Wajumbe wakubali Wilaya ya Nyamagana ibadilishwe jina, kuongeza Tarafa

  Рет қаралды 4,249

BMG ONLINE TV

BMG ONLINE TV

Күн бұрын

Unaweza kufuatilia habari kupitia mitandao ya BMG Media
Tovuti www.bmgblog.co...
Facebook / bmghabari
Twitter/ X / bmghabari
Instagram / bmghabari
#BMGOnlineTV #BMGMedia #BMGOnlineMedia
BMG Media +255 757 43 26 94 Pamoja Daima!

Пікірлер: 25
@dennisbarongo2411
@dennisbarongo2411 5 күн бұрын
Badala ya kujadili wapi paitwe nini na habari za migawanyo ya maeneo, jadilini mambo yatakayoboresha maisha yetu wananchi.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 күн бұрын
@@dennisbarongo2411 safi, unatoa ushauri gani mdau?
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 2 күн бұрын
Hata wewe unaweza kujadli maendeleo, kajiunge
@zakarialuhemeja444
@zakarialuhemeja444 5 күн бұрын
Whether tarafa moja au tatu na kubadili Jina haitakuwa na maana kama barabara za nyamagana hazitakuwa nzuri. Wenzetu ilemela ndo mwanza. Na ningeshauri ilemela ndo iwe mwanza kwa Jina kuliko nyamagana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 күн бұрын
@@zakarialuhemeja444 hahahaaa unaishia Ilemela ama unafanya kazi Nyamagana na kulala Ilemela?
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 5 күн бұрын
Kuna tatizo gani na jina Nyamagana? Kikubwa hapa ianzishwe manispaa nyingine kama ilivyopendekezwa wakati wa serikali ya awamu ya 5.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 5 күн бұрын
Kuna hoja wametaja kwenye video
@geey7893
@geey7893 5 күн бұрын
Shinikizeni Serikali ijenge Barabara ya Kenyata kwa njia nne, na pale Nata Papanuliwe na ijenge fly over. Mabus ya Allys, Nyehunge na waote wanaopaki pale waondoke ijengwe stand ndogo ya Natta. Ndoto za Magu hizo
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 5 күн бұрын
@@geey7893 soon ujenzi unaanza
@geey7893
@geey7893 5 күн бұрын
@BMGOnlineTV Soon wapi mzee, hii awamu siasa nyingi tukubali tu. Hapo Natta na hiyo barabara ya Pamba mpk Buhongwa imekuwa keroo. Serikali ipo tu inaangalia. Jiji la Mwanza limekuwa bila kupanua miundombinu ya Barabara tutakosa credibility. Niko Zanzibar lakin nmejenga Kisesa ndyo kwngu
@emjay1016
@emjay1016 4 күн бұрын
Nyamagana hakuna maji ya uhakika maeneo mengi sana hasa buhongwa,mkolani n.k Nyamagana haina barabara za hadhi kuanzia barabara kuu mpaka barabara za mitaa Kiukweli Ilemela iko mbele sana upande wa maendeleo ya miundombinu ambavyo ndio vinamuathiri mtanzania wa kawaida moja kwa moja.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 күн бұрын
@@emjay1016 tuwashauri Nyamagana (Jiji) wafanye nini wawe kama Ilemela (Manispaa).
@emjay1016
@emjay1016 4 күн бұрын
@BMGOnlineTV wafanye wanayotakiwa kufanya yenye tija kwa wananchi,haya mambo ya kujadili majina ya maeneo,ni ujinga wa hali ya juu,
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 күн бұрын
@emjay1016 sawa
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 5 күн бұрын
Yani badala wawaze wanajengaje barabara...maji yawe Kila sehemu...wanapoteza muda na majina ngoja TRUMP asikie hizi aibu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 5 күн бұрын
@@jeremiaaugustino7187 hahahaaa Trump tena
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 5 күн бұрын
Pale nyegezi stand ticket ya kiingilio msukuma anauziwa akiingia mgambo anazikusanya zinauzwa Tena....alaf mtSema mapato hakuna
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 5 күн бұрын
@@jeremiaaugustino7187 hili linafanyiwa kazi na uongozi wa Halmashauri
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 5 күн бұрын
@@BMGOnlineTV ntashukuru...linauma sana...naangaliaga sana....waweke Kila kitu electronic pale
@kiumbesambo6958
@kiumbesambo6958 5 күн бұрын
Uchawa mtupu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 5 күн бұрын
@@kiumbesambo6958 kwa nani?
@zakarialuhemeja444
@zakarialuhemeja444 5 күн бұрын
Nenda kwenye hoja ya msingi. Kusema uchawa ndo nn
@frankcharles4130
@frankcharles4130 5 күн бұрын
Kwa masirai ya kisiasa nisawa kabisa
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 5 күн бұрын
@@frankcharles4130 hahaaaa
BMG TV: Mwanza ni Jiji pendwa, zuri Tanzania? Tumalize ubishi hapa!
18:50
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
KWEREKANIA BIACARA YA MÎRAA
12:46
WERU TV & FM
Рет қаралды 242
Rais Samia Amjibu Mwabukusi Ulinzi wa Rasimali za Taifa
26:08
WAKILI TV
Рет қаралды 19 М.
BMG TV: Twenzetu Isamilo Grand Hotel Mwanza
17:27
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 1,1 М.
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН