Tupo pamoja xna kaka wap like za watu wa kanda ya ziwa
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Pamoja sana, karibu
@DudddyWhyCant Жыл бұрын
Safi sana, hii ni kweli, Mwanza jiji zuri sana,
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Kabisa
@MadilishaSimon-sb9kk Жыл бұрын
Pazuri sana ila daraja la milongo lijengwe kuepusha mafuriko yanayoendelea kutokea
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Sahihi kabisa
@wilsonrichard50848 ай бұрын
❤❤❤
@tonyaron11947 ай бұрын
Aaaah wap wanaovutiwa ni ww na hao hao mm navutiwa na The green City
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Pamoja sana mdau, pia tutafika Green City
@kambamazig0202411 ай бұрын
Jiji mbona taka zimekuwa nyingi sana, usafi umedorora sana jijini Mwanza.
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
msimu wa mvua, mambo ni mengi, muda ni mchache
@francismadoshi8529 Жыл бұрын
Lakini basi, jiji hilo halina airport ya uhakika! Kìairport kilichopo kina shangaza! Hakiko kwenye international standard. Nyumba ya kufikia wageni ( passenger terminal) hakuna ya maana. Na uwanja unahitaji ma borehole mengne.
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Running way iko sawa, jengo la mizigo limekamilika. Jengo jipya la abiria soon litaanza kufanya kazi na jengo kubwa zaidi la abiria liko kwenye mikakati ya kujengwa. Baada ya maboresho hayo, Mwanza Airport itakuwa 'Intranational Airport'