-19 linamshtaki, anajalibu kingiza maneno yake ya nje ya biblia
@CHRISTOPHERKAKINGO5 ай бұрын
Aliva mwili akaitwa yesu kabla hajavaa mwili alikuwa nani
@FelixGitonga-co8ng5 ай бұрын
Daniel mwalimu kubali tua mungu baba na mwana mungu na roho mungu hio kwa bilia akuna ?
@Frankgamanuel5 ай бұрын
Nilicho kiona Kwa ndacha anacho kiamini Huwa ataki kuelimishwa zaidi ya hapo Yeye anaamini anajua kila kitu hiyo Ndio shida.
Mwl mwakemwa amekaririshwa theology wachungaji mukubali ukweli UTATU NI Giza totolo
@Shomariamuri15 ай бұрын
Kabisa ndugu yangu. Hata mtoto wa nursery hawezi kubali Mungu mwenyezi alikuja kuzaliwa duniani laaaa 😂😂😂
@habililailo2715 ай бұрын
Wacha mm niongozwe na roho wa Mungu
@Frankgamanuel5 ай бұрын
Ndacha ktk hili humefeli inabidi kusaidiwa
@christophersimwinga66894 ай бұрын
Nyie walimu mngetoa kwanza maana ya utatu utatu ni nini ? Je watu wa utatu wanafafanua kuwa Mungu ni watatu ? Mungu baba ni Mungu pia Mwana wa Mungu Ni Mungu pia Roho Mtakatifu ni Mungu... Lakini hawa sio watatu hawa ni mmoja. sasa unapotaka kujua namna gani watatu wakawa ni moja hiyo ni siri ya Mungu. Kwa sababu huwezi kukataa kuwa Yesu si Mungu wala huwezi kukataa kuwa Roho Mtakatifu siyo Mungu. NAYE NENO ALIKUWA MUNGU andiko hili utalikataaje? MUNGU NI ROHO NAO MWABUDUWO WAMWABUDU KATIKA ROHO NA KWELI. andiko hili pia utalikataaje? Kwa hiyo sasa tunaona Yesu aitwae NENO ni Mungu na Roho ni Mungu .. Kwahiyo namna gani hawa wanakuwa Mungu Mmoja ni Siri.. Biblia inakubali kuwa kuna siri za kiroho .mfano BILA SHAKA SIRI YA UTAUWA NI KUU MUNGU ALIJULIKANA KATIKA NASI TUKAUONA UTUKUFU WAKE. Kwamba ilikuwa ni siri ya kiroho kwamba Mungu alikuwa na mwili kama wanadamu yaani ana umbile la kibinadamu lakini kumbe ni Mungu.Mungu Mtu. Hili jambo lilikuwa ni gumu kueleweka SIRI YA UTAUWA NI KUU MUNGU ALIJULIKANA KATIKA MWILI
@robertjoseph41965 ай бұрын
Ndacha hapa umeferi % zote
@albertvalentino1305 ай бұрын
Hayo ni mambo ya rohoni,hayafundishwi kwa hekima ya kibinadamu --- yaani " kwa kujenga hoja kama anavyojaribu kufanya hivyo NDACHA " Hayo ni mambo ya kiroho,ysnayofundishwa na Roho -- mambo ya rohoni,yanafasiriwa kwa maneno ya rohoni ---- akina Ndacha,ni watu wa tabia ya asili --- (1) Hawna wokovu (2) Hawana Roho mt --- ni watu wa dini tu --- washika sheria kimwili, Mf SABATO,kama ilvyokuwa kwa mafarisayo --- Hawawezi kuyapokea mambo ya rohoni,likiwemo fundisho la utatu,kwao hilo ni jambo gumu,kwa akili zake atasema ni " Upuuzi " --- 1 Kor 2:10 --- 16 --- Ndacha nyenyekea,kaa chini ufundishwe --- " Hauko mbali na ufalme,ikiwa utakubali kufundishwa "
@IsabelClementeNtengo5 ай бұрын
1yohana 5:8-9 dacha ni WA mwili tuu.
@whajavfsb515418 күн бұрын
Chukua muda kujifunza utaelewa tu na nikutoe hofu ndacha yupo sahihi na utamwelewa ukiamua kujifunza pasipo kutanguliza itikadi za madhehebu
@JamesKanyenda-y9y5 ай бұрын
Ndana na mzee wa upako ni ndugu moja
@orestsanga62945 ай бұрын
Kumuelewa Ndacha kwanza unatakiwa kuwa mpinzani wa hilo fundisho. Ukweli ni Ndacha umeshindwa kwa hoja za maandiko matakatifu
@Kuminamoja19955 ай бұрын
M'mungu mmoja ni Allah? Silimu ndacha
@HellenLemilya5 ай бұрын
Logically hata haieleweki Mungu kuja duniani mbinguni alikuwepo nani?
@jamesrichard10845 ай бұрын
Upeo wako wa kufikili mdogo kwani mchawi awezi kuwa paka na muda huo yuko nyumbani amelala sasa kama huyu anaweza Mungu je?
