Únete a este canal para acceder a sus beneficios: / @biblianuruyadunia
Пікірлер: 25
@joysshow94603 жыл бұрын
Waisilamu waBungoma kweli ni shida vichwa butu Nikama walivutiwa na lugha ya kiarabu ambayo hawaelewi
@mwanedufm96.132 жыл бұрын
YAN AWA WAISLAMU HAWAKO ATTENTIVE KABISAA .
@blackdollnelima19353 жыл бұрын
I've been waiting for so long hii mafunzo ifike bungoma kuwaokoa watu wafwate kristo ambayo ni njia ya ukweli, asante sana teacher Dacha and the team kwa kukumbuka watu wa bungoma may God continue to give you wisdom, amen.
@justineogeto62133 жыл бұрын
Wailsam waaaa taabu
@issackabdi70013 жыл бұрын
Quran 3...19 hujasikia
@issackabdi70013 жыл бұрын
Quran 3 ..85
@margaretmargaret57443 жыл бұрын
Even I luck words to explain to you well Ndacha but you are on another level
@josephmazengo11133 жыл бұрын
Ukitaka kujifunza ...inabidi uachane na elim ya kukaririsha na uangalie ukweli....Kristo ndio njia ya kweli na uzima.
@andallaathman38563 жыл бұрын
Ww swali Kako moja ujue hio dini sio ya kweli Leo bibilia zote zikichomwa ww utaeza andika tena hio hio bibilia ?
@issackabdi70013 жыл бұрын
Wapi yesu alihingia kanisa
@josephmusagasa55663 жыл бұрын
Ingia katika Google uone maana ya neno synagogue halafu unishirikishe jibu hilo (hekalu,kanisa la wayahudi) kwahiyo Yesu aliingia kanisani au hekaluni pa wayahudi.
@issackabdi70013 жыл бұрын
Singago
@navokisembo3 жыл бұрын
Waislamu hawana hoja yaani wanababaikaje? So sad jamani muamini Yesu muokoke
@navokisembo3 жыл бұрын
Waislamu hawana hoja ni ubishi tuu kama kawaida yao wakati kweli ipo wazi kabisa. Sasa zamani kanisa ilikuwa senagogi kweli ubishi usokuwa na nguvu kabisaa. Kubalini tuu Yesu ndo njia ya kweli na uzima.
@mercymjunior96844 ай бұрын
Waislamu wameshaelewa ukweli ila wanabisha tu msiba mkubwa huu
@rojahdaudi93063 жыл бұрын
Huyo dada wa ingoo mundu khu mundu na jezi ya kijani kulia kilimani hana buibui na pia anakaa vibaya sababu ana tu flash na camera yake nyeupe
@johnissango23573 жыл бұрын
kanisa sio jengo,kiswahili kigumu kwa waislamu,hawa ndio huita nyumba ya kulala wageni guest,badala ya kuita guest house.yafaa kusema jengo la kanisa hiyo ndio sahihi
@andallaathman38563 жыл бұрын
Ww unao jua Kiswahili Leo umesoma hio comment yako wakosoa watu lugha ya Kiswahili hebu soma tena ujiangalie uko Sawa kweli hahaha ati kuita nyumba ya wageni sio Kiswahili Sawa ni guest house kweli kizungu Leo kimekua Kiswahili nakusema kanisa sio jengo Sawa ni jengo la kanisa hahah 😂hongera kaa hivyo hivyo
@issackabdi70013 жыл бұрын
Hosea 12.9 ....sherehe ya idd ....😂😂😂😂😂😂😂
@emmashariff66223 жыл бұрын
Waislma bure kabisa hata maandiko hawana pia hawajui wanaulizwa nini
@andallaathman38563 жыл бұрын
Hakuna muislam ataenda. Hapo awe Hana hoja wala maandiko na Sisi waislam tunasoma dini sio nyie hamsomeshwi wala hamna tarbia za kidini hamna mmadili hmna hamukufundishwa bt njoo Kwa waislam alafu usilamu ni dini kweli kwnaba Qur'an yetu mojaa tuu ukienda dunia mzima na tumehifadhi Qur'an mzima wakiristo hawaezi hifadhi bibilia Leo zikichomwa watakua zzzz hawana watandika nyengine mandiko yatakua mngune bt waislam zikichomwa tunatoka tunasoma inarudi Ile Ile complete
@mercymjunior96844 ай бұрын
Swali rahisi wapi Muhammad kasilimu na kwa shahada gani anaruka kwa biblia kuelezea yesu kaingia hekaluni 😅😅hawa waislamu ni wa kuhurumia sana wanapoteza mda kwa kuhepa kujibu swali waislamu njooni kwa yesu bado kuna mda mlango wa rehema ukifungwa mtalia😢
@judithmoturi34023 жыл бұрын
Empty Debe wasting time
@ramazecha28773 жыл бұрын
Ndacha hana hoja zke ni propaganda tu
@everlynewanyama4 ай бұрын
Hoja zake ni maandiko kwa vitabu n nyinyi mnashindwa kutetea vitabu vyenu