Bado mdogo wangu Naomba Mungu atoke pale alipofichwa kwasababu alikufa na ajari hakuchubuka hata kidogo walimwengu walipenda rangi yake basi Hakuna lishindikalo kwa Mungu ❤
@dynashirima1917 Жыл бұрын
Nenda Kwa Nabii Domick kiboko ya wachawi buza Kwa Lulenge atamrudisha
@jeniphermyingajeniphermyin8029 Жыл бұрын
Ameen itakuwa,TU Acha Mungu awaumbue
@mtzhalisi22326 ай бұрын
Amen
@merrynancesimon15626 ай бұрын
@@dynashirima1917 tulienda na tumeambiwa ni ndugu yetu aliyefanya hivyo 🔥❤️🔥
@Migrationdesanimaux2 ай бұрын
😢@@merrynancesimon1562
@AnnaDotto-xb8lw Жыл бұрын
Pole sana jaman ni matumaini yangu kuwa Mungu anafanya kazi
@annehaysanday921411 ай бұрын
Mpelekeni kwenye maombi kwa.Yesu hakuna gumu
@UmmuMaryam-ym1um Жыл бұрын
Subhanallah huyo hakufa mwenyezimungu akipanga kifo hakuna kufufuka Bali siku ya hisabu ndio watu wata fufuliwa hio Mimi sija amini
@ShabaniSaleeh11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kwani Wamerazimisha Tuamini hama
@VexMaizoOfficial Жыл бұрын
Hiiiiwi ni Simanzi Na majonzi😭😭😭 Like zangu jamani mi wa Kwanza jamani kutoka Msumbij Mozambique 🇲🇿 mkoa Cabo Delgado mjini Pemba Cariaco-Mieze
@faridikipingu1437 Жыл бұрын
Mlizika gomba huwo ni uchawi i
@anraneamisse9243 Жыл бұрын
Pamoja bro natite hapa
@2ttyfruityАй бұрын
Mungu yupo
@eliasndayikengurukiyegmail Жыл бұрын
mungu atusamehe❤❤❤❤
@tereciahm8741 Жыл бұрын
Mkufi kafufuka...much lov frm kenya ndugu zetu
@jaymandy8136 Жыл бұрын
Barani Africa sio kila anaekufa anakua kafa kweli wengi hufichwa katika majumba ya watu kichawi 😢
@jaymandy8136 Жыл бұрын
@HalimaMaiko-vn8ss Mungu amuwekee wepesi
@UmmuMaryam-ym1um Жыл бұрын
Kweli kabisa huo ni uchwi ni uchawi mtu akifa hawezi kufufuka kabisa siku ya kiyama ndio watu hufufuliwa
@VictoriaNanguka-hi2gv Жыл бұрын
Kwa yesu akina kinachoshindikana
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Binadam akifa hafufuki kihivyo ni hadi siku ya QIYAAMA ,lakini Kwa Sasa ukisikia mtu kafufuka ujue alikuwa msukule tu nasivinginevyo,na msukule ni mtu anakufa kifo bandia Kwa maana wale watu wanapenda msibani wanarogwa macho Yao kama mazingaumbwe,Kisha anaenda kutumikishwa kazi kwenye mashamba ya wachawi au magodwn nk ,wachawi mkae mkijua,kesho Kwa mungu mtawalipa wallah na malipo yanaanzia hapa duniani mkiwa hai na mchawi akifika kwenye sakaratu Al mauti Huwa anaropoka mabaya yake yoteeee
@rayahamisi118 Жыл бұрын
Kwa sababu wanachukuwa msukule afi kifo cha mungu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Raya Watu ni wabaya sana
@rayahamisi118 Жыл бұрын
@@BIGBOSS-hl3bu sanaa
@mussakaswahili-v2l5 ай бұрын
Mungu amsaidie sana
@nicholauskilosa5336 Жыл бұрын
Uchawi upo Qur-an 2:102
@OsengoKE Жыл бұрын
Sisemi Kitu....Following from United States of 🇰🇪
@NehemaRehema-g3t11 ай бұрын
Nami naomba mungu afufue mtotowangu arikufa kimiujiza mungu atende yake
@IsakaJeremia5 ай бұрын
Mungu yupo wote walio onewa watatota tuu damu ya yesu
@eliasjoseph6406 Жыл бұрын
Wasukumaa mmezidi Sanaa uchawii jamanii loooh punguzenii bas utashangaa huyoo aliyefanyaa ivoo Ni nduguu yao amnaa mtuu wa mbalii wa kufnya ivo
@NehemaRehema-g3t11 ай бұрын
Ongera sana watuwanachezea binadamu
@jumaayubu Жыл бұрын
Hapa bila kupepesa macho UCHAWI upoooo😢😢😢
@MsAggie5 Жыл бұрын
Hii ndo Africa 🔥🔥🔥🔥
@monicamajebele9165 Жыл бұрын
jamani mleteni tumwombee huyoatakuwa mtumishi mkubwa wa Mungu
@nicolelydiandayihimbaze9927 Жыл бұрын
Ukweli ndugu
@enelissadickson7618 Жыл бұрын
Amina mungu
@MaryNikodem9 ай бұрын
Jaman ushirkina upo polen sana
@Veronikalumola-zq4vm Жыл бұрын
Poleni Sana haha ndo mambo ya dunian!
@ZuwenaAhmad-v7j11 ай бұрын
Mungu atusamehe
@chrotildamathias9610 Жыл бұрын
Mpelekeni kwa mwaponsa huyo akili ikae sawa
@emmanuelpeter5686 Жыл бұрын
Hapo umenena
@Mkombozi255 Жыл бұрын
Only in AFRICA 😅😅waafrika tuna kazi sana,tutafika hoi 😂
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Pole uchawi upo kila mahala
@Mkombozi255 Жыл бұрын
@@lifeinmiddleeast8179 siyo kweli uchawi upo kwenye nchi za kimaskini tu,mchawi mkubwa ni umasikini 🤓
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
@@Mkombozi255 hapana kila mahala labda uko uliko huoni ni hiv mtu asiyekufahaam hawez kukuroga
@samwa9496 Жыл бұрын
@@lifeinmiddleeast8179hata wazungu wachawi wapo
@Dianaf774 Жыл бұрын
😢😢😢poleni kwa familia
@mussakaswahili-v2l5 ай бұрын
Mwash una mungu sali sana
@IreneIrene-cm5qf Жыл бұрын
Majabu ya mungu au alitekwa nyara mashetani mukapewa Sanam mukazika
@inocentmbise3625 Жыл бұрын
Tunasikiaga sasa tumejionea kwel haya mambo kumbe yapo
@AkswaZo Жыл бұрын
Ndio maana hukum ya mchawi ni kifo watu wabaya sana
@jeniphermyingajeniphermyin8029 Жыл бұрын
Hakika
@abdallahluwambo6937 Жыл бұрын
serikali ya senegal ina amin uchawi,ukimuisi mtu amekuroga au ameloga unaenda kushitaki,ukishitaki mahakamani kuna makonki pia wa uchawi"wakipiga ndumba zao hautoboi"nawe unaukumiwa kifungo au kuuliwa kabisa"iyo ni senegal"hapa bongo eti hawaamin uchawi ila watu wanalogana!????😂😂😂😂😂😂😁😁😁
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Hawaamini lakin ni washirikina balaa
@rayahamisi118 Жыл бұрын
😢😢
@farhannahkulishwaburekunam5360 Жыл бұрын
Iwish na ndingu yangu arudi
@scorasticaclement6308 Жыл бұрын
Na mimi mdogo wangu Naamini atarudi siku moja kifo chake kilikuwaa cha ajabu Sana.
@leahzuu6468 Жыл бұрын
@@scorasticaclement6308sasa km kachukuliwa na osama😂😂😂
@kiya0910 Жыл бұрын
Apelekwe Kwa babu atakua sawa
@EmanuelMayala-n2i Жыл бұрын
Hata Baba angu siamin Kama alikufa kwel i
@EmanuelMayala-n2i Жыл бұрын
Kwa stail hii watu hawatakoma kufyekana mapanga,. Aiseeee!!!!! Mungu atusaidie
@sammysammy2001 Жыл бұрын
Walio mzika siyeye🎉🎉🎉
@emmyEliasi Жыл бұрын
Ww mwanadamu unayeshindana na mungu ww
@bigirumanalululouise4540 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢
@JohnmeryNdayihimbaze Жыл бұрын
Basi hiiniushuda kwamba yesu anaweza ikiwa wasilikina waweza miuzizahi yesu naye sanawazidi uwezo tumwaniyetu nguvuzagiza zote zitasimama nanguvuza nulu zitazidhihilisha
@annehaysanday921411 ай бұрын
Kumbe Tanzania bado kuna watu hawajui kiswahili!
@nicolelydiandayihimbaze9927 Жыл бұрын
Na Mungu atamurudisha
@ramadhanishabani1738 Жыл бұрын
Hicho kijiji siyo cha kuishi..
@saumumohammed5630 Жыл бұрын
Kuna vitu vya kuchekesha sana duniani🤭
@kalebyhennry6598 Жыл бұрын
😢😢 12:58
@emmyEliasi Жыл бұрын
Eeee jmn mbn maajabu hayo
@FadhilaKhamis-xe6hg Жыл бұрын
😮
@PreciuosFundikira Жыл бұрын
🎉Jaman mungu tusaidie wanadam😂
@musaondieki2493 Жыл бұрын
Mpleke kea Bishop Gwajima aombewe msimpeleke kwa waganga
@ShabaniSaleeh11 ай бұрын
Kwani hailio mrudisha ni mungu hama gwajima 😂😂😂😂😂hama mganaga swala hapo nikumuachia mungu tuu
@jeniphermyingajeniphermyin8029 Жыл бұрын
Usimwache mchawi kuishi,kutoka 22:18,,
@happykipeya8516 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@emmyEliasi Жыл бұрын
Ww uliyefanya ivo mungu anakuona na utakufa kifo cha mateso ww
@georgemovieproduction1842 Жыл бұрын
Hakuna kufufuka hapo tuulizeni wajuba kilichotokea.hapo ni kweli mlipatwa msiba mkazka ila mlichezewa kamchezo kadogo tu huo msiba
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Wangefukua kaburi waone ikiwa kama mwili umo au kuna kitu kingine .
@mosamossile9113 Жыл бұрын
Du, wachawi mnakaria kidole cha kati, Mnaumbuka dawa yenu inachemka
@khadijaabdulrahmani1446 Жыл бұрын
Fanyeni DNA Kwa uhakiki zaidi msikubali Tu dunia ina mengi hii
@luckykessy Жыл бұрын
Ndugu yako huwezi msahau wew damu nzito
@emmanuelkess8891 Жыл бұрын
Mpaka huruma jamn dah ila ss binadamu tunaroho mbaya Sana dah inaumasana
@jumarajab5316 Жыл бұрын
waandishi mlishakatazwa kutangaza habar za kusadikika
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Unajua maana ya kusadikika?
@zuriathabdallah9492 Жыл бұрын
We fala.kwel umeambiwa ni za kusadikika
@messikihongosi5290 Жыл бұрын
mkariman nae hu 😁
@adelinabaitu3291 Жыл бұрын
Maomb maombi jamani
@rayahamisi118 Жыл бұрын
Kweli upo anasema aupo uyondio karogwa mpaka ajielewi
@lailalaila8206 Жыл бұрын
Warizika mgomba wa ndizi na sio binadamu
@ghhyhh75917 ай бұрын
Hakika mtu akifa kafa movie za kichawi hazisemi uwongo mmezika mgomba bas kiini macho badala yake izo ndo shida zake
@Ambwene Жыл бұрын
Wachawi wauwawe mbwa Hawa, kwanini wanawatesa watu na kuwachukua msukule
@joycekelvin5434 Жыл бұрын
Mzee wenye nguo ya CCM amejieleza vzr
@fridaernestmkedege900 Жыл бұрын
Maumivu makali haya jamani 😭 😭
@MsAggie5 Жыл бұрын
Sana, yeye bado hajakaa sawa, wanasema yuko kama zimeruka ila akiwa Sawa atakuwa na maumivu makali Sana. Mungu arudishie ufahamu wake Kwa kweli yatosha
@fridaernestmkedege900 Жыл бұрын
Siyo mtu tena , yaani binadamu tunaweza kuumiza ! Mungu Ipe nguvu hiyo familia 🙏
@evancebyabato6127 Жыл бұрын
Usukumani yapo sana Tu
@imatisatv9239 Жыл бұрын
Huyu hakufa ila alichukuliwa
@janemhangomhango5841 Жыл бұрын
Aende kwenye maombi
@ndabaniweperusi9546 Жыл бұрын
Anarudi kwajiri yamaobi washafufuka wengi tafuta bishopu gwajima amurudishiye akiri
@sylviesaidi5740 Жыл бұрын
Nikweli kabisa???
@fridaernestmkedege900 Жыл бұрын
Sijui hata niseme nini, siwezi uwwwwwiiiii.
@IsraelKisaila Жыл бұрын
Mji gani
@MsAggie5 Жыл бұрын
Somewhere usukumani huko
@Digalatz Жыл бұрын
Wasukuma Tujuane plz
@sarahsara-xe2fe Жыл бұрын
Tupo mwaguku nkoi ,sio kila msukuma ni mçhawi namala unene
@sarahsara-xe2fe Жыл бұрын
Kama wanabisha waniite mbwa nimekaa hapa Dubai, mwanza kwetu moja namala
@stellajoseph9334 Жыл бұрын
Wakapime vinasaba na ndugu zake baba na mama kama vitawiana basi ni ndugu yao, mkisema ushahidi ni nguo alizozikwa nazo , nguo zinafanana.
@jaymandy8136 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅 hivi ww kwa mfano unaweza msahau ndugu yako uliekua nae hata ipite miaka kumi na zaidi?? Hao sio wajinga dd huyo ni yy
@leahzuu6468 Жыл бұрын
@@jaymandy8136Yuko na utani uyo😂😂😂
@simonmalegesi414 Жыл бұрын
Stella jina la mama yangu akuwa mjinga kama wewe😂😂😂😂😂
@SamanthaAlih Жыл бұрын
huyu sio kwamba alipata ajali kusema lbda walizika mtu mwingine maelezo yoa wanasema aliugua na kufa wakamzika