Nlisumbiwa na matatizo ya macho kwa miaka zaidi ya 25, nlifika hapo na nkapona kwa dakika tuuuu
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
Barikiwa sana. Imani yako ilikuponya
@JacklineEmmanuel-h2f6 ай бұрын
Namba Namba baba yunisi
@LilianiMmakasa3 ай бұрын
@@BMGOnlineTVmungu azidi kumbariki yunis
@NiyonsengaDivine-kf3uu3 ай бұрын
@@JacklineEmmanuel-h2fjamani naomba hiyo number
@NiyonsengaDivine-kf3uu3 ай бұрын
Jamani nikifika huko ntashukuru mngu
@Angeline-l6o3 ай бұрын
Mungu ampe nguvu na kumwezesha mtoto Yunis aishi maisha marefu ❤❤
@BMGOnlineTV2 ай бұрын
Amen
@TheresiaNdongo-nq5toАй бұрын
Bwana apewe sifa .Asante mama Maria kutusaidia shida zetu .
@Mary-sb4ih10 ай бұрын
Amen amen amen mubarikiwe na mimi pia mnisaidie maombi ni
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Amen
@DamianaNdunge10 ай бұрын
Glory be to God. I request for your prayers to pray for me get married I need a husband to start my family. Naomba mnifungulie nyota yangu ya ndoa mungu awabariki niko Kenya.
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Amin
@kennedymejja821710 ай бұрын
Received in Jesus name and mother of Jesus protected you
@DamianaNdunge10 ай бұрын
Amen I receive in Jesus name
@DamianaNdunge10 ай бұрын
Be blessed. I believe through your prayers I will be married In Jesus name.
@ZakayoFelixsway24 күн бұрын
Niombeenamm munguaniongozo katika kazi yamikonoyake
@RebekaShumbi Жыл бұрын
Yesu anaokoa mwaminini Yesu na si vinginevyo Matayo 8:16-17
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Usisahau kumheshimu mama ikiwa unamheshimu mtoto wake
@ndetaulwapallangyo8408 Жыл бұрын
Be blessed!
@aishawinny755810 ай бұрын
Amen
@fatuibra20123 ай бұрын
Ameen mutoto Eunice mutoto wa bikira maria uniombee sana mambo yangu ya funguliwe
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Barikiwa
@josephinerose8729 ай бұрын
Glory be to God me naomba kufika mahali hapo tafadhali naomba nielezwe njia.Asante
@BMGOnlineTV9 ай бұрын
Barikiwa sana
@catherinepeter-z4lАй бұрын
😊😊😊
@PetroChipeza5 ай бұрын
Uyumtoto kuchaguliwa na Mungu sio hao manabii wa uongo nimewachoka sana waache kumtania Mungu
@BMGOnlineTV5 ай бұрын
Amen
@marymuthoni1551 Жыл бұрын
Mungu ni mwema, asanteni sana
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Barikiwa sana
@Xcola-gm7ir10 ай бұрын
Mungu akubarik yunis na wazazi w
@OkwaroEugene7 ай бұрын
Mtumishi wa mungu eunice tuombee matatizo kwenye maisha yetu ikaishe na pia tukaweze kufunguliwa
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Amen
@sarahmwango22048 ай бұрын
Ni jambo ya ajabu mtoto yunis kuponya aliye na nguvu kupitia bikira maria ,,, naweza mpata aje Nina mzazi wangu Moja aliugua mwaka 2002 hadi Leo hii anashida ya mwili,,,
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
Fika kwao Kijiji cha Bukama, Rorya
@jacklinemose98288 ай бұрын
Wpi hapo ni kenya kweli
@evaristoaidan26908 ай бұрын
Kama unaishi dar unapanda gari la musomma
@Josephinelatin7 ай бұрын
Tafadhali naomba mtoto Eunice aniombea iliniweze toka hapa niliko kwa mateso Tafadhali wa weso wa mungu amina
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Amen
@DyeVee7 ай бұрын
❤❤❤
@DyeVee7 ай бұрын
Niombee na Mimi piya Kwa Kazi na mambo
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Amen
@BethshebaOkila5 ай бұрын
Acha mungu atende kazi yake.niweke kwa maombi
@BMGOnlineTV5 ай бұрын
Barikiwa
@VelonicaKanyamale5 ай бұрын
Naomba namba yenu ili naomba kuombewa
@BMGOnlineTV5 ай бұрын
Tuwasiliane +255757432694 BMG
@kevinomondi81210 ай бұрын
Naomba yunis aniombee njia zangu zifunguke
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Amina
@DietHaven10 ай бұрын
Eunice niombee tafadhali njia zangu zifunguke
@ronaldayieko5261 Жыл бұрын
Amina Amina
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Barikiwa
@RichardsLinga2 ай бұрын
Naomba namba za sim nije uko
@BMGOnlineTV2 ай бұрын
Tuwasiliane BMG
@MarthaSteve-rp3tp8 ай бұрын
Mungu azidi kumlinda daima
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
Amen
@maryadhiamb049610 ай бұрын
Hello nko Nairobi naomba unisaindie na number ili tuongee
Muteuliwa mtoto Eunice naomba uniombe pamoja na nyumba yangu naomba kwa majina naitwa Betha
@BMGOnlineTV9 ай бұрын
Amen
@rosendanshau2674 Жыл бұрын
Masikini weee Mungu awqpe macho ya Rohoni.yesu ndo mponyaji sio maji. Au chochote
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@bettyauma885910 ай бұрын
Anyalo yudo number?
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
+255693268319
@DebbrahNyakundi-id6uj4 ай бұрын
mtumishi wa yunis naomba uniombee Kwa ndoa yangu Iko na shida. mume wangu hataki kuniona kabisa na watoto ako mpango wa kando
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Amen
@lucykemunto68793 ай бұрын
Yunis. Niombee. Tombo.honaumwaimi Sana 😊
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Barikiwa
@MARTHAMWANGI-e6n10 ай бұрын
Number
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
+255693268319
@naseeralbishi472610 ай бұрын
Hio maji ni how much nko kenya
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Utoke sadaka upendavyo
@Mabalaka9 ай бұрын
Naomba namba
@BMGOnlineTV9 ай бұрын
+255693268319
@ruthositu5310 ай бұрын
Number ya yunis pliz weka kwa wall
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Mama Yunis +255693268319
@SylivesterMurithi6 ай бұрын
Nielekezwe njia plz
@BMGOnlineTV5 ай бұрын
Ya kwenda wapi?
@elizabethissalo11 ай бұрын
Napataje namba ya wasap.ili nitume picha ya mtoto aombewe
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Tuwasiliane
@JosphineMusyoka-h9i5 ай бұрын
Mungu abariki hiyo mtoto naomba namba mamangu mgojwa ningependa kumleta apate uponyaji
@BMGOnlineTV5 ай бұрын
Tuwasiliane+255757432694
@edithamosha10999 ай бұрын
Naomba No za Baba yunice nahitaji Maombi
@BMGOnlineTV9 ай бұрын
+255693268319
@lilianolilo39939 ай бұрын
@@BMGOnlineTVEunice pray for my family and my marriage
@fatumaseif5053 ай бұрын
Tunaomba number ya simu
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Tuwasiliane +255757432694 BMG
@lindashungu8570 Жыл бұрын
Hapana wako vizuri sana
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Akina nani?
@MaryamNassor-mt2eh7 ай бұрын
Hbr mm Nik Zanzibar nimezunguruk hd nimekata tamaa jmn mtoto wangu Yuko vby hd nalia n mm n baba ake Yan family yote inamattz naomb namb nidafir nije n namb maji y Barak jmn nikifanikiwa ata zawad nitampatia mtoto
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Mama Yunis +255693268319
@GraceMolely2 ай бұрын
Jamani na Mimi naomba uduma ya maji mama yangu anaugua kichaa ambayo hatuelewi jamani tusaidie
@BMGOnlineTV2 ай бұрын
Fika nyumbani kwao Bukama
@MaryOloo-r4q11 ай бұрын
Habari zenye Mimi naitwa Mary kutoka Kenya naomba tu mniombee kwa mara yangu wa kwanza kusikia nikonashida niombee pia Mimi nipate kulipa madeni Nina daiwa nimetembea kutafuta usaididizi Kila Kona lakini sijafanikiwa tafadhali naomba tu
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Amen
@donathamwangobe277611 ай бұрын
Naomba nitafte
@DamianaNdunge10 ай бұрын
Please naomba nabari ya simu
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Mama Yunis +255693268319
@DamianaNdunge10 ай бұрын
Asante be blessed all. Amen I received in Jesus name
Baba tafadhali bado yule mama mwenye alinipa shilingi alafu tatu bado bado wanataka maji utaweza kutuma kwasababu our sister John mary ni mgonjwa umombee
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Uko wapi? Je ni mbali? Unaweza kufika Bukama ukachukua maji?
@beatricechepkurui9161 Жыл бұрын
Amen 🙏 i receive in Jesus name please pray for me to get the job
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
@@beatricechepkurui9161 blessed
@adelinabaitu3291 Жыл бұрын
Imani yako itakuponya
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Kabisa
@RebeccaMosha8 ай бұрын
Naomba namba ya simu tafadhali
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
+255693268319
@MamaDelphin5 ай бұрын
Mitajia number za baba yake zawa Whatsapp
@BMGOnlineTV5 ай бұрын
Tuwasiliane+255757432694
@rabecca69505 ай бұрын
Nko nairobi naomba maji niko na shida nyingi yunis
@BMGOnlineTV5 ай бұрын
Tuwasiliane +255757432694 BMG
@ChristineJambi7 ай бұрын
Tusaidienu namba ya simu
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
BMG TV +255757432694
@maryadhiamb049610 ай бұрын
An Mary adhiambo
@Mercy-h8x3 ай бұрын
Naweza pata vipi mtoto yunis
@BMGOnlineTV3 ай бұрын
Nyumbani kwao
@EliasMwaijojele10 ай бұрын
Naomba namba amuombee mama yangu ana presha na vidoda vya tumbo
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Mama Yunis +255693268319
@aishawinny755810 ай бұрын
Mungu yupamoja nawe
@aishawinny755810 ай бұрын
@@BMGOnlineTV mungu yupo atapona
@RuthGwako96210 ай бұрын
No. Ya simu naomba
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
+255693268319
@RuthGwako96210 ай бұрын
@@BMGOnlineTV nko Saudi naomba mnieke kwa maombi juu siko kwa ndoa in kwa nyota yangu ilichukuliwa, naomba mama maria anirejeshee ndoa yangu,watoi wanaitaji kuishi na baba yao
@WintouchLimited7 ай бұрын
Mm nina omba uponyaji Eunice
@TitusLimo-yw2oj7 ай бұрын
Naitwa purity naitaji maombi nimekua n shida tangu utotoni mwangu n ndoa yangu
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Pole sana, fika kwa mtoto Yunis huko Bukama ndoye anaombea watu
Naomba naomba ya simu nitumie picha ya mjukuu wangu aombewe
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Mama Yunis +255693268319
@TescoT-nf8cx10 ай бұрын
Yunis ako upended gan pia mm nwtakq hatuombee familia yetu wasichan wote tuolewa juu hatuna nyota ya ndoa plz mama yunis mwambie tu nsomba kwa moyo msafi juu hsta niwe hapa people ye. Iko nitamshukuru tu nikisikia kuwa like sister angu mkubwa ameolewa nitShukuru mola san plz mm nakuomba mzee yunisi huo hujimbe lewak@BMGOnlineTV
@annastevensteven9515 Жыл бұрын
Tunaombeni namba bas ndugu ili kama tunakuja huko tuwe tunawasiliyan.nao
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Sawa +255686967279 mzee Ogot (ila usiwe mwepesi wa kuagiza maji, bora kuyafuata mwenyewe maana kuna watu waliagiza na hawakutumiwa)
@annastevensteven9515 Жыл бұрын
@@BMGOnlineTV mim.nip dodoma.unaweza nisaidiy namba yako nikuombe mdogo wangu unichukuliy hayo maji unitumiye kweny bas nitakutumiy hela ya usumbufu ninaumwa.mdog.wangu
@justusndyamukama4808 Жыл бұрын
Kuna waliowahi kutoka Hospitali ya Shirati ambayo ni jirani kabisa na hapo Bukama waliowahi kuja hapo wakatibiwa wakapona na kutoa ushuhuda juu ya upnywaji wao?
Nahitaji maji ya baraka kutoka kwa Yunis niko kenya naeza yapata kivipi?
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Fika kwao Bukama ama upate mtu mwaminifu akutumie
@AgathaAreri-xd4qm Жыл бұрын
@@BMGOnlineTVhaya will try to revist huko
@TescoT-nf8cx10 ай бұрын
Pukamu n wsp plz juu pia mm natamani kufika hapo @@BMGOnlineTV
@BahatiNeema-l7g10 ай бұрын
Asifiwe yesu naomba namba
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Mama Yunis +255693268319
@SalomeNdoromziriwa8 ай бұрын
Jamani napataje mawasiliano Nina kakaangu mwaka niwatatu anaumwa tu nikulia kulia kwa waganga kwamapastor mbali mbali tumeenda msaada jamani
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
Poleni sana, fika kwao Yunis Kijiji cha Bukama Wilaya ya Rorya
@MaryamNassor-mt2eh7 ай бұрын
Hbr jmn naomb majibu yngu bc naomb uponyevu nimetesak San n mtoto wangu pia naomb namb za simu nije huko
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Barikiwa, karibu kwao na Yunis Bukama Rorya
@evalynekunkuta5305 Жыл бұрын
Nahitaji maji kutoka kwa Junis niko Arusha nitapataje?
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Unayapata Bukama Rorya
@AliceFord-m4y10 ай бұрын
Baba Yangu na mm naomba ayo maji nisaidie nipo e baba
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
+255693268319
@Irene-j8l5q9 күн бұрын
Mtoto yunis niombee kijana aku ako nakezi police
@Roz-m2z Жыл бұрын
Hiyo maji naweza pataje
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Unafika Bukama ama unamwagiza unayemwamini
@elizabethissalo11 ай бұрын
Naomba namba ya simu baba yunis
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Sawa
@sospeteranyango6274 Жыл бұрын
Bikira Maria atukuzwe ! Ninashukuru mtoto amerudia huduma.Tumsifu mwokozi Yesu.
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amina
@liliankemuma9475 Жыл бұрын
Milele amina.
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
Sasa tunamtukuza yesu ama tunamtukuza maria
@legabenedicto4419 Жыл бұрын
Njamani mimi naimani sana na yunis lakini nilikua nakosa nauli yakuja huko,,sasa kwa sasa nipo tayari kuja nipeni maelekezo kuhusu kufika huko pia labda kunagharama zinahitajika??
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Maji ni sadaka ya elfu tatu tu za Tanzania (utatu Mtakatifu).
@TheresiaUdesi5 ай бұрын
Tumsifu yesu kristu.naomba namba ya Baba yunisi niweze kuongea nae.
@BMGOnlineTV5 ай бұрын
Tuwasiliane+255757432694
@SalomeNdoromziriwa8 ай бұрын
Nko tayari atakama kutuma.picha
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
Fika tu nyumbani kwao
@SalomeNdoromziriwa8 ай бұрын
@@BMGOnlineTV nko kenya jamani
@AmerdaKavishe-pu3cf11 ай бұрын
Shida kunamambo yarohoni na yakimwili kinacho mwongoza yunisi sio mwiuli bali roho wa mungu ndani yake mtakakua mnampa wakati mgum kumuoji au kumchailechi akili ndani yake ipo nguvu kumbwa