BIG CHAWA FT JENERALI ULIMWENGU

  Рет қаралды 17,714

BIG CHAWA

BIG CHAWA

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@sylvesterlombe6366
@sylvesterlombe6366 Ай бұрын
I am a Zambian I live in Lusaka Generali Ulimwengu was my classmate at secondary school and we were to gather at the university of Daresalaam lam 76 years old Harrison NG'ANDU
@mbuthigathenji7845
@mbuthigathenji7845 2 ай бұрын
Awesome. The last time I saw Jenerali must be in 1974 50 years ago when I left University of Dar es Salaam. It's amazing to see him.
@Chemba67
@Chemba67 2 ай бұрын
Hongera sana Big Chawa....bonge la interview.........umempunguzia tension mzee........umemfanya awe relaxed...
@rwekazamugasha6448
@rwekazamugasha6448 2 ай бұрын
Mwandishi sio msikilizaji nzuri wa kuelekea swali ilitalo fuatia. Hajipanga
@TygahLupha
@TygahLupha 2 ай бұрын
Huyu ndo BIG CHAWAA😅😅😂.. weka pemben chawa wenu wooote... mtangazaj gan angeweza muuliza such questions.. which ndo tunazotaka sasa... hizi za kitaifa zpo kibao tu.. big up BIG CHAWAA
@godwinnkya2023
@godwinnkya2023 2 ай бұрын
Mzee Shikamoo,uchawa haukufai,ungana na Warioba mnyooshe mambo ya katiba,nchi imekuwa vibaya mzee!
@Kasika-hi6hf
@Kasika-hi6hf Ай бұрын
Mzee wa nyagi 😂
@dismasmtui965
@dismasmtui965 2 ай бұрын
Waandishi wa habari wa siku hizi mnakua kama hamjasoma Maswali yenu hua yanatukasirisha sana watazamaji, hamnaga maswali yenye tija
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 2 ай бұрын
Congratulations for a good home,Mhe.Generali Twaha Ulimwengu.
@Chemba67
@Chemba67 2 ай бұрын
Big Chawa mjasiri sana umeweza kuuliza tata kwa mtu mzima tena mwenye nafasi na anayetazamwa na kusikilizwa kwa wingi. Anyway Jenelali ni mkwasi wa elimu ya ufahamu hivyo haikua tabu kujibu hata maswali ambayo wengi wameyaona hayakustahili kuulizwa.
@generosennko8343
@generosennko8343 2 ай бұрын
mengi yalioulizwa hayaendani na calibre ya generali ulimwengu. But i watched anyway.
@paulkasunga8817
@paulkasunga8817 2 ай бұрын
We litoto n lipumbavu sana
@noelnoel4916
@noelnoel4916 2 ай бұрын
Big chawa general interview zako nzuri
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 Ай бұрын
NI MASWALI GANI HAYO?
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 2 ай бұрын
Generali ulimuwengu kibaraka cha wazungu
@CHRISVISION-z9x
@CHRISVISION-z9x 2 ай бұрын
Tunachie mzee wetu kahoji wajinga wenzio please
@shikonyimchuma4967
@shikonyimchuma4967 2 ай бұрын
Mwandishi maswaligani kwa Mzee na mtu muimu kama Huyu? Maswali ya mhuni
@andrewnyerere3153
@andrewnyerere3153 2 ай бұрын
Jamaa anauliza maswali ya zinaa tu. Lakini ni bora,ama sivyo Jenerali angekuwa ameambiwa ajisalimishe Central.
@elioimer8423
@elioimer8423 Ай бұрын
Umepoteza wakati wa Generali kwa maswali yako ambayo hayana maana yeyote na Sidhani Kama atakupa kazi katika tasnia ya habari . Umefeli interview.
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 2 ай бұрын
Huyu mtu anayemzungumzia diamond anajua anachosema mbumbu kabisa stupid even😢
@emanuelgella8201
@emanuelgella8201 2 ай бұрын
Huyu jamaa kazingua sana, maswali mengi aliyo uliza hayaendani general, hata pia alikuwa akimzuia general kuzungumza mambo yanayo endana na yeye kwasababu Kila general alipo taka kuongea mambo ya angle yake huyu jamaa aliuliza maswali kama vile kumtawala kimazungumzo Ili azungumze Yale ambayo muandishi anataka azungumze.. muandishi ameonesha kukosa ueledi Katika kuendesha vipindi vya mahojiano Kwa watu mashuhuri kama general, muandishi ana hulka za kihuni huni, Hana uwezo mkubwa wa kufikiri na kutafsiri mazingira yalio mzunguka Kwa usahihi, lakini General ameonesha hekima za Hali ya juu na uvumilivu na pia kuonesha kuto zidhia maswali ya muandishi Kwa kumridhisha kisoma, kwasababu muda wote baada ya kugundua muandishi ni kichwa maji yeye amekuwa na plastic smile ili kuficha kuto zidhika kwake,, japo interview hii haikupaswa kurusha hewani kwasababu imeshusha heshima ya General ulimwengu Kwa aina ya maswali Alie ulizwa na yeye kuyajibu,,
@francismassawe1435
@francismassawe1435 2 ай бұрын
Jenerali Ulimwengu this guy is down playing you. You should have stopped him from.interrogating you. Anyway may he has a hidden agenda 9:14
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 2 ай бұрын
Waandishi wapumbavu kama huyu komeni kabisa kumsumbua Mzee wetu. Komeni kama mlivyokoma kunyonya kwa mama zenu!! Huyu Mzee ana authority, busara na uzalendo zaidi ya Samia.. Kumbafu Sana wewe mwandishi...
@betuelmgullu4631
@betuelmgullu4631 2 ай бұрын
Huenda Angelika kusikiliza nyimbo za dini mbona hukumwuliza ????
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
BIG CHAWA FT. AFANDE SELE - BANGE MBONA FRESH TUU
17:47
BIG CHAWA
Рет қаралды 74 М.
BIGCHAWA FT FIDO VATO MAISHA YAKE NYUMBANI
18:53
BIG CHAWA
Рет қаралды 2,5 М.
KAMISHNA JENERALI AFARIKI DUNIA.
2:00
DIPLOMATICK MEDIA
Рет қаралды 4 М.
BIG CHAWA FT MKOJANI TUPO LOCATION YOMBO
13:16
BIG CHAWA
Рет қаралды 877
Wanamwabudu Nani? - Kimazi Jean ft Rev. Mathayo Ndamahizi (covered /Official Music Video)
15:10
Chris Gikundiro & Kimazi Jean
Рет қаралды 2,5 МЛН