.................. Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii Instagram, Twitter na Facebook
Пікірлер: 136
@SamwelSilvester-sp5ow28 күн бұрын
Eee mwenyezi mungu mlinde makonda na akawe rais wetu amen
@user-oy5pq3eh5yАй бұрын
Mungu atakuwezesha Makonda kuwa Rais wa tanzania,
@jojomario91618 күн бұрын
Mungu akubaliki
@user-sg6iy4kv4yАй бұрын
Makonda anafaa kabisa kuwa kiongoz wa nchi baada ya mama
@shamidubadru9505Ай бұрын
Makonda safi sana mungu akupewepesi katka kazi zako
@user-pf2bu4hn1jАй бұрын
Hhhu mimi ni murundi Ila nampenda Makonda❤❤🇧🇮❤
@kwasmokweka9598Ай бұрын
Makonda apewe nafasi ya waziri mkuu!,anapenda haki na kumwogopa MUNGU.
@DicksonKimoso-ds4xwАй бұрын
Makonda ni rais ajayo ni mtu makini sana kama hayati magufuli baba tenda haki panatendeka wafanye kazi kama KURUTI WA JESHI
@user-gp2ue2ny6nАй бұрын
Mkuu wa mkoa bora zaidi kuwahi kutokea 🎉🎉🎉
@SidatiSaidiАй бұрын
Sio mkuu wa mkoa bora ni kiongozi bora hapa naelewa kwann magufuri alisema atakama elimu yke ni ndogo huyu ni wangu anastaili kuwa Raisi
@user-ku3om4bu8jАй бұрын
hii nafasi huyu haiufaii ahamishwe
@publicityzone9583Ай бұрын
Ahamishwe wewe kama nani?@@user-ku3om4bu8j
@CalninhoMhagama22 күн бұрын
Umesahau agrei mwandl mzee wa injinia somaioooo na yule aliklud nchi itanyooka
@user-eo2jf5cb7zАй бұрын
Mm namuomba Mungu sana ujekuwa rais wa Tanzania
@OmanOman-dd5qk26 күн бұрын
Mungu akupe dalaja lajuuu mkuu pamoja mama samia
@angelfortunatus117Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu Makondaa
@GerardSanga-jq6epАй бұрын
Makonda upo vizuri
@JumaMakalebela29 күн бұрын
Baba makonda Tanya kazi hao ndio wanaochafua sela
@JumaMakalebela29 күн бұрын
Makonda watumbue hao wezi tu
@user-jt7uv6vu1dАй бұрын
Wanyooshe hao wahujum uchumi
@user-db9hx8xp9eАй бұрын
Uko vuzuri Kamanda tunakuombeya mungu uwe rasi wa inchi yetu makonda
@olesaitotilaizlaiz1766Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 mwaka huu mta ona moto,,,,,,
@trillionthamaniАй бұрын
Hii style ni nzuri,spana spana
@user-ee1el5pe9dАй бұрын
maisha marefu baba kegan
@user-rj5ct4bz6j28 күн бұрын
Makonda upo sahihi Sana kaka
@allysaidy184012 сағат бұрын
Qmmqe monduli kazi wanayo😊😊😊
@saidsai84628 күн бұрын
Ndugu mkuu wa mkoa wa Arusha viongozi wengi mnao wateja ni viongozi waizi kwani wengi hawana ueredi wa majukumu mnayo wapa hawajui hata Sheria na kanuni za nchi yetu
@FestoMbwilo-xf9pxАй бұрын
Watakuchukia ila piga kazi
@magrethdaniel8441Ай бұрын
Yani wenye vieo ndyo wanaongoza kwa wizi ila vibaka wanachomwa moto wezi wako maofisini wanakula kiyoyoz dah nchi yetu jamani
@aizzyashery5564Ай бұрын
Mkuu wa kwanza wa mkoa hatari kuliko wote ndo huyu
@kaaakwakutuliaa5179Ай бұрын
ukiona camera za kimataifa zimeanza kumsogelea makonda ujuee kuna mataifa yana mzoom
@user-yn4ev5gz7c26 күн бұрын
ccm oyee
@emiliamlolere574817 күн бұрын
Huyu mkurugenzi mbona ananichosha. I doubt her. Inasikitisha sana Mkurugenzi anaongea hivo, ivi Ana utimamu wa taaluma yake kweli?? Shame on her
Hovyoo kabisa. Apishe hiyo nafasi haimtoshi! Sijui aliipataje ?
@yohanaisayasimoniАй бұрын
Ipo siku utakuwa raisi
@aderanderwa7623Ай бұрын
Ni kweli
@AibaSaidy-jz3xsАй бұрын
Makonda ndo mkuu wa mkoa wa wakuu wote tz
@sudymohamedy971728 күн бұрын
Makonda I love so much
@brunidamadege374727 күн бұрын
Waaaapii layzaaa!!!. Kule kwetu ulituonea sasa jeee?
@SimbaNaali-fw3zzАй бұрын
Makonda kamanda nitafute nikupe mbinu za songea mbane waliosoma cuba wanaelewa maan wahuni hawakupendi nadhan umenielewa
@mwajumaomary191813 күн бұрын
Hao wakurugenzi wetu ndo wateule
@NengaiiLelya-ty5nn15 күн бұрын
Jamani makonda awe rais hata kama ni miaka mingapi ijayoo
@SusanaSimoniАй бұрын
Paulo makonda Rc wewe ndo Rais wa nchi yetu baada ya huyu mama kumaliza muda wa ke ,2030 ccm wasituchanganyie habari 2030 makondaa
@evancetarimo1310Ай бұрын
Asee huyu jamaa mungu amuache hapo
@nyoracnn725613 күн бұрын
Huku kwetu mpaka sasa maduka yamefungwa serengeti
@Nyanimzee20 күн бұрын
Nakubali njombeya nikupe ng'ombe
@ENOCKKIPANGA19 күн бұрын
Yani huyu makonda akachukue. Form
@yohanaisayasimoniАй бұрын
Dawa ya wizi ni kuondilewa kwenye uongozi
@abdulazizabdillahkijaro307012 күн бұрын
Huyu mkurugenzi pia mwizi
@ANNAKISIGA-pc5qs18 күн бұрын
Utawwla.awa mama ni wakujichotea tu wananchi tunapata shida kila siku pandiahiwa mabando na sukar
@DafiMohamed-dz8xkАй бұрын
Wezi wote washikwe na wafungwe huyo mama ndio wote wamoja tu wafungwe jela kama wameshikwa cha kusubiri nini? Nchi imeoza Makonda wafungwe tu
@ankoanko-zz7itАй бұрын
Wakamatwe maramoja
@ANGELINANDALONdalo24 күн бұрын
Makonda baba nyosha yaani wabakaji wanatuhalibia watoto wetu
@user-nt4rt4hz1h19 күн бұрын
Ni kutumbua tu hana kazi yoyote inayo fanyika hapo.
@latifasuleiman752726 күн бұрын
Making ❤❤
@user-kw5pb9dd7p19 күн бұрын
Duhuuu
@justerissaya9165Ай бұрын
Aibu jmn eti mtumishi anaatua za kushghulikiwa😭😭😭😭😭😂😂 duh tutakoma
@WorlduniteАй бұрын
Yaani Makonda umempatia kweli huyu dada
@user-lr1sd3wq4d28 күн бұрын
Yaani hii inchi wanaofaidi wanajijua Sisi walala nishida. Ila dah, nakumbuka kale kawimbo kanakosema Acha waisome namba, ndio namba zenyewe tunazisoma
@user-ds7ho1my4uАй бұрын
Mkuu wa Mkoa, Mh Makonda huu wizi wa Taasisi za Serikali ni mtandao wa wizi hakuna usalama kuhusu Pesa.
@PauloAlfayo-qi1gn22 күн бұрын
Kumbe ccm ni chama nzuri ,ila wapigaji
@aidankatunzi1196Ай бұрын
Wewe Ni Bora Sana mkuuu tunakukubali Sana Ona ss era zinavyoliwa mtu anachukulia poa Yani Hawa mkuuu waziludishe
@Abasi-ej9qwАй бұрын
Safi
@samsonelikana903Ай бұрын
🔥🔥🔥
@abdallahkihanza482Ай бұрын
Huyo mkurugenzi hafai, uwezo wake mdogo ndio maana tunataka nafasi za wakurugenzi zifanyiwe usaili, unaonyesha kabisa uwezo wake mdogo, hata kujibu maswali ya kitoto anashindwa kujibu
@komuhsengo9796Ай бұрын
Sheria zinasemaje Kwa utaratibu huu, tunatatua au tunafanya tofauti na utaratibu WA sheria😮
@kareem118219 күн бұрын
Makonda makonda makonda Nimekuita mara 3
@AlfredAlfred-yd2mg10 күн бұрын
Huyo mkurugenzi hafai hata kusimamia kuku
@loycenicolao748822 күн бұрын
Mapapa yapo huko juu zaidi
@VailettyShigerla-fw2sg18 күн бұрын
Makoda oyooooooo
@ramadhanimohamed4190Ай бұрын
Uyu mama pia ni mwizi
@yohanaisayasimoniАй бұрын
Makonda baba naomba sana utembee kila mkoa bas afu hao viongozi wasiondolewe kaxin kabisa
@AbdilahiMririАй бұрын
Hapo kweli kasheshe lakini kulingana na walivyojieleza si vibaya kutoa muda hata ikiwa kuna wasiwasi wanaweza kuingia makubaliano fulani. Kwakuwa ukihamaki zaidi pesa itaweza kupotea kabisa Mhe RC Makonda jamani.
@MkapaMmojaАй бұрын
Mkurugenzi akiwa mwanamke so mwinzi sy hila hii nchi awu wapekua wakiseng makond we wa adhibu2 mpa wanyook
@leonardmwayeya1327 күн бұрын
Makonda tunakuomba uje mbarari Kuna maduduhuku sio kawaida
@bernardmdendemi7347Ай бұрын
Mama hafai kuwa mgurugenzi
@sudymohamedy971728 күн бұрын
Kamata mkurugenzi weka ndani
@yohanaisayasimoniАй бұрын
Au wameshirikiana nini mbona anapindapinda huyo mkurugenzi
Wakurugenzi wa mchongo, aliyemteua ni wa mchongo, riasi na wabunge walipatikana kwa mchongo? Na bunge je?? Nchi ya michongo
@richardnganya2311Ай бұрын
Hao ndio wakurugenzi wetu...!! Hata taratibu za utumishi hawazijui. Hovyo kabisa.
@loycenicolao748822 күн бұрын
Anayewachagua nani kwani?
@allenmmari6327Ай бұрын
Unapotaka kumuadhibu mtumishi wa uma, huwezi kutumia njia za kihuni kumuadhibu km kibaka wa mtaani, kuna taratibu zake, ukienda ndivyo sivyo ndiyo yale mtumishi anaiba pesa na bado anawashinda mahakamani na mwisho mnamlipa fidia!
@richardmathayo5537Ай бұрын
kivipi kwenye wizi hakuna sheria inayomlinda mtumishi wa umma
@user13375Ай бұрын
Wez mnateteana😮😮😮
@openmusicglobalrecordlabelАй бұрын
Mwili awezi kulindwa hata awe Rais atalindwa ikiwa nchi kama ni mbovu ukitaka kunielewa tazama Marekani mwili awezi kukaa maana wanaogopa kupoteza nguvu walionayo.
@RobartShello-qj4vrАй бұрын
Jidanganye, wakamatwe ikibidi wafungwe, maana niwezi makonda Yuko sahihi
@ismailmasoud6001Ай бұрын
Sasa ndio inatakiwa wachukuliwe hatua kama vibaka .......halafu uelewe tayari kishakundulika ni mwizi, anapewaje muda ..?
@yohanaisayasimoniАй бұрын
Na kila mtu alipe hela ya usumbufu milioni 30
@DeboraNguraАй бұрын
😂😂..Kwa neno lako mh.yohana
@leoncebenjamin8107Ай бұрын
Ndo uwashauri wakuu wako wakubari katiba mpya!!Ili Sheria hiz ziondolewe
@kamangutv5828Ай бұрын
Makonda anafanya vizuri na anakosea , Sheria za kiutumishi. Mwizi nae anahaki ya kusikilizwa
@KhmsNsrАй бұрын
Mwizi hawezi kumkubali MAKONDA KUMBE munaiba kwakua mnasikilizwa bas endeleeni kuiba spana iyo itawabana.MAKONDA WANYOOSHE WEZI WOTE
@publicityzone9583Ай бұрын
Umekosea kusema mwizi anapaswa kusikilizwa anayepaswa kusikilizwa ni mtuhumiwa tu ila akishakuwa mwizi hamna haja ya kusikilizwa
@alfredziganya1310Ай бұрын
HIYO NDIYO CCM MNAJITEKENYA MNACHEKA WENYEWE ACHINI MAZIGAOMBWE
@user-xl5xi1uq9zАй бұрын
Mwiz mtaani akiiba kuku anapigwa anakufa ila mwizi wa serikalin akiwaibia wananchi kodi zao anatetewa na kukumbatiwa
@NeemaSamson-ti8pcАй бұрын
Naye huyu anajifanya kiongozi bora sasa, ngoja aje kuwa ata Rais muone kama atakuwa hivi
@ikokijuma-zv7wdАй бұрын
Kuma lako fanya wewe tuone na mavuz yako
@NeemaSamson-ti8pcАй бұрын
@@ikokijuma-zv7wd kuma la mama yako mwenyewe ndio maana unafirwa kila siku mkundu wa nyani wewe ata mbwa ana akili kuliko wewe pumbu zako kafie mbele huko umeoza kila sehemu chefuuuuu mavi kweli
@user-rj5ct4bz6j28 күн бұрын
Ww dada chiz kuma lako Yani bd unaona anacho fanya makonda hayana Mana we Malaya kuma lako chafu
@NeemaSamson-ti8pc28 күн бұрын
@@user-rj5ct4bz6j we kundu la nyani kwani we umeotokea wapi si kwenye kuma hukohuko bila hiyo kuma ungekuwepo, shoga mkubwa weeee nauonea huruma huo mkundu wako sijui kama haujalegea na kuanza kuvaa pampasi
@NeemaSamson-ti8pc28 күн бұрын
@@ikokijuma-zv7wd mavuzi yako mwenyewe ndio maana umeoza dume zima unafirwa na wanaume wenzio
@shabanibussara8454Ай бұрын
DED anachoelezea ndiyo ilivyo kwa utaratibu kiutumishi..na Mhe. RC analijua vizuri tu hilo, ila amechagua kutokujua.
Ewe mwenyewezi mungu mtukufu mlinde makonda kwa maslahi ya wanachi maskini wa taifa ili mungu baridi nuru kwake siku 1 awe raisi na kutetea maskini na wote wanaokosa haki
@jokhajjАй бұрын
Amin
@aishakhamis299626 күн бұрын
Ameen
@maswamills3161Ай бұрын
Mwizi anapewa mda wakurudisha alichokiiba kweli!!!! Inauma!!!! Hata huyo mkurugenzi ni mwizi mkubwa.
@user13375Ай бұрын
Mkurugenzi hana uwezo,hakuna kitu hapo😮😮
@festokemibala5832Ай бұрын
Watz bhana sijui nani alituloga, Mkurugenzi anateuliwa na nani ambaye hakuangalia uwezo hadi akawa hapo? CAG yote keshayaanika adharani hivyo hiki kinachoendelea ni kiki tu, waanze na hiyo ripoti!
@hamudshabani7801Ай бұрын
Nchi hii haiendi kwa sababu tumeweka wasomi wapuuzi na wajinga na wasiojali maslahi ya watu na usitawi wa nchi