BMG TV: Mapya yaibuka sakata la Kisiwa, Mlima kuuzwa Mwanza

  Рет қаралды 29,969

BMG ONLINE TV

BMG ONLINE TV

Жыл бұрын

BMG Media- Pamoja Daima!
Tovuti www.bmgblog.co.tz/
Facebook / bmghabari
Twitter / bmghabari
Instagram / bmghabari
#BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI Pamoja Daima BMG

Пікірлер: 186
@littleheroe541
@littleheroe541 Жыл бұрын
Safi sana mhe DC umezungumza kiuongozi Mungu akutunze sana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@kamgishaisaya4763
@kamgishaisaya4763 Жыл бұрын
Asante mkuu wa wilaya kwa kazi nzuri, tuna watu nchi hii Wana mawazo mbaya kwa kutaka pesa ya haraka hawajiulizi nini kitatokea apo badae, watanzania kueni makini tutawekwa mateka bila kujua mfano kuna dada mmoja amekimbia kutoka Africa kusini dada uyo ni muuaji mkubwa na anacho kifanya ukukutana naetakuomba urafiki, na kwa sasa amewasiri daa asriyake ni msukuma na mrundi. Kuweni makini msipende vitu vya haraka
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Kabisa
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Asante mkuu uko vizuri sana
@oigenngonyani1124
@oigenngonyani1124 Жыл бұрын
Hongera Mh DC naomba iwe fundisho na maenneo mengine ya Nchi yetu Kuna Viongozi wa vijiji wanalichukua swala hili la kuuza maenneo Kwa urahisi Kwa kisngizio wananchi wameamua kumbe wao Viongozi wamelambishwa asali ni hatari sana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Sahihi
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Wakuu, kuweni makini. Uwelewa wa wengi wa viongozi wa chini siyo kabisa
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
@@adelinelyaruu3036 sawa kabisa
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Tatizo viongozi wa Tz wanaheshimu sana ngozi nyeupe. Wanatuuza bana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Noma sana
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba Жыл бұрын
Huo ni wehu, m 25 , hii dunia aisee, mtendaji unamapungufu sana
@geey7893
@geey7893 Жыл бұрын
DC wakwanza kuongea vzuri mpk mwisho bila kutaja SAMIA SAMIA SAMIAA DR SAMIAAA. BIG UP MURAAAAAA CHACHAAA
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Жыл бұрын
acha ukabila weweee, basi baki kwenu huko huko mbwinde usiende maeneo mengine ya Tanzania kama utapata maendeleo?!
@ejidemaswalikinoja5643
@ejidemaswalikinoja5643 Жыл бұрын
Oohooo ushamharibia Sasa agundulike hajaimba zile nyimbo😂😂😂😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 Жыл бұрын
Serikali inatakiwa kupima inchi nzima sehemu zote zijulikane sio wana inchi .
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Peleka ndani hao, hawana uchungu na rasilimali zetu.
@emmanuelndotela9412
@emmanuelndotela9412 Жыл бұрын
Inchi hii kuna watu wa ajabu sijapata kuona.
@kiwalehonory2061
@kiwalehonory2061 Жыл бұрын
Yaani mnauza ardhi kama njugu? Sasa vizazi vyetu wataishi wapi? Acheni tamaa. Ardhi haiuziki rudisheni hela.
@paulkaisi5689
@paulkaisi5689 Жыл бұрын
Ni kitu cha ajabu sana mm nimefika mpka kwenye hiyo shule inayojengwa nimesikia hata maono ya watu kuna tatizo kubwa,hilo eneo na hicho kisiwa nakijua miaka mingi ,acheni kufanya kazi kwa masilahi yenu uongo ni mwingi sana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Waongo ni akina nani?
@gracemima5234
@gracemima5234 Жыл бұрын
Kitu kimoja Mwalimu Nyerere alitupunja ni elimu yetu. Hapa kwenye Mima pengine kuna madini. Pengine kuna mafuta. Milioni 25 sio bei hata ya mawe. Serikali Ina uwezo wa kuwajengea shule. MBUNGE yuko wapi? Asante DC. W anatakiwa wanapenda Kama wewe kuilinda Tanzania.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Sahihi
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Mnauza lasilimali kwa milioni25 mabwege sana wanatuuza kisasa
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Жыл бұрын
Af sana DC.una mawazo ya kizalendoo
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 Жыл бұрын
😂🤣😂🤣Yaani nimecheka Sana maana hii nchi tunahitaji msaada wa Mungu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
This is unprecedented 😅😅😅
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Hawa viongozi wetu hapa Tanzania . Hawana tofauti na wale wageni wa zamani kuuza watu wapelekwe utumwani kwa kupewa sukari na shanga. Sasa hawa wanatuuza kisasa oh my god
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Aisee
@victormbinda1018
@victormbinda1018 Жыл бұрын
Mbona huyu mkiti mnaendelea kumsikiliza upuuuzi wa anachosema mchakato hebu mpeni fundisho kali aishie hapo hapo na ujanja janja wao walivyozoea! Kweli sasa hii inch !!!!
