BIG CHAWA FT. AFANDE SELE - BANGE MBONA FRESH TUU

  Рет қаралды 74,307

BIG CHAWA

BIG CHAWA

Күн бұрын

Пікірлер: 170
@mufasa2079
@mufasa2079 4 жыл бұрын
Respect Afande sele...watching all the way from Kenya
@sahimjuab3530
@sahimjuab3530 4 жыл бұрын
Saw mungu banged kaumba Ila hakuhalalisha ivutwe we VIP acha uchiz ata mungu kaumba Moto bends kauvae .
@rizlambajuni
@rizlambajuni 4 жыл бұрын
Itukuzwe bangeeee🤗
@seifhamood1355
@seifhamood1355 4 жыл бұрын
Afande kalewa naona jasho la bia linatoka ila bado yuko juu aliona jasho labia gonga like kama mm
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 жыл бұрын
Mimi pia naipenda sana BANGE inafaida nyingi kwanza ni zinaongeza OMONI za kiume kwa mwanaume na kwa mwanamke Na pia inatibu kansa zote zakike na zakiume na pia inatibu kifua kikuu na sefla n.k watanzania Tuelewe hilo wazee
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 5 жыл бұрын
Hakuna cha bange wala nini broo kaongea point sana mnaemuona chizi nyie ndio vichaa muende soba house lakini cyo brother sele
@abasiawazi1694
@abasiawazi1694 5 жыл бұрын
Kama umewaona watoto wanauza sura gonga like
@barikiarastus8770
@barikiarastus8770 4 жыл бұрын
Chawa ukikutana na akili kubwa km ginious afande jitahudi kuuliza vitu vya msingi.
@chunojuma4973
@chunojuma4973 3 жыл бұрын
Kaaabiisaa kakutana na kichwa kizima
@tanzaniadar5227
@tanzaniadar5227 5 жыл бұрын
Kama unaangalia kama mimi 2020 gonga like tujuane
@ramboy9878
@ramboy9878 4 жыл бұрын
Bag noma
@AthumanMussah
@AthumanMussah 5 ай бұрын
Kwel ..bro. mfano mkude nungu nungu
@gerkombo6512
@gerkombo6512 5 жыл бұрын
Bangi is from garden to mouth😃
@agnessshirima5494
@agnessshirima5494 3 жыл бұрын
Hahaa Umesema hkun Mungu hpo ilikuaje
@rebeccaisack6481
@rebeccaisack6481 4 жыл бұрын
Kama sereman Good
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 5 жыл бұрын
Kweli Bhangi mbaya. Kwani vyote vilivyoumbwa na Mungu ni vyaku2mia ?! Basi hata Mashoga nao watajitetea wamaumbwa na Mungu. Vingine ni mtihan havipaswi ku2miwa.
@sirialemmy37
@sirialemmy37 4 жыл бұрын
BIG CHAWA. Man napenda sana sauti yako. Leo umenichekesha sana kwa clip yako ya Mpoko na Zimbwela ulipokuwa unauliza, MPOKI WHERE DO YOU LIVE AT A PLACE?
@bigchawa942
@bigchawa942 4 жыл бұрын
Jamaaani...✋
@sirialemmy37
@sirialemmy37 4 жыл бұрын
@@bigchawa942 Nimecheka sana leo. Hadi nikashare hiyo clip kwa marafiki zangu wengine. WHERE MPOKI YOU LIVE, ME I LIVE MASAKI THEREEEE! WHERE YOU LIVE AT A PLACE. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙋‍♂️ nita subscribe channel yako. So ZEMBWELA, WHAT YOU SAY ABOUT THE WEZA SITUATION 😅😅😅😅😅😅😅😅👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍 Nimefurahi sana leo
@chunojuma4973
@chunojuma4973 3 жыл бұрын
Mtangazaji hajuii....hahahaaa kakutanaa na akilii kubwaa kapwaayaa
@kingdeetv2712
@kingdeetv2712 4 жыл бұрын
Marijuana is from farm to mouth 😂
@saidkassim196
@saidkassim196 5 жыл бұрын
Ha ha ha! kama unamsongo wa mawazo, mahojiano haya ni tiba tosha
@bigchawa942
@bigchawa942 5 жыл бұрын
Ha ha ha ha
@kassamruzuru4913
@kassamruzuru4913 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@maryamhaji2015
@maryamhaji2015 4 жыл бұрын
Afande nakukubali sana my brother we nimtu wawatu moro juuu
@kennedyjohn6788
@kennedyjohn6788 3 жыл бұрын
Hakuna kosa alilofanya Afande sele nikutokana tu nakipindi kigumu alichokutana nacho chakumpoteza mtu wake aliyemwaminia sana kwahiyo anapaswa kusamehewa tu
@josephngonyani4406
@josephngonyani4406 3 жыл бұрын
Daaaa mshkaj huyu
@jeshiichazz9915
@jeshiichazz9915 5 жыл бұрын
Kwa mwendo huu bora bangi iendelee kukatazwa tuu
@mataamiry6720
@mataamiry6720 5 жыл бұрын
Acha ubaguzi mjomba bange kavuta paka obama
@erickmaro9458
@erickmaro9458 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 4 жыл бұрын
Wewe hujui umuhimu wa kuvuta bangi ndo maana unaongea usichokijua..cyo kosa lako
@neemamasuka8730
@neemamasuka8730 4 жыл бұрын
Hajui boya huyu
@rizlambajuni
@rizlambajuni 4 жыл бұрын
Tako weee
@braitonkajugu2676
@braitonkajugu2676 5 жыл бұрын
Afande sela umesama kitu poa bangi iko sawa ,,kutokea 254
@salummuhija4435
@salummuhija4435 5 жыл бұрын
Mfalme wa kwanza na wa mwisho, akili kubwa sana
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 4 жыл бұрын
Big up mtangazaji kwa style yako,, Afande sele busara kila siku zinazidi kukua watu wa moro tunajivunia kuwa nawe
@onionpeeling5822
@onionpeeling5822 4 жыл бұрын
Asiwadanganyeni huyu .. acheni bange, nywele chaneni na muwe mnaogaga mjipende na mvaege vizuri acheni uchafu wa kufuga minywele na kutooga na mibange bange hata mabinti warembo wasafi hawapendi na sio ustarabu
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 5 жыл бұрын
ILA JAMAA LIMEONGEA POINT SANA BIG UP KAMKUBWA ALLAH AKUONGEZE KTK HAKI WW PAMOJA NACC
@yusuphcosco6493
@yusuphcosco6493 5 жыл бұрын
Huwa napenda kusikiliza intavuu za king sele na chid benzi huwa zinanifurahisha sana nakujifunza kitu kbs
@Basagamp4
@Basagamp4 5 жыл бұрын
King Selemani Wa Muda Woote katika Muziki wa Bongofleva
@dakkitv8248
@dakkitv8248 5 жыл бұрын
Daa kaka basaga kila cku nakufatilia youtube ila mambo mapya siyapat kaka
@Basagamp4
@Basagamp4 5 жыл бұрын
@@dakkitv8248 Ooh Shukrani saana kwa Hilo. Nimepandisha audio Mpya JuziJuzi tuu nimefanya na Songa & Bugalee. Hata hivyo nipo ktk Harakati za Kumalizia Video yangu Mpya tukijaaliwa Mambo Mazuuri very soon. MUNGU akubariki ndugu
@CSMAPESA
@CSMAPESA 3 жыл бұрын
Mbn linaongea point sana kama halijavuta jmn
@hasanihamisi2294
@hasanihamisi2294 4 жыл бұрын
Bora bange kiliko pombe
@shabilyjaa5365
@shabilyjaa5365 4 жыл бұрын
Anayekubali. Maneno yaafande. Tujuwane kwenyerik
@sirsebaonline9106
@sirsebaonline9106 4 жыл бұрын
Suleman msindi kichwa sanaaa
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 5 жыл бұрын
Jamani kwanini huyu baba yetu anatoa jasho sana. Amekuwa kama mm nikiwa DAR mpaka natamani nirudi kwetu vijijini.
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 5 жыл бұрын
Uwiii ana akili
@jovintosssi3287
@jovintosssi3287 5 жыл бұрын
@@kitonekantasha1687 😂😂😂😂😂
@richardaron8797
@richardaron8797 4 жыл бұрын
Mmoja mlev , mmoj mbabaishaj haaaahaaaa
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 4 жыл бұрын
😂😂😂marasta banaa
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 5 жыл бұрын
nani anazeeka vibaya??? 😁😁😁😁😁😁
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 4 жыл бұрын
Sure Gig money anajua kuimba !!
@brightvatta284
@brightvatta284 4 жыл бұрын
IQ sana huyu jamaa
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 Жыл бұрын
WEWE BAKIA NA BANGI ZAKO MAJIBU YAKE UTAYAPATA MCHEZEE MUNGU TUU TENA UNAMSHIRIKISHA MUNGU KWENYE MABALAA YAKO. KWANI HATA VIBAYA VILIVYOUMBWA NA MUNGU UNACHEZA NAVYO???
@hamicdiego5481
@hamicdiego5481 4 жыл бұрын
Nouma xana bro🤞🤞
@rashid.mwenyezimunguakurin2968
@rashid.mwenyezimunguakurin2968 4 жыл бұрын
kwaiyo vitu vyote virivyo ubwa vinafaa kutumiwa unayumba
@mbagumusic8690
@mbagumusic8690 5 жыл бұрын
Bangii nomaaaaa sele wa bangi kabisaaa
@nivogee9830
@nivogee9830 4 жыл бұрын
We ndo bangee
@franknantalila1588
@franknantalila1588 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ajui kupangilia interview zake anauliza kinachokuja tu moyoni
@homeboy6004
@homeboy6004 4 жыл бұрын
Frank Nantalila nime’subscribe BIG CHAWA kwajiri hiyo
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 5 жыл бұрын
Bi chawa bwege kweli eti tupate wadhamini kwanza
@cosmasevarist6221
@cosmasevarist6221 5 жыл бұрын
Nimekuelewa Afande sele!!!! Bigup
@kaskaziniansgang1288
@kaskaziniansgang1288 4 жыл бұрын
Afande wa hii interview ni tofauti na. Afande wa Instagram
@peterhano8706
@peterhano8706 5 жыл бұрын
Duh kweli dunia mapito 2 Hamna jipya chini ya jua
@amonivalentnomsigakali3359
@amonivalentnomsigakali3359 4 жыл бұрын
😎apo kwenye dini yako apana sikusapoti mkubwa wangu
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 4 жыл бұрын
"Mmoja mlevi,mwingine MBABAISHAJI" 😂😂
@tadeustemba4549
@tadeustemba4549 5 жыл бұрын
Anajua vitu vingi
@praygodshayo6324
@praygodshayo6324 5 жыл бұрын
Asante sana ukweli haushindwi ila unachelewa
@shedrackmwaipopo7253
@shedrackmwaipopo7253 4 жыл бұрын
Huyu ndyo simba
@nivogee9830
@nivogee9830 4 жыл бұрын
Ozaa big chawa watu kama hawa uwe unauliza mambo ya maana maana jamaaa anajua vitu kibao na vya msingi
@khadijabwikitia8367
@khadijabwikitia8367 3 жыл бұрын
Wewe sele achabangi mungu anakuona ujuwe
@fatumakeche8788
@fatumakeche8788 5 жыл бұрын
Hapo bange ndo zinaongea hakiamungu,kama pafu moja miaka mitano sa sijuhi hapo miaka mingapi hapo jamani mungu akuhurumie
@nivogee9830
@nivogee9830 4 жыл бұрын
We mwenyewe bangee ndo maan ata huelewi anachoongea maana kila point jamaa ina make sense
@benedictbenn2632
@benedictbenn2632 Жыл бұрын
Seleman Msindi
@sirsebaonline9106
@sirsebaonline9106 4 жыл бұрын
Tunda saivi mkubwa sana
@elsonyohana8535
@elsonyohana8535 5 жыл бұрын
kwel naona afande ashasizi
@lionking3015
@lionking3015 5 жыл бұрын
Genius ni kichaa🤓🤓
@msemakwelimdhalendo7782
@msemakwelimdhalendo7782 5 жыл бұрын
Bang bang jaman vjana tuwe makn ila kama namuona NABII tito.
@youngmasta5444
@youngmasta5444 4 жыл бұрын
Kweli bange nimuhimu watu tuwe na akili tofauti
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 5 жыл бұрын
Ukiwa una mimoshi mingi ya bangi kichwani utazungumza kibangi bangi bangi tu. Sasa kwanini wanaovuta wanachanganyikiwa?
@hopedigitalmedia34
@hopedigitalmedia34 4 жыл бұрын
Nan kachanganykiwa
@jumamasam7451
@jumamasam7451 4 жыл бұрын
Uyo nicmba dume kwl
@salehnahdy5447
@salehnahdy5447 4 жыл бұрын
Genius ni kichaa....😄😄
@chidiomari.65
@chidiomari.65 5 жыл бұрын
Point Afande
@chifunyomboke6689
@chifunyomboke6689 5 жыл бұрын
Hao madada wanaopita Na mandoo yamaji vp wanaenda kumchotea majiya ya kuoqa mfalme?, Kwan anaoqapipanqapi kwa siku?
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 жыл бұрын
bange inaongea
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 5 жыл бұрын
Big chawa sijawahi kumuona
@mataamiry6720
@mataamiry6720 5 жыл бұрын
Mfalme w rymes ni wewe tu
@johngavile5106
@johngavile5106 4 жыл бұрын
Kweli afande
@ongbackkidinindi8246
@ongbackkidinindi8246 5 жыл бұрын
Mmoja mlev mwngne mbabaishaj haha kwel lkn
@franciskianga9950
@franciskianga9950 3 жыл бұрын
👏
@tulisanga2023
@tulisanga2023 5 жыл бұрын
Duuuuuh kwahiyo bange hazina mazara mbona wemwenyew unaonekana zishakuchanganya
@fikiri_lssa
@fikiri_lssa 4 жыл бұрын
Bange Aijamuacha Mtu salama😂
@paulinasemindu1292
@paulinasemindu1292 4 жыл бұрын
kwa mtindo huo bora nikose kula kuliko bando😂😂😂😂😂
@jaquubjummah7538
@jaquubjummah7538 5 жыл бұрын
Hapo kwa Pierre liquid na dr shika😂😂😂
@faylema9534
@faylema9534 4 жыл бұрын
😂😂😂
@aloycemwakatala2634
@aloycemwakatala2634 5 жыл бұрын
Nilikuwa shabiki wako ila kwa sasa umeishiwa mistari kama unabisha tubishane kwa hoja, umempamba wema umesahau umiss alioutafuta mpaka amekatwa utumbo, umemsifia Tito aliyekili mwenyewe kuwa yeye ni shoga, unawachukia Sugu na Professor J kwa ajili ya ubunge wao n.k
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 5 жыл бұрын
😂😂😂Bangi kweli sio chakula
@tadeustemba4549
@tadeustemba4549 5 жыл бұрын
kaka nakukubali sana
@hamidmussa838
@hamidmussa838 5 жыл бұрын
Bangi nyingi nyingi
@salumsalum3792
@salumsalum3792 5 жыл бұрын
Selemani Bangi na njaaa inakusumbuwa dereva gani anayekanyaga mafuta kwenye kushusha mlima
@chanylove
@chanylove 4 жыл бұрын
Kama mungu aliumba bangi uvute Mbona kokwa na embe unalitupa ukisha kula embe? Na mungu ndio aliumba. Sio kilakitu aliuumba mungu lazima tukitumie wewe bwege unaongea tope tu eti na wewe kiyoo cha jamii
@haidadishemahonge9970
@haidadishemahonge9970 4 жыл бұрын
Ndum.. Nying... Sana kala... 😂😂
@onesmomassawe6230
@onesmomassawe6230 5 жыл бұрын
afande sele jitu pori toka moro
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 5 жыл бұрын
Mmmh uyu ndo seleman msindi...ngoja nimsubili afande sele maana uyu cjamwelewa
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 5 жыл бұрын
Afande umeniacha hoi saana!