@Frankgamanuel5 ай бұрын
Kwani Mungu anashindwa kitu?..... Maana hata Musa alisema nae Kwa njia ya Moto Akuna kitu Mungu anashindwa kuwa anauweza wa yote Ndio maana tumeambiwa alikuwa mwili kwa jinsi ya mwili mbona Hiko wazi sana.
@EvgLeonidas5 ай бұрын
Mbona uyo mwalimu mmemkata maneno yake kumbe mna upendeleo
@majaliwamsigwa62065 ай бұрын
Tuzidi kujitakasa,hayo mengine tutayaelewa mbinguni,mwenye kujitakasa azidi jitakasa
@IsackMntaji5 ай бұрын
Mch,ndacher,punguza munkari ninyi wote ni wakristo,nakuomba uongozwe na roho wa bwana kama mwenzako danieri ili tuwaelewe vizuri mbona danieri tunamuelewa?
@HassanJabir-g2e5 ай бұрын
haya sas mmesahatueka njia panda hatujui tumfatane nani sas na nyote mnatumia kitab kimoja lakin hatujui yesu ni nani nshagair kuingia kwa ukirsto mana biblia inachanganya
@paulkamula91175 ай бұрын
Ndacha hakuna kitu anajua..
@JohnNchimbi-i8t4 ай бұрын
Wafilipi 2:6 kuwa SAWA na MUNGU maana yake nini?Mwl ndacha nifafanulie!!?
@OmaryKawambwa5 ай бұрын
Fafanua
@Frankgamanuel5 ай бұрын
Simple like that kama Mume na mke kuwa mwili Mmoja why not Mungu anashindwa kuwa ktk hutatu?..... Ndacha ni mwalimu Mzuri Hila nae anaitikadi za Ubishi Ubishi kama wayaudi.
@whajavfsb515418 күн бұрын
Take time to study and pray you will understand what ndacha tried to present to you
@BakangayaBantaba5 ай бұрын
Sasa unapaswa ubatizwe kwa jina gani
@MohamedMohamed-u3t1n5 ай бұрын
Hizo biblia zina mgongano kila mtu anasoma yake na maana tofauti hii imani ya mchongo 😂😂
@philipjoseph59315 ай бұрын
Ndacha Tulia kwanza Ujifunze Biblia. Tatizo lako umesoma Biblia kwa njia ya Qur'an. hapo lazima uchanganye Mafaili.
@japhetndoro65335 ай бұрын
Mwakema ukimsikiza utadhani akosawa lakin hjulikani anatetea nini
@handenitakuru66965 ай бұрын
Kumbe na wewe umeliona hilo😂😂🎉🎉
@dadamuebrania15395 ай бұрын
Kwahiyo hapo Myahudi ni nani na asiye Myahudi ni nani? 😢Yesu tuhurumie imeshindikana kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi? Ninachoona hapa ni kuumana na kulana woiii 😢 bytheway MWALIMU MWANKEMWA SIKUELEWI KWENYE HII MADA.
@albertvalentino1305 ай бұрын
Kuhusu kuwasingizia waroma ni kwasababu ya matango mwitu aliyolishwa na Nabii wao White.
@frankathanas5 ай бұрын
sina Hakika kama unauelewa unabii yaan roho ya unabii vzr
@Nolithajack125 ай бұрын
Ndasha nimukweri hakuna mwalimu wa jumapiri mukweri wote ubwamuntu
@filexbenefits56125 ай бұрын
Yah umbwa walio bubu isaya 56:10-12 si matusi
@EvgLeonidas5 ай бұрын
Kumbe mwankemwa ni hatari hivi nimempata kiboko wa ndacha
@whajavfsb515418 күн бұрын
Asili ..kutokana moja kwa moja na Mungu mfano ambavyo wewe na mwanao mnakua na asili moja
@ChandeDaudi5 ай бұрын
Yesu ni mtume kwa wana wa israel
@noahwamalwa43853 ай бұрын
more mad ni mtume wa kubusu jiwe jeusi
@davidwambura59155 ай бұрын
Usipomuelewa mwankemwa hautamuelewa mwingine yeyote.
@realramjen32705 ай бұрын
Mch Mwakemwa una kitu
@livetrendmedia5 ай бұрын
Elohim is one of the Hebrew words for God, usually referring to the one God of the monotheistic religion of the Israelites described in the Hebrew Bible. However, Elohim is not the only Hebrew word for God, nor is every usage of the word Elohim a reference to the God of Israel, whose name is Yahweh.
@DanielErnest-nn2zj5 ай бұрын
Watu wa jumapili mchungaji wao Mwankemwa kakubali hakuna andiko la Baba, mwana na roho kuwa Mungu mmoja hakuna, ndio atubu dhambi yake ya uongo
@thomasrodriguez76845 ай бұрын
Mwalimu mwankemwa unaeleweka tupatie namba ya mpesa tufanye jambo. Uyu anaekataa utatu Wa Mungu ni kafiri km walivyo waisilamu.
@georgekimasaofficial16295 ай бұрын
Hii sawa kabisa😂😂
@OLUNGAJOSHMAH5 ай бұрын
Hata wayahudi sio wote walio amini Yohana mbatizaji na Mwana wa Mungu
@Pablolookman5 ай бұрын
ukita kujua umepotea fikiria manabii waliopita kabla ya yasu kuwepo duniani walifundisha utatu ?