BILA WOGA FRED VUNJA BEI AFUNGUKA MBELE YA WAZIRI MKUU "TUNAKUFA NJAA, TUFUNGUE MADUKA"

  Рет қаралды 287,097

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 262
@emanuelandedela7901
@emanuelandedela7901 Жыл бұрын
Kaka anafaa kuwa waziri wa viwanda na biashara mpeni kitengo hizo data siyo mchezo salute kwake
@HamiSCharles-dq7jf
@HamiSCharles-dq7jf Жыл бұрын
Nimempenda bure hajajiongerea yeye tuu mwenye mtaji mkubw bali na sisi weny mitaji mdogo jamn 🤝
@alawiali3475
@alawiali3475 Жыл бұрын
Ana hekima na ameongea vizuri big up
@RashidMbwebwe
@RashidMbwebwe Жыл бұрын
Kitendo cha kusimama na kuzungumza kero pamoja na wafanyabiashara wenzako imeongeza credit na respect kubwa kwako....Umeongea vizuri sana...Big Up
@witnessmmari71
@witnessmmari71 Жыл бұрын
Bigiup fred
@cinterproductscinterproduc8606
@cinterproductscinterproduc8606 Жыл бұрын
👏👏👏
@fadhilhimid2776
@fadhilhimid2776 Жыл бұрын
Hakika kabisa
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 Жыл бұрын
Yan walitakiwa watu kama nyinyi mule TRA wenye uzoefu ili ata wakitunga sheria inakuja sheria ambazo azita leta mzozo kwa wafanyabiasha , ebu tuige kwenye inchi za wezet wafanya biashar ndio wanapewa kipaupend kweny mambo ya maendele na kuiongoza nchi kiujumla
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Vunjabei interview zake zote anaongeaga point Aisee anajua anajua tena
@ONEdreamfilmtz
@ONEdreamfilmtz Жыл бұрын
Umeongea point sana na umeongea kwa kujiamini sana Huo ni ujasili wa kiwango cha juu sana maana kuongea mbele ya viongozi wakubwa na mbele ya hidadi kubwa ya watu wengi kama hao sio mchezo . respect sana broo
@violethndowo-fr3rc
@violethndowo-fr3rc Жыл бұрын
Hongera sana kaka
@benardethamhela4898
@benardethamhela4898 Жыл бұрын
Vunja bei shikamoo kwakweli ukojuu sana umetusemea vizuri sana mungu akulinde .hongera kwa kusoma .
@echosoundchannel677
@echosoundchannel677 Жыл бұрын
Safi sana Fred Vunja,umeongea point sana 🙏🙏
@isaya43.12
@isaya43.12 Жыл бұрын
Hongera vunja bei hakika unakitu kikubwa Sana naona uongozi ndani yako🤲
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 Жыл бұрын
Very niiice Fred, umeongea point kaka, God Bless U
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Nimesoma nae mzumbe masters, na pia kaka ake pia , nimesoma nae Wana akili balaa Na baba Yao ni mfanya biashara wa zamani Kwahiyo hii bness issue kwao ipo kwenye damu
@abdallahfuko1216
@abdallahfuko1216 Жыл бұрын
Kwa pesa ambayo anayo huyu jamaa alikua na uwezo wa kufunga duka hata mwezi kisha anakaa home akacheki kwenye TV tu ila kaamua kwenda kufight na wenzake sababu hata yeye alianzia chini, huo ndo utu. 👏🏾👏🏾
@lupidavid4269
@lupidavid4269 Жыл бұрын
L 0p
@Bensonfrank25
@Bensonfrank25 Жыл бұрын
Jamaa kawa humble sana !
@Kizanda_84
@Kizanda_84 Жыл бұрын
Respect
@missarepafra3973
@missarepafra3973 Жыл бұрын
Uzalendo ukiwa ndani ya mtu si rahisi kuwaacha wenzie iwe jua iwe mvua. Vunja ni mzalendo na anafaa kuwa kiongozi.
@bonifacehamis4088
@bonifacehamis4088 Жыл бұрын
Hakika kafanya jambo la uugwana sana
@nabrycedawood6860
@nabrycedawood6860 Жыл бұрын
Mama anampa ubunge sasa ivi yani fred umetumia nguvu nyingi na pesa kwenye siasa Mungu anaenda kukupa kibali chakuingia bungeni kwa hii speach mm niko mtakuja kunimbia @fredvunjabei
@user-rl5gf6tj4n
@user-rl5gf6tj4n Жыл бұрын
Anapewa ukuu wa MKOA
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Weeeeeuuuuweeeee ongea fred...umewakilisha vizuri
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Vunja bei katema cheche, safi sana, nimezidi kukuelewa brother 👍 umeonyesha uzalendo mkubwa mno.
@jamesgeofrey8692
@jamesgeofrey8692 Жыл бұрын
Jamani tusomeshe, shule nzuri sana Nikimsikiliza jamaa nasikia shule tu.. Ni aki afanikiwe
@fatmayussuf1787
@fatmayussuf1787 Жыл бұрын
Yaan kuanzia Leo huyu jamaa namuheshimu.. Ukaongea bila kutoka jasho
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 Жыл бұрын
hakuna kitu muhimu kama shule na kuwa naimani yamungu moyoni ukivipata hivi umemaliza
@dionnepaul5673
@dionnepaul5673 Жыл бұрын
​@@nareensaleh4957 kweli kabisa nakuunga mkono💯💯💯🙏🙏.
@abeidmhongole9322
@abeidmhongole9322 Жыл бұрын
GOOOOD AND FACTS WELL DONE FRED
@williamloserian5999
@williamloserian5999 Жыл бұрын
❤❤❤ Umeongea fact broo....wewe una uwezo wa kufunga duka ata miezi miwili na ukaishi lakini umeamka kuungana na wafanyabiashara wadogo kwa msukumo huu wa ukandamizaji❤❤❤❤hongera sanaa
@lefrakibuu2301
@lefrakibuu2301 Жыл бұрын
Sahihi kabisa
@ombenimenson
@ombenimenson Жыл бұрын
Safi sana Kaka, Umeongea vizuri saana
@jumaarashid7367
@jumaarashid7367 Жыл бұрын
Safi sana kaka,Nakuelewa Brilliant Businessman
@muniraahmed624
@muniraahmed624 Жыл бұрын
Genius 4real🙏🕊️
@nivesterbelili1686
@nivesterbelili1686 Жыл бұрын
Ameongea kitaalmu sana unajua mtaani kuna madini sana @vunjabei kama elimu ndogo kumuelewa jamaa kazi sana
@abdirizakhtuke2882
@abdirizakhtuke2882 Жыл бұрын
Ulimi ni uchawi. Ume- summarize matatizo mengi kwa muda mfupi. In short TRA inawachukulia wafanyabiashara biashara kama "mabuzi" badala partner in business.
@levinaernest4364
@levinaernest4364 Жыл бұрын
Sanaaaa👍
@hermankihwili1095
@hermankihwili1095 Жыл бұрын
Well said Fred ume ongea short and clear kwa muda mchache sanaaa copied point.Well done
@venesteven7457
@venesteven7457 Жыл бұрын
Very true sijui hawanaga biashara ni kuajiriwa tu sijaelewa.
@user-nr7gi6ur5z
@user-nr7gi6ur5z Жыл бұрын
Asante sana wafanyabiashara wa Karikoo.nimefuatilia sana hotuba hii.Kwanza nampe hongera Waziri mkuu Mheshimiwa Majaliwa.Niona comment ya jamaa anasema Majaliwa apewe nchi ni kweli.Mheshimiwa majaliwa walinde wananchi wako ambao ni wafanya biashara.Natoa comment zangu toka Malawi.
@Bensonfrank25
@Bensonfrank25 Жыл бұрын
Vunjabei pamoja na pesa zote ! Kaamua kujumuika na wafanyabiashara kupinga unypnyaji wa TRA ! ✅
@jazirajazira8116
@jazirajazira8116 Жыл бұрын
Maa sha allah huyu atakuwa mbali sana
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Vunja bei yuko vizuri katika hoja
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
Kainda shule
@agneskapwani3484
@agneskapwani3484 Жыл бұрын
Nakuonaga tu ka mpolee kumbe una akili sana safi👏
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 Жыл бұрын
Huyu jamaaaa ana akili nyingi
@thebushguy5774
@thebushguy5774 Жыл бұрын
Akili kubwa👏
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 Жыл бұрын
Yaan huyu vunja Bei alitakiwa kuwa mbunge na mtetezi wa wafanya biashara nchini Yuko vzr kuliko kina Nani...
@reshinebakery2846
@reshinebakery2846 Жыл бұрын
Tatzo wakifika huko😂
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 Жыл бұрын
@@reshinebakery2846 wanaanza kunenepesha vitambi na hoja za kuringania marekani
@justaenglibert3976
@justaenglibert3976 Жыл бұрын
Anagombea kula za maoni anakosa kwa figisu
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Жыл бұрын
hawa ndio wanatakiwa kupewa uwaziri wakina muigulu nchembaa sio wanakaa kuvaa tai yenye nembo yataifa kujifanya niwazalendo nahakuna kitu wanakwamnia kama huwezi kulipa tozo nenda rwanda kweli alie shiba jamjui mwenye njaaaa
@mrschilongani8990
@mrschilongani8990 Жыл бұрын
Umeongea point Sana kaka fredy vunja Bei safi Sana mungu akulinde sana
@mrben227
@mrben227 Жыл бұрын
Vunja bei ajengewe sanamu kariakoo...very talented 👌
@jessepallanjo8555
@jessepallanjo8555 Жыл бұрын
Kabisa
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui Жыл бұрын
utajiri ni akili siyo uchawi, hakunaga tajiri ambaye siyo genius
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
ni kweli kabisa
@faumahona5769
@faumahona5769 Жыл бұрын
Sio kweli
@dennishyera5448
@dennishyera5448 Жыл бұрын
Asante Kwa kuwa wa kweli.
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Yaani ukisoma elimu ipo ukiwa na pesa pia biashara raha sana Kesho akiteuliwa mkuu wa wilaya au mkoa au mkurugenzi TPA msishangae
@ireneaveline9180
@ireneaveline9180 Жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi umetutetea wanyoge
@peterlujuo1640
@peterlujuo1640 Жыл бұрын
Bonge la speech fred 👏 🙌
@JanethSanga-kt7mn
@JanethSanga-kt7mn Жыл бұрын
Kaka nmekupenda sana mimi nmechoka na selikari hiii jaman
@wanyalugendo4776
@wanyalugendo4776 Жыл бұрын
Well done!@Fred
@henryj3304
@henryj3304 Жыл бұрын
Hongera sana Fred Vunja bei. Hiyo ndiyo faida ya Elimu
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
Daaah kaka akili nyingi mungu akubariki sana umekuja kutete watu haki angakua mwingine anagetulia home kwenye tv tuu anawachora tuu
@adamshabanrashidi1003
@adamshabanrashidi1003 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯freeeeeeed wavunje babaa🙏
@manenohongera7617
@manenohongera7617 Жыл бұрын
perfect speech from intellgnt speaker
@DenisThomas-se7db
@DenisThomas-se7db Жыл бұрын
Upo vizur san bro hongera kwa iro
@naomisanga6980
@naomisanga6980 Жыл бұрын
Vunja bei🙌👏👏👏
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 Жыл бұрын
Huyu vunja Bei maongezi yake no dhahiri amesoma biashara Yuko vzr Sana.
@gracekenan4665
@gracekenan4665 Жыл бұрын
Yeah huyo ni graduate ....ndio mana ni vizuri kuwa na shule hata usipopata kazi ukajiajiri unafanya biashara yako kisomi
@salomewilliam9457
@salomewilliam9457 Жыл бұрын
Hongera vunja bei! Ila next time huhitaji kuongea kama unachana mistari just cool tuliza mikono! Ongea coz point unazotema ni ushawishi tosha
@butondodavid2105
@butondodavid2105 Жыл бұрын
Jamaa ni smart mikono ni unique yake tu
@josephinabakhita
@josephinabakhita Жыл бұрын
We nawe,
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 Жыл бұрын
😂😂😂😂Aaaah jamn... mikono ni ili kiziwi aelewe kwa vitendo
@estermwakatundu3028
@estermwakatundu3028 Жыл бұрын
Vunja bei big up Sana kiukweli hawa tra Wana nini sijui huku mikoani tunajuta saijui tuljmage Tu emagine Una mtaji wa milion mbili, unakadiliwa Kodi lak 4 na point huendi hata dar kufunga mzigo unaokota okota mitaan tra nyie imekua Kero sana
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm Жыл бұрын
Sehemu kibwa ya risit ni feki na tra wAnakula rushwa na samia aliangalie
@tamemahmad9902
@tamemahmad9902 Жыл бұрын
Nina ndoto ya kufungua biashara ila nikisikia haya nguvu inaniishia. Namuona mamaangu anavosumbuliwa na biashara yake. Ila acha nijichange zaidi tutapambana nao.
@alawiali3475
@alawiali3475 Жыл бұрын
Usiogope pambana utaweza.
@tamemahmad9902
@tamemahmad9902 Жыл бұрын
Asante kwa kunipa moyo
@KhajiRashid-lk6fi
@KhajiRashid-lk6fi Жыл бұрын
Point haswa
@brianmani_
@brianmani_ Жыл бұрын
Jamaaaa ni noma sana
@asnaryissack2582
@asnaryissack2582 Жыл бұрын
Vunja Bei💪💪💪💪💪💪
@erickassey6706
@erickassey6706 Жыл бұрын
Kariakoo ilihamia Uganda zamani , TRA wanajua kunyonya tu .
@yvonnemashuda3004
@yvonnemashuda3004 Жыл бұрын
Yupo vizuri, akili kubwa....
@christophermajumbi6318
@christophermajumbi6318 Жыл бұрын
Safi Sana Fredy umeongea point🙋
@majaliwanassoro7623
@majaliwanassoro7623 Жыл бұрын
Vunja bei kavunja kila kitu apewe usemaji wa wafanya biashara
@FranklinMtei
@FranklinMtei Жыл бұрын
Brilliant!
@malandodeogratius8193
@malandodeogratius8193 Жыл бұрын
Yaani ukiwa na hela na Elimu naona kama unakua binadamu uliebalikiwa saana. Yaani nasikia Elimu yenye hela inavyo flow vzr facts.
@homeofvideos8893
@homeofvideos8893 Жыл бұрын
Ndio raha ya kuwa mfanyabiashara alafu umeenda shule
@mynambwambo2072
@mynambwambo2072 Жыл бұрын
Big Mind Fredyyyy ..
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 Жыл бұрын
Akili kubwa. Kamuumiza wazili mkuu atamuita chemba
@angelateye9585
@angelateye9585 Жыл бұрын
Elimu haijifichi!
@rehemajuma2202
@rehemajuma2202 Жыл бұрын
Yaani hii.sheria ni Kama kikokotoo kwa watumishi was Uma serikali iangalie sn ítatuletea vifo vingi kwa wastaafu
@fadhilhimid2776
@fadhilhimid2776 Жыл бұрын
Haongei Pumba yupo vizuri sana
@rodneyjaysen1788
@rodneyjaysen1788 Жыл бұрын
Fredy he's damn intellectual
@joseecontroversial8720
@joseecontroversial8720 Жыл бұрын
Amesoma uhasibu Mlimani
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
Wakinga asilimia 90 wako hivo
@alawiali3475
@alawiali3475 Жыл бұрын
@@joseecontroversial8720 kwa hio anaitendea haki taaluma yake na anajua anachokifanya.
@africanpioner4090
@africanpioner4090 Жыл бұрын
@@tanzcanmediatv4473 ishu sio ukinga ishu ni elimu aliyo nayo
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
@@africanpioner4090 sio elimu tu mimi ndio nakwambia hata mkute mkinga hajasoma hapa akisimama na mwakyembe yeye ndio darasa lasaba.kama hujafanya hako karesearch itakuwa vzr ukikaa kimya
@jeremiatitus4414
@jeremiatitus4414 Жыл бұрын
Light bro,mr vunja bei
@fatimahants1526
@fatimahants1526 Жыл бұрын
Naimani ukipewa kipaumbele utawasilisha kero nyingi zinazo wakumba wafanya biashara ya kuburuzwa na watumishi wasio waadlifu kwenye majukum TRA, mimi walinitiya hasara dukani kwangu kibaha niliumiya sana siwezi kusahau kbs .
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Жыл бұрын
Hakuna ulipajikodi yaserikali kiholela hivyo karunehii yatekinolojia lila my anakusanyahelakiholela hivyo .helanyingi inspires bure naikokwenye mikonoyahaowatumishi.
@allfootballscoreliveworld8055
@allfootballscoreliveworld8055 Жыл бұрын
Huu sio ule alisema mwanamke apewe pesa za kurusha 😅😅😅😅😅 Achana na hivo viume hata Smason alipotea😅😅😅
@saketnicholaus9962
@saketnicholaus9962 Жыл бұрын
Money brings confidence
@kalamesikalamesi5292
@kalamesikalamesi5292 Жыл бұрын
We are completely done no country in this world has ever developed through excessive imports over exports. We are all fighting to sell cheap imports at the expense of an export lead economy. 60 years after independence we are almost importing everything into our country? Who would come to invest and build manufacturing industries in a country obsessed with cheap imports, inakuwa nchi wachuzi na walaji wa vitu na huduma wasizozalisha, utatokemeza tatizo la ajira kwa kuuza bukta zilizitoka china badala ya kuzalisha wenyewe kupitia viwanda vyenu nchini lkn kama nchi tutakua through industrialisation policies? Kodi ya forodha sio reliable and sustainable mithili ya PAYE, akifa mtumishi na yenyewe inakoma, covid19 ikipiga Asia/China au europe na importation inakoma na customs duties na taxes zinakoma. Kodi na uchumi ni chanda na pete. Tunahitaji formation na mpango mzima wa fedha yetu je tunahitaji kujenga uchumi wa namna gani? Kodi na fedha yetu iweje ili kwenda sambamba na aina ya uchumi tunaotaka kuujenga ktk digital age hii? Sisi tunaenda kama kishada tu na kodi yetu iko rigid haiko flexible ili wkt wa hali mbaya au nzuri ya uchumi ibadilike kulingana na mahitaji ya wakati ya uchumi husika. The recent crisis at kariakoo is just a tip of an iceberg. Tanzanian macroeconomic policies and our taxation system has more deeply entrenched problems than meets our eye. Inequity wafanyabiashara wakubwa sana nchini hawalipi kodi wanayopaswa kulipa na makampuni ya kigeni because of their political connections, wahanga wa kodi ni watumishi wa serikali, wafanyabiashara wa chini na wa kati. Uwanja wa kuchezea mpira hauko sawa, ndio tambo na vurugu zinapoanzia kama wafanyabiashara wakubwa wanalindwa hawalipi kodi inavyostahili, linakuja swali why should we pay taxes if others are not paying. Window bricking of shops at kariakoo was in part a clear sign of dissatisfaction and protests against importers inequity treatment by TRA, higher headline tax rates, imprecise laws etc Lack of political integrity,na ukosefu wa maadili wa baadhi ya viongozi wetu was killing our country softly, kuua jumla azimio la arusha haukuwa uamuzi sahihi baadhi ya mazuri ilitakiwa yabaki biashara kubwa nchini zinafanywa na viongozi moja kwa moja au kupitia ndugu, jamaa na marafiki hii inaleta conflict of interest kwenye kodi. Hatujachelewa, tujisahihishe na tuamue sasa kufikiri sana na kufanya mambo tofauti na yatupasa kutambua migogoro mapema na kuchukua hatua stahiki. Prevention is better than cure, knee jerk reaction haifai na ni hatari kusimamisha uchumi kwa siku hata moja kariakoo. Ni maoni na ushauri tu, God blesd TZ
@abdonmwombeki2383
@abdonmwombeki2383 Жыл бұрын
Hey...this is nice
@missarepafra3973
@missarepafra3973 Жыл бұрын
✅✅✅
@modyayyub8758
@modyayyub8758 Жыл бұрын
Upo sahihi aisee
@migosmigo8099
@migosmigo8099 Жыл бұрын
Hatuwezi kuwa na export nchi hii kwa hivi vichwa panzi....😅😅😅
@jovinusjulius9840
@jovinusjulius9840 Жыл бұрын
Logical👏🏻
@barakanguvumali5784
@barakanguvumali5784 Жыл бұрын
Respect Mr Fred
@EliyaUhaula-ck3pu
@EliyaUhaula-ck3pu Жыл бұрын
Nice
@jmc2196
@jmc2196 Жыл бұрын
Waziri mukuu apewe inchi huyu njo anaweza kujitaidi kufanya kazi kama Magufuri 😭
@hamisirtz3747
@hamisirtz3747 Жыл бұрын
More than 100%
@dhamiirrashid6175
@dhamiirrashid6175 Жыл бұрын
Mimi nashauri kila miez 3 au sita 6 angalaw wafanya biashara wawe na kikao na waziri mkuu kutoa malalamiko na maendeleo ya bishara zetu tanzania ikiwezekana hivo. Yani tusisikilize bunge au serekali sheria zinabadilika vp na kodi za biashara wakat wahusika niwafanya biashara wenyewe bado hutujazijua changamoto zao
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Жыл бұрын
Safi sana
@dinnaemily2727
@dinnaemily2727 Жыл бұрын
Big up vunjaa
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 Жыл бұрын
Hongera Sana Fred vunja bei umeongea pointi Sana
@sporastica7174
@sporastica7174 Жыл бұрын
Makofi na like kwa fred 🙌
@SalumNtunga-gq4ti
@SalumNtunga-gq4ti Жыл бұрын
Akiri kubwa sana hii
@charlesmmbaga8148
@charlesmmbaga8148 Жыл бұрын
safi cha.bro
@amourperea5889
@amourperea5889 Жыл бұрын
Umetisha mzee
@philipocharles9239
@philipocharles9239 Жыл бұрын
Uyu jamaa nimemuelewa balaa,na animejifunza kitu hapa,,kumbe million 100 kwa marigin ya 12percent per year =12millions, divide by 12months equal to one million,na hiyo one million ndo uanze kuigawa,daaah inakuwa ni pesa ndogo kusema kwel😢
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Umeeleza vzr bro
@shabarauty
@shabarauty Жыл бұрын
nikweli
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 Жыл бұрын
Kila uloliongea nipoint ndg heshima kwako vunja bei kila mfanyabiashara nijiniaz ila umetia fola
@alidaamur-vp9uj
@alidaamur-vp9uj Жыл бұрын
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@mariamjohn1758
@mariamjohn1758 Жыл бұрын
Hongela sana hata huku kwetu yalisha tokea
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Жыл бұрын
Kodi TRA isisumbue raia. Kumbe raia ndo hawajui wanasiasa
@ponellahmbugi6907
@ponellahmbugi6907 Жыл бұрын
Mkinga kaongea 👏
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 Жыл бұрын
Onzovile mbaha tolevongosu tukhekha mu biasara...ongolove atotange
@LinusPrimus-zn9ew
@LinusPrimus-zn9ew Жыл бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@GadaffiGadaffi-gt5iw
@GadaffiGadaffi-gt5iw Жыл бұрын
Hongera xana
@kulwagama3677
@kulwagama3677 Жыл бұрын
Watu kawewe ni wachache sana bro
@ZuberiNguhuni-ch9tk
@ZuberiNguhuni-ch9tk Жыл бұрын
Asanteee vunja
@akh3038
@akh3038 Жыл бұрын
Well presented
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Kumbe Fred vunja bei unavitu,ifutwe hiyo km inawaumiza
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 Жыл бұрын
Hongera sana kaka
@robsonlotyloy5678
@robsonlotyloy5678 Жыл бұрын
Point kali sana.
@innocentpaul1999
@innocentpaul1999 Жыл бұрын
Wapeni wafanyakazi wa TRA fremu hapo kariakoo wafungue biashara waone cha mtema kuni TRA hawajui faida wala hasara wao wanawaza maokoto na Makusanyo tu. ifike mahali hata kwenye teuzi za mawaziri na watendaji wa sekta kama hizi za biashara chague wenye experience na biashara sio wahitimu ambao hata karanga hawajawahi kuuza wao wanajua kuongeza kodi tu ambazo hazina uhalisia
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 6 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 28 МЛН
The rise of Opiyo Wandayi: From MP to CS
5:10
KTN News Kenya
Рет қаралды 29 М.
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 6 МЛН