Waaaooo ktu kpyaaa, l haya tupotaali kusikia mkasa, reyana kafanyaje? il tujuwe. asante ankojy mapesa kwa kazi nzuriiiii🌹🌹🏃
@christinahaule-p8i6 ай бұрын
mama reyana siyo mama bora ata chembe yn mbk mtoto wake anatolewa usichana bikra kwa kunyanyasika vibaya mno mungu mpe nguvu na moyo wa uvumilivu biti reyana❤
@maseleenaesleen81496 ай бұрын
X tunaanzaje kuisahau team ya anko jay hatuwezi sahau ilikua moto ❤❤
@wertqwe83266 ай бұрын
Namkubali sana huyu mwandishi ako poa sana mauwa kwake jamani❤❤❤❤
@aumuelly29096 ай бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤sisi tunasubiri tarratib
@RakaPk6 ай бұрын
Wooh mashaallah ubarikiwe sana anko jamani leo nimekuwa wa kwanza haa siaminii uwii 😂😂❤🎉
@linetkhavugwi2096 ай бұрын
Siwezi sahau x fupi taaamuuuuuu kama mmmh!!!❤❤❤
@Lucy-vp8pm6 ай бұрын
😢😢😢😢hakika imeniuma sana reyana mungu anaona aki kweli mama munyama kama ww utaipata adhabu yako mana mtoto hakukutuma ukazembee na kutiwa mimba sasa unaleta hasira kwa mtoto asiye kua na hatia 😢😢😢inaniuma sana wale roho zinawauma ju ya reyana like
@Sumaiya-h7m1p6 ай бұрын
Naumia mwanzo tuu wa simulizi 😢😢😢😢
@rhodagwimile67946 ай бұрын
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@Fatmamakame-q5w6 ай бұрын
Nipeni like zenu jamani sijachelewa sana😢 asante uncle j mapesa kwa kutuletea simulizi
@FaithPeter-j4w6 ай бұрын
Wao niko ndani🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JaneSanga-b5n6 ай бұрын
Pensa San ank jay❤❤❤🎉🎉🎉
@TeklaNdekeja6 ай бұрын
Mamareyana mungu anakuoona km mwanao anatatizo toka utotoni ila wamwacha ukale maishaa!😭 mungu tujarie hekima 😭🙏
@lilianeerica33186 ай бұрын
Kwani hayo maisha mazuri Mungu amemuruhusu kuyaishi???
@FatumaHamisi-sr6yj5 ай бұрын
Pole Sana reyana 😢
@binthassan91916 ай бұрын
Leo ninamshawasho wakutoa like 😂😂Ahsante Anko jay kwa kigongo kipya
@reginarichard33496 ай бұрын
Pole sana Reyana😭😭 hii inaumiza sana Shukrani sana ancle ❤❤
@victoriangasa6 ай бұрын
Nikiwa nasikiliza simulizi za Anko J kazi zangu huwa nafanya kwa rahaa mbaka so pw jomn ❤❤😂😂
@khadijahamisi65586 ай бұрын
Maskini binti reyana yaan kunawatu wanaroho mbaya sana jamanii kaah🙌🙌🙌🙌pole sana binti reyana😭😭😭😭
@josephineuwizeye82506 ай бұрын
Merci notre cher Anko j sois béni❤❤ from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@YASINTARINGO6 ай бұрын
Kila siku mnaninyima like ayaaaaa mie aaaaah Ngoja niwalike nisikilize zangu
@MoshiMoshi-qy8dq6 ай бұрын
Mmmh namshukuru mungu kwa kunipa mama bora kwangu maskin Reyana😢😢
@victoriangasa6 ай бұрын
Kazi bila simulizi haziend jomn❤❤😂😂😂😂
@DortheaMaria-ti5er6 ай бұрын
😭😭Anatatizo toka utotoni ila wamwacha ukale maisha!! Mungu tujarie hekima 😭😭😭
@SusanNeema-re3hr6 ай бұрын
Ww mchonyo sana dear, 😮
@DorcasMuomba-gd3sw6 ай бұрын
Asantee anko jay shukrani ila tunaumwa kukosa Msela
Nimesikitika sana bint reyana ametesaka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@FadhilaJumanne-l8k6 ай бұрын
Waooo tunasubiri sin kwa ham🎉🎉🎉🎉
@Polite9016 ай бұрын
Hadi nimelia Jaman, kiukweli kuna watu wenye Roho mbaya sana huku duniani ,hata wanyama hawana Roho mbaya Kama walivyo wanadamu
@usterbae6 ай бұрын
Kazi nzuri ankojay mapesa ❤❤❤
@nellylewa44576 ай бұрын
Asante ankojay japo inahuzunisha lkn iko na mafunzo ❤❤❤❤
@jasminmohagthari37306 ай бұрын
Nimelia saana bint reyana kwa alio yapitia😢😢😢
@SelinahMakenz6 ай бұрын
Nyie Anko asante maana niliboeka sana aise Leo simulizi zote za anko nishazimaliza😅🎉❤
@susansamira81376 ай бұрын
Jamani Leo wa tatu nimewahi shukran Ankojay ❤❤❤
@herikinanda65756 ай бұрын
Nzuri sanaaaaaaaaaaah thanks anko j w mieeeeeeee m n mchelewj always 😂😂😂😂😂😂😂😂 and 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 4 u na wckilzj woteeeeeee❤❤❤❤❤
@BethMdoe6 ай бұрын
Weeee anko unatutia nchecheto wa SIN yan naisubiria kwa Hami❤
@nurafedrick3786 ай бұрын
Emmy Mungu amekupa ulichotaka hivi ungejua huyo mtoto humtaki siungetoa mimba AMA ungefilia mbali bila kumxaaa yani mwanao wausichana unamkanaa loo Mungu anajua kulipa ulicho panda
@nuriatqueen55756 ай бұрын
woow 🧡acanikae 🪑niskilize👂 simulizi ya REYANA😢 wapendwa🩵💛 wangu naomba like please 🇬🇧🇬🇧
@Loving-026 ай бұрын
SIN JAMAN SIIIIN I CAN'T WAIT ❤❤❤❤
@fetreshazKhamisi6 ай бұрын
Ndio tuna ijua mambo🔥🔥🔥Yani nmesikiliza x mwazo mwishoo tunaisubili haya tupe kisa Cha bint Reyana kafanyann Tena jmn Binti Reyana🔥🔥🔥🇴🇲🇴🇲
@IshaeryMwampyate6 ай бұрын
Likeeee zng 😂🎉
@DinnaTymer6 ай бұрын
Nilijisemea moyonii mm metesekaaa... Lakinii Sijawahii mfikiaa Reyana Allah ALHAMDULILLAH,.
@UmayyaNkya-ze3ri6 ай бұрын
Kitu hiko🤸♀️🤸♀️❤️
@alyerungaantoinnet78516 ай бұрын
Wow❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉from 🇺🇸🇺🇸🇨🇩🇨🇩
@mozabayabanda42486 ай бұрын
Anko tumaliziye simulizi ya msela ❤❤❤❤❤❤
@GraceDavid-nq4zc6 ай бұрын
Anko j kwel anatutesa simuliz ya msela anavyotulingia kutuletea we acha 2
@SelemanAlmas-i2g6 ай бұрын
Leo Tena hakuna simuliz Kuna viporo ving
@khadija.kkhadija.k78856 ай бұрын
Asie wake anamungu mungu atakunyooshea wabaya wako
@aminah95576 ай бұрын
Yaani daki 4 to like 20 dhaa sio kwa kuwahi huko❤❤❤❤
Heri nile makapi kuliko kutelekeza watoto wangu kwa kutaka maisha mazuri ya haraka😢😢😢
@RahelIbrahim-id2li2 ай бұрын
Kabisaa
@Jasmeni-ns9dg6 ай бұрын
Yule dada wa kutoa like mdogo mdogo naingia kuwapa like mamb ya simulizi mpya ngoja nikae kusikiliza❤🎉 1:42
@SusanNeema-re3hr6 ай бұрын
Na ww je unapeana like au ziiiiii.....😅😅
@Jasmeni-ns9dg6 ай бұрын
@@SusanNeema-re3hrhata mm napewa kidogo 😂😂
@elizabethmuhati87586 ай бұрын
Binti Reyana ongera sababu hakukua na msaada hapo ilikua vyema anko ongera Kwa simulizi poa❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@hdhjdh7756 ай бұрын
Niko naldani❤❤❤
@MariamJuma-o9z6 ай бұрын
Simulizi mzuri and so sad Anko nomeipenda sana hipo Safi sana flowers 💐kwa mwandishi kila Simulizi Zale ziop juuuuuuu.much love ❤❤❤❤❤
@mumbikibathi70366 ай бұрын
Yaa Mumbi Wa Naivasha ako Ndani wapi likes
@TumuhamzaHamza6 ай бұрын
Mbn itkua sku ya brka zku ya birthday yngu nd mzgo watka niragaa kias gn 🎉🎉 na mshbki mniwesh plz🎉❤❤
@avelinabaluhya28046 ай бұрын
Waoooo❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💃💃
@jokhajj6 ай бұрын
Mtoto vanessa anaroho mbaya yeye namama yake na baba yake wote mashetan umaskin ulaniwe jaman sisi maskin tunazarauliwa sana aise 😢
@SusanNeema-re3hr6 ай бұрын
Hata nashaga umasikini huu
@LyidiaSilayo6 ай бұрын
Asante anko penda sana ww ❤❤❤❤❤
@priscillahsirya65446 ай бұрын
Asante anko mapesaaaa wapendwa sanaaaa❤❤❤❤❤❤
@sephrinewarenga27456 ай бұрын
Wow,kazi nzuri kaka,listening from Kenya(Eldoret),much love
@radhiamohaa37236 ай бұрын
😢😢😢 nimelia bila kujitambua kama nalia 😢😢😢
@YASINTARINGO6 ай бұрын
Nishawalike wote ❤❤❤
@Sumaiya-h7m1p6 ай бұрын
Mbona naanza kuumia hata simulizi haijaisha😢😢😢😢ooooh bint reyana
@elizabethkatoko88676 ай бұрын
cjachelewa sana wadau
@josephineuwizeye82506 ай бұрын
Pole sana REYANA Mungu yuko.
@ismailshabani-wh4hl6 ай бұрын
Da ina uma sana wana ume tule watoto wetu wenyewe😢😢nipeni like zangu
@RahelIbrahim-id2li2 ай бұрын
Sana na sio wanaume tu,wanawake wanazaa kwa uchungu lkn mama huyo aliweza muacha mwanaye
@debrahshelymaca53396 ай бұрын
Wauh 🎉🎉
@ashaabdalla9246 ай бұрын
Mhm yaani tusikilize tu simulizi zinaishia njiani hazimalizwi eti zinauzwa 😊😊😊
@HemedBaruan6 ай бұрын
Jaman naomben na me like zenu mnanyima kil siku
@AnastasiaKilonzi6 ай бұрын
Baba mnafiki mungu yuko
@Shadia5446 ай бұрын
Haya jamaniii BINTI REYANA KAFANYANINI TENA TUNASIKILIZA HILI TUJUWE LIKE 10 KAMA NA WEWE UNASUBILI SIMULIZI YA SIN❤
@SusanNeema-re3hr6 ай бұрын
Kipenzi changu❤ nakuona hapa mambo ni barabara🎉🎉🎉
@stanfordboas2 ай бұрын
hello
@violetmulya6 ай бұрын
Mimi sijui mbona wazazi wengine hua wanawachukia watoto ambao wanewapata Kwa bahati mbaya ilihali ni wao wenyewe ndo walijipeleka kwa mwanaume😢
@avelinabaluhya28046 ай бұрын
Hata kama ukibakwa ndiyo umtupe mtoto wako?kwani aliomba kuzaliwa😭😭😭
@violetmulya6 ай бұрын
@@avelinabaluhya2804 mtoto haijalishi umempata Kwa njia gani huyo Hana hatia na labda mungu alitaka uwe nae na ndo maana akafanya ushike ujauzito pia sio mtoto aliye tuma babake sakubake ama akupe hua ujauzito, wakati mein huo unakua tw mtihani mungu anatupa ila tunafeli pasipo kujua
@NadzuwaGofwa6 ай бұрын
Nakwambia hata sijui ni kwanini
@puritykananu99204 ай бұрын
Mm nitalea wangu mpaka dakika ya mwisho Kwa majaliwa ya mungu.
@RahelIbrahim-id2li2 ай бұрын
Mioyo ya watu mwaya ni tofauti sana
@zarinarahab6 ай бұрын
👏👏👏👏kazi safi sana
@MwajumaToh6 ай бұрын
Wao ❤❤❤❤❤
@janetkazungu77956 ай бұрын
Ilete ilete niliipenda sana X❤❤
@PaulinaLwena6 ай бұрын
Watu woyooooooo lete mzigo lete mzigo tar 10 wa 7 tunausubili anko jay hauna baya❤
@SaidaYahya-p9r6 ай бұрын
Ankojey hii ni mzur nimeipenda chukua 🎉 yako sijajua Kuna vipande vingap ila natamani utoe nyingine😊 please please anko
@zawadjustin64336 ай бұрын
Ctory nzr sana aseee can't wait for prt 2
@everlinekenga4376 ай бұрын
Naikumbua sana X yaani hiyoo bongo la movies twaisubiri sana sin❤❤❤❤
@FatmaNjapukagy6 ай бұрын
Jmn anko jay tunataka mselaaaa😭
@TeklaNdekeja6 ай бұрын
Subl
@fatimafoaani22636 ай бұрын
Nice story be blessed anko Jay mapesa ❤❤❤🎉🎉🎉
@Munirahamis106 ай бұрын
Uyo emmy ni shetani yani mama wamkataa mtoto wako kisa mwanaume😭😭
@jokhajj6 ай бұрын
😭😭😭
@SusanNeema-re3hr6 ай бұрын
Watasema watoto wanakosa hekma mbele ya wazazi kumbe ni mzazi nde mwenye tatizo😢
@hdhjdh7756 ай бұрын
Lakini nimesikia hapo mwazo kapata ajali wakati wakienda uraya mama reyana ...?
@avelinabaluhya28046 ай бұрын
😭😭😭
@NadzuwaGofwa6 ай бұрын
😭😭😭
@AyshaTanzania-b2s6 ай бұрын
Pole reyana
@NadzuwaGofwa6 ай бұрын
Kazi nzuri bro mungu akubari sana simlizi zako hua zina mfunzo sana
@SelemanAlmas-i2g6 ай бұрын
Nimelia sn hiv kuna watu wana izi roho za kishetani
@RahelIbrahim-id2li2 ай бұрын
Wapo sana na wamejaa ktk jamii zetu
@haikacassy63356 ай бұрын
so sad jamn😢😢
@NaomFande6 ай бұрын
Hii simulizi inaumiza moyo wangu kwel kama mwanangu reyana
@Lucy-vp8pm6 ай бұрын
Venesa pamoja na wazazi woko pia mtakuja kua maskini na ukatili wenu mulio nao mtakuja kuliipia cku moja mashetani mulaniwe nyunyi
@maseleenaesleen81496 ай бұрын
Basi ankojay hiyo date 10 BINTI LISA itakua imeisha ama utatuchanganyia jamani😢
@agnesagnes52886 ай бұрын
@@maseleenaesleen8149 imagine 😢😢😢
@kimzymamy65945 ай бұрын
Duh nimelia na binti reyana jamani 😭😭😭😭😭
@mariamathman35726 ай бұрын
Kuna simulizi kama X kwa Lucas lumbasi yaitwa Edina yaani kiboko pia hiyo
@cylviapatric73436 ай бұрын
Usimuliaji wake hua unachosha
@Babyfaty-m3y6 ай бұрын
@@cylviapatric7343kwel ila nzr ata kma inachosha
@ataamansi89414 ай бұрын
Kweli kabisa anabana sana 👃 hadi kero, inachosha mno kumsikiliza huenda simulizi ni nzuriiiii lakini msimuliaji anaboa, sijui kwanini kama huna kipaji usifanye kazi zingine,uwache wenye vipaji vyako Felix Mwenda, Anko Jei wasimulie
@Emmy202333 ай бұрын
Anasimulizi nzur lakini hajui kusimulia😂😂akalime tu
@ataamansi89413 ай бұрын
@@Emmy20233 hivi hakuna chuo kinachofunfisha hii fani ya usimuliaji, ili wakasome kuliko kulazimisha kipaji ambacho huna, unanyima baadhi ya wasikilizaji uhondo, sasa ndugu Emmy bora huyu kuliko kuna dada haki ya nani vile,anachukiza hasaa anaharibu sana simulizi za wenyewe,. halafu hakomi bado analazimisha kusimulia, kuna story moja D,oen amesimulia halafu kipande kidogo akampa mdada asimulie, sijui ni mkewe ama la *Jamani wasikilizaji walichukia wakalalamika MNO hadi D, oen akamwondoa akamalizia story,l yeye mwenyewe, hapo ndipo nilitambua kwa uwazi kabisa story inaweza ikawa nzuri sana lakini msimuliaji akaifanya story ikose wasikilizaji ikaboa sana tu, hiyo story ni nzuri tena inauhalisia kabisa na maisha tuliyonayo, SIRI ZA FAMILIA hakika mwandishi wa simulizi hiyo anakipaji kikubwa
@JoyceJulius-r6g6 ай бұрын
🎉🎉🎉wawo jamani daa
@FadhilaJumanne-l8k6 ай бұрын
Huyu emi ni manaharamu mkubwa
@fatmahabdallah85966 ай бұрын
Anko j hii story ni ya kwelii au simuliz like story💔😢mbn moyo unaumwaa ivyoo
@NurahMummy6 ай бұрын
😢😢hii simuliz imenitia simanzii
@puritykananu99206 ай бұрын
ila tutusahau x aje ankoy na vnye ilikuwa bonge la simulizi kweli naingojà hiyo "sin"na hii mijitu inashinda ikiomba like ni za nni?
@medinahsamita39816 ай бұрын
Wow naisubiri sana ankojey ❤❤❤❤
@Rahimabdul-bt6vq6 ай бұрын
𝐋𝐨𝐯𝐞 𝐭𝐡𝐢𝐬❤❤❤
@hdhjdh7756 ай бұрын
Usitucheleweshe sie masikini wakununua sasa hata huku twakusapoti anko jamn 😂😂🤣🤣🤣🤣❤️❤️
@OmanOmz-qg5lj6 ай бұрын
Nimewai leo
@felistahaule67896 ай бұрын
Ni huruma iliyoje kwa bint reyana, ila maripo yake yaja kwa yote atendeayo