Wow. I love how you use everything we can easily access. This is so easy. Thank you girl. I love this video
@edithamsigwa63243 жыл бұрын
Napendaa unatumia vitu ambavyo vinapatiakna kwa urahis na katka mazingira yetu mpenzi lv uu
@esthermachangu49704 жыл бұрын
Ika me nachombenda kwako huwa haufundishi kwa ugumu yaani mtu asipokuelewa wewe ndo basi tena na kingine wewe ni mkweli kam ndo unajaribu kitu pia huwa unasema .....MUNGU akubariki sana
@ChristinaMbwali11 ай бұрын
Asante sana Mungu akunariki
@salvatakiseo33593 жыл бұрын
Ubarikiwe sana my lovely ika kwa tupa na sisi ujuzi nimeanza kupika izo biscuit na zinanilipa Nashukuru sana sana 🙏🙏🙏
@prisspaul50374 жыл бұрын
Napenda Sana kazi yako dada Ila naomba utufundishe jinsi ya kutengeneza chauro za mchele na tambi😍😍😍😍
@GlowCharls5 жыл бұрын
Aika you are so creative even with out the equipments. And I love that ❤️👌👌
@boniphacekimati78924 жыл бұрын
, you,,🥀💓💙
@GraceSilayo-g7gАй бұрын
Thanks darling God bless you
@shukuranihalisi73394 жыл бұрын
Great dear na haribu elfu mbili Mia tano daily mama cookies kumbe na weza kupika home kesho napika ni blue band na siyo majarine Asante sanaaaa mwaaaa
@josephinealex8966 Жыл бұрын
Ni nzuri dada nimeipenda.
@millymaina22444 жыл бұрын
Pia nimependezwa kwa vifaa ambavyo umetumia. Ni vifaa rahisi kweli
@samiraali55054 жыл бұрын
Nakupenda bure sister ubunifu wako tu ni ajab
@husnahamisi66374 жыл бұрын
Hopefully zilikua tamu sana...nimependa sikujua kama unaweza kukaanga na mafuta
@edkiras39344 жыл бұрын
Wow... Your recipes are so simple and I love how you use readily available materials... Well done
@EMMANUELNYABUTO-pp8sb11 ай бұрын
Its nycy dear
@musyokachristine46784 жыл бұрын
Such a calming voice n language am sure to try this out
@amidisultan27303 жыл бұрын
Napenda hyo style rahisi sana
@florencekitawa30135 жыл бұрын
I love this bill equipment and work has to go on
@angelpauline30414 жыл бұрын
Ohhh well done dear gal,let me just try this....very educative mama asante Sana
@AgnessMowel4 ай бұрын
Nimefurahi Sana niongezee nyingine
@husnashabani74954 жыл бұрын
hongera my dear unga gani umetumia pls
@vailethnnko60944 жыл бұрын
So nice and so simple
@fasam54412 жыл бұрын
The easiest recipe ..thanks girl
@norawilliamshoo25884 жыл бұрын
Big Up xana dada
@salmandege39612 жыл бұрын
Vunja nione ndani
@winfridakimambo35733 жыл бұрын
Nataka kujifunza zaidi nakupataje
@joymuriithiwanjala61934 жыл бұрын
wow sooo good !!!!!!
@didatratranee25314 жыл бұрын
Mi napenda sana biscuit za eat some more dia unaweza kufundisha namna ya kuzitengeneza??
@ryhabmahugu47382 жыл бұрын
Hi gal started following you can't regret dope
@maryjoseph83034 жыл бұрын
Barikiwa mpendwa.
@kristyannah4 жыл бұрын
Yummy I love them! 😋😋😋
@emmymilanzi77174 жыл бұрын
Nzuriii niungagan huo tuambie
@hashimramadhani13944 жыл бұрын
Ndy
@celestinekenda54843 жыл бұрын
Ni lazima niwe na vanilla
@monicamtui45604 жыл бұрын
Imekaa poa
@shemafabrice66455 жыл бұрын
Vizuri dada
@millymaina22444 жыл бұрын
Waweza tengeneza bila kutumia baking powder?
@rynegaby27633 жыл бұрын
Nzur Sana Ila dada et huo ni unga ngano au?
@ikamalle3 жыл бұрын
Ni Unga wa Ngano dear
@rynegaby27633 жыл бұрын
Asante sanaaa🙋🙋🙋🙋🥰
@hamidarashid71115 жыл бұрын
Very simple 👌
@agnesmwatebela39954 жыл бұрын
Asante Sana nimejifunza
@mawahebphaisal39194 жыл бұрын
I gotta try this
@pratikkumar99274 жыл бұрын
Is that unga or milk powder
@jescagunewe77914 жыл бұрын
Uwe unasema unga wa nini siyo unga tu je ni wa ugali ngano au nn na je uo unga kiasi gani toa maelezo vizur unga wa dona sembe ngano au nn? Na backing powder ni ipi?
@ikamalle4 жыл бұрын
Kuna kitu kinaitwa Description Box uwe unaangaliaga
@lisalavekandy9414 жыл бұрын
no any complications first easy second seems so interestin ❤ thank you dr
@tashiekayy4 жыл бұрын
Nice.❤
@sofialion49254 жыл бұрын
Nice
@saidfaida14494 жыл бұрын
Is good
@sabrinabakari49262 жыл бұрын
Nmeelewa san dad yan ww auna mzunguko
@EfrasiaExavery9 ай бұрын
❤
@sarahdamian3116 Жыл бұрын
Dada nauliza huo unga wa ugali au ngano🙏
@mbabazinoellina61664 жыл бұрын
I am so confused unga for posho or unga for chappati?
@richrosecollection53024 жыл бұрын
Ngano
@rukaiyamustapha8360 Жыл бұрын
Usipoweka vanilla kuna shida
@manonimshindikwa19744 жыл бұрын
Love u gel and thanks for
@mwakakhamis98234 жыл бұрын
MaashaAllah ! Mungu akuzidishie You super woman
@mercywainaina72594 жыл бұрын
Can i use atta flour
@christinahillary34175 жыл бұрын
Huo ni unga gani mbona nikama wa njano njano
@ikamalle5 жыл бұрын
Ni unga wa ngano wa kawaida tuu
@kesheymichael53544 жыл бұрын
Unga wa maziwa
@neymasilvester48025 жыл бұрын
I found it useful ntajaribu kupika
@magdalenajumbe96624 жыл бұрын
Viziwi wawiri
@magdalenajumbe96624 жыл бұрын
9
@fabyscarl4 жыл бұрын
Me too
@allymussa43784 жыл бұрын
Naweza kutumia nini tofauti na maziwa??
@valentinogabriel48714 жыл бұрын
Mbadala wa siagi unaweza tumia mafuta kukanda
@fetylisha52114 жыл бұрын
Baking powder unatumia Aina gan
@zafaranimunoko-anuro32934 жыл бұрын
If I were to bake, at what degrees and for how long?
@GOURMETFOODBD5 жыл бұрын
Wow so tasty
@maltitv16324 жыл бұрын
Na ladha kwa mfano chocolate inapatikana kwa gharama zipi na kwenye maduka yanayouza vitu gani?
@gracemkenda3879 Жыл бұрын
nahtaji hicho kimashine
@shaniahasani93785 жыл бұрын
Thanx
@sarahwilson5865 жыл бұрын
Delicious..
@lovenessoscar40215 жыл бұрын
Naweza tumia baking powder ya maandazi au ya kupikia keki?
@kijahassan17024 жыл бұрын
ndio
@japhetdeus34644 жыл бұрын
jamani ni unga wa nini dengu au?
@nyandongotv75854 жыл бұрын
Na mm nitajaribu
@elizabethmacha82295 жыл бұрын
Very nice 👍 lakini ni unga gani
@ikamalle4 жыл бұрын
Ni Unga wa Ngano wa kawaida tuu! ( ni flash ya simu imesababisha rangi iwe kama njano tuu)
@nicewaziri12503 жыл бұрын
Je unaweza pika bila maziwaa
@jamshidmohamedi62004 жыл бұрын
Umechanganya na unga huo unga ni wa kitu ni ngano,mahindi au nini
@hamzacheja24354 жыл бұрын
Ni wa nini
@zainabushaban73045 жыл бұрын
Ni unga Wa nn dengu au
@sabrahussein33644 жыл бұрын
Maziwa kama nido hivi
@zeddysale2174 жыл бұрын
Mashaallah
@johnsonkiragu25494 жыл бұрын
Kwani hatuoni sura
@Jamvier.habihirwe4 жыл бұрын
Huyo ni unga gani ?
@ikamalle4 жыл бұрын
Wa ngano
@afesiesinam28405 жыл бұрын
Pls the ingredients
@jescagunewe77914 жыл бұрын
Uwe unasema unga wa nini siyo unga tu je ni wa ugali ngano au nn na je uo unga kiasi gani toa maelezo vizur unga wa dona sembe ngano au nn?
@itsjuliam4 жыл бұрын
Wewe tumia unga wa sembe utujuze baadaye
@amaalmuhammed5975 жыл бұрын
huo niunga wanini?
@ikamalle5 жыл бұрын
Unga wa ngano
@MaryJosephrobi4 жыл бұрын
Mine came out hard on the outside but soft like mandazi on the inside 😔
@gracewerema42724 жыл бұрын
unaweza kuuza au za kula tu home ika?????
@ikamalle4 жыл бұрын
Mimi nimezila!
@edianyamhanga28554 жыл бұрын
unga wa nini huo
@ikamalle4 жыл бұрын
Wa ngano
@christinenjeruaqua4 жыл бұрын
Can I bake them instead of deep frying?
@ikamalle4 жыл бұрын
Yeees
@jaklinesamwel70254 жыл бұрын
Niunga gani?
@ikamalle4 жыл бұрын
Wa Ngano
@joycekasege69975 жыл бұрын
unga gani huo
@assoumnassor29304 жыл бұрын
Kuna tofauti kati ya biscuits na visheti,ulivofundisha ww ni visheti my dear.....just a point of correction
@idrishassan95475 жыл бұрын
Ni unga Aina gani??
@sabrahussein33644 жыл бұрын
Maziwa
@tumainimbise89735 жыл бұрын
Huo unga gan ..
@ikamalle5 жыл бұрын
Unga wa ngano
@danielspfumbuka58605 жыл бұрын
Huo ni unga gan utoe maelezo tusije tumia ngano tuka haribuu
@danielspfumbuka58605 жыл бұрын
Huo ni unga gan utoe maelezo tusije tumia ngano tuka haribuu
@qayoyohane39335 жыл бұрын
Yah ntajaribu
@sislaw50395 жыл бұрын
Nadhani ni unga wa ngano wa kawaida,ila kwasababu ya flash ya camera ndo maana mnaona rangi tofauti .