@maselemasanja4569
@maselemasanja4569 Жыл бұрын
DC elekeza Jambo liende vizuri tu, hapo Hakuna tatizo kabisa uoga ulionao nakuomba paza sauti hizo kwenye mkataba wa DP world. Wala sio wazawa lakini wanapigiwa chapuo waingie mikataba ambayo hata haionyeshi wananchi tutapata nini na Kwa wakati gani. Ushauri wangu waelekezwe wanakigongo kulekebusha mkataba uwe wa manufaa na sio kumtupilia mbali aliejitoa mpaka kapauwa madarasa.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Hahaha DP tena
@yohanawihemba5825
@yohanawihemba5825 Жыл бұрын
Anhaaaa! sasa nimegundua mnauza kidogokidogo mwisho inchi tushituke imeisha ngoja namimi nitafute mteja nauza mwanza yote nawatuwake alafu nahamia malawi
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Hahaha hujatulia wewe😅😅
@FrankNzombo-ps8gw
@FrankNzombo-ps8gw Жыл бұрын
Ccm hii noma
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
CCM tena
@ObligeeNdoni-pb4vs
@ObligeeNdoni-pb4vs Жыл бұрын
Ovyoo kabisa!
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Жыл бұрын
Bei Ya.kuuza.kisiwa cha utalii sikwea.moja Tsh 3000! elimu inatakiwaa
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 Жыл бұрын
Mchanganyiko wa Vyama unasaidia sana lakini kuiachia CCM ni hasara. Hivi wanaupeo kweli hawa watu?
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Huyo diwani hafai atumbuliwetu
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 Жыл бұрын
Tena afukuzwe hata nchi akaone thamani ya ardhi
@BennyChatanda
@BennyChatanda Жыл бұрын
Pumbavu. Zenu ...mmeanza kuuza hdi visiwa
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 Жыл бұрын
Inakuwaje kila kitu kiuzwe ?
@samuellugendo27
@samuellugendo27 Жыл бұрын
Blaa blaa blaaa
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Nani?
@jacksngeraldjacksnglukanga5652
@jacksngeraldjacksnglukanga5652 Жыл бұрын
Kweli wazalendo mpo andi raha nikweli hamna kuuza chochote kisiwa 🏝️ na mlima 🗻 nimali ya Tz🇹🇿
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Hahaha bado wapo
@eliasharun3273
@eliasharun3273 Жыл бұрын
Mwizi siku zote huwa akubali, mzee nyosha maneno,hao watu walikuwa wanakupa pesa kufanikisha hayo madeal
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Nani?
@rajabusamson8036
@rajabusamson8036 Жыл бұрын
Du
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 11 ай бұрын
Haya ndiyo yanayo zungumzwa ya bandari bado tayari mwanza mmeanza acheni hayo
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 ай бұрын
Hahaha
@stephanominja8927
@stephanominja8927 Жыл бұрын
Ni u 🍻 yaani ubeer ukiingia kwenye u beer unalewa. Unakua mkataba🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️
@rewardnjau7220
@rewardnjau7220 Жыл бұрын
kila mtu anauza anachoweza
@samhadas788
@samhadas788 Жыл бұрын
Aibuu
@NickyPeter-ec4gv
@NickyPeter-ec4gv Жыл бұрын
Mama ndo aliewafundisha vifaranga kunya kwenye sahan.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Ushahidi?
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Nchi hii inawapunguani wengi sana. Deal kila kona
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Жыл бұрын
Jamani wananchi tuwatafakari sana Hawa viongozi kama maeneo yangu ya chekereni bonite wizi umezidi wanatumia masta kii lakini sii balozi Wala mwemyekiti Wala kitongoji Wala mtendaji WA Kijiji wore Hawa a habari Sasa msaada wetu uko wapi jamaniii natamani Julia uwiiiii
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Yaan munauza visiwa vya inchi. ila mnavitamaasan. Hakunavyakuwafanyia hatuuzi.
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Жыл бұрын
Iyosekindali ataikiisha kazbule Kwan watu wanasoma nahawana kaz maana kazi wanapeana wenyewe nakoozao
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 Жыл бұрын
nchi yangu hyo
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 Жыл бұрын
Mbona mnamuuliza suala Ile Ile, Mnamchanganya bhana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Jamani mbona nchi inakwenda kiajabu sjabu kila mtu anauza nchi
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Kuweni makini viongozi jaman
@alexmatt9504
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Mwenyekiti,Mtendaji wote wanastahili adhabu ikiwemo kufukuzwa,ni tamaa na ujinga mkubwa viongozi mliopewa dhamana kujiamulia vitu bila kufuata sheria kwa kigezo kwamba wananchi wameridhia wakati mmewadanganya. Ujinga ni kwamba pesa ya kujenga shule ni nyie viongozi mnapaswa kuwasiliana na Tamisemi wagharimie,na pia mna Mbunge-DAS-DC-RC hao wote wapo kwa ajiri ya kushughulikia hizo issues!
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Sure
@kamgishaisaya4763
@kamgishaisaya4763 Жыл бұрын
Naayo yote nikwa sababu ya taswila ya uongozi wa ngazi za juu, kuna shida kwa watanzania kwa sasa MUNGU, wa mbinguni atusaidie uo ndyo ukweri
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@rajabusamson8036
@rajabusamson8036 Жыл бұрын
Hiyo ndotanzania yasasa
@eliasharun3273
@eliasharun3273 Жыл бұрын
Huyu mwenyekiti mwizi, waliomtangulia wangefanya kama yeye, kwenye kijiji mali zote zingekuwa zimeuzwa.
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u Жыл бұрын
Nyie mnaongea juu ya kisiwa wakati ziwa zima wameshachukua dp world mmelala kweli
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@RugemaliraRenatus-rf6yv
@RugemaliraRenatus-rf6yv Жыл бұрын
Muwe ninaangalia mbali sio kuingia mikataba ya uchwara kisa umasikini ukiuza kisiwa au mlima ukamaliza shida zimeisha zitakuja nyingine itauza nini?
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Kabisa
@paulkaisi5689
@paulkaisi5689 Жыл бұрын
Ukweli sisi tu wazawa wa hicho kijij tumesoma hapo tunayajua mazingira yyte nimefika hapo nimefanya nimeona na kusikia vitu vya ajabu ninaishauri serikali nendeni kijijini hapo chunguzeni vizuri pesa inapigwa tu
@andrewzagaza908
@andrewzagaza908 Жыл бұрын
Wasukuma mkije hata hamuwezi fikilia kitu kama hicho, watani wangu nyie jajarukeni mtaibiwa sana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Hao viongozi ni makabila mbalimbali
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Mkuu wawilaya nimefurahi sana mawazo yako
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Kwahiyo hiyo njaa au tz viongozi hawajielewi
@reganmartin5485
@reganmartin5485 Жыл бұрын
Mpaka wananchi wanauza kisiwa ili wajenge shule! Hatari sana Mkurugenzi hakujua mateso ya wanafunzi kutembea kilometer 320 kwa mwezi na kea mwaka ni km 3840 umbali wa Dar Mwanza naenda rudi.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Hatari sana
@andersonfrankswai6078
@andersonfrankswai6078 Жыл бұрын
hapa hakuna kucheka na mtu wanacheza na akili za watanzania kuna baathi ya mambo siyo ya kufumbia macho "mambo haya yanaanza taratiiibu mwisho wake mbaya sanaaa"
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Kabisa
@joysekiza3944
@joysekiza3944 Жыл бұрын
Ila watu ni wapumbavu mtakufa mtaviacha yani TNA tumekwisha mara bandali mala visiwa tunaomba Magufuli Afufuke
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Mambo ni mengi, muda ni mchache
@faustinmarko2278
@faustinmarko2278 Жыл бұрын
Watu wachache wanaangalia matumbo yao
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
@@faustinmarko2278 noma sana
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
Watu kama hawa Sio wazalendo wanaweza kuuza Ata ikulu ya rais kuwafunga jela wakajifunze Uzalendo
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 ай бұрын
Hahaaaa
@nakali79
@nakali79 Жыл бұрын
Wataalamu Tanzania! Pumbavu hapa yapo majizi tu Wataalamu wako urusi kwa putin, huku zipo mbweha tu majizi matupu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Hahaha
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 Жыл бұрын
Nimegundua kitu katika nchi yetu,tusipo angaria tutakutwa tumeuzwa,na hili Ni tatizo lakutokuwa na hati za aridhi.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Kuuzwa tena
@abdallahnkrumah6237
@abdallahnkrumah6237 Жыл бұрын
Kama Bandari
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
@@abdallahnkrumah6237 duh bandari tena
@nakali79
@nakali79 Жыл бұрын
Hii nchi ina majitu ya hovyo jamani, hivi naota au kweli haya ninayoyatizama! Yaani ccm imeharibu nchi hivi! Kila mtu wanajifanyia atakavyo, huku Bandari, kule wanyama wanauzwa, mara ukifika loliondo simu inaonyesha uko dubai! Mara visiwa kuuzwa, pumbavu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Simu inaonyesha Dubai tena
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 Жыл бұрын
Yahani watanzani vijijini wamekupa wapumbavu je?je ma baby zetu wangeuza msingekua hata sehemu ya kuishi pili je mifugo yenu itaishi wapi na kula kwa uchoyo wa million 25 ujinga mtia ahibu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
@@queenpiscator6117 hatari sana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Hahaha hapo kwny simu kuonyesha uko Dubai😅😅
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
@@salomewandya7257 noma
@OmarMuya-qm3ws
@OmarMuya-qm3ws Жыл бұрын
Sasa wa africa 🌍 tunaenda wapi,mbona munaiuza africa wajuuku zako wataenda kuishi wapi,walo nunuwa wakija na familia zawo kuja kuishi hapo na walinunuwa kweli,mbona hamjali kwanini,yani marakumi afazali waafrica wale wa zamani na hawakuwa wamesoma munazidi bwanaa hivyo ndo kuijenga Africa 🌍
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Afrika tuwe makini na uwekezaji
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Жыл бұрын
Duu tutafika.tumechoka kiukweli🎉😅
@pamelamauki4209
@pamelamauki4209 Жыл бұрын
Kwani hizi tonzo zinafsnyanini jamani!
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Жыл бұрын
Baba chukua ichii maana sasa Tanzania inakela viongoz rushwa nyingi
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Жыл бұрын
Kisiwa kinauzwaga ml 30 siujinga huo basi kila mtu angenunua angekaa kisiwani
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Teteeni nchi yetu jaman
@kazimilkazimil8615
@kazimilkazimil8615 Жыл бұрын
Maeno ya wapi hapo
@JoelNyambalya
@JoelNyambalya Жыл бұрын
Ahsate mweshimiwa hili nililisemea mapema sana hakuna mikataba ya selikali bila mwanashelia
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Kwann mnatamaa yapesa kumanyie? Kwann mnauza mali yataifa? munashindwa kukataa kua hatuuz ziwa?
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Sasa Serikali inafanya nini kwann wasijenge hiyo shule,na kuna hela uwa zinapangwa kwny bajeti
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Yani nyie mtawauza na wana nchi wenu
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Жыл бұрын
Madarasa 3 yapauliwe kwa ml 25 mbona vichekesho 😅
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 Жыл бұрын
Namnukuu trampu alsema bara la afrika linahtaj viongoz wote kutenguliwa nakuanza na uongoz mpya sio huu hakna kiongoz afrika nzma
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Eti eeeee eeee yaani was sijui nani ametuloga
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps Жыл бұрын
Wenyeviti madiwani Na watendaji wawe Na elimu ya juu advance nk hawa watu wanaharibu sana mipango ya serikari ndio maana migogoro mingi husababishwa Na hawo. Serikari iliangalie hilo
@stephanominja8927
@stephanominja8927 Жыл бұрын
Wapewe semina kila kiongozi anapopata uongozi!! Kwnai wanazungukana. Alafu uwajibishwaji ni mdogo kwa kweli
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Sasa maongezi yanini tiandani waujumu uchumi yambavu mwekezaji ndio nani sukumandani yani sukuma ndani
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Siku hizi hakuna sukuma ndani
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 Жыл бұрын
Bado,sio bandaritu,sio loliondo tu,yatatokea mengi kisima cha bibi .
@eddiemsongelanzi5395
@eddiemsongelanzi5395 Жыл бұрын
Huwo no wizi ulizeni Kwa serikali Kwanza kwani nchi ikiachiea hivyo so itakuwa kama Kenya eananchi hawana sridhi baalli no kwawenye Pesa tu
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Watu wa nje ndo watutawale kweli
@maselemasanja4569
@maselemasanja4569 Жыл бұрын
Hisia zangu nafikiri angekuwa mwarabu maelekezo yangekuwa tofauti. Tuwaunge mkono wazawa wanaojitoa kuwekeza katika nchi Yao. Kama kuna kasoro wataalamu waingilie Kati kurekebisha na sio kumfurusha mzawa mwenye idea ya zoo. Naomba asikayishwe tamaa ila arekebishwe aendane na taratibu na Sheria za nchi.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Maoni mazuri
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Musiuze visiwa jaman mbona serikari hii yahovo jaman
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Жыл бұрын
Kama wakina Samia wanauza bandari zote sioni ubaya wananchi nao wakichukua chao mapema..tena afadhali wao wamemuuzia Mtz Samia kawauzia wageni..wewe mkuu wa wilaya ni nani km wana kijiji wenyewe wameamua!?
@hassangauday6272
@hassangauday6272 Жыл бұрын
Mbona sielewi bandari
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Safisan kiongoz
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Hao niweziiiii
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Hadi huluma maskini hivi ni vichwa au maboga? Kweli hamna kitu hapo
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Yaan hii inchi. Mbona kunavijitu vinatamaa? Kimevimba vimba mashavu kumaww yaan muuze maliyainchi kwaajili ya shule. Eti wataaram. Acheniukumamae.
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Жыл бұрын
Wew jamaa bichwaksko kama papai
@athanaschacha.9424
@athanaschacha.9424 Жыл бұрын
Haya mambo ya Mangungo wa Msovero ya kuuza ardhi kwa gharama ya shuka kuubwa, baadaye majuto. Ardhi ni ulisi wetu.nyie mnauza tu hivi hawa wasomi wetu wana nini? Hivi ni ujanja wa kubomoa tuu.
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Kweri KABISA hatutakiiiii. WATU mmepatwa na ninii??? Mnauwanaa ovvoo nchini yetuuu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Tuombeane amani
@kelvinfabian4850
@kelvinfabian4850 5 күн бұрын
Yaan mtu unauza nchi p3leka jela
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 5 күн бұрын
Hahahaaa kwa kweli
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Mirima yote tanzania ni mari ya jeshi ra wananchi nyambavu wewe wakikusikia jeshi kamata waripe era wariokura
@amosnaqbarxanaabddallah2730
@amosnaqbarxanaabddallah2730 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆ola nyinyi hawa wanataka wajilipe waende kuskojulokana ila limetibuka
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Jamaani Hawa tunao wachagua wamevurugwa wachie nchi yetu hivi nivita vyadunia sisi nchiyetu tunaitaji amani hatutaki warabuuuu mpo warudi kwaooo mashemeji choka mbaya wakawekezee panya tutawarus
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Hawana tofauti na wale watemi wa zama hizo kutuuzakwa kupewa shanga
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Hahaha
@allyjola3568
@allyjola3568 Жыл бұрын
Ujinga mtupu milioni 25 ela ndogo sana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Labda ndo kuvutia wawekezaji
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 Жыл бұрын
Huyo Alie uza hicho kisiwa kwani hicho kilikwa Cha babake,au ameona hicho kisiwa hakina mwenye nacho,
@allyabdallah1183
@allyabdallah1183 Жыл бұрын
Huyu jamaa muongo Sana anasingizia maendeleo ya jamii hafai,
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Жыл бұрын
diwani nae yumo alilamba asali
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Hahaaaa
@renatusmahombwe3093
@renatusmahombwe3093 Жыл бұрын
Viongozi wenye upeo mdogo ndo matokeo yake haya nchi yetu inauzwa kidogokidogo wahenga walisema usipoumiza akili ukiwa kijana utautesa mwili ukiwa Mzee.
BMG TV: RC Mtanda achukua hatua kukamilisha Soko Kuu Mwanza
15:32
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 1,8 М.
President Ruto's  Full Speech today at State House
12:21
KBC Channel 1
Рет қаралды 2,5 М.
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 53 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
President William Ruto dissolves Cabinet
11:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 229 М.
Kinachoendelea mgomo wafanyabiashara Mwanza, adai kunyimwa unyumba
9:21
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН