Kisumu TOWN DAY 2..+254705602959

  Рет қаралды 6,679

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@emmanuelkija6664
@emmanuelkija6664 2 жыл бұрын
Ahsante sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe unaookoa. Nikuombe uje unusuru roho za waislamu huku Tanzania 🙏🙏🙏🙏
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
Kazi njema 🙏🙏Mwalimu wangu Francis Ndacha.Ipo siku Mungu aliye hai atamugusa huyu kiwete atembee katika jina Yesu Kristo.
@magdalenemutua7913
@magdalenemutua7913 3 жыл бұрын
Huyu muislamu anatawaliwa na majini wenzake. mungu awalehemu waisilamu..
@asenathnyanchera3545
@asenathnyanchera3545 3 жыл бұрын
Hahaaa we Paul eti huyu sio muislamu ni karasinga😆😆😆😆
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 3 жыл бұрын
Huyo muisilam ameelewa lakini anajifanya zumbukuku!!
@timothyskama6793
@timothyskama6793 3 жыл бұрын
Haha hiyo ndio tabia yao kujiamini bure
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 3 жыл бұрын
Sir Ndacha you left me speechless 🙊💔😢But no Bproblem you are🏆🏅🥇🏆winning 🏆souls for Jesus to see heaven Gates ❤No matter what comes on the platform No matter how hard it is or how hard it gets You are going to make it happen in Jesus name and we don't give a mmmh about what people are saying ❤
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@obadiahonyancha595 alot
@threebrothers..
@threebrothers.. 3 жыл бұрын
Woooi kujeni githurai waisilamu wamekuja watapoteza watu wooooi
@nancybitutu7861
@nancybitutu7861 3 жыл бұрын
Mungu awalinde na kuwabariki watumishi wa Mungu.
@otienonicholas2048
@otienonicholas2048 3 жыл бұрын
I thank God for the good work brother Francis, may God continue to bless and protect you
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 3 жыл бұрын
God will never leave you empty sir Ndacha I love your confidence ♥You always strike my comrade
@daudibomani1940
@daudibomani1940 3 жыл бұрын
Jamani wakenya mmepata bahati sana maana MUNGU Amewapa vichwa kama onyango kasina ndasha paulo jamani nawengine kibaaaaoO sijui mtajiteteaje siku ya hukumu
@neemairakoze9218
@neemairakoze9218 3 жыл бұрын
Daudi Bomani nikweli natamani duniya nzima kungekuw wahubiri kam hao kweli shetani hangepat wateja wakuingiya nay jehanam shida nikuw wahubir wapo ila hawako tayari kuyahatarish maisha yao kwa ajili ya mtu mwingine wao wanahubir tofuauti kbs na Bibiliya ili ya faida zao na tumbo zao tu ila hakika wa Kenya wamejaliwa kupata wahubiri wakweli ambao hawaogopi kitu kweny hii duniya ila wanaogopa Mungu pekee
@daudibomani1940
@daudibomani1940 3 жыл бұрын
@@neemairakoze9218 naam kabisa kabisa
@judithmoturi3402
@judithmoturi3402 3 жыл бұрын
Good work sir🙏
@bonfacemorara1844
@bonfacemorara1844 2 жыл бұрын
What is the title and choir that song which was played in kisumu meeting Day 1 please
@levisogega2319
@levisogega2319 3 жыл бұрын
Bro I will love to see you
@mofeisal3065
@mofeisal3065 3 жыл бұрын
Ndacha come 2 Eastleigh again 💖💖💖
@IsayaOkwomi
@IsayaOkwomi Жыл бұрын
Injili itaendelia
@hassanmaalim7008
@hassanmaalim7008 3 жыл бұрын
Wazimo kabisa
@furahag3098
@furahag3098 Жыл бұрын
Muniombee nifikapo Kenya mtumishi nitakuita kwetu kilifi hata kabla nikuje naomba uende huko kilifi na ukahubirie hicho kiwanja Cha majaoni primary
@henryosoro7696
@henryosoro7696 3 жыл бұрын
Camera man be professional.. Zoom the video as you did at the beginning.
@lewiskimathichabari7298
@lewiskimathichabari7298 3 жыл бұрын
Kwanini waisilam wamefanya mwiyo yao kuwa ngumu?
@odhunolynet
@odhunolynet 2 жыл бұрын
The same questions rings in my head
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 3 жыл бұрын
God bless u
@1THEBRAIN
@1THEBRAIN 3 жыл бұрын
Acha uongoa ww 🤣🤣
@lewiskimathichabari7298
@lewiskimathichabari7298 3 жыл бұрын
Waisilam vipi nyie? Ata vitabu zenu munakataa? Acheni aya nyie mtangamizwa pamoja na majini Muhammad kawadanganya akawasilimisha majini viumbe mbaya walilaaniwa na makao yao ni njahanamu
@hassanmaalim7008
@hassanmaalim7008 3 жыл бұрын
Murtad unajuwa mungu gani We we siwakiristo walaislamu
@olivajohnkipala1674
@olivajohnkipala1674 3 жыл бұрын
Ndacha songa mbele Mungu wa kweli na wa haki na Kristo Yesu yjuko pamoja nawe hao wakenya wasipokuelewa ni Halali kwa moto
@justineogeto6213
@justineogeto6213 3 жыл бұрын
Muhammad ati alioa mtoi wa miaka sita pia alilala n mfanyakazi n waislam hawatuambii iyo kw nn
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 жыл бұрын
Shenzi
@tubuninakuiaminiinjilituku3969
@tubuninakuiaminiinjilituku3969 3 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 nilijua tu utaishia huko maana siyo wewe ila aliye ndani yako ndiyo mwenye shida
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 жыл бұрын
@@tubuninakuiaminiinjilituku3969 Yesu ni Mwana wa Mungu
WELCOME  TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA..Bungoma Day4
2:20:42
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 8 М.
MADOGOsession 2 last day NA VIJANA WATAWHID
53:14
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 8 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
karibu kwa mkutano kisumu day 3
1:48:09
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 7 М.
kwanini watu wa siku hizi hawataki kile kimeandikwa?
1:02:29
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 2,6 М.
WAKRISTO WENGI LEO NI WAISLAMU! | NABI DAY 10 | FRANCIS NDACHA
2:07:31
BITTER TRUTH MINISTRY
Рет қаралды 320
Mtwapa Day 5 Pt 2...+254705602959
3:47:32
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 18 М.
KWANINI MUHAMMAD NA ASIWE YESU (FULL VIDEO)Pro MAZINGE VS NDACHA
1:38:15
arkas online tv
Рет қаралды 15 М.
ALLAH SI MUNGU WA KWELI (NDACHA Vs SASAKA)
1:31:19
MWL. ISAAC DEME
Рет қаралды 85 М.
KISUMU END YEAR WORSHIP VIDEO 3.mp4
59:02
Dan Mbai
Рет қаралды 291 М.
Mada ya leo yesu ndiye njia(Dini ) ya kweli?
1:28:59
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 11 М.
WELCOME  TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA.. Narok Day  10
1:43:10
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 7 М.
Zaynab bint Jahsh (ra): The Longest Arm | The Firsts | Dr. Omar Suleiman
1:14:11