Mungu naomba nisaidie na watoto wangu tunapokea miujiza yetu kwa jina la yesu 🙏
@furahamwikombo-p7g22 күн бұрын
Ndio Mungu,,,Ndio mtumishi wa Mungu..Hakika haya ni zaidi ya Mafundisho..
@RoseMudogoАй бұрын
Mungu naomba usinipite kutana na haja ya moyo wangu
@HENAGENHONDIAАй бұрын
Huu ujumbe ni wangu jamani Yesu nisaidie kukushukuru zaidi kuliko kuleta mahitaji tuu!!@Askofu Elibariki Sumbe
@DevotaKaaya-ue1jeАй бұрын
Napokea miujiza yangu Leo kwa jina la yesu
@NjunaelSwaiАй бұрын
tayari nimejiunganisha na madhabahu ya vuka yordani
@ANETHNTIMBAАй бұрын
Naomba neema ya kushukuru sana na zaidi
@gracepaul761Ай бұрын
Amen, Asante Mungu kwa kusema nami
@JansiMutemuraАй бұрын
Nakushukuru MUNGU wa BWANA YESU KRISTO. kwa mafundisho na maelekezo yamenihusu nime elewa , BABA nizidishie moyo wa gratitude kwako Kama MUNGU wangu. Amen