Respect sana wana nguu THIS IS REAL HISTORY, 13NOV HIT like
@estaphone11 ай бұрын
Nzuri kweli.mke akipenda hupenda zaidi
@Zulpher-d1x11 ай бұрын
Nmependa sana upo vzri wapenzi hongereni.much ❤❤❤❤ guys
@johannesnyabara252711 ай бұрын
Nyie watu mmebadili kabisa mawazo yangu nakuanza kupenda muvi zetu, mko vizuri sana mtafika mbali
@ZUMBAVEVO11 ай бұрын
Nashukuru Sana ndugu yangu
@immahjayden349411 ай бұрын
@@ZUMBAVEVO movie smart sana,,naomba unieleze jina ya hiyo nyimbo 🙏
@SPENSABOYTV5 күн бұрын
@@ZUMBAVEVOvipi brother natokea Kenya napenda sana kazi zenu naomba tufanye kazi Moja kwa pamoja kama itakubalika
@dorcasmueni229011 ай бұрын
Jameni!! Eleweni!! Mapenzi ni hisia, sio tamaa
@raeljepkemboi893211 ай бұрын
u mean love is making me cry like a baby,,,this movie current all my emotions much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MwanaidSaid-l7g11 ай бұрын
Imenoga🎉🎉🎉🎉🎉 Congratulations 👏👏👏👏👏👏 much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LynnNentayah2 ай бұрын
Mbwela kwa kweli unanifurahisha sana kwa kila kipindi pongezi sana eti silii tena hapo vipi japo ni chungu sana maumivu ni kali big love from 🇰🇪 Kenya shabiki wenu mkuu
@ZUMBAVEVO2 ай бұрын
@@LynnNentayah much respect
@JanvierByacijirwa4 ай бұрын
Yaani ni filamu nzuri sana munastahili pongezi courage vraiment
@mildredowino7323Ай бұрын
I really like it ❤️🎉🎉🎉🎉mpo vzr sana pongezi 🎉🎉🎉 kwenu❤❤❤❤ila mbwela nakupenda sana sana❤
@LucasGabriel-o3p7v11 ай бұрын
Sengo unakuja vizuri,,,unajua kuigiza
@REGINAMUSSA-p8h17 күн бұрын
Napenda movie ikihusishwa na Zumba,sengo ,Kim na babalao mbwela
Kazi safi... nazipenda sana filamu zenu..Zumba VEVO na wenziwo... keep it up.
@ZUMBAVEVO11 ай бұрын
Shukrani Sana
@DanielObara-cv4bi11 ай бұрын
Hilo kofiii tamu kweli😅😅
@JanetRiziki-ut2is5 ай бұрын
Mbwela big up sana broo ❤❤❤🎉🎉🎉
@LucasGabriel-o3p7v11 ай бұрын
Safi Sana,,,huo ndyo uwanaume sasa
@DavidMuthami-q3s11 ай бұрын
Kazi nzuri wadau🎉🎉❤
@JACOBOMUKANDA5 ай бұрын
wouw 9c movie kongole bwela kwa idea uliyotoa aky then ladys kweli mmpegania mnayewapenda kongole sana
@suiteke7 ай бұрын
Waaah! Kazi nzuri sana kutoka kwenu . Hili ningependa nilitazame Kila usiku kabla ya kulala,Hila @mbwela sijui ni kuchanganyikiwa ama muusika Sasha ana majina 2.kwa maana nimemsikia mara tatu akimuita sanura! Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ndanii
@ThumaAli10 ай бұрын
Yani hii Kali sijaona🔥🔥🔥
@Zix-yb1ci9 ай бұрын
Jamani hii move kali sana had wana nifurahisha
@JoyceWaweru-ng9hk3 ай бұрын
Kazi safi Zumba, hongera toka 🇰🇪
@ZUMBAVEVO3 ай бұрын
Shukrani
@theprogrammer33515 ай бұрын
Mbwela kipande chako umekitendea Kazi... Kazi nzuri
@ubahamisi43110 ай бұрын
Sitamani iishe big up mbwela mora love from kenya 🇰🇪
@MastineKiprop6 ай бұрын
Mbwela mtu wangu nakupenda Sana bro
@hassansalim52635 ай бұрын
Zumba na mideku, Mumenifurahisha Sana,
@UpendoMbughi5 ай бұрын
Move za kichawi ni bora zaidi
@EdwardAlfredmdomo-hp1op Жыл бұрын
Wa kwanza leo jamani
@IsakaKiyalo-s3v6 ай бұрын
Mbwela unaigizaga movie nzuri sana has ukiigiza wewe ni mstarabu
@ShamimShahass8 ай бұрын
Kanyimbo katamu mbela njoo unioe mimi achan na mideko hakutaki m nakupenda buree my wangu❤❤❤❤😢😢
@PrincessNarfatАй бұрын
Unaye mpenda kampenda mwengine na uyo mwengine kampenda mwengine 😅hii movie nyie hata naogopa😅😅
@LilianKasudi-d5vАй бұрын
😅😅😅😅😅 aki Iko verse versa so sijui itakuaje hapa inachanganya hapa. Sana
@Damacline400411 ай бұрын
Kim we unafaa kucheza sectar ya uchawi tu ndio inakufaa 😂😂😂much love from kenya 😊
@Zawadikombe-n4t11 ай бұрын
Hongera sana nimeipenda
@AbdallahMgewa8 ай бұрын
Kwenye hii movie nimempenda sana mideko
@brilliannafula576210 ай бұрын
Napenda sana uigizaji wa Mbwela
@hassanabdulrahman383711 ай бұрын
Waaaah hisia bwana
@MiishHassan-qm1et6 ай бұрын
Jamoniii had nimefurah ilivyoisha vzr😘😘
@GibranMwanyalo6 ай бұрын
Mbwela nakukubali mwanzo mwisho mm shabiki yako wa nguvu kutoka Mombasa
@PrincessNarfatАй бұрын
Mapenzi weeeeee 😅😅😅😅😅😅😅
@ayoubucharles414910 ай бұрын
😂😂😂😂 mapenzi we ni noma
@DanielObara-cv4bi11 ай бұрын
Nice movie...
@AliSalum-cn2uw2 ай бұрын
Huy zumb alimpenda sash tang skuli ila bahat haikua yake
@LeviRin-e8u3 ай бұрын
Oyaa Aisee😂😂😂 Odama n wangu😂😂
@dapheenndege71915 ай бұрын
Ila Mbwela na zumba wanakaa visirani sana hawa😂😂😂😂
@CharityMutheu-s2q9 ай бұрын
Kweli nimeamini unaye mpenda anaye ana wake ambae anamoenda sasa ona 😢😢mapezi shikamoo
@ArafaHassan-c9f2 ай бұрын
Mm Niko Zanzibar nafurahia movie zako muko vzr
@ZUMBAVEVOАй бұрын
Shukrani sana
@yosurekirahuka10 ай бұрын
Wooow, i like it, pèrfect job, congratulations
@ZUMBAVEVO10 ай бұрын
Thanks
@SONIVEVO11 ай бұрын
Hahaha nakubari nimependasana
@AikaJuma-m6t10 ай бұрын
Kazizuli sana ina mwanao ina kati nainamwisho
@stephenochieng99362 ай бұрын
Good job mbwela
@MinaniTharcisse9 күн бұрын
Machozi haya huwa yanatokaga wapi?wanasema eti hawawezi kuishi bila wao😂😂😂😂😂maneno hayo bora wayaambie gunia la mchele🤣🤣🤣🤣
@immahjayden349411 ай бұрын
Nzuri sana,,,jamani jina ya nyimbo
@ZUMBAVEVO11 ай бұрын
Nangojea
@MaryRuby-wz6eb11 ай бұрын
🎉nipe nafasi pls
@mosesmashauri242011 ай бұрын
huyu mama kapendeza kweli kuwa mama ake KIM
@RizikiMpwawa4 ай бұрын
Namim nampenda saan mideqo😂
@LucasGabriel-o3p7v11 ай бұрын
Unamuacha anayekupenda,,,na unaumiza hisia kwa asiyekupenda,,,kumbe ww fala weee dada
@loveCatholic25411 ай бұрын
Filamu zuri ila sauti za wausika ziko chini Sana , lakini music ziko juu, fanyia Jambo hili kazi ❤
@MarryIrunde-fk1bw11 ай бұрын
Mideko sauti hatusikii bwan anaongeaje hivo
@TlsmsababKamugisha7 күн бұрын
Mbwela bn ety me mwanaume naliaje 😂😂😂
@dorcasmueni229011 ай бұрын
Mwishowe!! Maumivu yameisha
@dapheenndege71915 ай бұрын
Kim usijaribu huu mchezo kwa real life, utachomwa na maji ya moto wewe😂😂😂😂
@PrincessNarfatАй бұрын
Minampenda mbwela😢😅
@SwalehAthuman-b5s5 ай бұрын
Best of the year
@LucasGabriel-o3p7v11 ай бұрын
Hii balaaa,,hii muvi mbona inagusa maisha yangu?
@saidmduchu8100Ай бұрын
kuna muhuni eti anakataa mzigo mzuri hahahahah
@mwarimwasema826720 күн бұрын
Mbwela❤❤❤
@EnjoyPhilbet3 ай бұрын
Maua yak sashya we ni binti jasir na unajikubar san hujalia kisa mapenz huk ukijua yul unaempend atakuw wak ata akizunguk mar ngap.
@ZayAwazi5 ай бұрын
Eti nimejikazaeee Hahahahaahaha eti Silii tena
@Kanginen11 ай бұрын
Kwan zasha we nawe Kwa kila muvi huwa unakataa2 huyo jamaa
@khalidahmed873110 ай бұрын
movie nzr sn lakin kiuhalisisa ni ngm sn kuish na mtu ambae hauna hisia nae
@SabihaKhalfani6 ай бұрын
Jmn mm kamenikosha hako kajimbo kitam naombeni jina lake pleese😂
@fatmamohammed83469 ай бұрын
mbwela anasauti fulani hivi ya kubembeleza ata km anakwambia kitu cha kuumiza ,,,napenda the way unavoongea una kiutulivu flani hivi huna pupa wala haraka hongera kwa hilo mbwela
@simonlwale11 ай бұрын
I truly loved it..when is the next part please ❤
@ZUMBAVEVO11 ай бұрын
That is full movie
@likongorainer74839 ай бұрын
Kaxi ipo
@ayoubucharles414910 ай бұрын
Upande wa sauti mlifeli padogo
@richhuster2545 ай бұрын
Bwela eti mimi mwanaume silii tena😂
@SalumAli-z4f6 күн бұрын
😂part two
@SAIJOBE4711 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@richhuster2545 ай бұрын
Yani maana yake mmemaanisha madem wameshinda mmeniangusha😂
@kwinshuku61711 ай бұрын
Song name 🎉❤
@bettynyasuguta581611 ай бұрын
Pia mimi nahitaji kujua
@fatmamohammed83469 ай бұрын
jamani naombeni jinabla nyimbo ya ndani ya hiii muvi
@ZUMBAVEVO9 ай бұрын
Msanii anaitwa mtiifu
@fatmamohammed83469 ай бұрын
@@ZUMBAVEVO asante zumba
@richhuster2545 ай бұрын
Nice
@MsalabaniReko2 ай бұрын
Zumba kapendwa
@MartinSumeEmurithi11 ай бұрын
Zumba can only act as a criminal.
@kwekwetsuma352411 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@GeorgeBaya-bd2db4 ай бұрын
🎉🎉
@IsukanijaMoneygr10 ай бұрын
Ivi jamani huu music ni wa nani jamani tutumien lnk bas jinsi namna ya kuupata
@ZUMBAVEVO10 ай бұрын
Anaitwa mtiifu
@fatmamohammed83469 ай бұрын
kabisa ata mi nimeupenda huuu wimbo bilah tena una meseji nzuriiiiii
@fatmamohammed83469 ай бұрын
asante zumba
@NuriaHassan-t4k Жыл бұрын
🎉
@SajorMiduxco6 ай бұрын
Nyimbo inaitwa nani
@ZUMBAVEVO6 ай бұрын
Nenda youtube andika mtiifu
@kelematinlondon8548 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@GeorgeBaya-bd2db4 ай бұрын
Ako kanymbo nka msanii yupi nipemi jina ni chkua hio nymbo plz
@ZUMBAVEVO4 ай бұрын
Mtiifu
@DanielWanjala-oh1bj2 ай бұрын
❤
@SAIJOBE4711 ай бұрын
Zumba vevo
@ashery-jr268 ай бұрын
👏
@IbrahimSelemani-bx1wq6 ай бұрын
Mjinga kweli 😂😂eti vipi nimejikaza eee😂😂😂
@Awakeproduction96 ай бұрын
Mi pia nimeipenda hii pamoja na wimbo naeza pataje