JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@shyfettymtunda461924 күн бұрын
Wallahi ukiwa na pesa furahia maisha na familia.👍🎉
@KitilaMndeme24 күн бұрын
Safi Sana mulokozi, umenifurahisha Sana na nimepata mfano wa kuiga kutoka kwako, hongera Mungu akubariki zaidi amen
@kasukukasuku389624 күн бұрын
Congratulations local investors you are role model
@MatendoMenganyi-xq8lx24 күн бұрын
Hongera sana nshomile
@KitilaMndeme24 күн бұрын
Tunaiomba serikali impe kibali cha kumiliki kiwanja cha ndege, mulokozi ni mfano wa kuiga Mungu am,bariki sana
@ISTRAMADISON24 күн бұрын
JAMAA HUMBLE SANA, NA NDIO MAANA MWENYEZI MUNGU ANAMJALIA 🙏🏽
@luganomwaigomole744124 күн бұрын
HONGERA SANA BROTHER
@edmundnkarangu13423 күн бұрын
Hongera sana Mulokozi Mungu akuzidishie wewe ni mfano wa kuigwa Africa na duniani 🙏🙏🙏💪🙏
@Mrp_manguluwe24 күн бұрын
Jamaa smart sana
@MartinMadimilo-z6w23 күн бұрын
Jamaa Yuko smart sana
@andrewjohn930823 күн бұрын
Big up broo namkubaligi sana uyu billionaire,mwenyezi mungu akujalie umri broo uishi miaka mingi
@jacksonimwageni858615 күн бұрын
Hongeraaaa sana boss
@charlesmwambinga435524 күн бұрын
Huyu Jamaa anaipenda Manyara from his heart ye kwake Manyara kwanza..
@JumaKatara-r2b4 күн бұрын
Hiki kifaa chake Cha usafiri sio swala la kiuzalendo
@mwalitv455524 күн бұрын
Tajiri pekee asiye na hela za manyoka but hard working...ndio maana hana kiburi.
@siphaeljoseph215623 күн бұрын
goooooooooooood saaaanaaaaaaa mkuu tupambane saan n mfano mzuri saana
@barakamurusali621424 күн бұрын
Congratulations mr Mulokozi
@wanskingtz24 күн бұрын
nice sana
@ndukulusudikucho_23 күн бұрын
Masha Allah
@Spice25523 күн бұрын
Big up tajiri ❤
@AsungaSteven24 күн бұрын
Safi kaka unafanya nifanye kazi Kwa bidii sana yaani hata nikiwa na miaka 70 lazima
@pastoreliwkimaroni833224 күн бұрын
Hongera sana sana hakika Manyara Vifungo vinaendelea kuvunjika
@RobertsonNandime-eo9fp24 күн бұрын
Kabisa watumishi wa Mungu walipafungua Sana
@vijanamotomushambawashamba19824 күн бұрын
Dah. So jambo dogo. Hongera zako
@thomascelarine480524 күн бұрын
Mungu akufungulie zaidi brother...
@twahahamidu624623 күн бұрын
Sawa muhaya
@EliezaRichard24 күн бұрын
Kweli tajiri
@SuleimaniabdelehmaniChitanda24 күн бұрын
Wengine wanapiga tu kelele ao ndyo wenye pesa ni vitendo tu cio maneno
@eliaskuyi168724 күн бұрын
Chief Godlove😂😂😂
@eliaskuyi168724 күн бұрын
Chief Godlove 😂😂😂😂😂
@FredMwamgogwa-td6ni23 күн бұрын
Jamaa anahela kweli kweli
@ngotosilasi209924 күн бұрын
Hongera kaka umetoa mfano tuige
@lucykebacho485224 күн бұрын
Hongera
@vibetz999124 күн бұрын
Watu Wana hela
@vero5724 күн бұрын
SAFI SANA BABA, I SALUTE YOU 👌🏼👍👍👏👏👏👏
@fatimahants152623 күн бұрын
Hongera sana brother, natamani trip dar to babati
@Ezeakutelevision24 күн бұрын
H😊a😊yo ndio mambo sasa
@barakajonas320924 күн бұрын
Kweli Tanzania kuna matajiri wakubwa sana kenya vp mmeona 🎉🎉🎉 ongera sana kaka
@josephatSwai23 күн бұрын
Diamond alitupga
@VictorKivuyo24 күн бұрын
HONGERA SANA KWA ULICHOKIFANYA, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
@NathaliceMushi24 күн бұрын
Mungu azidi KUKUINUA babayangu
@Bilioneabichwa33124 күн бұрын
Nilifikiri ya diamond platinum
@enockelia956724 күн бұрын
Matajiri vs helcopter huwa havipatani.....😊😊.bora mara 10 fixed wings......just opinions
@mwaaang24 күн бұрын
Au sio
@Grace-v4g2n21 күн бұрын
Vipi kwao bukoba??