@felixmoses9863
@felixmoses9863 5 жыл бұрын
BIG CHAWA, hembu acha kumchanganya mjomba hahaaa
@hajiharuna786
@hajiharuna786 5 жыл бұрын
Bangi bana
@bakariabdallah3936
@bakariabdallah3936 5 жыл бұрын
Simba Leo umeonja kabssaaaa yani unatoka jasho kinomaa
@mgayaatanas9493
@mgayaatanas9493 4 жыл бұрын
Mbona mzigira uripo kaa pchafu
@manenomfaume6032
@manenomfaume6032 4 жыл бұрын
BaabuKubwa
@babuufadhili1759
@babuufadhili1759 4 жыл бұрын
Wida man
@chacunkenge516
@chacunkenge516 5 жыл бұрын
Tishaa
@marklupo2978
@marklupo2978 5 жыл бұрын
Bange ni super natural from garden to mouth..😂 😂 😂 hatari sana mfalme sele
@ibrahimfundikira5288
@ibrahimfundikira5288 5 жыл бұрын
Fact hiyoooo😂😂😂
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 5 жыл бұрын
Dah afande😘
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 5 жыл бұрын
Na hayo makanisa ya Mipapaso/kupapasana alikuwa akiyafunguwa una2eleza nini?!
@kevinmabont1339
@kevinmabont1339 5 жыл бұрын
naona bangi tu apo ndo is tallking
@shaurishabani6494
@shaurishabani6494 5 жыл бұрын
Kamanda unaakili sana
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 5 жыл бұрын
Huyu jamaa najiuliza hivi kwanini bado anakula nyama?
@godfreyally7787
@godfreyally7787 5 жыл бұрын
Afande hujamjua vzuri nabii titto kuhusu hayo mambo machachu amba akasome
@killazbaksh1999
@killazbaksh1999 5 жыл бұрын
Presenter hujui kuhoji
@joelkahuya1940
@joelkahuya1940 5 жыл бұрын
Jmn apelekwe soba
@africangirls482
@africangirls482 5 жыл бұрын
Utapelekwa wewe
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 5 жыл бұрын
simbaaaaa.. mtu por
@paulinasemindu1292
@paulinasemindu1292 4 жыл бұрын
jmn hd huruma anaongea,sanaaa nampa papa wap gigi😂😂
BIG CHAWA FT JENERALI ULIMWENGU
23:34
BIG CHAWA
Рет қаралды 18 М.
Sudi Mnette azungumza na  msanii Afande Sele
19:31
DW Kiswahili
Рет қаралды 5 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
BIG CHAWA FT USHUANI KWA NEY WA MITEGO, SANAMU SEBULENI KWAKE
15:19
EXCLUSIVE: Afande Sele 'bangi ihalalishwe tu Tanzania'
6:56
Millard Ayo
Рет қаралды 168 М.
Heavy Stormy Night with Torrential Rainstorm & Very Huge Thunder ⚡⛈ Thunderstorm Sounds for Sleeping
3:39:03
BIGCHAWA FT FIDO VATO MAISHA YAKE NYUMBANI
18:53
BIG CHAWA
Рет қаралды 3 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН