Aisee, somo zuri saaana. Nimetafuta muda mrefu sana kuyaelewa mambo haya, sikufanikiwa. Lakini leo mtumishi wa Mungu umenipa maarifa. Asante na Amina kwa somo zuri
@BanyangaMohammed2 ай бұрын
Santé sana mtu wa Mungu kwa istoriya iyo
@dustankashaija73434 жыл бұрын
Napenda saaaanaaa vipindi vyake nabarikiwa saanaaaa mungu atubariki
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Endelea kutuombea na kubarikiwa
@juliannjunwa7857 Жыл бұрын
Watu wengi wanatia mkono ,kuandika ama kusema ,Lakini wewe umewasidia kuelewa uhalali wa asili ya WAYAHUDI.Asante..
@jonathanjohn19868 ай бұрын
Safi sana
@gracehaule53022 жыл бұрын
Hongera pastor Ngonyani endelea kutoa elimu, Kwa jamii usikatishwe tamaa na watu wasio na elimu by pastor Haule eagt segerea.
@kaleb.d.kiulahkiulah85736 жыл бұрын
You bless my heart na unafungua uelewa wang kuhusu Biblia Mungu akubariki!
@danielmbilinyi61946 жыл бұрын
hakika
@bennjanja23824 жыл бұрын
am in iraq and feeling blessed by your teachings.........................even Noah ark is here ,,,,,,
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Stay blessed Benson Njanja
@christinewomanoffaith54793 ай бұрын
Shetani muongo sn Yaani maeneo yote walikotoka mitume sehem kubwa eti Leo ni nchi kiislam🙄 Paulo(sauli)eti katokea uturuki jmn,duh Devil is a lair
@MWEGOHA6 жыл бұрын
nimeanza kukufuatilia mwezi 10 kupitia Sibuka FM nashukuru kwa somo zuri nitaendelea kufuatilia vipindi vyako Mungu akubariki
@denistarange55806 жыл бұрын
Sibuka FM inakuaga jumagapi nami niwe nafatilia
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Tulisimama kwa muda, tukianza tena tutawajulisha.
@johnsombi5456 жыл бұрын
Ni muda mwingi sasa mtumishi wa Mungu tunaomba episode ya pili iendelee, Mungu akupe nguvu katika hili
@thomasnyalianga2425 жыл бұрын
Bishop Mimi ninakukubali sana tena sana nipo kawe
@venancegaspatv19613 жыл бұрын
Tangu Ibrahimu hadi kuzaliwa kwa Yesu Kristo, kuna kipindi kinachokadiriwa kufikia miaka 2000, ambacho kinajumuisha historia ya Wayahudi. Kipindi hiki cha miaka 2000 kimegawanyika katika nyakati tofauti kama ifuatavyo: 2100 BC(takribani miaka 4100 iliyopita) Mwanzo 17:4-5 Mungu anamuahidi Ibrahimu uzao mwingi Ibrahimu aliishi kwenye kipindi cha takribani mwaka 2100 BC-Kabla ya Kristo, katika nchi ya Uru wa Wakaldayo.Leo hii nchi ya "Uru wa Wakaldayo " inaitwa nchi ya IRAQ. Mungu akamwambia Ibrahimu atoke kwa jamaa zake (yaani atoke Iraq kwa lugha ya sasa) aende Kanaani, ambayo baadaye ndiyo ikawa nchi ya Israel. Tofauti na watu wengi wa kipindi chake, Ibrahimu alimwamini Mungu mmoja wa kweli. Mungu akamhesabia haki Ibrahimu kwa imani, akamfanya kuwa baba wa taifa kubwa Israel. 2000 BC (takribani miaka 4000 iliyopita) Mwanzo 25:24 Kuzaliwa kwa Yakobo Yakobo mtoto wa Isaka mwana wa Ibrahimu alizaliwa katika nchi ya Kaanani. Yakobo jina lake lilibadilishwa na kuwa Israel. Alikuwa na watoto 12 ambao kwao ndiyo hayo makabila 12 ya Israel yanaitwa 1910 BC (zaidi ya miaka 3910 iliyopita) Mwanzo 37:28 Yusufu akauzwa na ndugu zake kwa wa Misri Kaka zake Yusufu walikuwa na wivu kwa mdogo wao Yusufu, wakamuuza kwa wa Misri. Baada ya kuuzwa Misri Yusufu alikuja kuwa mtu mkubwa na akawa msaidizi wa Farao. Baba yake na kaka zake Yusufu wakatoka Kaanani kuja Misri kutafuta chakula kutokana na baa la njaa katika nchi ya Kaanani. 1446BC (zaidi ya miaka 3446 iliyopita) Kutoka 13:1-22. Kutoka Misri kwa wana wa Israel kunaanza Baada ya kutumikishwa kwa miaka 400, Wayahudi, wakiongozwa na Musa, waliondoka Misri kuelekea nchi ya Kaanani, ambayo baadaye ikawa nchi ya Israel. Nchi ya Kaanani ndiyo nchi waliyokuwa wakiishi mwanzo kabla njaa haijatokea na wao kwenda Misri. Kwa hiyo hapa wakaanza kurudi kwenye nchi waliyoondoka kwa miaka 400 nyuma kama familia. Musa na Wayahudi wenzake walitangatanga jangwani kwa kipindi cha miaka 40 kabla ya kufika katika mipaka ya nchi ya Kaanani. 1406 BC(zaidi ya miaka 3406 iliyopita) Yoshua 1:1-9 Israel ikaanza kujitanabaisha yenyewe kama nchi Baada ya Musa kufa, Yoshua aliwaongoza Wayahudi kuelekea Kaanani na kuanza kuishinda nchi, wakaanzisha taifa la Kiyahudi la Israel kwa mara ya kwanza katika historia. 1400BC (zaidi ya miaka 3400 iliyopita) Waamuzi 2:16-18 Katika kipindi hiki Israel ikawa inatawaliwa/kuongozwa na Waamuzi, na sio Wafalme. Kutoka mwaka 1400 BC hadi takribani mwaka 1050 BC, Israel haikuwa inatawaliwa na Mfalme. Watu wa Israel walimfikiria na kumtazama Mungu kama mfalme wao. Kwa hiyo badala ya mfalme wa dunia, Israel ikawa inaongozwa na Waamuzi, huku Mungu wa baba zao akiwa ndiye mfalme wao. 1050 BC (Zaidi ya Miaka 3050 iliyopita) 1 Samweli 11:15, 1 Samweli 15:11 Sauli akawa mfalme wa kwanza wa Israel Baada ya takribani kipindi cha miaka 350 cha kutawaliwa na kuongozwa na Waamuzi, watu wa Israel wakadai kuwa na mfalme kama nchi zilizowazunguka zilivyokuwa na wafalme wao. Kwa kutaka kwao mfalme, watu wa Israel wakaanza kukengeuka na kwenda mbali na kuacha imani waliyokuwa nayo kwa Mungu kama mfalme wao. Sauli akawa mfalme wa Israel na akatawala kwa kipindi cha takribani miaka 40. 1010 BC (Miaka 3010 iliyopita) 1 Nyakati 10:14. Daudi akawa mfalme wa Israel Daudi akawa mfalme wa Isarel mnamo mwaka 1010 BC na akatawala kwa miaka 40. Tofauti na Sauli, mfalme wa kwanza wa Israel aliyemtangulia, Daudi alishika na kufuata amri za Mungu. Alifanya makosa, lakini aliyatubia makosa yake. Mfalme Daudi Alitafuta kumpendeza Mungu daima. Alitanua wigo wa Israel na akatawala mipaka ya jirani 970 BC (Miaka zaidi ya 2970 iliyopita) 1Wafalme 1:34-37, 1Wafalme 6:1-10: Sulemani akawa mfalme wa Israel, akajenga Hekalu la BWANA. Sulemani, mwana wa Daudi, akawa mfalme kati ya mwaka 970 BC. Yeye pia alitawala kwa miaka 40. Sulemani akajenga Hekalu kwa heshima ya BWANA, Mungu wa Israel. Sulemani alibadilika, akageuka akamwacha Mungu na kuanza kuabudu miungu mingine. 926 BC (Miaka zaidi ya 2926 iliyopita) 1Wafalme 11:31-36: Katika kipindi hiki, Israel ikawa ufalme uliogawanyika (Divided Kingdom) Muda mfupi baada ya utawala wa mfalme Sulemani, Israel iligawanyika. Kukawa na Ufalme wa Kusini ambao uliitwa Yuda,ufalme huu ulijumuisha mji wa Yerusalemu na hekalu. Na pia kukawa na ufalme wa Kaskazini ambao uliendelea kuitwa Israel. 721 BC (Miaka zaidi ya 2721 iliyopita) 2Wafalme 18:13: Katika kipindi hiki, Waashuru waliushinda ufalme wa kaskazini wa Israel. Utawala wa Ashuru waliushinda ufalme wa kaskazini wa Israel kati ya mwaka 721 BC. Waashuru waliwatesa wengi. Waliwalazimisha Wayahudi wengi (kabila 10 kati ya kabila zote 12 za Israel) kutoka nje ya Israel na Waashuru wakaleta wageni ndani ya Israel. 621 BC (Miaka zaidi ya 2621 iliyopita) Sefania 2:13 Babeli ikaushinda Ninawi(Utawala wa Ashuru): Mji Mkuu wa Utawala wa Ashuru , Ninawi-ulishambuliwa kwa ushirikiano wa Wababeli, Waamedi na Wageni wa nchi.Kama ilivyoelezwa na nabii Nahumu katika Biblia, Ninawi ulikuwa uharibiwe kwasababu ya matendo maovu ambayo utawala wa Ashuru waliwatenda Wayahudi na watu wengine. 605 BC (Zaidi ya miaka 2605 iliyopita) Yeremia 27:20 Babeli yaonyesha shinikizo lake kwa Yuda: Utawala wa Babeli chini ya utawala wa mfalme Nebukadneza, ulifanya jitihada kutaka kuongeza himaya yake na kuanza kuulazimisha Yuda uwe chini yake. Nebukadneza aliwachukua Wayahudi wengi kama mateka na kuwapeleka Babeli ili kuhakikisha anaitiisha Yuda yote. 597 BC (Zaidi ya miaka 2597 iliyopita) 2Nyakati 36:20 Babeli yaishambulia Yuda: Majeshi ya Wababeli yaliishambulia Yuda na kuchukua mateka zaidi wa Kiyahudi kwenda Babeli. Ezekieli, mmoja kati ya mateka, akawa nabii wa Mungu akiwa huko Babeli uhamishoni. Ezekieli alifafanua kwamba Mungu anaruhusu Babeli kuiadhibu Yuda kwa sababu watu wa Yuda wamekuwa si waaminifu kwa Mungu.
@adelinaadoloph53116 жыл бұрын
mungu akubariki askofu napenda kusikiliza mafundisho yako WAP radio barikiwa muno
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Ahsante, tunahitaji maombi yako
@thomasnyalianga2424 жыл бұрын
Nina kukubali sana askofu wangu
@thomasnyalianga2425 жыл бұрын
Mungu hakubariki amina
@kasondelajarua35546 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi mungu akuongoze maisha yako yote
@gladysjosephmacharia32506 жыл бұрын
mungu akubariki mtumishi wa mungu
@festokemibala58325 ай бұрын
Ahsante mtu wa Mungu. Na vipi uhusiano wa hii historia na maisha haya tunayoyaishi?
@josephdullemngwabymngwaby96323 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu unayo itoa Kitabu cha tafsiri rahisi ya Daniel na ufunuo Kinapatikana mtandao I???
@esausarya41264 жыл бұрын
Kiukweli inanibariki sana
@bisakuzaduguda5675 жыл бұрын
Naitaji mawasiano yako mtumishi
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
0755407764
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
No yangu ni 0755407764
@mutibwaelijah82265 жыл бұрын
Be blessed Bishop
@amanisausi55296 жыл бұрын
Shalom mtu wa Mungu, binafsi nimejifunza mengi katika hii episode ya kwanza naisubili inayofuata kwa hamu sana kwa maana unajibu maswali mengi amabayo kwa mimi binafsi yalinisumbua kwa miaka mingi sana, Mungu aendelee kukulinda na kukutumia kwa viwango ambavo amekuandalia ufike.....
@frankwilson53206 жыл бұрын
Amani Sausi muendelezo vipi mtumishi
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Wakati wa kuendelea bila kukoma ndiyo huu. Barikiwa
@spiritualman_75 жыл бұрын
Tunashkur Sana , mwl, kwa somo zuri. Tunaomba uje utubainishie kwamba , m Israel , alkua mtu mweusi ama laa?!
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Waisraeli ni weupe, nunua kitabu changu cha Safari yangu nchi takatifu ya Israel utaona mpaka picha zao
@BarakaMkondya-z7b6 ай бұрын
Mtumishi naomba namba yako
@emmanueltambwe27394 ай бұрын
Masomo nimazuri sana lakini mwalimu hataji myaka
@christinewomanoffaith54793 ай бұрын
Soma biblia ushapewa info
@christinewomanoffaith54793 ай бұрын
Swali ambalo Huwa nakiuliza ,kwann Mungu alisema na akatimiza Wana wa israel kwenda misri kwenye utumwa?
@samsonbomani84596 жыл бұрын
Tunaomba muendelezo bishop
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Tumerudi rasimi, endelea kufuatilia, wajulishe na wengine
@lileoh38933 жыл бұрын
Mungu hakuleta uklisto ww umepotelea wap inaonekana maandiko unayajua yesu muislam kaswali msikitini
@petromachanga55383 жыл бұрын
Aya Gani yesu aliswali?
@Sandra398233 жыл бұрын
Nimemuelewa wa kwanza lakini wamasuti ya blue kaongea utumbo na uwongo mtupu
@94winga7 ай бұрын
Hawa ndo wachungaji sasa
@NuelBenIsrael3 ай бұрын
😂😂uwezi kuwa serious
@wolframchikomo88736 жыл бұрын
Tukiuliza Maswali HUTUJIBU. Kuna haja gani kutualika kwenye KZbin Channel hii?
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Pole, tulikuwa na safari nyingi za Israel na maeneo mengine, tulishindwa kuwa active. Sasa kila swali litajibiwa
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Pole kwa kuchelewa kukujibu, kama bado upo hewani tuma tena msg utajibiwa
@kishingokishingo18403 жыл бұрын
Akujibu nn yy mwenyewe mbabaishaji hajuwi lolote
@z.nalnabhani71943 жыл бұрын
Unayo yasema mengi yapo ktk qur an kidogo yamebadilishwa
@goldmansun58593 жыл бұрын
Quran imebadilisha?kwa nini
@francisjoseph10743 жыл бұрын
Sasa kati ya Bible na Quran kipi kilianza fikili kabla ujaropoka
@HassanAbdulhussein-mu6kb Жыл бұрын
Vua viatu mahali patakatifu!!!???
@wolframchikomo88736 жыл бұрын
Mimi nakuomba unijibu maswali yangu hapo chini tafadhali, Mtumishi wa Mungu. Mbona unanipotezea? Au hutembeleagi kwenye video yako hii? Asante
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Ok, wakati muafaka wa kujibiwa maswali yote umefika now
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Pole kwa kuchelewa kujibu, kama bado upo hewani tuma tena msg utajibiwa. Barikiwa
@mahatahussein41293 жыл бұрын
Mchungaji, Wala haujuwi historia!!!
@erickerickernesternest67235 жыл бұрын
Shalom, mimi naona usiite historia ya Israel sema SIMULIZI ya biblia, maana yote tunasoma kwenye biblia, tupe istoria sio simulizi
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Israel ni Yakobo mtoto wa Esau mjukuu wa Ibrahim, huwezi kutenganisha Israel na Biblia. Endelea kusikiliza mbeleni Biblia itakuwa imekoma na historia ya taifa hilo ambayo haipo kwenye Biblia itaendelea
@graceyusuph91686 жыл бұрын
Mwalimu siku hizi mbona redio mwangaza dodoma haipatikani yaani haisikiki ni machenga matupu jamani tutasikilizaje kipindi chako na saa ya maarifa?
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Tulisimama kurusha vipindi redioni, tukianza tena tutawajulisha
@rich4rever5945 жыл бұрын
we askofu hujui kusoma biblia huna roho wa mungu israel ipo africa dah hujielew hebu soma mwnz13;1n3 km unajua kusoma hpo tu kunaufunuo juu y israel ipo wapi dah watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
@francisnoel10914 жыл бұрын
Israel ipo africa 😂😂😂 mshukuru mungu umepokea kitu ambacho hukustaili ,mbinguni kuna malango 12 ya makabila 12 ya Israel sasaa endelea kusema ipo africa
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Nchi ya Israel ipo bara la Asia, ikiwa imepakana na Misri, Jordan, Saudi Arabia, Lebanon, Syria. Waziri wake mkuu ni Benjamin Netanyahu. Sasa unasema ipo Afrika ipi? Ndugu yangu au unatania? Sisi hatufanyi utani hapa kuna watu wanataka kujifunza mambo ya msingi
@anldnkpl38106 жыл бұрын
Nilikuwa sielewi kabisa bible ila ww umenifungua kupitia sibuka fm
@jamesmarlow43896 жыл бұрын
Chapa kazi mtu wa Mungu
@NuelBenIsrael3 ай бұрын
Taifa la Israel halikuanzia Yusuf alipouzwa utumwani misri. ni uongo. Israel ni jina lake Yakobo (baba yao) alipotamkiwa baada ya kupambana na malaika. Hivyo Yakobo na wake zake na watoto zake ndio taifa la Israel. Baba eh😂
@chengem.costantine61106 жыл бұрын
jamani iyo nchi mbona haikutajwa!!!
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Nchi gani ambayo haikutajwa?
@OmaryMaulidRissase3 ай бұрын
Mayahudi sio wakristo. Mayahudi hawamwamini yesu kabisa!!! Ww hilo hulijui?
@miltonjohn97793 ай бұрын
Pole sana
@goodytairo26724 жыл бұрын
Sikuizi sikusikii mchungaj sijui uko wap
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Nipo chuoni Dodoma nasoma, pia napatikana wakati wa likizo ofisini kwangu Dar maeneo ya Victoria jengo la Tanzanite Park
@wilsonchishomi1083 Жыл бұрын
Islael = Israel 🇮🇱
@rich4rever5945 жыл бұрын
Dah ujielewi paganism hujui kweli wala kweli haimo ndani yako wale waisrael wa uongo co wakristo ni wayaudi unaongea unachanganya heryfi kubwa na ndogo
@francisnoel10914 жыл бұрын
Muombe mungu akufunulie utaelewa tu
@ngonyanitv96873 жыл бұрын
Nashukuru Francis kwa kunisaidia kujibu, maana sijui lini nilisema wayahudi ni wakristo. Naomba kama huna swali wala maoni sio mbaya ukapita kimya
@husseinmatekwa2763 жыл бұрын
Nonsense. Hii story yote yakurukaruka ina malengo yake ni nini. Unaelekeza wafuasi wako wapi. Mbona unapaka manabii wa mungu matope. Ukweli gani unataka ujulikane na ulimwengu.
@edsonndomba1049 Жыл бұрын
Hayakuhusu komaa na elimu ya maini
@husseinmatekwa276 Жыл бұрын
@@edsonndomba1049 tafuta eliminate kwanza ndo uje uropokwe. Unawapoteza watu
@lileoh38933 жыл бұрын
Utachomwa wewe kwaupotevu wapaulo
@petromachanga55383 жыл бұрын
Wafuasi wamalehem hamjambo?
@kishingokishingo18403 жыл бұрын
@@petromachanga5538 marehemu gani ?
@francisjoseph10743 жыл бұрын
We kafiri ,umetumwa ?! Nenda kwa mashehe wako waongo na wasiokua na elimu
@kaleb.d.kiulahkiulah85736 жыл бұрын
You bless my heart na unafungua uelewa wang kuhusu Biblia Mungu akubariki!