Wow!!! Good progress. Mungu aendelee kukulinda, Mtoto Eunice. Proud of you pamoja na huduma yako. God bless you and family too.
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Amen
@MargarethMalecela10 ай бұрын
Mungu aendelee kumbariki eunice ili aongeze maarifa atakuwa na upeo mkubwa sana
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Amina
@EverlineOnyango-r2bАй бұрын
Hiyo mtoto alipewa kibali Cha super natural God ampe ulinzi
@BMGOnlineTVАй бұрын
Amen
@graceodong907211 ай бұрын
Well done Sister Eunice, I wish you all the best of luck. Keep it up. Very proud of you.❤
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Amen
@maniratungageorge679711 ай бұрын
Nimefurahia sana namasomo ya Yunis Mungu azidi kubariki mutoto wetu Yunis ❤🎉
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Amen
@linnextraininginstitute29728 ай бұрын
Forsure on one can understand GODS works and He can use anyone to pass message.God bless Yunis
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
Karibu sana
@LilianNyambura-m4b11 ай бұрын
God protect Sr. Eunice and help many needy people Amen
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Amen
@deomajiji178911 ай бұрын
Mtoto Yunis ameanza shule ya awali. Anaendelea vizuri sana. Wow. Wototo wa Mzee Julius wire wameonsha kiwango cha kuelewa darasani. Yunis naye.. .huenda ataoneshs maenfeleo ya kutuka! Ameunganika na Roho Mtakatifu wa Bikira Maria.... Ninakushukuru Sana, na ubarikiwe!!!
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Amen
@hopegwimile5311 ай бұрын
Sio vizuri kumfatilia huyo mtoto bado mdogo.Mwacheni asome kama wenzake kama uwezo aliopewa tutauona naturally. Fatilieni matatizo mengi ya Wananchi.
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Wewe hupendi, kuna wanaopenda.
@JoyceChacha-i3w9 ай бұрын
Mmhhh hapo kinakukela Nini?
@alicechemai610010 ай бұрын
Tafadhali sana wenye mko na namba ya Baba unise mnisaidie zile niliona haziendi through
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Mama Yunis +255693268319
@marymuthoni155111 ай бұрын
Asanteni sana, good job, Eunice
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Amen
@NgulukoAbdala4 ай бұрын
really want
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Nice
@csato941511 ай бұрын
@BMG ONLINE TV mimi naona wazazi wa Yunis ( Eunice ) waanze kumfundisha namna ya kuitia anapoulizwa swali badala ya kuitikia "m m m h" aitikie "NDIO" mahali pa ndio. Na pia kuhusu hapo kwenye jina la shule kama walimaasha kuandika kwa kiingereza iwe "SAINT" badala ya SANTA.
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Sawa ushauri mzuri 🙏
@michaelopela.79028 ай бұрын
God can work differently.
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
Amen
@gladysnyangweso823011 ай бұрын
Ni jambo la busara kumpa Yunis formal education.
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Hakika
@ImmaKapachi8 ай бұрын
Mungu aendelee kumpa nguvu
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
Amen
@valenakomba768610 ай бұрын
Huyo mzee mbona abachanganya mambo sanaa. Maana padre amesema mtoto alinwomba padre yeye mwenyewe.
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Hahaaaaa kumbe ali?
@LavianLubida6 ай бұрын
Mungu awe nanyi
@BMGOnlineTV6 ай бұрын
Amen
@BenardHabeli8 ай бұрын
Naitwa benard luwilo mungu azidi kumlinda mtoto huyu
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
Amen
@BuangaMakaya11 ай бұрын
We need translation
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Ok
@margaretmbithe77907 ай бұрын
Kwani my elder sister is sick
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Pole kwa kuuguza
@inmamutola281111 ай бұрын
Ooh jamani hela zangu 15000 ksh nilituma last year tarehe 8;8
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Za nini mtu wa Mungu?
@elvinmakuba617210 ай бұрын
Fika nyumbani
@UdindoMayasa11 ай бұрын
Angebaki na vazi lake la kitambaa kichwani hata kama yupo shuleni
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Kabisa
@JoyceChacha-i3w9 ай бұрын
Eti jamani hicho kipawa Ni kubwa sana
@JoyceChacha-i3w9 ай бұрын
Safi sana ❤❤❤
@albinaurio983910 ай бұрын
Baba yunus mbona nampigia simu tena hapokeu kaniambia nitume pesa ili antitumor maji naona kimya a ameanza gani
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Mara zote tunawashauri kufika nyumbani kuonana na mtoto moja kwa moja!
@ZeitunOmala9 ай бұрын
Baba unice anapenda Hela sana,kwanini asije akawa mkweli mtu akishamtumia Hela ya Maji anapigwa kimia sio vizuri
@adoniemanuel90811 ай бұрын
tafteni shule ambazo zitamjenga huyoo mtoto kimasomo ya dunia nayakumjua munguu zaidi huyo anakitu chatofauti kama watu wanakipaji cha mziki wanasapotiwa hata huyo aliebeba kipawa cha munguu aspotiwe asome mazingira nashule ambazo zinazo weza kumsaidi
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Amen. Hiyo ni Shule ya Kanisa, nayo yaweza kumsaidia pia
@EverlineOnyango-r2bАй бұрын
Thanks be to God and let her get Education
@josiacharles277810 ай бұрын
Uyu mtoto niliskia mamaake amemtorosha kumbe alirudishwa?
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Walirudi
@sundikisege5559 ай бұрын
Namba ya simu
@BMGOnlineTV9 ай бұрын
+255693268319
@margaretmbithe77907 ай бұрын
Naeza mpataje
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Vyema ukafika kwao, Kijiji cha Bukama Rorya
@margaretmbithe77907 ай бұрын
Naeza mpataje huyo mtoto
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Fika nyumbani kwao
@AngelinaMikongoti11 ай бұрын
Abaki na vazi lake la kitambaa kichwani
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Hapo alikuwa shuleni, kavaa kwa kufanana na wenzake, tutakuulizia hilo kama shuleni kwao wanaruhusu
@JanetiJastini-vu1jd10 ай бұрын
Hata Mimi ninafurahi Yunis kuwa shuleni
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Amen
@Godson-e4h11 ай бұрын
Bwana Asifiwe. Yunis amekomaa. Na ana akili kubwa.
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Amen
@antoinetteshivachi956211 ай бұрын
Baba YUMICE maji yangu utanitumia lini nilikutumia pesa zangu haujashugulika whatsApp haujibu
@GoodDeeds-Jesus11 ай бұрын
Rudi kwa Bwana Yesu.
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Amen
@BabaLea-ez7pp9 ай бұрын
Yesu ndiye maji ya uzima
@antoinetteshivachi95629 ай бұрын
Non of your business
@ZeitunOmala9 ай бұрын
Huyu baba unice anapenda pesa
@renatusgasembe33389 ай бұрын
ivi yunusi amewahi chapwa kweli? ata na mzazi
@BMGOnlineTV9 ай бұрын
Unapenda achapwe bila hatia?
@bakarimrao365511 ай бұрын
Maadamu mbona kama anafanana na wasira atakuwa mwanae Nini?
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Madamu yupi?
@elizabethmwalo842411 ай бұрын
Na mbona hamumvalishi vizuri kama vile anawapea pesa sana.