Kweli Yesu ni Mungu injili imeanguka mjini mtwapa kazi nzuri sana Mungu wa mbinguni awabariki🙏
@roywilliamz95942 жыл бұрын
Mwalimu ndacha may God bless you so much. I've been following you on youtube but, having seen you live at mtwapa , this is my dream come true!! Atleast you enlightened mtwapa... Again God bless you servant of God.
@roywilliamz95942 жыл бұрын
Natamani Sana Mwalimu kua kama wewe..
@presenttruthloudcryforthel53382 жыл бұрын
Ndacha hakuna wa kuzuia hii injili ya Mungu isiendelee
@4-truth.2 жыл бұрын
Shalom wafuasi wa YESU. Badoo waislamu wana jipa moyo. YESU ni MUNGU. Nabii mgani kando na yesu aka jua kuzaliwa kwake maisha yake, hadi kusalitiwa kwake hadi kufa kwake kajua siku ilihali kufa ni siri ya MUNGU kwa nini yeye alijua hadi kufufuka kwake. Kuja kwake duniani akatabiriwa kwa ROHO mtakatifu na kuondoka kwake aka tuachia ROHO mtakatifu. Thibitisho ya alivyo kuja machoni mwa binadamu na kuondoka kwake machoni mwa binadamu aka tuachia nyuma ROHO mtakatifu.
@mwoso2 жыл бұрын
Leo kimeeleweka! Mungu azidi kukubariki mwalilmu Ndacha.
@louisejeanne17602 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah blessed my teacher dacha Kuzaliwa mkristo ni raha sana
@samuelngogo55722 жыл бұрын
Sanam ziko maca
@Aladeide Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂wanapotea😂😂😂
@cultureman85632 жыл бұрын
Masha Allah ustadh Adam umefundisha Mungu ni nani,, mwenye kusikia amesikia,,,, Mungu Amejalia Kila mtu akili walahi Allah
@safaringaku50408 ай бұрын
MMWANZO: 1:26. Ndipo Mungu akasema " Tufanya mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu....." Apo Mungu alikuwa pamoja na Roho wake ambaye sio mwengine ila Yesu Kristo. Yohana 1:1-18 Ambae baadae alikuja kufanyika mwili na akaishi duniani.
@husseindiaby5097 Жыл бұрын
Alhamdulillah sheikh umefunza maandiko ipasavyo
@makutanochristoph28202 жыл бұрын
Waislamu wa sasa ni sawa na wayahudi wa zama za YESU Kristo, kwa maana hoja zao katika kupinga Neno la MUNGU hazitofautiani ni zilezile za mafarisayo. imeandikwa, ole wenu waandishi na mafarisayo wanafiki! kwakua mnawafungia watu kuingia katika ufalme wa mbinguni; nanyi wenyewe hamuingii, wala wanaoingia hamuwaachi waingie.
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
Praise God Brethrens 🙌sometimes we break up with people we love Not because we want but because of the way they treat us
@4-truth.2 жыл бұрын
Koran yenyu Ina daisha YESU ali paa BINGUNI kando na Imani yenyu Ina kataa hakufa na kufufuka. Ni mtu mgani huyo ata paa na kujipeleka BINGUNI akae kwa mkono wa kiume pasipokua na ruhusu ya MUNGU mtu mgani huyo. Huyo huyo mtu akahidi ata rudi kutoka BINGUNI kuja duniani kwa Mara nyingine mahamed akiwa kaburini nani huyo anajipa ruhusu atakavyo kama yeye sio MUNGU
@lewismurithi95782 жыл бұрын
Victory belongs to Jesus Leo mumewafunza vilvyo inaonekana mliomba sana roho wa kristo Yuko ndani yenu
@rosemutinda30762 жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏Leo mkutano umebarikiwa sana 🙏🙏
@rosemutinda30762 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 sina mda wa kubishana na waislamu wabishi kama wewe wanakana sukari ikiwa kwa mdomo🤣🤣🤣just look at that congregation, hata hao wanaona walimu wakiislamu wameishiwa hadi wakatoroka kabla ya mada kuisha hadi wanasahau simu 😅😅..hapo wailsmu hawatawai weka mkutana kwa wamejulikana
@rosemutinda30762 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 wewe huwezi elewa mada. sikiliza debate side mbili usiegemee side moja, kwa sababu chenye unasema, ni vile umeskia mwalimu wa kiislamu amesema,lakini chenye Ndacha anaufundisha huskizi. Hivyo ndivyo mnafanyanga..Bibilia Hakuna waungu wawili, Mungu ni mmoja aliye Baba na Yesu ni Mungu kwa kulidhi Uungu wake kutoka kwa Baba.. Lakini kwa sababu muislamu kama wewe ni wakupisha huwezi sikiliza mada ya masaa manne yote uelewe. Unasikiliza mwalimu wenu husikilizi Ndacha anavyofundisha..nyinyi ndio mko na waungu wengi si mmjoa, na Ndacha ametoa andiko mwalimu wenu hakulivunja.
@rosemutinda30762 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 tena wanaosema sisi tunekufuru ni majinni kwa sababu ndiyo yanasema Mungu hana mwana, sasa Qor'an kusema tumekufuru haitustui imagine😁😁.kama Qor'an 72:1-3 hayo maandiko hayakuwa hapo, tungeikumbali lakini kwa sababu Mungu anajua hila za shetani, Mungu hawezi taka tupotee, ndio wenye kuandika Qor'an waliyaweka na hatuwezi yakubaliana na mapepo nefa eve 🙅♀️🙅♀️
@rosemutinda30762 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 peleka porojo msikitini😏😏mimi hata utoe aya elfu moja kwa Qur'an siwezi amini kwa sababu ni kitabu cha majini.
@benardnjoka535910 ай бұрын
Siezi eda kuabudu pamoja na majini
@4-truth.2 жыл бұрын
Mwenye kiti wa kislamu nithamu yako duni sanaa. Wewe kama binadamu uko na mke uko na watoto vile wewe ni mjomba ya watoto wa nduguzo pia labda kabarikiwa ukaona wajukuu. Swali kwa mwenye kiti wa kislamu kwani wewe mko wagapi ushikilie hizo hathi zote wewe ni mume wa mkeo, baba ya watoto wako, mjomba ya watoto wa nduguzo pia babu ya watoto ya watoto wako. Bila kuisahau hio mwenye kiti kapewa kwa kuineza ijili ya YESU MWANA WA MUNGU . Kwani mke wako ana wanaume zaidi ya Sita kuzidisha Wewe kama mwenye kiti hao watoto sio wako kusundi tunakujua kama mwenye kiti wa muhadalo wala sio mume wala baba. Nakama uta katalia hizo hathi zote. YESU NI MUNGU na sio watatu mbali ni MUNGU mmoja mwenye hathi tatu. Upubafu ndio uta Wacha na fikira za punda wala mtoto wa binadamu hawezi kuwa na wazo kama lako. Ilihali eti ww ni mwenye kitii
@SeuriLukumay-f3e2 ай бұрын
🎉 Mesita ndasha ndugu angu pokea salamu yangu
@bustedislam35782 жыл бұрын
Waislamu poleni sana. Kwanini kukimbiya? Hakuna medal mtapewa. Kaeni na toeni hoja nzima. Kukemewa ni kawaida alafu mtajipanga vizuri. Zaidi ya hayo, mtaujua ukweli nayo kweli itawaweka huru
@bustedislam35782 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 Umeambiwa maranyingi usome kwanza Biblia vizuri kisha uweze kuhojiana nasi. Hujielewi mwenyewe. Unasema mambo ambazo haiziko ndani ya Biblia. Ona jinsi walimu wenu wameaibika sana. Na niwenye kuaminiwa nanyi... Poleni kabisa.
@bustedislam35782 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 Uko hatari kabisa. Una ukuta nyingi ndani yako. Nilisha kuambiya siwezi kuingiya ndani ya dini ya majini na mashetani. Shetani na majini ni waislamu Kufwatana na vitabu vyenu. Pole kwako
@bustedislam35782 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 pole kwako, dini yenu inatetea sana majini... Siwezi kujiunga nao. Kwanini watu wakitoka katika uislamu wanaogopa kukufa, kuuliwa na waislamu? Sijaona aliyekuwa mkristo kuogopa kuuwawa na wakristo...
@bustedislam35782 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 Uko na shida sana kabisa. Uwe nasoma vitabu kabla ya kujadiliyana na yeyote. Pili, ukifwata mijadala, fungua vizuri macho na masikio yako. Walimu wenu wamefeli hoja zote na wamekimbia kabisa. Tatu, vitabu vyenu vinasema murtadi anapashwa kuuwawa. Wewe unapinga hiyo? Wewe siyo muislamu kamili. Ukiwa muislamu kamili unapashwa kuua murtadi, Kufwatana na maandiko yenu. Nenda kasome kwanza...
@bustedislam35782 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 Hii ni ndoto ya kipofu. Nakuambia tena: siwezi kushirikiyana na majini na mashetani ndani ya dini yao, uislamu. Mimi nina uzima wa milele kupitiya Yesu Kristo. Siwezi kufwata marehemu Muhammad niache Yesu Kristo aliye hai. Ndani ya Yesu Kristo niko huru.
@nicholasmurithi62932 жыл бұрын
Mungu azindi quwa nanyi vidume
@4-truth.2 жыл бұрын
Waislamu muache porojo kama mifano yote ilikua ya MUNGU. MUNGU hafanani na yeyote. Nabii mgani alifanana na YESU hakuna nabii yeyote kafanana na YESU isipokua Kafanana na mifano ya MUNGU. YESU katumwa kwa wana wa Israeli Mohammed ni mwarabuu. Ww nahio rangi nyeusi ukawa mwarabuu. Wacheni mazigaombwe nyinyi waislamu
@Streetplaces2 жыл бұрын
Barikiwa watumishi wa Yesu.
