Toka nizaliwe cjawahi kuona mtumish creative kama ww your are very very so talented guy Tanzania nzima mpo wawili tu watumishi wenye uelewa mkubwa na sijapata kuona ni wewe mtumishi ngonyani na Askofu bishop Augustine mpemba , na tatizo kubwa watanzania wengi siwafuatiliaji wa vitu na wavivu wa kusoma mungu awabariki watumishi wangu wawili
@haningtonkabuta93873 жыл бұрын
We are here following these wonderful teachings, dear man of God. Blessings!
@josephchuma14063 жыл бұрын
Umefafanua vzr sana mtumishi
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Asante Usisahau kushare
@sarahmakene13653 жыл бұрын
Asante kwa ufafanuzi mzuri baba yangu.
@sebastianbwiri44413 жыл бұрын
Good!
@bukurunestory35403 жыл бұрын
Kiti cha mbele kabisa. Asante Askofu Aurelian
@francisjoseph10743 жыл бұрын
Nsaidie naomba yako mtumishi
@francisjoseph10743 жыл бұрын
Inasikitisha sana na inashangaza cijui kwanini mafundisho ya kweli yanafatiliwa na watu wachache ila porojo na injili za upotoshaji zinafuatiliwa na watu wengiiii kama utakua na akili utajua namaanisha nn
@newsline74823 жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho mazuri, swali langu je kwanini hii chanjo ukienda kuchanjwa lazima ujaze ile karatas kama unaenda kufanyiwa operation kwamba yatakayokukuta serikali haitahusika?.
@robathzingu16503 жыл бұрын
Asante mwalimu. Nimeelewa sasa kwa sababu ni elimu inayoungwa mkono na Neno la Mungu. Asante sana tena. Hata hivyo ni nina swali: KWAMBA, kama chanjo ya CIVID 19 ni maandalizi ya ujio wa mpinga kristo, wakristo wana wa Mungu tufanye nini sasa? Ni vyema kuchanjwa au tukatae kwa sababu tunakuwa tunaandaliwa kuwa wafuasi wa Ant Christ?
@wellahsuleiman78813 жыл бұрын
Kweli
@wellahsuleiman78813 жыл бұрын
MUNGU ATUONGEZEE IMANI TUSIMWAMINI ANT_CHRIST, ATAKAPOJITOKEZA
@wellahsuleiman78813 жыл бұрын
USHAURI WAKO JE WATU WACHANJE AU VIPI?
@wellahsuleiman78813 жыл бұрын
HEKALU LITAJENGWA KTK NCHI GANI?
@wellahsuleiman78813 жыл бұрын
MPINGA KRISTO ATATOKEA UPANDE GANI?
@wellahsuleiman78813 жыл бұрын
NABII WA UONGO NI NANI?
@christianmwasakogo55793 жыл бұрын
Yupo ila anatenda kazi kwa siri kwasasa uwe makini zaidi mwalim maana hujaongelea utendendaji wake kwa siri kwa mujibu wa kitabu cha thesalonike
@polinepoline28633 жыл бұрын
Naomba uongelelee kuhusu kitakacho wafanyikia ambao watakataa kupokea chapa ya mpinga kristo 666 baada ya kanisa kunyakuliwa.na je yesu akirudi baada ya miaka 7 atawachukua hao walio ikataa 666????
@wellahsuleiman78813 жыл бұрын
Askofu, TUAMBIE HII CHANJO NI ISHARA IPI KATIKA BIBLIA, KAMA SIO ALAMA 666. HAYA NI MATAYARISHO YA MPINGA KRISTO KUDHOOFISHA NGUVU ZA MWANAADAMU,
@jerryjuma13393 жыл бұрын
samahani nauliza swali mbona Kuna watu wanasema kwamba mpinga kristo atakuwa ni myahudi eti atatoka katika kabila la Dani, hivi ni kweli au sio kweli mtumishi wa Mungu?
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Wanyama wapo wawili, mmoja toka baharini na mwingine katika nchi. Bahari ni mataifa na nchi ni Israel ufu 13. 1.... Pia wakwanza anashughulikia na utawala wa kisiasa na wapili anashughulikia na mambo ya imani tena mfano wa mwana kondoo. So nabii wa Uwongo ndiyo atatoka uyahudi kwakuwa anashughulikia na mambo ya imani. Huwezi aminiwa na wayahudi kama si myahudi
@wellahsuleiman78813 жыл бұрын
MAPADRI MNGEUNGANA MKATAFAKARI KWA PAMOJA, MKILINGANISHA MANENO YA BIBLIA NA WAKATI HUU. INGETUSAIDIA WAUMINI. HATUJUI TU MWAMINI NANI? MIE NA FIKIRI KAZI YA MPINGA KRISTO IMEANZA TAYARI, BADO KUJIHIDHIRISHA HADHARANI.
@ramadhaniasumani56023 жыл бұрын
Nimeshukuru sana Mchungaji kwa ufafanuzu, nivema kufundisha wakristu kujuwa dalili ya siku za mwisho ili wasikumbwe na mafundisho ya uongo.
@immanuelmwaipopo16053 жыл бұрын
Sikubaliani na ww kutumia biblia ya kwenye simu na ww ni mchungaji unatuambia tuachane na biblia harisi bali tubebe simu zetu