Hii song yafaa 10 Million view , let's share this song , Wakenya mko wapi? Pita na like
@olefben2 жыл бұрын
P
@hannahmutasia15502 жыл бұрын
I love this Man for free, natamani kuongea nayeye hata dakika tano nitaridhika
@marywanjiku47822 жыл бұрын
Tupo
@henrywonderful2 жыл бұрын
For sure this is a hit FOR THE LORD JESUS CHRIST
@wanjikuwanyoike9872 жыл бұрын
Tupoooooooo hapa tena kwa vifijoooooooo. This song is powerful 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😍😍😍😍😍
@silasoluoch52511 ай бұрын
2024 Yesu bado wastahili, asahnte kwa uponyaji na uzima.
@boazdanken Жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel
@joanshiko30958 ай бұрын
I’m 23 yrs old serving God as a worshipper I aspire to bring people in the presence of God just like you ! Be blessed ,I got saved through your songs you may not know how many souls you save but God bless you minister
@Apostle_Peter_Wainaina6 ай бұрын
I miss you from coming to my church
@joelmikiti-kt8dj3 ай бұрын
my favorite one sos aventure in lubumbashi we you came
@DAVIDMUINDE-e7i2 ай бұрын
Tupo mchungaji nyimbo zako zatubariki
@beautynhamoinesu68602 ай бұрын
I am so blessed by this worship,my spirit is uplifted God bless you and team🙏🙏
@Mumbecky4 ай бұрын
Wenye wako hapa 2024 mnipe likes
@cessben82424 ай бұрын
Am here 7th sep
@azzaalmalki414 ай бұрын
❤🎉
@kenedymuchiri23704 ай бұрын
@@cessben8242
@joramnjuguna59394 ай бұрын
Kenyans really appreciate this song, representing the +254
@dohjan13018 күн бұрын
2025 tuongeze likes
@dennisnjoroge89242 жыл бұрын
Fellow Kenyans let's pass through here with a like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 To GOD be the glory 🙏
@josephpilgrim72122 жыл бұрын
Wow
@hurumajosephat6333 Жыл бұрын
@@josephpilgrim7212 j make..5k5,....k,,.8i88
@cynthiamuriithi4678 Жыл бұрын
Amen 🙏🙌
@bettyblessing8009 Жыл бұрын
Yaas!!passed kwa sana
@harrietgloria8792 Жыл бұрын
Mambo deno...
@naomimwangi543822 күн бұрын
Who is listening to this song in 2025. May the Lord preserve in the next 12 months of 2025. Yesu wastahili sifu na utukufu ❤❤🎉
@peacemumbi3 жыл бұрын
Kabla sijakuchagua Wewe ulinichagua Kabla sijakupenda Wewe ulinipenda kwanza🙌 Mimi nikuwakilishe duniani Wewe uniwakilishe mbinguni❤💓🙏🛐🙌 Yesu wastahili Heshima na utukufu
@boazdanken3 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus Asante sana
@theeproverbs31babe823 жыл бұрын
favorite part
@peacemumbi3 жыл бұрын
Favourite part 🙏🛐 How unconditional this sounds😭😭❤🙌 Kabla sijakupenda, ulinipenda kwanza
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amina na amini Uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo🙌🏻🙏
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo🙏🙏🙏
@Ms.JaneCoco20 күн бұрын
Thank you GOD for 2025 kweli unastahili heshima na utukufu🙏🙏
@ESTHERKIARIE-hn5tj10 ай бұрын
Yesu wewe ni wakwanza ulinipenda mwanzo . I listen to the song daily just proclaiming that Yesu Alinipenda na anastahili heshima na utukufu
@robinsonrugano Жыл бұрын
Kabla nikuchague WEWE Ulinichagua ....Ahsante YESU
@clamencekhinda6900 Жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU boaz danken unanibariki sana na nyimbo zako zote MUNGU azidi kukuinua na akupe hitaji la moyo wako
@reymi_teamdechristian39422 жыл бұрын
Kabla SijaKuchagua Ulinichagua. Mimi nikuwakilishe Duniani, Wewe Uniwakilishe Mbiguni.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@puritykageha16742 жыл бұрын
I had not talked to God for long,, Was so bitter and even suicidal,, Yesterday as i listened to this for the first time,i felt total peace and on kneeling to pray i just realised i had spent the whole night praying Be blessed man of God for through this my perspective on God was changed
@kevinmugo85142 жыл бұрын
Hello Purity. Please do feel free to reach out. I can provide you with some counselling advice whenever you find it necessary. God is with you and everything shall be well.
@esthermuthengi67772 жыл бұрын
Jesus Christ loves you a lot.
@annnjuguna65602 жыл бұрын
Halleluyah! Glory to God!
@mercygakuru12652 жыл бұрын
May God bless you my sister
@liwazoni2 жыл бұрын
It was powerful, I remember breaking down crying, I felt God's power in this song
@miss60kiss Жыл бұрын
I sang the song for days not knowing God was about to answer my prayer for a job after being out of work for more than two years, with two kids, going back home to the village, but i never stopped worshiping and Boaz Danken was one of my everyday go to, Now it is 25th of April 2023, its 5.18 am and i lift my hands in worship not in my small single room in the Village but from my Room in the UK on my day off from the job God gave me, i limited Him to the level of my thinking but He had other plans for me. All the Glory to Him!!! Whoever is out there praying with no answer, it is not silence, it is a God preparing you for your next season, never stop Praising in The Storm and When he gets you out of your wilderness, Dont forget Him!!!! Come back to testify and keep giving Him the GLory He deserves!!!! Thank you Boaz for your Gift!! It got me through dark days. My Son is a drummer and would love to be on stage with you one day. If you are Ever in Kenya or if He can come, i can now afford a ticket for Him. God Reigns!!!! Wastahili!!!!! Uongezeke Yesu
From Praise Atmosphere Karen Kenya 🇰🇪, couldn't get this masterpiece out of my mouth the whole day. You're such a blessing Minister Boaz Dunken. Kenya 🇰🇪 appreciates you . We thank God for you
@blackqueen3532 Жыл бұрын
Hii nyimbo imebadilisha maisha yangu....nimenena kwa lugha sio ile ya mazoea nilikuwa naongea lugha nyengine huku nikilia japo sielewi ilikuwa lugha ya namna gani ila neno nililoshika syria tu ASANTE YESU KWA KIBALI CHA KUNENA KUSIVYO KAWAIDA THANK YOU HOLY SPIRIT 🙏
@faithnyambura2453 жыл бұрын
Beautiful worship,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Yesu wastahili
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo🙏🙏🙏
@CarlosBalinda2 ай бұрын
Pia uganda tuko present. Prais God
@priscillamutave892 Жыл бұрын
Huu wimbo ukweli unakaa kufungua lango la mbinguni. The worship is on another level.
@pengomd8 ай бұрын
😅
@pengomd8 ай бұрын
😅
@Shikukimani5 ай бұрын
😅
@apostlemelkizedeckmsechu62743 жыл бұрын
Naungana Na Malaika wote, wazee na wenye uhai.. NASEMA UNASTAHILI MWANAKONDOO WA MUNGU, UNASTAHILI YESU, UNASTAHILI HESHIMA NA UTUKUFU 🙌
@boazdanken3 жыл бұрын
Amen
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amina na amini Uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo🙌🏻🙏
@stellakaranja9945 Жыл бұрын
YESU WASTAHILI LYRICS Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Tumwambie Bwana Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Mwambie tena Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Mwambie tena Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Aaaaah Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu ... Mwinue Bwana Yesu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Tunalibriki jina la Bwana Yesu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Wewe ni chaguo langu la milele Nikiwa na wewe nina amani tele Nainua mikono ninakuabudu Maisha yangu yote nayatoa kwako (rudia) Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Wewe ni Bwana unastahili Yesu Simba wa Yuda shina la Daudi Chipukizi la Yesu nani kama wewe Jiwe Kuu la pembeni tunakuabudu Yesu Tunainama tunainuka Twainua mikono tunakuabudu Tunainama tunainuka Twainua mikono tunakuabudu Tunainama tunainuka Twainua mikono tunakuabudu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu Aaaaaah Eeeeeeh Yesu wastahili heshima na utukufu
@foodie26603 жыл бұрын
There's a wind of revival blowing across East Africa. I'm glad that Boaz you are one of the agents God is using to spread it. This here is a heavenly worship song.
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo 🙏🙏🙏🙏
@prosperguga42892 жыл бұрын
@Boaz Dunken huu unastahili kua ni wimbo Bora wa karne hii yaani miaka 10 iliyopita
@unnimollel35372 жыл бұрын
@@Danielmparanyi and I will get
@dianambise50062 жыл бұрын
Exactly🙌
@JoshuaUdom-s5p24 күн бұрын
Much love from Nigeria 🇳🇬 to Kenya 🇰🇪 Hakika Mungu anastahili heshima yetu. Mungu ibariki Kenya.
@velmamutete78493 жыл бұрын
God bless you to bless us brother 🙏🙏💕tunakupenda kutoka Kenya.
@Danielmparanyi2 жыл бұрын
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo🙏
@newwineskin549411 ай бұрын
Kwani Minister Boaz Sir is not ours?Enyewe hio kiswahili si yetu.😂😂🙈🙊But tunammupenda sana.❤
@anisahnyambura851210 ай бұрын
Yesu wastahili heshima na utukufu..Ni nani kama wewe Yesu???
@joseafrael91892 жыл бұрын
Kabla sijakuchagua wew ulinichagua kabla sijakupenda wew ulinipenda kwanza nikuwakilishe duniani wew uniwakilishe mbinguni Amen
@loureenijeji33773 ай бұрын
Wenye tumetoka tiktok❤ Such a blessing
@catherinenthambi97109 ай бұрын
Mimi nikuwakilishe duniani wewe uniwakilishe mbinguni😭😭😭.Asante Yesu
@snowmmasi192511 ай бұрын
I am struggling now both mentally n financially n i was constantly complaining n feeling left out and alone...n wondering why GOD is taking too long to bless me....but listening to this song i just remembered all the times GOD has come through for me...all the times MUNGU amenitoa kwenye giza na huu mbali amenifikisha and i just started tearing down...because GOD loves me so much i just cant even describe it😭
@lukafilsmercyАй бұрын
Any Ugandan or Rwandan here just gonga like hapa tujuane🇷🇼🇺🇬🙏🙏
@demo81092 жыл бұрын
From Rhema Feast in Kasarani, I heard this song and had to search it. Such a blessing, I don't seem to get enough of it. Father You are great, Jesus we worship You... Thank you For this new season, Thank you for Revival is here..... Asante Yesu....
@joychristinemarete76562 жыл бұрын
Same here, heard it from the Rhema Feast
@bettmwangi97652 жыл бұрын
Same here, nmepata 15th sep 2022
@saphbk19052 жыл бұрын
It was so powerful.
@VeeveeK2 жыл бұрын
Me too. Heard it at Rhema Feast - Glorious
@michaelkiarie67412 жыл бұрын
Heard it from rhema fest, then today in church during worship. I had to find it. Glory to God
@DeborahRaphael-h3iАй бұрын
Jina Yesu nalipenda kuliskia kweny songs
@Algotrade1community9 ай бұрын
April 2024 are you here,this song still bless me
@IshikaFaith10 ай бұрын
Daddy Danken Mungu akuinue zaidii,,, napenda nyimbo zako sana
@ceciliagatungo82822 жыл бұрын
Kwa kweli Yesu unasatahili sifa, ibada, heshima, utukufu yangu nakusujudia Mungu wangu
@beckykanja687Ай бұрын
Boaz danke l am brayo ishi miaka mingi 😢😢😢😭😭😭
@eliudngigi1817 Жыл бұрын
Yesu wastahili ...🙏🏾🙏🏾 Kenyans worship their God with this song💯🙏🏾🙏🏾
@Geo_883 жыл бұрын
Mr and Mrs Boaz.🤩This song is just another level 🔥🔥🔥
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo🙏🙏🙏
@sidneyotuga8815 Жыл бұрын
Here after Rhema Feast 2023, Kasarani. I love you man, this is an endless meditation prayer for me.
@munyimillicent39383 ай бұрын
Yesu wastahili heshima na utukufu.❤❤❤ Lord renew my heart.
@janethlema6773Ай бұрын
Hii nyimbo nkiwa Labour niliimba moyon had nazinduka OP oooh Yesu unastahili Dec 2024
@josephfungwa5719Ай бұрын
Ameeen
@enocklelei48532 күн бұрын
Tunanyenyekea bwana aaaaaah eeeh......
@fanuelburra56642 жыл бұрын
Atukuzwe MUNGU aliyekupatia huu wimbo ubarikiwe sana Boaz MUNGU akuinue zaidi
@rachealmaina8302Ай бұрын
Ahhhhh! Eeeeeehhh! Yesu wastahili heshimu ns utukufu
@PeterMkonyi-cc2bt Жыл бұрын
BOAZ, BOAZ This is one of the best artist worship song i ever trust it🙏🙏, natamani na ninatamani sana siku moja niimbe katika hii worship band❤😢😢
@Jerry-cf5tq22 күн бұрын
Deeply worshipping Jesus with this amazing song from Congo! Jesus is Lord! Jesus is the true God! Hallelujah!
@veronicakabbiri53582 жыл бұрын
Woow this is so powerful. Yesu umenifanya Mimi nikuwakilishe duniani Wewe uniwakilishe Mbunguni. Ni Wewe Mungu wangu.
@QueenpearlShantel2 ай бұрын
Kama bado uko uhai shukuru mungu ❤️🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MichaelWafula-kl2cz9 ай бұрын
Ni nani kama wewe yesu, wastahili siku zote za maisha yangu baba❤❤❤
@lizzygic47603 ай бұрын
October 2024 @3:10 a.m.... thanking God for His Faithfulness. This happens to be a favourite song for my 2yr old son and his friend (same age)... Anytime you start "aaaahh aaaaaah...." they pick it up very well❤. May they grow to love and serve the Lord 🥺
@rolantern9598 Жыл бұрын
I first listened to this song when I was depressed and jobless. But I didn't give up and kept on praying and praising Jesus even in my hopeless and dark days. And indeed today I testify that he is worthy of all the respect, worship and adoration. Just when I thought it was over, that is when God spoke to me and told me to pick up my tools and go back to work. The battle was not over, it just begun!!
@cynthiaimali19533 ай бұрын
Wewe ni Mungu! Hakuna kama wewe Baba. Nizidi kukuwakilisha duniani nawe uniwakilishe duniani
@naomimbithi24432 жыл бұрын
unastahili yesu , simba wa yudah, wewe ni kila kitu kwangu🙌🙌🙌powerful. glory to God.
@theehunter3 ай бұрын
Jana ulistahili Leo unastahili Kesho utastahili ❤
@vianachinengo5462 жыл бұрын
Tunamtambua Mungu anayekutumia 🙏🙏 Kaa magotini zaidi atakutumia zaidi.. Yesu wastahili heshima na utukufu juu yahaya 😭🙌🙌🙌
@angelakalalu27552 жыл бұрын
ANASTAHILI YESU,🙌🙌YESU NI AFYA YANGU,TENA HUDUMA YANGU🙌🙌🙌 UNASTAHILI YESUUUUU🙌🙌🙌🙌SIMBA WA YUDA...WEWE NI KILAKITU MAISHANI MWANGU..🙌🙌🙌🙌AAAAAAAA EEEEEEEH YESU WASTAHILI HESHIMA NA UTUKUFU🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@elijahsenteu89072 жыл бұрын
Am a Kenyan but let me thank our brothers and sisters from Tz, ur blessed
@JoshuaJohn-uf7to3 ай бұрын
BOAZ MUNGU AKUBARIKI SANA,,NEEMA YA MUNGU IZIDI KUWA NYINGI KWAKO,,MAFUNUO MENGI NA NEEMA YA UPONYANYAJI KATIKA HUDUMA YAKO,, BARIKIWA SANA ❤❤
@DANGEN-KENYA3 жыл бұрын
This song was downloaded straight from Heaven Maranatha🙏🙏🙏
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amina na amini Uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo🙌🏻
@estherwilliam51253 жыл бұрын
Very true from Heaven..
@dorcusnzula37802 жыл бұрын
Maranatha Jesus is coming
@francjazzi8058 Жыл бұрын
Aki, this song is just amazing,very spiritual. It's a priseworship song, I love it.
@PatriciaMwangi1 Жыл бұрын
@@Danielmparanyi ¹1¹¹¹¹¹1¹
@Privia-s8s10 ай бұрын
Niwimbo ambao nikiw kwenye maombi unakua wimbo wangu 🙏🙏🙏🙏naunitia moyo
@sarahsaria11437 ай бұрын
Here after twezetu kwa Yesu 2024❤️❤️❤️❤️
@GeofreyMwanzia-n8k5 ай бұрын
Yesu wastahili utukufu wote
@enniaskawadza27362 ай бұрын
I am from zimbabwe but this gospel songs speaks to my soul and it uplifts my spirit
@sashalemmoh3264 Жыл бұрын
Mungu atangulie mbele yako mtumishi🙏🙏🙏
@amonkaranja26952 жыл бұрын
😭🙌Yesu astahili, Yesu pekee, Mungu abariki ndugu Boaz kwa kazi afanyayo, kweli hio sauti inatoka kwa Bwana, na barikiwa sana na wimbo huu 🙏
@farajahmpina4 ай бұрын
Jana, leo na hata milele Yesu wastahili 🤲🏾
@davismukoyaniwanyonyi2552 Жыл бұрын
I remember listening to this song first time while in theatre performing a CS... The vibe was fire. What a great worship song!!!
@JamesOmucheyi-d9b4 күн бұрын
❤❤🫶 Yesu ni Chaguo Langu la milele 2:00 kabla sijakuchagua wewe ulinichagua ❤🎉
@janenjoroge26222 жыл бұрын
Very powerful song. Can't get enough of it.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@reubenouma391 Жыл бұрын
Yesu anastahili, Mungu azidi kukuneemesha.. Amen
@breecagz60473 жыл бұрын
The kind of concerts for praise and worship that I would so much love to attend in Kenya. Be blessed man of God. Tanzania is so blessed with talented gospel artists especially when it comes to worship music.
@theeproverbs31babe823 жыл бұрын
sure
@marymutundu64463 жыл бұрын
Very true,,,when is he coming to Kenya I would love to attend
@annritamiti66272 ай бұрын
Yesu wewe tuu unastshili🙏 Take reign over our lives ...Yeshuu aaa Messiah
@lynemagwanderson10 ай бұрын
It's not a matter of likes or subscribers but how many are for God ONLY 🙏🙏
@FLORENCEAPIYO-u2v2 ай бұрын
Yesu asifiwe kabisaaa
@AdventinaAnthony3 жыл бұрын
Jesus Christ my Lord😳😳😳🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽😭😭😭😭😭🔥 The combination with Pastor Imani is Wow🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽😭😭😭 Yesu WASTAHILI😭😭😭😭🙌🏽
@BentaAdhiambo-rl8ds2 ай бұрын
Kama unasema na unaamini Yesu anastahili heshima na utukufu piga likes tukisonga❤❤🙏
@nurukyando80283 жыл бұрын
Pokea sifa hizi Mungu wangu 🙌🏾 You deserve all my all aah😩🙏🏾
@michaelmbilinyi4042 Жыл бұрын
Unastaili Maua Yako mtumishi wa Mungu🎉🎉
@Blessed_Ann3 жыл бұрын
I really appreciate what God is doing to our nation through you man of God🙌🙌 I pray for greater and greater levels. 🇹🇿🇹🇿 from glory to glory
@boazdanken3 жыл бұрын
We humble and give the King Jesus all the Glory
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo🙏🙏🙏
@emesenka3949 Жыл бұрын
✝️✝️✝️✝️Yesu wastahili moyo wangu mile✝️✝️✝️✝️
@Minah_Laurent3 жыл бұрын
wewe ni chaguo langu la milele nikiwa na wewe nina amani tele nainua mikono, ninakuabudu maisha yangu yote nayatoa kwako....🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️ kabla sijakuchagua wewe ulinichagua kabla sijakupenda ulinipenda kwanza ukaniletisha pamoja na wewe mimi nikuwakilishe duniani wewe uniwakilishe mbinguni...🙏👏💣
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo🙏🙏
@habiliSichona5 ай бұрын
Hakuna kama Wewe Yesu Kristo 😢😢
@gracesimpasa13863 жыл бұрын
I feel proud to be with almighty GOD,Yes JESUS Is every thing in my all of my life
@boazdanken3 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amina na amini Uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo🙌🏻🙏
@malkiaissaya41813 ай бұрын
Ahsantee Yesu kwa kuwa u mwema sana katika maisha yangu
@BettyEkaran003-fh2fd Жыл бұрын
Was invited to a kesha and I heard this and was really touched,,,, that's the moment I decided to go back to Christ cause I had quited going to church,,,,, praise the Lord
@samuelkamau57952 жыл бұрын
Swadakta! Wimbo huu ni kazi kuntu watumishi maadam umenijenga kama mwanaume amfuataye Kristo Mfalme wetu. Kisha ukaniteka kwa huo mstari kuwa nimwakilishe Kristo hapa duniani Naye Aniwakiulishe binguni! Halleluyah!
@bittymacharia3462 жыл бұрын
Love the humility in this man of God.Kwa kweli Mungu unastahili,uhimidiwe milele kwa ukuu wako
@AdelaSamuel-o3t Жыл бұрын
Aminaaa nilikuwa nakutafta sana huu wimbo🙏🙏🙏🙏🙏🧎🧎🧎🧎🧎
@monicanjeri38492 жыл бұрын
Yesu wastahili, pokea sifa na utukufu 🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@solowmak3 жыл бұрын
I love this song. Only God deserves all our praise and honor Psalm 95:6 Come, let us bow down in worship, let us kneel before the LORD our Maker;
@boazdanken3 жыл бұрын
Glory and Honor to Jesus Asante sana
@IrenElias-o9j3 ай бұрын
Yesu wastahili heshima na utukufu 🙏
@Alexkemboi234 Жыл бұрын
As we approach the new year 2024 tumwambie Yesu wastahili ❤