BILA KUKWEPESHA, CCM DODOMA WAJITETEA - "ALIYEKOSEA KAKOSEA YEYE, SIO MKOA MZIMA"

  Рет қаралды 10,900

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

"Hata kama kuna mambo yameonekana watu kadhaa wamekosea hapa Dodoma sio mkoa umekosea,aliyekosea amekosea mwenyewe,alipoyatoa anayajua mwenyewe lakini mkoa wa Dodoma ndio ngome ya Chama cha Mapinduzi na tuko nyuma yako Mama kazi uzlizozifanya tumeziona na tutakuunga mkono na tutafanya kazi"
"kwa mapema sana hivi wameanza kujitokeza watu wasio muunga mkono nakuanza kuleta mambo ya mgawanyiko,hatutajenga Nchi kwa mipasuko,kwa migawanyiko na kwa tamaa binafsi" amesema Dkt.Damas Mukkasa
BILA KUKWEPESHA, CCM DODOMA WAJITETEA - "ALIYEKOSEA KAKOSEA YEYE, SIO MKOA MZIMA"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 36
@charleswestone7931
@charleswestone7931 2 жыл бұрын
Ila Mungu hampendi mnafiki aliye sema ujumbe umefika au kalusha jiwe gizani tumesikia kelele tunajua teyali
@marymfugwa847
@marymfugwa847 2 жыл бұрын
Pasukeni tu. Tuna subili watakao temwa kwenye baraza la mawaziri hao ndio kundi la Ndugai.
@kaayakitomary1233
@kaayakitomary1233 2 жыл бұрын
Kaz gan kafanya hakuna alichokifanya
@frankndendu2570
@frankndendu2570 2 жыл бұрын
Ndugai hajakosea kukosoa.
@ayubutwalibu2381
@ayubutwalibu2381 2 жыл бұрын
Upo vizuli Sana mzee unahekma kubwa
@JoJo-xh7ph
@JoJo-xh7ph 2 жыл бұрын
Ndugai sijaona baya alilosema
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 2 жыл бұрын
Ndugai kazingua sana
@ayubusaidi922
@ayubusaidi922 2 жыл бұрын
Kauli ya ndugai mnaiponda lakini mwenye kufikili ataifanyia kazi hiyo ni meseji send msichukulie poa tulekebishe tunapo kosea tulizoea enzi ya magu hakai ofisini alikua no mtu wakufuatilia na kutatua kelo kila shehemu Sasa hatuoni hivi Vitu tatueni kero Sio kkutuma
@worldtv9049
@worldtv9049 2 жыл бұрын
Tungeambizana ukweli tungefika mbali,wazungu wanapenda nchi zao wanazipigania,sisi makurubembe ndio shidaaa,tunaendekeza njaa sana. but we must even be Ready to die for our country,maana ni nyumbani kwetu,na kwa watoto wetu,na watoto wa watoto wetu,tuache UBINAFSI.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Kwani sisi tungejua lini kama tumepeshafika mnadaniacha sindano iwaingie tupone wengi
@apostlemnyakongo8439
@apostlemnyakongo8439 2 жыл бұрын
Hiyo njaa mzee
@ntizihabosehassan649
@ntizihabosehassan649 2 жыл бұрын
Wa bongo niatari saana wanafiki saana
@luhindakanige2987
@luhindakanige2987 2 жыл бұрын
Njaa hiyo
@fikirinyanda6805
@fikirinyanda6805 2 жыл бұрын
Unafiki
@floramwanja7860
@floramwanja7860 2 жыл бұрын
Kweli fikir nyandaa,hii ni njaa,kwa hiyo tukopewe kila mahala dugai amesema kweli mikopo mikopo wimbi la ukame mvua haishenyesh kwakuwa nchi haitaki kumrejea Mungu njaa za madaraka,Namkumbuka magufuli mpk mvua zilikuwa zinanyesha😭😭😭
@novatusabond9253
@novatusabond9253 2 жыл бұрын
Njaaa
@JoJo-xh7ph
@JoJo-xh7ph 2 жыл бұрын
Njaa haijawahi kumwacha mtu Salama
@ayubuemanuel638
@ayubuemanuel638 2 жыл бұрын
ndugai hana makosa yani tunatetea mikopo kabisa nchi yetu tanzania hatakiwi kukopa. machinga tumefukuzwa kama kuku kwenye nchi yetu. imekalibia zamu yetu kufukuzwa na kuikimbia nchi yetu kwenda kwa lafik zetu warundi. tanzania iwe ya wazungu
@gojo4276
@gojo4276 2 жыл бұрын
Huyu ni muongo duuh
@meshackntoga1566
@meshackntoga1566 2 жыл бұрын
Mama kesha Wajua WANAFIKI NA WAONGOOOO, Piga mstari haoo. Kazi ni Kazi tu.
@teddysanga1840
@teddysanga1840 2 жыл бұрын
Mmepata agenda njaa
@ANTHONMWANGAKEA
@ANTHONMWANGAKEA 2 жыл бұрын
"Nimekosa mimi"
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 2 жыл бұрын
Tunahitaji watu wanaoweza kutatua changamoto zinazowakabili wananchi sio kusifiana sifiana na kukandiana mitandaOni
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 2 жыл бұрын
Pia tunahitaji watu wa kumtua moyi Rais ili afanye kazi kwa utulivu
@mohamedmagongo9348
@mohamedmagongo9348 2 жыл бұрын
Huyu si ndiye aliyepigwa bakora na Mh. Ndugai hadi akazimia?
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 жыл бұрын
2022 Naiyona mbali 🤣🤣
@khamisishabani3155
@khamisishabani3155 2 жыл бұрын
NIKIONA MIRANGI YA CCM NAWAZA MBOGA ZA MAJANI,SIJUI KWANINI🤣🤣🤣🤣KWANI WALIKUA WAPI KUMKOSOA KABLA YA KAULI YA MAMA?
@ibel4lf
@ibel4lf 2 жыл бұрын
Unafki pro max
@mukakishepo5760
@mukakishepo5760 2 жыл бұрын
#Wacha tutetee ugali#
@pauloalfayo1868
@pauloalfayo1868 2 жыл бұрын
Unafki mbaya sana yaani Mzee kweli ata rais amewajua sana hata ndugai alikuwa kama wewe
@floramwanja7860
@floramwanja7860 2 жыл бұрын
Kwa hyo dugai anapondwa kila mahala?,huu ni ukweli mamikopo uanaletaa laana katik nchi,ndy maana mbingu zimenyamaza kimyaa hakuna hata mvua,askofu mgasa fanya ya Mungu ,siasa ni uongo
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 2 жыл бұрын
Mnafiki huyo. Uoga na njaa vimemjaa.
@goodluckngapulila6379
@goodluckngapulila6379 2 жыл бұрын
Bola ya msenga wa yesu kasema ukwel kuliko nyie wachumia tumbo
@edgarndani5238
@edgarndani5238 2 жыл бұрын
🤑🤑🤑🤑
@msuyatztv5201
@msuyatztv5201 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y5qrn5yemMZ1aNk Utam video
MDOGO WA MAREHEMU AFUNGUKA, MAUAJI YA WATU 5 WA FAMILIA MOJA DODOMA
4:25
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
Yay, My Dad Is a Vending Machine! 🛍️😆 #funny #prank #comedy
00:17
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,6 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Dodoma: Ujenzi wa mji mkuu mpya wa Tanzania
9:25
Peter Mwangangi
Рет қаралды 26 М.
Family Guy - Peter Becomes a Muslim Part 1
4:43
Big Simpson
Рет қаралды 2,7 МЛН
AJALI YAUA WATATU DODOMA, KAMANDA ATHIBITISHA, ATAJA CHANZO...
2:37
#TAZAMA| MUONEKANO WA NYUMBA 1,000 ZA NHC DODOMA, WANOGA
6:33
Daily News Digital
Рет қаралды 3,3 М.
JAMBAZI SUGU DODOMA AINGIA KWENYE 18 ZA KAMANDA MUROTO
6:02
Uhondo TV
Рет қаралды 10 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН