MAMA MCHUNGAJI AWEKA WAZI UCHAWI WAKE

  Рет қаралды 105,170

Robert Tv Tanzania

Robert Tv Tanzania

Жыл бұрын

Please SUBSCRIBE to Robert Tv Tanzania official KZbin channel, Anointed Man Of God Pastor Robert Raphael:
/ @roberttvtanzania
#RobertTv #RobertRaphael #PastorRobertRaphael

Пікірлер: 104
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 Жыл бұрын
BWANA YESU NAOMBA UKOMBOZI NA WANANGU AMEN
@VeryMatonya
@VeryMatonya 4 ай бұрын
Mungu atusaidie Dhaka unatoa pale unapo kula chakura cha kiroho Amina
@atulebelebiita3804
@atulebelebiita3804 Жыл бұрын
Jamani kwani mafuta yanashida gani, chochea kalama yako acha kutazama kibanzi Cha mwenzio, yesu atakuja kupepeta ngano
@sharnamoreen8195
@sharnamoreen8195 Жыл бұрын
Umesema kweli, sio kila sehemu unatoa fungu la kumi, kutoka kenya tunafutilia.
@rosemichael5268
@rosemichael5268 6 ай бұрын
Pole mama jamani
@user-ds1km9wh2n
@user-ds1km9wh2n 6 ай бұрын
Dqh mungu qtusqidie
@iddahpendo
@iddahpendo Жыл бұрын
Amina
@neemasullemani8715
@neemasullemani8715 Жыл бұрын
Pole Sana mamangu kwa magumu na mungu akutangulie amina
@joycemaritim7370
@joycemaritim7370 Жыл бұрын
Amen
@ashanestor6304
@ashanestor6304 Жыл бұрын
Mungu akutagulie Mama mangumu ulio yapitia
@joycerehema9258
@joycerehema9258 Жыл бұрын
Kusema kweli, Mungu anaki hidhirisha ki kweli!! Hakuna kutafuta mambo mengine!!
@christinakilindila3924
@christinakilindila3924 Жыл бұрын
Mungu atusaidie
@sonywajustus
@sonywajustus Жыл бұрын
Kwa hiyo sio yesu unataka, uponyaji sio yesu [pata yesu upate vyote
@sonywajustus
@sonywajustus Жыл бұрын
Mwokozi ni yesu, sio dini, kanaani ni dini, kanaani sio yesu, mwokozi ni yesu
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 Жыл бұрын
Kumbe Kusimama madhabauni na kuimbisha mapambio sikitu kwa malikia wakuzimu yuko kazini akijidai wa Mungu kumbe yukazini kufanya kazi ya ufalime wakimalikia wa kuzimu duhuu asante Yesu nimetambua adui anavyo fanya kazi
@euphrasiantawatawa1510
@euphrasiantawatawa1510 Жыл бұрын
Yes,kuokoka ni jambo lingine na kuishi kwenye wokovu ni jambo lingine
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
@@euphrasiantawatawa1510 𝚔𝚊𝚋𝚒𝚜𝚊𝚊
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Si Kitu hata Mbele za Mungu si Kitu kabisaa Ni Mpaka uwe na Roho Mtakatifu na Awe yu hai Ndani yako vilivyo
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 Жыл бұрын
@@trophywilson7211 NIkweli ndugu kumbe shetani aweza kuhigiza malaika wakusifu lakini ndani ajenti
@jackbruno2470
@jackbruno2470 Жыл бұрын
Poreni mama MCHUNGAJI ugitoka hapo usimame vizuri namungu funga omba maombi yanguvu asubuhi atahamisha atamirima mukiristo mda wote anakua tayari nagupambana na ichochote kinayoweza kugutokeya kanisa yoyo inafa gutokana unavyomutafuta mungu unavyo ombea uwe nahimani nagutafuta munga kwabidii
@kamalajoseph7861
@kamalajoseph7861 Жыл бұрын
See mungu tetea watumishi wako
@agnesmuhonja7468
@agnesmuhonja7468 Жыл бұрын
JESUS CHRIST! ! !
@user-ud9jk8bt1z
@user-ud9jk8bt1z 5 ай бұрын
Sawa baba waumbuwe kanaan kiboko cha wachawi
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 Жыл бұрын
Amen and Amen,Jina la YESU Christo lipewe sifa, samahani mm nadhani fungo la kumi na zaka ni tafauti.
@wannaproducts
@wannaproducts Жыл бұрын
Sio tofauti ni kitu kimoja
@hopeayoub181
@hopeayoub181 Жыл бұрын
Hakuna tofauti ni lugha tu, zaka ndio fungu la kumi
@florencemushi6561
@florencemushi6561 Жыл бұрын
Wachungaji wana maneno ya kurubuni waumini juu ya zaka. Mungu hana upendeleo. Mungu huwa moyoni mwa mcha wake. Hayo makamisa mengine yana utaratibu mzuri sana wa kutumia zaka. Wapentevoste wanatajirisha mchungaji zaka haitumiku kama Mungu alivyoelekeza. Mungu ndiye anayebariki. Wachungaji wamekuwa feki kabisa
@neemasullemani8715
@neemasullemani8715 Жыл бұрын
Bwana mungu naomba anirehemu nami nipate mtoto Nina miaka 27 kwenye ndoa sijapata mtoto mungu nisaidie naomba msaada wa maombi
@murishisadock8042
@murishisadock8042 Жыл бұрын
Us Kate tamaa Mungu anakuja amuchekeshe Sema amen kwa imani
@afraal2097
@afraal2097 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏
@bazurimwemdi9060
@bazurimwemdi9060 Жыл бұрын
Amena
@bitihaywajean3563
@bitihaywajean3563 Жыл бұрын
Barikiwe Sana Babaa kwa Kazi hio ulio wezeshwa na Mungu ku fungua Nafsi za walio mateka wa kuzimu.
@naimanmchome
@naimanmchome Жыл бұрын
00000000p000ppoi
@lydiahondieki5323
@lydiahondieki5323 Жыл бұрын
Pastor naomba maombi kwamama yangu nimgonjwa yeyd kila mala nimgonjwa mwili mzima
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Ndiyo maana mume wangu hakupenda nisuke kabisaa
@murishisadock8042
@murishisadock8042 Жыл бұрын
Mke wangu kila aksuka anakuwa na ndoto mbaya Nami nilmkataza
@reitusnkondo
@reitusnkondo Жыл бұрын
Reitus Nkondo Niko mbeya nafuatilia kipindi hiki mpka mwisho
@rosemarygeofrey7014
@rosemarygeofrey7014 Жыл бұрын
Mama wa watu jamani sio mchawi ,alikuwa anateseka bila yeye kujua ,mmemnukuu vibaya eti mama mchawi sijapenda
@wendomlahagwaolema6063
@wendomlahagwaolema6063 Жыл бұрын
Huyu Mchungaji amemnukuu mama vibaya. Huyu mama hakuwa mchawi kwa kupenda, bali alikuwa anatumikishwa kwenye ndoto unwillingly. Alihitaji deliverance. Asante Rosemary wewe umeelewa kama nilivyoelewa mimi asante
@claudinandonde3835
@claudinandonde3835 Жыл бұрын
Zaka zinatolewa kwenye kanisa la mahali.
@mwavithaniyburana932
@mwavithaniyburana932 3 ай бұрын
Zaka ni sadaka gani mutusaidiye tuelewe
@Neemakilimba
@Neemakilimba Жыл бұрын
Hili kanisa liko wapi
@jamilahamis2462
@jamilahamis2462 Жыл бұрын
Wote makafili niwacjawi miunguwenu masanamu filimasoni lisifa ibilisi nawachungaji wengi wachawi
@luciansanga5195
@luciansanga5195 Жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU Hiitaji zaka ili Akubali Yeye Ana hitaji unyenye kevu Mbelezake tu na utii kwake
@furahamwatwinza9560
@furahamwatwinza9560 Жыл бұрын
Ukshatii na kunyenyekea,,wajibu wako kutoa zaka ,,ni lazima malaki 3:10 ,,leteni zaka kamili,,,,,,,,,,,asema Bwana,,,,,,,,,,""""sasa kama Mungu ameagiza,utapingaje?
@zuhuraladha9805
@zuhuraladha9805 Жыл бұрын
Duuu mwanga halisi
@jelidaandrea2845
@jelidaandrea2845 Жыл бұрын
Kuna watumishi wengine samejiweka wao ndio Mungu Hivi ukitoa zaka mwanye kubariki in Mchungaji? Au ni Mungu?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Na Mimi nitawazuia maana sijaamini kama Kweli Huyo Ni Mtumishi wa Mungu aliye hai,Maana Matukio ni Mengi saana
@wendomlahagwaolema6063
@wendomlahagwaolema6063 Жыл бұрын
Na mimi japo siyajui hayo makanisa mawili lakini kwa kuangalia hii video naona kuna shida mahali. Vita kati ya makanisa hayo mawili. Mungu mwenyewe ndiye atakayewakumu watu wake
@rosenyabuti8381
@rosenyabuti8381 Жыл бұрын
WATU WAKOMBOLWEKW kwa Jina YESU
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Жыл бұрын
Kumbe wanaojiita walokole mbona wote Ni wachawi nashangaa sana
@rosenyabuti8381
@rosenyabuti8381 Жыл бұрын
@@saadyusuph6554 Saad yusuph sikuelewe una Sema nini nielesea walokole
@wendomlahagwaolema6063
@wendomlahagwaolema6063 Жыл бұрын
Hapa ninachokiona ni ushindani kati ya makanisa ambao ume overshadow deliverance ya huyu mama. Kichwa cha habari nacho kinapotosha. Kutokana na maelezo ya huyu mama, yeye hakuutafuta uchawi bali alikuwa anachukuliwa kwenye ndoto kwenye ulimwengu wa roho bila yeye kujua. So kwa nini Mchungaji anamhukumu kwamba ni mchawi. What she needed was deliverance na sio kusema yeye ni mchawi. Alitumikishwa bila kujua. Naona hapo Mchungaji ana misquote (kamnukuu vibaya). Vita vya makanisa ndio ninachokiona hapo
@silumbuatwambilile2284
@silumbuatwambilile2284 Жыл бұрын
Ni kweli, hapa kichwa cha habari si sahihi, alisababishiwa si asili yake.Pia ninachokions hapa, kama ni muombaji hii hali inaingiaje? Hapa ipatikane tafsiri sahihi, kwanini mlokole ashindwe na wachawi?
@eligiamakota3025
@eligiamakota3025 Жыл бұрын
Ni kwel huu ni ushindan ambao upo makanisan ad huu wkt bad makanisan yanaushndn mkubwa
@joycekileju3263
@joycekileju3263 Жыл бұрын
Q
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 6 ай бұрын
awe hakupenda au angependa tayari uchawi alikuwa nao,kikuu mama nimempenda kujikubali kwake Mungu amemuona,isipokuwa kuhama kanisa sio busara
@Patrick-pj5ni
@Patrick-pj5ni Жыл бұрын
66776 oo min
@eligiamakota3025
@eligiamakota3025 Жыл бұрын
Mungu tu awe mwema weng huiba zaka na atimae hujiinua na madhara yake mungu umwacha mtu huyo tuwe waaminifu kwa mungu kaz Bado ni ngumu Bado tukaze mwendo.joshua kutoka Lindi.
@margaretzacharia5877
@margaretzacharia5877 Жыл бұрын
K,t,k Nakuru pastor Niko pamoja niombehe Niko mngonchwa kwa tumbo mbaya na fura🙏🙏
@rosenyabuti8381
@rosenyabuti8381 Жыл бұрын
Margaret Zachariah ktk nakuru, pole yesu, akufuneneke na damu yake.
@bekantowilolo66
@bekantowilolo66 Жыл бұрын
Wewe Mzee acha kudanganya watu zaka apeleke wapi wakati ndio Baba ake wa kiroho
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Yaani hapo sielewi,Ametendaje dhambi??
@wendomlahagwaolema6063
@wendomlahagwaolema6063 Жыл бұрын
Hakuna dhambi aliyotenda hapo.. alihitaji kuombewa na kukombolewa na hayo mateso. Wamemnukuu vibaya, eti mchawi, kwani uchawi aliutafuta? Na alikuwa anatumikishwa kwenye ndoto bila yeye kujua. Sielewi kwa nini anakuwa labeled mchawi hapo
@johnmayunga9557
@johnmayunga9557 Жыл бұрын
Kwani wapentekosite hawajui wanajua kuwa kusuka nywele na kujipamba kwa mkristo siyo sahihi maana wanasoma biblia ila wametekwa na ibilisi 1petro:3:3--6;1timotheo:2:9 wanaosoma kila siku
@stanleyguthia7771
@stanleyguthia7771 Жыл бұрын
Wanajua kuwa bibilia imekatasa kushuka nywele, ni vile tu wanakataa kutii neno la Mungu juu ya kupenda dunia(1 John 2:15-17)
@jackbruno2470
@jackbruno2470 Жыл бұрын
Poreni kwachanga moto urokutanazo rakini pia navyowona shida kama izo zinakurya anza gu funga nagushamburia ndogushinda vita vinavogutokeya na wachungaji wengi hawafunga gi iri makanisa yao abate maono yakujua kama kanisa riko sarama au kunamatokeyo mabadaye sasa kama mama MCHUNGAJI anachezewa nawachawi washirika watabaki? Kanisa risiofunga hariwezi kuwa naroho mtagatifu washirika wanarikimbia kirasiku
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Жыл бұрын
Sasa kucheza cheza huko ndio mko kwenye ibada au mpo kwenye kigodoro na mdundiko? Kazi kweli kweli.
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 Жыл бұрын
Abdallah Abdulaziz Ingieni Na Wake Zenu Misikitini, Mswali Nao Pamoja Kisha Msujudu Nao Pamoja Ndiyo Utajua Kucheza cheza Na Kusujudu Bora Nini.
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Жыл бұрын
@@yakobomkristo872 nyie NI wa motoni tu hata ukaruka ruka vipi biblia imeshakataza mwanamke kuwa kiongozi au kuzungumza mbele ya wanaume Tena agano lenu la walokole ndio linasema hivyo acha lile la kale lkn Leo walokole Kuna wachungaji wanawake tena wanamiliki Hadi makanisa yao hapo ndipo mtakapojua kuwa nyie NI wa motoni na NI kuni za Moto wa jahannam.
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 7 ай бұрын
@@abdallahabdulaziz3683 Uelewa Wako Kuhusu Wanawake Ndani Ya Biblia Ni Mdogo, Wanawake Wangekuwa Dhalili Basi Mariam Mama Yake Nabii ISSA Hasingekuwa Na Surat Na Pia Hasingetajwa Mara Nyingi Kuliko Muhammad Ndani Ya Quran. Wanawake Oyeeeeeeeee....Mama Wa Taifa Letu Oyeeeeeee.....
@aneesaalwaneesah1150
@aneesaalwaneesah1150 Жыл бұрын
Mcungaji wewe una chaguwa kongoo wrote ni sw Awe muislamu Awe mkrito msaidie
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Жыл бұрын
Nyie ndio msiojielewa Kama ni muislam Basi tayari umesharitadi na Sasa NI kafiri fi nari jahanam khalidina fihia abadan,na hii inatokana na kutokuijua dini yako Toto unalizaa hulipeleki madrassa hata alif halijui mzazi unategemea nini Sasa zaidi ya mtu Kama wewe kukimbilia mafuta ya upako sababu hujiamini Wala dini yako huijui pimbi wewe.
@komudibwe866
@komudibwe866 Жыл бұрын
maji na mafuta yanatatizo gani hata unakashifu, soma vizuri biblia,msipotoshe watu, we ndo umepoa, hivi hamfanyi utafiti kujuwa ukweli ? kama yesu alitumia we nani hata uongee hivyo jamani . flabbergasted !
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Жыл бұрын
Hapo ndipo mtakapokubali kwamba ukristo hamna kitu na Imani yenu yote mnajidanganganya NI ujanja ujanja TU wa waganga wachache wanaojiita wachungaji.
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Abdallah Abdulaziz umesahau majini ni ndugu zenu mnasali nao mpaka msikitini.
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Жыл бұрын
@@lulanjamd3886 juzi kati kuna binti alipandisha majini,kelele balaa ,cc hatujui namna ya kuwatuliza ,mpaka alipokuja muislam mwenzake akazungumza nayo. Akwauliza mnataka nini? Yakajibu kuwa, huyu binti amekuwa haendi msikitini, na leo ni ijumaa hajaenda ndio maana tuna mwadhibu. Akawaomba pale kuwa atamwambia ajirekebishe ndipo yakamtoka yule binti na kurudi katika hali ya kawaida. Ni kweli wanasali nayo,na ni dhehebu lao. Tukio lilitokea pale mwalimu nyerer college.
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Жыл бұрын
@@lulanjamd3886 tunasali nao misikitini kivipi wakati mama huyo kasema yeye NI mama mchungaji anaimba mapambio anaombea lakini bado alikuwa anachukuliwa na wachawi bila ya yeye kujua na alikuwa anaswali kanisani miaka yote na mapepo na majini na mbona hakudhurika mbaka kaamua kuja mwenyewe kwa utashi wake kuielezea Hali take la sivyo asingeweza kujulikana mngesali Naye miaka yote bila kumjua ndio maana nasema ukristo NI dini ya wajanja flani waliojiongeza kwa waganga ili kupiga hela za MANYUMBU wasiojielewa.
@abdallahabdulaziz3683
@abdallahabdulaziz3683 Жыл бұрын
@@lulanjamd3886 UNAKUMBUKA hapo mama huyo kasema alikwenda kwa mchungaji akamtabiria yote akampa na maji aoge na anywe Sasa Yule Kama hakuwa mganga ni Nani Yule Mana anasifa zote za mganga au mchawi nyie mnadanganywa tu angalia mnavyorukaruka kanisani Sasa hiyo ni ibada au kuita mizimu?
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
Ufaham wako mdogo Sana acha makasiriko kwenye dini za watu
@mwavithaniyburana932
@mwavithaniyburana932 3 ай бұрын
Zaka ni sadaka gani mutusaidiye tuelewe
MALKIA WA KUZIMU AKAMATWA KWENYE SEMINA
55:52
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 27 М.
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 51 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 5 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
MAMA AFUNDISHA FAMILIA NZIMA UCHAWI
25:59
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 25 М.
MAFUTA YA UPAKO YALICHOMFANYA HUYU BWANA.
1:15:39
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 81 М.
UAMKAPO ASUBUHI FANYA HIVI .
6:17
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 178 М.
KAFARA ZA MIGODINI ZAWEEKWA WAZI
22:42
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 3 М.
KIJANA ANUSULIKA KUWA  KAFARA KWA BABA YAKE
27:31
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 4,8 М.
WACHAWI WAZOZANA MADHABAHUNI BILA KUMUOGOPA MUNGU.
1:12:32
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 379 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: "Sadaka Inapotumika Kutengeneza Maisha ya Familia Yaliyofungwa na Sadaka"
9:09
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 287 М.
Muuza Nyama za watu kwenye Butcher biashara kwisha.
28:40
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 247 М.
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 51 МЛН