@MohammedMaulana-m2t24 күн бұрын
Musimuongelee diamond mpumbavu mmoja hanaela msaniiwenu
@MATETEENTERTAINMENT24 күн бұрын
Niliogopa 😂😂 nikatoka ndani kuchungulia 😅
@NixonJohnson-r4m24 күн бұрын
Hela za wizi huwezi nunua ndege utafilisiwa
@emmyandrew867024 күн бұрын
Kaka mulolozi mm naomba mtaji wa biashara
@alphoncesanga860924 күн бұрын
Mimi mwanzo nilikuwa nikisikia Mulokozi nilikuwa najuwa ni komedia anaigiza kama tajiri wa kihaya, kumbe ni bilionea wa ukweli hongera bro
@imma_billy24 күн бұрын
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@edwincain84923 күн бұрын
Tumpe YANGA huyu
@FredrickMatiku-xf2uk24 күн бұрын
Hiii sio yake ni ya diamondplatinum kanunua
@richytarimo465624 күн бұрын
diamond alitaka kununua ndege sio helicopter
@denisJoel-v7i23 күн бұрын
Tajr hana baya, hana hata mbwembwe vjana tujifunze jamn heshim jamaa anaonekan kabx hana makuu Peace xn
@HajiAliSaid24 күн бұрын
Daimondi yuko wapi aje awaone wenyepesa sio kamdomo tu 😂😂😂😂
@personalitiesan980624 күн бұрын
Helicopter ni hatari kwa usalama mm hapana asee
@abushirikhalfan506824 күн бұрын
Serikali impe kibali cha kujenga uwanja wa ndege tuu
@josephlorri43124 күн бұрын
Biashara ya pombe inalipa.. hongera Mulokozi.. tutakukoma
@yusufuheri652424 күн бұрын
Inalipa kwasababu kwa mungu ni picnic au kitambaa cheupee
@AmerAlamri-h7e24 күн бұрын
Mashaallah
@EliaFanuel-n9z24 күн бұрын
Huyu ndo mtu tajiri, hautamsikia akiteseka kupigia watu makelele mitandaon et ana pesa, vitendo vyake vitakupa majibu sahihi
@vocalizertz686824 күн бұрын
ila utajiri wa pombe kali?
@mwl_bennehemiah23 күн бұрын
Aliyeifanyia branding mungu anamuona
@EliusPonde24 күн бұрын
Na yule mke wa p Diddy alisema amenunua ndege ikowap jamaaani
@dennischarles852424 күн бұрын
Uwanja unakuja wanesikia
@robertphilip38524 күн бұрын
Pombe kali
@barrynzeyimana627024 күн бұрын
Hata Marekani raia haruhusiwi kujenga kiwanja cha ndege
@Mahene-w1l24 күн бұрын
Hapana helicopter mbon unatuhusiwa si ndogo tu sio commercial flight 😁😁 duh unatak kupotosha umma
@emmadora784824 күн бұрын
Kuna aeroplane na helicopter fahamu tofauti yake
@hallin956124 күн бұрын
Mgoogle john Travolta
@donking-d4t24 күн бұрын
Viwanja vya Helicopter vipo mpaka juu ya majengo boss
@alexanderankiza318523 күн бұрын
5H KMB registration inaonyesha helicopter ilikuwa under KILI MED AIR, anyone can google, na picha zinaonekana,same colour everything, unless amenunua kutoka kwao, Huhitaji kuwa na uwanja wa ndege kwa helicopter, actually, unahitaji a HELIPAD, sehemu ya kutua na kuruka,it's vertical langing and takeoff, kurudisha helicopter Arusha,eti Manyara hakuna airport, it's doesn't make any sense,unahitaji helipad and a storage hangar( just a warehouse). Kama ni commercial stunt ya biashara, Kiki, as usual kwa Bongo, though low....
@ShabanMohamed-ix3of24 күн бұрын
Baba umetisha huyu jamaa namkulibali chuma Leo ilitua mapema sana asubh
@hamisishedi437624 күн бұрын
Sisi wanakibondo tunakupa kongole jamaa yetu
@rashdiyange775823 күн бұрын
NILICHO PENDEA UYU JAMAAA ANA LOOO MPAKA NA WAMBIA WEZIE WA NUNUE KAMA WANA UWEZO MANA LINGE KUA FANYA BIASHALA WENGINE KIFANYA IVO ANA TAKA FANANE LAKINI WW UNA LOO MBAYA
@msowamhokole771424 күн бұрын
Watu wanaumia kwa pombe we unanunua hercopta
@donkaloza698524 күн бұрын
Kwan anawalazimisha kunywa?
@donking-d4t24 күн бұрын
Achana na huyu pimbi @@donkaloza6985
@nyandutozy_124 күн бұрын
ILA TANZANIA BHANA KUNA WAFANYA BIASHARA WANA ENJOY KUWA HAPA TANZANIA NA KUNA WENGINE WANA UWAWA HUKO ALAFU TAAOIFA INAKUJA ALIPATA AJALI YA BODA BODA NA HUKU ALIITWA NA MAMLAKA YA MAPATO
@VictorKivuyo24 күн бұрын
DIOMOND LABDA WANAWAKE WAISHE DUNIA HII LABDA NDIYO ATANUNUA NDEGE, MLOKOZI NI KIMYA KIMYA TU KALETA HELKOPTA🤣🤣🤣🤣 MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO
@ZuenaRamadhani24 күн бұрын
Daimondi hiyo haimtoshi anatim kubwa
@barrynzeyimana627024 күн бұрын
Nilipokua nitamani kununua baskeli. Kweli sikuwahi kununua baskeli. Nilinunua simu ya Nokia. Baada ya hapo nikanunua Nissan extra, ikagongwa na kupotea mazima. Baada ya hapo nikanunua Toyota Camry, Toyota Corolla, Toyota RAV4, Hyundai sonata hybrid, Toyota Highlander limited, baada ya hapo nikanunua Toyota RAV4. Hizo zina miaka tofauti. Na nimebaki na mbili za mwisho.