@Streetplaces2 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 wewe Soma tena Quran Surat 72..hao viumbe kasilimu! Niwaislamu! ....Ajabuu!!! Nabii NUHU kawafunga wasitusumbue; Soma Kitabu cha "JASHER" Nabii ENOCH kawambia Malaika waasi hamna msamahaa! Soma Kitabu cha Nabii ENOCH.. MFALME SULEMANI kawafunga akitumia Pete aliyopewa na MTAKATIFU MIKHAELI..Soma Kitabu cha werevu wa Nabii SULEMANI. ...YESU kawafukuza Ndani ya Watu. Swali ni mbona hamsemi kuna NYOKA WAZURI ULIMWENGUNI?? ..kaka please Tungoje KIAMA!
@ezekielmwamba91062 жыл бұрын
Shalom BND MINISTRY Be blessed
@abdallahdataguy2 жыл бұрын
hapo wakristo wakatoliki wanamfurahia Ndacha anapobishana na waislamu mwishowe anawakanyaga wakatoliki kuwa hawana dini ya kweli sijui wanajisikiaje 😊
@justintabu7291 Жыл бұрын
😂😂😂
@muhammedsuleiman21372 жыл бұрын
unadhani kushangiliwa na wasio na dini ndio ukristo itakuwadini ya kweli nita
@naiknaik281610 ай бұрын
MashaAllah sheikh wetu mfundishe hawo wakirsto ambao wanapotezwa na mapasta kanisani
@navokisembo Жыл бұрын
Waislamu bana wao wanataka waongee maneno ya kashfa ila wakristo wakiogea some jokes wanamind saana. Waislamu dawa inawaingia ndo maana wamekaa kinya aisee sio kwamba wanaafabu sio kweli
@piscaskasesetv15342 жыл бұрын
Ndacha Waislamu hawa muwezi
@macdonaldotieno50102 жыл бұрын
Waislamu ni mdomo tu
@DavidBarasa-jo9kt6 ай бұрын
mwalimu ndacha tunakuhitaji mombasa kongowea
@abdallahdataguy2 жыл бұрын
halafu waislamu kwenye uhalisia hawali nguruwe wakristo wanakula ila kwenye mdahalo waislamu ndiyo walaji wa nguruwe. dah! mtihani kweli 😂
@VybzMtaani2 жыл бұрын
Cameraman stop the unnecessary panning. It's annoying, concentrate on still shots
@muhammedsuleiman21372 жыл бұрын
eloy eloy limasabaktani ? kumbe mungu huwaga onaomba msaada akizidiwa?
@zedimohamed80332 жыл бұрын
Janani katika watu wasoelewa wakiristo namba moja hamujielewi endeni mukasome waislamu walimuwenu mutabaki na ushindanitu
@justine-2707 Жыл бұрын
Hiii inatwa masenge sent
@benardnjoka535910 ай бұрын
Siku ya kwanza kumuona Adams Kwa mjadala
@jannyrose53672 жыл бұрын
Jesus is the Lord forever 💪💪
@jannyrose53672 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 kwani unatarajia Muhammad aseme nini ila kupinga kristo, Quran ni ya kupinga kristo 🤔 Jesus Christ is the Lord forever,and every knee shall bow, and every tongue will confess Jesus Christ is the Lord!
@prochesernest54392 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 bilshaka dini mbele ya Mungu ni usilmu ni majini yanasema hivyo Muhammad aliyasimisha na shetani akasilmu kitabu Cha majini
@fridamugure54722 жыл бұрын
Kuja lamu mwalim
@safaringaku50408 ай бұрын
We uliza swali na uende uache ujibiwe.
@harrisonkazungu779310 ай бұрын
HAPA LAZIMA KIELEWEKE KUKURUKAKARA
@rossarutasha93912 жыл бұрын
Huyo anataka pesa tu leo msimpeee chochote
@4-truth.2 жыл бұрын
Wame alikwa wakakule ngurue hawataki andiko. Hili ni adiko nime wapa wajisomee MATTHEW 8:21 One of the disciples of Jesus said unto Him: “Lord, suffer me first to go and bury my father. MATTHEW 8:22 Jesus said unto him “Follow me: and let the dead bury their dead.” The Spiritually dead will always bury their dead loved ones in a manner, that exhibit pride of life, which is not of God, but of the world. (I John 2:16).
@muhammedsuleiman21372 жыл бұрын
mtwapa day 6 imefichwa wameadhirika.
@muhammedsuleiman21372 жыл бұрын
wakujuwe wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu kristo uliye mtuma .hi! kumbe Yesu katumwa na Mungu ? endekea kusema ati Yesu ni Mungu il ukise uzima wa milele .17/3 yohana ,aya hii inatosha kuuraruwararuwa ukiristo wa paulo .hahahahahahahahahahah.eti nini nauzima wa milele ndio huu wakujuwe wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu kristo uliyemtuma
@bustedislam35782 жыл бұрын
Surat An Nisaai 171. Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na NENO LAKE tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Yesu ni mtume, ni neno na ni roho wa Mungu. Kwanini marehemu Muhammad hana hizi sifa zote kama Yesu Kristo?