Miaka mitano iliyopita ulinipa mtoto wa kwanza ambaye nlimuomba kwa miezi kadhaa baada ya kuingia kwenye ndoa,najua mwaka huu utanipa tena uzao mwingine
@snowmmasi19259 ай бұрын
Im here in 2024 trusting GOD for a breakthrough in my business and education....i know i will come back with a testimony.i will put in the work and leave the rest to GOD.
@faithmutisya72319 ай бұрын
Let me leave my comment here so that whenever someone likes it i come back here and listen to my breakthrough song,whenever i listen to it God creates a way for me
@ZawardMbindi5 ай бұрын
Q
@FWDACADEMY-rn8gh4 ай бұрын
comeback and listen to your breakthrough song.
@martinsmartins9938 Жыл бұрын
i love you lord uliniponya cancer stage 4....ya maini pua jicho gladi na ubongo ulikua umefinyiliwa na tumour....9 months in hospital....i thank my lord am cancer free
@alicemandaji1955 Жыл бұрын
Amen Amen,we thank God for your life
@raelsamuel3648 Жыл бұрын
Amen
@fabianalfredy5557 Жыл бұрын
Umetujenga Kwa ushuhuda huu. Tumuhaibishe shetani
@maureen_glory Жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu May you become a vessel to release that anoint to heal others with the same condition
@Preciousamaya11 ай бұрын
Amen thank you lord 🙏
@jasonheriwewejoas52824 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema sana, wimbo huu ni mzuri sana, kama wimbo huu umekubariki gonga like tufahamiane
@aloycekalolo85164 жыл бұрын
Ooooo asante rohoo mtakatifu kwa mafunuo haya kwawatumishi wako hakika haufananishwi! Oooooooooasante Yesu!
@consolatamungai8386 Жыл бұрын
Nnjhgvpjnhjkkjh
@geoffreymadzubai Жыл бұрын
Amen
@JackieNzembi Жыл бұрын
Amen
@carolinemakaya41208 ай бұрын
Today date :02/04/2024. Mungu haifananishwi na kitu kingine. I ve survived ectopic pregnancy surgery,i have survived a terrible road accident although still nursing a broken arm with a supportive metal in it, am better than a dead lion. I give u alm Glory and Honour,Lion of Judah!
@linahanyango88005 ай бұрын
Amen
@MercieKakuu25 күн бұрын
Hugs ♥️♥️🫂🫂🫂,,,,, Amen
@SarahWanjiku-z7z8 ай бұрын
Wewe Mungu unaweza kufanya mambo yaliyo juu ya famahamu zangu,naomba umkumbuke mama yangu,mpe amani,mlinde,nibariki ili.nimbadilishie maisha yake,muweke na umhifadhi mpaka aone ukiniinua...Amina😢
@favourouma8769 Жыл бұрын
Amina Amina Mungu hafananishwi, yeye ni yule Jana, Leo na hata milele.
@carollenin51523 жыл бұрын
Kama ulinitoa Qatar bila hata shilingi nikawa kama kicheko kwa muda mfupi but I still survived na baadaye ukanipa kazi nzuri kuliko yenye ilinipeleka ughaibuni hizo miaka zote, kweli hautawahi kufananishwa na kitu chochote maishani na milele. You are incomparable God.
@catherineluoga62883 жыл бұрын
Hngera
@milkahmosinya75123 жыл бұрын
Amen dear Mungu hafananishwi na kitu kingine binadamu watakucheka na kusema mingi lakini Mungu anafungua njia zake za kipekee
@stellahstl47393 жыл бұрын
Anafanya mambo ambayo mwanadamu hawezkufanya
@elizayanga97563 жыл бұрын
Amen
@pascalhaonga25613 жыл бұрын
Kitu ambacho mwanadamu hawez kufanya mungu anafanya kamwe hawwz fananishwa na kitu kingine
@celestinenanjala59710 ай бұрын
Am here in 2023 late January. I had given up on hopes of my children going to school but God has sent them a destiny helper and on Monday they will be in school. Haufananishwi Mungu wangu🙏
@bahaticlaire49063 жыл бұрын
Amen. Nani ambaye anakubalikwamba wimbohuu kama unaokowa moyo wamtu ambaye amekuwa mbali na Mungu kama umeikubali please naomba like🇺🇸🇺🇸🇺🇸🙏🙏🙏
@Mwenge-li2kr3vk8w9 ай бұрын
Asante Yesu kwa kuniweka mzima hadi leo hii maana Kuna wengine hata hawapumui saa hii lakini mimi niko mzima, kweli haufananishwi na kitu chochote Yesu, kama unaamini na unaimani ndani ya Yesu sema ameni🙏🙏🙏🙏
@neemakilango89702 жыл бұрын
kweli MUNGU wangu haufananishwi na kitu chochote,nikikumbuka mtoto wangu mchanga akiwa maututi icu kazima siku tatu nashuhudia watoto wengine wakifa lakini wangu akawa mzima sababu yakukuita ww na ukamponya mpaka leo,nani akufananishe mungu wangu nitakusifu milele.
@zipporahweru28752 жыл бұрын
This God,this God oh.He healed my father from Stage 2 Blood Cancer.Who is like this God?Haufanishwi na kitu kingine,anafanya mambo ambayo,mwanadamu awezi kufanya.🙏🙏💃👍💃
@ivykm95412 жыл бұрын
Thenkyu Jesus for this song;;;;actually haufananishwi na kitu kingine nilimaliza frm4 nkapata B I was not able to join Kenyatta univ ambapo niliitwa coz I lost my mom when I was in from two and my father did not considered us I decided kutafta kazi ,,,nkapata ya housegal lakini mungu ametoa now am in second year Persuing medicine Kenyatta univ, thanks a lot God nisaidie nashinda nikiskia huu wimbo haki mungu haufananishwi hats natokwa machozi
@lucynjambi1011 Жыл бұрын
Amen....you will be blessed dear
@AminaMoreen-l8c10 ай бұрын
Mahal yesu umetoa nlkua nadharaulwa hakka hakuna kma wewe
@Dreamwalker23again8 ай бұрын
Amen
@eliassamson24006 ай бұрын
Amen
@rebeccaochieng256 ай бұрын
Amen 🙏 Haufananishwi n
@gloryemmanuel76139 ай бұрын
Hafananishwi na kitu kingine huyu Mungu🙌🙌🙌unafanya Mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya🙌
@nancywangeci20666 ай бұрын
Am here trusting God for healing from grief and loss of my husband in 2019.....upto 2024 its been sooo difficult getting over it but kwa kweli Hafananishwi na kitu kingine.....nakuamini nakungoja mfalme mkuu🙏🙏🙏🙏
@naretv2008 Жыл бұрын
On 02 November 2021 I lost my mom. On 02 Jan 2022 I lost my father and again on May 2022 I lost my job.. I'm currently depressed but through this song I believe I will be okay. Pray for me
@ketramungasia6805 Жыл бұрын
May the Lord hear your cry
@gracemuthoni1395 Жыл бұрын
May the mercies of God make you stand again 🙏 in jesus mighty name 🙏
@alfredowino3936 Жыл бұрын
He who makes a way where there seems to be no way will do it for you . Receive your restoration in Jesus name!
@lucksiyame4632 Жыл бұрын
Roho mtakatifu atakutendea muujiza soon,amini katika uwezo wake. Amen
@cecialvin9872 Жыл бұрын
I pray that the Good Lord in heaven Grant you abundant blessings
@Pastorjob1500 Жыл бұрын
He turned my suffering to a testimony. Having been a street boy for six years and now am standing as a labourer in His kingdom, kwa kweli Haufananishwi na chochote.
@anjelagicheru9068 ай бұрын
Have been in my fasting, mungu najua ulikua na sababu ya kukutana na wimbo huu hapa,,, coming back with loud testimony, Amen 🙏
@bundiedwin83285 жыл бұрын
Mungu wetu Hafananishwi..Anafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya...on the repeat button..can i be allowed to like more than once??who will be with me here 2050??
@CharlesIrunguMaina19 сағат бұрын
God willing we'll still be here until 2074 to sing the same song to Jesus Christ forever and ever
@AnnWanja-k2w8 ай бұрын
Hakika mungu anafanya mambo ambayo mwanadamu hawaez kufanya, daktari alisema mtoto wangu amekufia kw tumbo, niende nlfanyiwe oparesheni ntolewe mtoto, lakin mungu alifanya alifanya oparetion yake nkajifungua mtoto salama, that was 2020,huyu mungu ntamtumainia milele, b blessed
@lucymbindye27993 жыл бұрын
My baby was admitted in hospital and was soo sick on oxygen and the breathing never improved and days went by...at one point I wept bitterly witnessing my baby struggle...immediately i opened my KZbin and watched this song and kept repeating it throughout the night and by morng my baby was weened off oxygen and within 2days discharged from hospital fully healed..thanks be to God
@Miss-kl6jl3 жыл бұрын
We glorify God...permanent healing in jesus name
@allanjombaheavenstv47923 жыл бұрын
HALLEHLUJAH
@esthermunyua20663 жыл бұрын
Gorly be to God
@williamakitina93313 жыл бұрын
lucy mbindye Amen and Amen
@highlyfavored2613 жыл бұрын
Amen
@sylviathomas32182 ай бұрын
Thank you God 🙏 for allowing My breakthrough, Amen
@dorcasgachuiga5381 Жыл бұрын
To all those who have testified here....Im praising God with you ❤
@RYNOXNGOKA6 ай бұрын
I have breakthrough in my career, finance and marriage hakika haufananishwi na kitu kingine Mungu Amen ❤
@dr.faithadhiambo2545 жыл бұрын
Wewe ni Mungu,, mpasua bahari haufananishwi na kitu kingine!!!! If you agree with me like this !
@christinemumbe96005 жыл бұрын
No one like my God
@dianaasinye48444 жыл бұрын
Hafananishwi n kitu kweli.I like these song
@mbithemuendo7294 жыл бұрын
My favourite song,kweli haufananishwi na kitu kingine,I like that.
@maryokaya73074 жыл бұрын
Haufaninishwi
@berthasosthenes7334 жыл бұрын
No one is like father in heaven
@godrickwekesa1266 Жыл бұрын
Mimi mahali mungu amenitoa nikianza kufikiria naanza tu kulia mungu huwezi fananishwi kabsa
@sabinaamboko644910 ай бұрын
I really cry as I listen to this song, recalling how God delivered me from the bondage of masturbation which had tormented me for 26 yrs, really GOD is not compared to anything 😢
@wangeciwawambui94388 ай бұрын
Amen
@VinicSarangeRiro-ip4ds7 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@Divine28Ten28 күн бұрын
amen
@believeclemence10772 жыл бұрын
Nausikiliza huu wimbo nikiwa kitandani naumwa. Namuamini Mungu unayetenda zaidi ya majibu ya daktari.
@winnierichard4265 Жыл бұрын
Utapona my Mungu nimwema
@hozamatics Жыл бұрын
Mungu aende kukutendea, hakika utapona. Amin 🙏
@edithmwasulama700511 ай бұрын
Pole Nakuelewa Usife ukiwa na huo ugonjwa kwa jina la Yesu
@MargaretMutheu-z1k7 ай бұрын
Amen Mungu atume jeshi lake la uponyaji wakushugulikie
@fridahmbiku53906 ай бұрын
Sure.
@MasteringWealthTips7 ай бұрын
This song came to me this morning . I have been in several severe storms and my storms hit differently. I know am a chosen of God and I will overcome all of them. Coming out of the current storm strongly. Someone like my comment I come back soon with a testimony ❤
@margaretkiyuki4157 Жыл бұрын
Am tired of waiting ooh God ...when is my turn Jesus
@eunicenyamusi35212 жыл бұрын
am here in march 2022 listening to this song and trusting God for a financial breakthrough for my wedding in July. Anatoa faraja ambayo mwanadamu hawezi kutoa,
@ephieoyoo16632 жыл бұрын
Amen
@peternyongesa82632 жыл бұрын
Amen my sister, may it be so.
@patrickmontez5782 жыл бұрын
God is going to fight for sister
@samuelbaraka46312 жыл бұрын
Me too this has been my song offlate
@larrieombash72272 жыл бұрын
Wish you all the best in Ur wedding God will open doors for you 🙏
@ruthkallonga92553 жыл бұрын
Hata katika kipindi hiki kigumu Cha majonzi Tanzania, bado wewe Mungu haufananishwi na kitu kingine, utabaki kua Mungu wetu Tanzania. Unafanya Mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya, unatoa faraja ambayo mwanadamu hawezi kutoa. Tembea nasi katika msimu Mpya wa nchi yetu🤲
@blackydark63042 жыл бұрын
Mungu wangu hafananishwi, trusting him this year for the fruit of the womb, turning 37 soon but still know that yeye ni mungu mpasua bahari, mtuliza mawimbi, he will do it for me. I will come back with a testmony before the year ends IJN.
@natureways4074 ай бұрын
EVERY KNEE WILL BOW AND CONFESS JESUS IS THE LORD...HAUFANANISHWI NI KITU KINGINE 🙏🙏🙏
@nelsonlema43305 жыл бұрын
Miongoni mwa nyimbo ambazo Roho Mtakatifu ananishuhudia kuwa; Malaika wa Bwana wanaimba moja kwa moja kila unapousikiliza, na Roho wa Bwana anakuwepo kazini kwa yeyote wakati huo akiitaji hitaji lolote anapata ni nyimbo kama hii. Usichukulie kawaida unaposikiliza wimbo huu, tulia Rohoni utapata kitu cha tofauti sana katika wimbo huu, ambacho kitakuwa ni upenyo wa maisha yako. Mungu wa mbinguni akulinde katika huduma hii kaka Boaz Danken , nashusha ukuta wa moto ulinde huduma yako daima.
@fransiscamatemu9875 жыл бұрын
Nelson LemaAmen
@naekualphayo86185 жыл бұрын
Nelson Lema amen
@danielaloyce20385 жыл бұрын
Powerrrrrrrr MY Lord bless him God is good any time from Tanzania....
@stephenkahangwa48275 жыл бұрын
Barikiwa
@atumlwafu82605 жыл бұрын
Hakika mungu afananishwi na ki2 chochote
@missk86472 жыл бұрын
17/01/2022 just woke up with this song in my mind and I have been singing it the whole day. Haufananishwi na kitu kingine Mungu. Tukumbuke tulio Saudi Arabia na Qatar Mungu wangu turudi makwetu tukiwa wazima vile tulikuja huku. Thank you God 🙏🙏🙏🙏
@christophersaraphina71722 жыл бұрын
God is in control my dear
@agathakariuki57272 жыл бұрын
Shalom, we will be praying for those in Dispora. I was in the Dispora 9 years ago. Look unto Jesus Christ, Holy Ghost is our constant companion, guide, comfort, helper, everything good...
@geoffreymwangi8169 Жыл бұрын
God will bring you back safe and sound because He's a powerful and merciful God
@nasexgaldreg9109 Жыл бұрын
Amen
@phennyone5598 Жыл бұрын
Popote mulipo mungu yu nanyi atawapitisha Kwa majaribu yote na atawainua muwe washindi katika jina la yesu kristo
@swahiliandculture65993 жыл бұрын
Nani atakuwa hapa hadi mwaka 2050 kama Mimi... kumwambia Mungu hafananishi na chochote..
@judykariuki18523 жыл бұрын
I shall live and not die to testify the goodness of the Lord in Land of the living,Amen🙏🙏🙏🙏🙏
@mercyfox96933 жыл бұрын
Glory be to God. Hafananishwi
@tumainisampeta55703 жыл бұрын
Asante mungu umenitunza toka nikiwa tumboni mwa mama Hadi leo kweli kabisa haufananishwi nakitu kingine
@rachelisango31253 жыл бұрын
tuko pamoja mpemdwa wangu ooh Mungu asante
@joshuaburton62173 жыл бұрын
Be blessed
@AbigaelKipchumba-u1z3 ай бұрын
I feel so blessed by this song. I feel so down but i request for your prayers Indeed, God haufanishwi na kitu kingine.
@SidiKamangoh Жыл бұрын
My healer he healed me mungu wangu sijui nimpe nini…i give you all the glory
@annecharles14613 жыл бұрын
Everytime I listen to this song memories flood in my mind. Ten years ago I was a nine year old girl suffering from cancer. I went through four surgeries, several x-rays and CT scan and even radiotherapy. But I am a living testimony that " mungu anafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya" coz I'm healed completely. Friends may leave you or laugh at you and family may feel like you are a burden to them but God never leaves us🙏 be blessed
@hellennekesa13143 жыл бұрын
Wow. May you forever live in good health in Jesus name. God bless you for testifying
@maendestephene77263 жыл бұрын
Very true, to God be thy glory
@mercyjepkogei10303 жыл бұрын
This song humbles me always....indeed,God is God
@JMEDIA-bf6wc3 жыл бұрын
More Grace and more Life! Glory to Jesus Christ
@elizabethmuthini95983 жыл бұрын
Glory to God
@CYNTHIA.WANJIRU-95 жыл бұрын
Ni kweli mungu hafananishwi na kitu,si mwepesi wa hasira,yy hafannanishwi,mungu mwenye wivu,..... If still watching this video.... Give it a like
@glaxondamada41024 жыл бұрын
In deed GOD has no comparison
@brayanoduor27724 жыл бұрын
However listening to this song be blessed ...haufananishwi Na kitu kingine.
@anithakikoti13584 жыл бұрын
Nimebalikiwa sana huu wimbo
@dianamoii94383 ай бұрын
One day I'll come back to testify the God did for 🙏
@israelotieno38444 жыл бұрын
I was listening to this song while praying to God to deliver me from alcoholism, Today I have a testimony😢😢😢😢
@praliacandy89974 жыл бұрын
Glory to God
@tonyriunga61704 жыл бұрын
Glory be to God! Lets hear it🙏😊
@cleopatrarobert81334 жыл бұрын
Praise Jesus
@johnkarani55184 жыл бұрын
amen. he is a FAITHFUL GOD
@israelotieno38444 жыл бұрын
Today I am alcohol free man,,,God is in deed faithful 😢
@zuhurapeacekarimi95912 жыл бұрын
😭😭I was rejected more than a dustbin, my mum my prayer partner died while i was here in dubai, God 😭😭i see my end of my living, out of rejection God i prayed for favour in my family members, God you did it for me, surely haufananishwi😭.
@margaretnjenga90182 жыл бұрын
Kenya is a testimony 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we praise you God,,,,,hunafanya mambo ambayo mwandamu huwezi kufanya.....God your great..2022 Kenya is a testimony
@veronicamurimi98133 жыл бұрын
Ni kweli Eeh mungu ,haufananishwi na kitu kingine utabaki kuwa mungu tu
@ratanyaNtarangwi2 жыл бұрын
3 years later, and I'm a prophecy fulfilled! When I wrote the comment below, I never knew I would actually be here again. As a matter of fact I have a testimony; I got born again last year may (2021). It's now 1 year and 3 months (August of 2022). Only God can do this. The life that Christ saved me from is one that was bleak, without a future! I glorify His Holy name. He's my God, and I now have peace with Him Romans 5:1. In Him it's yes and Amen; all that I'm praying, hoping and trusting God for is fulfilled too in Jesus name. There definitely will be more testimonies.
@Ndupatmu2 жыл бұрын
Amen and glory to God, in him there is fullness of Joy. Hallelujah
@edithkinyunyuzi446010 ай бұрын
Wooow!!!Glory to God in the most high...He who began a good work in you shall complete it until the day of our Lord Jesus Christ...And it's not by power not by might but by the Holy Spirit..Holy Spirit will carry you through always until thee end...Be blessed.
@johnedwardkassawa29525 жыл бұрын
wewe Ni Mungu haufananishwi na kitu kingine. AMEEN, leo nimebarikiwa Sana na wimbo huu, naomba like nyingi hapa kama unaamini
@samuelkimeu26155 жыл бұрын
Hakika mungu haufananishwi
@christinamtete95215 жыл бұрын
Hakika wewe ni Mungu haufananishwi na jambo lolote
@melkkibwana75475 жыл бұрын
Hakuna wa kufanana n ww
@angelmashambo12425 жыл бұрын
Hafaninishwi na kitu kingine, na haitatokea Hafaninishwi Mungu wetu, Hafaninishwi 🙏
@alhajiathumani64985 жыл бұрын
Amen.wimbo mzuri sana.
@peterkyese45165 жыл бұрын
Anaangalia Mara mbili mbili hiii nyimbo tujuaneee hapa🙏🏼🙏🏼🙏🏼thkx holy spirt 💕💕💕
@wansiluther62555 жыл бұрын
Me kila siku naangalia
@wansiluther62555 жыл бұрын
Me kila siku naangalia
@peterkyese45165 жыл бұрын
@@wansiluther6255 Kama mm tyuu xo touch this long
@saraphinakamnde26615 жыл бұрын
Dah nabarikiwa sana na huu wimbo
@gospelagk95595 жыл бұрын
Cjawah kuuchoka huu wimbo unavuta wingu halaka mno, yaan dah bubujiko alipungui
@lilianmarandu1559 Жыл бұрын
Huwezi mlinganisha Mungu na Wanadamu...
@sam1sasali5 жыл бұрын
This is Massive....Wimbo unaomuongelea Mungu Mwenyewe na Wema Wake.....Anatenda Mambo ambayo Mwanadamu hawezi Kufanya....Ur Rocking Bro....
@witnesslema69195 жыл бұрын
Halelujah halelujah
@beatriceikiara2 жыл бұрын
"Unatoa faraja ambayo mwanadamu hawezi kutoa". Amen
@LeletiWanj95844 жыл бұрын
Whoever is listening to this song in April know that God is in control. In every situation. Glory to God. How I love Jesus.
@esthermuinde87764 жыл бұрын
Amen to this song .Lord Jesus you are uncomparable to any other thing
@marynyambura75824 жыл бұрын
Amen n Amen
@joshuaisaya87214 жыл бұрын
Naupenda san huu wimbo mbarikiwe san
@irenegudluck12144 жыл бұрын
Mercy Natasha amen
@fredrickkyunguti60004 жыл бұрын
Amen
@asiimweflorence37829 ай бұрын
Haufanishwi haufanishwi, ameeeen Uliniosha ukantakasa kabisa Ukanifuta machozi Ukaniponya cancer ya matiti Ameeeen na bado unaendelea kunibariki Ameeeen ameeeen nitakusifu muda wrote hata nikitembea
@pheobenetendo-yh5td Жыл бұрын
God is above all things in my life niliyo yaona katika ndoto more than 24years ago, leo hii yameonekana,hakika wewe ni mungu.
@dorcasndolo3023 жыл бұрын
The LORD has used this song to counsel me concerning my current challenges, this October 2021. Single mother, expectant, jobless, of late even had suicidal thoughts because of the pain of seeming a burden to my family members. As I listened to this song which I bumped into on TV, I felt a strong presence of God and I knew for sure this is an anointed song inspired by the Holy Spirit. So I looked for it on KZbin so I can listen to it again, and as I was listening, a scripture Psalms 146 dropped in my heart. Truly I should only trust in God and not in man, for my help comes from the LORD my God. All praise to God forever! In Jesus Christ name, I testify and give thanks. Amen.
@rccgpottersnairobi3 жыл бұрын
Glory be o God, and I pray that He will see you through in every situation and life's circumstances in Jesus' name. Be strong in the Lord. Be blessed
@dorcasndolo3023 жыл бұрын
@@rccgpottersnairobi Amen. Thank you.
@csaitoti3 жыл бұрын
@Dorcas... the remains to be sovereign in every circumstance... He is the lifter of your head.. Look to Him... trust Him and hold on tightly to Him. I pray that He will come through for you sooner than you think... Remain lifted in the Lord...
@dorcasndolo3023 жыл бұрын
@@csaitoti Amen. Thank you.
@dorcasoketch68463 жыл бұрын
Your story is interesting namesake. You are a single mother and also expecting? How did you find yourself in such a situation? If we are following Christ then let's do it wholeheartedly. Not half. We get involved in things with our eyes wide open and still expect God to deliver us from them. Let wisdom reign in our lives even as we claim to serve God. Let's follow God's Laws. Read Psalms 119. The longest book but with a lot of wisdom.
@andrewmaina16104 жыл бұрын
We we Ni Mungu, Mtulizi mawimbi Unafanya Mambo Mwanadamu hawezi Fanya , Pokea sifa Amina. Likes For Jesus
@sarapiter23444 жыл бұрын
. kila nikiuskliza huu wimbo napata faraja ndani ya moyo wangu
@luciepius89914 жыл бұрын
Hakika wewe ni mungu mweema xan hata mim uku wako nimeuon kam na wewe umeuon like hpa
@njugzkeith4 жыл бұрын
Huu wimbo wanibariki sana.
@joyleahmarii55212 ай бұрын
Am here declaring that my brother is healed for God does things that man cannot do... Drs can't figure it out but I know God knows amen..
@joshuawambua2652 жыл бұрын
What God did to me is unbelievable, my child was admitted at KNH kangaroo ward but I kept on silently singing this song all the time and especially when she was taken to theater for kidney dialysis @ the age of 2 wks and God healed her.Kwa kweli what God can do no man can do.
@spectra.48402 жыл бұрын
To God be the glory.
@berylnyangor34602 жыл бұрын
GLORY TO GOD
@tinahmuthike23312 жыл бұрын
Our God is capable of anything, amen
@abukmajok74622 жыл бұрын
@@spectra.4840 IUuuuu
@abukmajok74622 жыл бұрын
Hi
@JosephZinchenko Жыл бұрын
Kama wewe mwenyezi umetoka family yangu from a background where we used to sleep for like three days without eating anything,truly you are an incomparable God!..you have done great and for sure we are going far.
@kulwasengaauasengapaul96765 жыл бұрын
Hii nyimbo Mimi jaman nnakupenda Sana Tena Sana, na wewe kama unaipenda nigonge like rafiki
@isackibalaja93734 жыл бұрын
Amen
@eizabethsimon35524 жыл бұрын
Ni nzr xna
@kelvinkuria96354 жыл бұрын
Naipenda sanw
@JT-df6lw4 жыл бұрын
Today I have been well
@teresiawanjiru36654 жыл бұрын
Wimbo huu unabariki.James
@rhodahwanjiru7672 ай бұрын
Haufananishwi na kitu kingine mungu wangu
@julielopez35953 жыл бұрын
yes, indeed you the great I AM none is like you, UNAFANYA MAMBO AMBAYO MWANADAMU HAWEZI FANYA!!!! who is here listening to this awesome song.
@jackmigai46484 жыл бұрын
These kind of song's require an award in the gospel industry, hit a like if you listen to it in 2020 August
@jacquilinetenth34474 жыл бұрын
2020 December
@wahomemartin3 жыл бұрын
Word, good real music, ....thumbs up
@dianakawira53173 жыл бұрын
I'm am grateful to God for,such a wonderful song.Glory I much love the worship ,,love this song
@norathadakho9903 жыл бұрын
Barikiwa Sana 2021
@Gachuki053 жыл бұрын
Listening to it even in 2021
@janetsyombua99833 жыл бұрын
Who is still enjoying this in 2021.🙏So blessing...
Being born and brought up in a humble background, it's only You God who help me study from nursery school to university, i have seen your hand upon my life. Umenifanya jinsi nilivyo.
@Mercy-jl1pn Жыл бұрын
This song.i remember 2019.expectant in my friend's place.God inspired me,no job,no finance,nothing. BUT I listen to this song most of the time in radio.and God did it.i delivered beautiful bby girl and later went home..in all this glory to God in Jesus preciuus mighty name.yrs later i am here listening to this song as a testimony of how far God have brought me.given me a Job outside my country, and i am greatfull and huppy.thank you God.haufananishwi na kitu kingine
@wemapanga21085 жыл бұрын
mtoto wa dadaangu miaka5 kaniimbia huu wimbo kwenye sim nikalia. najua ntashinda kwenye magumu ninayopitia nikiimba huu wimbo, barikiwa mtumishi
@elizageofrey82885 жыл бұрын
Usilie tena mtu wa Mungu amini tuu mungu alipomponya yule kipofu hakumwambia kilio chako kimekuponya bali alimwambia Imani yako imekuponya.
@07209982235 жыл бұрын
Hakika Bwana atakausha machozi yako.Mmisri unayemwona leo kamwe hutamuona tena
@johnkiilu22905 жыл бұрын
Yesu alimaliza msalabani dadangu
@wemapanga21085 жыл бұрын
asanteni watu wa Mungu kunitia moyo
@catherineluoga47485 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu ahadi zake c kama mwanadamu
@shadracjcheruiyot1710 Жыл бұрын
Am so greatful to you my God. You gave me promotion which nobody imagined.
@Amazing.millie6 ай бұрын
Thank you God for being there for me through and through ❤
@valebricorp2 жыл бұрын
Through this song iknow my daughter who is sick at school is going to be healed because He is doing wonders
@kanuniburoko57415 жыл бұрын
Wewe ni Mungu aliye ju ya yote, ni kweli haufaninishwi na kitu kingine. You're not comparable my God.
@puritymueni69464 жыл бұрын
I was a maid when I first had this song working for my college fees and I asked God to help me go to college and to day I have a glorious testimony, I was able to go to college, this is my year of great testimonies I believe
@claycatie54664 жыл бұрын
To God Always Be Glory
@harrenzai14454 жыл бұрын
Am touched by ur testimony I'll love to help you out
@puritymueni69464 жыл бұрын
@@harrenzai1445 am touched by your reply, though how would you love to help me .
@marymugeni5694 жыл бұрын
Amén God is great
@joshmartha59124 жыл бұрын
What a wonder working he is, his faithfulness endures forever.
@asmrsnow-o4lАй бұрын
A single mum to 1girl ,just lost my job im totally depressed but i know Mungu hafananishwi i look up to him everyday.
@veronicawanjiru62582 жыл бұрын
I got inspired by the song around February and I could sing it every day as a prayer I'm here to testify that I got a job on April after being jobless for 2yrs May we serve this lord
@everlyneshivachi15093 ай бұрын
I tap into this..I'm getting a new job this September in Jesus mighty name
@jacksonruhahas11685 жыл бұрын
Hii ni nyimbo ambayo inapoimbwa wakati wa kusifu na kuabudu, inanifanya nione kama uso wa MUNGU upo mbele yangu LIVE. Hakika, wengi wamebarikiwa na kupata faraja katika mitihani ya maisha yao kupitia wimbo huu.
@kuruthumumbwambo21474 жыл бұрын
Kabisa
@robertomonditv5 жыл бұрын
Mungu hafananishwi, Amen. Much love from Kenya our brothers and sisters from Tanzania 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@clintonesere14964 жыл бұрын
Woow brother my geography teacher
@brysonuronu58624 жыл бұрын
Barikiwa sana wakwetu..
@mwalimuleoh3 жыл бұрын
Amen
@peninamachiri75742 жыл бұрын
Haufananishwi na kitu kingine..yes after going through a lot I can testify to this
@Simulizi_za_kipekee5 жыл бұрын
Kila hatua tunayo pitia MUNGU anasababu ya sisi kupitia lakini mambo ambayo MUNGU akija kutenda kweli utasema MUNGU hafananishwi na kitu kingine na mambo anayoyafanya Hakuna mwanadamu anae weza kufanya Ameen barikiwa Mtumishi wa MUNGU
@joymaish16112 жыл бұрын
When I listen to this song it makes me cry more because it shows how our God is faithful and Great... Let's pray for one another if God has blessed you remember others they need your prayers...am going through alot I need revival in my house if you're there just remember me in your prayers God will bless you plz 😭😭
@lyviakamene9904 Жыл бұрын
Wimbo mzuri....mungu mwanifu kila saa kila dakika na kila sekunde 🙏🙏🙏
@sibomanaemmanuel18316 ай бұрын
Amen from Rwanda 🇷🇼❤️
@jacksonkimwele97842 жыл бұрын
My prayer tonight, as I listen to this song, may God take me out of every situation that I am unable to deliver myself from.
@emmanuelmsangi77935 жыл бұрын
Huku ndiyo KUSEMA NA MUNGU LAIVU, MOJA KWA MOJA, MUBASHARA! Yaani hapa lazima ASHUKE MWENYEWE ACHUKUE SIFA NA TUKUZO ZAKE! MZEE WA SIKU NI NOMA! HAFANANISHWI NA KITU KINGINE!
@magembepeter21694 жыл бұрын
Emmanuel Msangi angalia jinsi wanavyoimba na kucheza kwa hisia Kali nyimbo inagusa moyo wa kila mmoja lol nyimbo ya sifa hapa boaz Mungu ulimsifu kwa sifa zote .... Mungu mwema siku zote
@isayaublikiwefeliciansan15144 жыл бұрын
Mungu hafanani nachochote ubalikiwe mtumishi wa Yesu
@maureenkirubi7602 жыл бұрын
Am here trusting God for my daughter's school fees and I believe he will do it for me 🙏
@kazemanasse59402 жыл бұрын
Hakuna kinashinda Mungu, tupo kwa ajili Yako Baba, haufananishwi
@edwinelias85545 жыл бұрын
Siku huu wimbo tulivyoimba kanisan nilikuwa deep kiroho mpka nilijikuta nalia kweli mungu wetu mtunza maagano
@emilygathoni21965 жыл бұрын
That is powerful. Wacha tuendelee kuvunjika mbele za mungu wetu muweza yote.hakuna jambo ambalo hawezi kutufanyia.
@upendojohn53285 жыл бұрын
Ameeeeen
@rosemsigwa85215 жыл бұрын
Unatoa faraja hakika wewe ni MUNGU ......
@sajomwankenja36115 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka mungu akupe nguvu uendelee kuifanya kazi yake nimebarikiwa sana hakika mungu afanishwi nakitukingine
@iriskeya69833 жыл бұрын
I once gave up on the hope of ever going to chuo kikuu. I felt it was for the chosen few. I couldn't afford it..................BUT GOD!!!! He has taken me to a level I never imagined. Everything has been paid for. Am humbled! Kweli unafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya!!!
@eddierirumathedove50643 жыл бұрын
Amen thanks to God 🙏🙏🙏
@marybuko44743 жыл бұрын
Amen
@ayee3823 жыл бұрын
Amen
@tee21982 жыл бұрын
I am here in July 2022 listening to this song and trusting in God for a permanent job and financial breakthrough.I am trusting in God to grant me the purpose he created me to serve in this world.Joshua 14:12 "Give me this mountain". Haufananishwi na kitu kingine. I shall testify.
@tee21982 жыл бұрын
I'm here to testify that God has elevated me to the next level.I got a job last week.I'm grateful to God Haufananishwi na kitu kingine.Habakkuk 2:2:3.More great opportunities are coming my way. I shall be a living testimony of God's great works . I shall be back here with more testimonies.
@irineabade78722 жыл бұрын
@@tee2198 Amen Amen I mark this 15th August I will come to testify if He did it for you He can do it for me ,Lord Give me this mountain 🙏🙏 I'm happy He did it for you it's true He never fails
@tee21982 жыл бұрын
I am grateful to God for answering my prayers.Indeed he is a faithful God. Another miracle has happened in my life. Indeed he never fails I will be here soon to testify for a permanent miracle. Thank you God. Indeed you are a faithful God.
@comfortsyokau91062 жыл бұрын
@@tee2198 He's a God of possibilities, I believe that He will do it for me too,been praying for a job and financial breakthrough...He's been faithful all the time,He's never failed me
@tee21982 жыл бұрын
I'm here on November 21st to testify that indeed he is a faithful God who answers prayers. God has been faithful to me, I am at peace where I am. Life has been good and I am so grateful. God has been answering the prayers that I wrote on my vision board. I have been ticking them and I am so grateful to God "Give me this Mountain". Joshua 14:12 I'll be here soon to testify to the whole world for God's elevation from a contract to a permanent job in this Organization that I have found peace and my purpose.I'll be a living testimony of God's great works to the whole world. Thank you God! Haufananishwi na kitu kingine
@violetkoech88962 жыл бұрын
Mungu mtoto wangu ako karibu kukalia mtihani wa kidato cha nne najua wewe utatenda jinsi ulivyo tenda 2018 najua unafanya mambo ya majabu kwa maisha yake
@tinaokuom2022 Жыл бұрын
There is nothing without you Lord 🙏
@babuyejudy8522 Жыл бұрын
My daily song I can't work without this song.I'm a living testimony from being mocked all bad names in this world to somebody.He is still taking me to higher levels
@dicksonmwanji34085 жыл бұрын
Jina la Bwana wa majeshi litukuzwe, Kaza sana kumtafuta Mungu, azidi kuyafunua mambo makubwa, aloyaweka ndani yako, MUNGU MWENYE ENZI, AWE NAWE, AKUPATIE NAFASI KUBWA ZAIDI, YA KUMUABUDU, NA KUMTUKUZA. UBARIKIWE.
@janetshao64235 жыл бұрын
Amen
@joshuamwasansube96735 жыл бұрын
Oooh asante Yesu kwa kuwa wanishangaza na ukuu wako usiofananishwa...barikiwa mtumishi
@carenbiwot80802 ай бұрын
Amen,,,my best song I'll soon have a story to tell😢
@patrickwachira81364 жыл бұрын
Who's here in 2020. The year of double harvests
@sephrosemusavi31864 жыл бұрын
Me here my first time listening .God is great
@waihiga1244 жыл бұрын
Today I have listened to this song more than 5 times already na bado nitaendelea because HAUFANANISHWI NA KITU KINGINE!!!
@jesusgirl6514 жыл бұрын
Am here in awe and deep amazement at what Jesus is doing in my life
@cold_showerboy81374 жыл бұрын
We here brother.The year of double expectations
@wanjiruwanganga57074 жыл бұрын
Mimi hapa
@denniswanjiru965 жыл бұрын
I just had a contact with The Almighty such a powerful song which encounters the soul... Kweli yeye ni Mungu ambaye anafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya... Hafananishwe na Kitu kingine kamwee..
@johnnyawara30725 жыл бұрын
Ooooh my God....yes yes yes.... Haufananishwi hakika. Ile faraja Amenipa mwaka huu,sijawahi kupata hata kutoka kwa jamii yangu...Huu ni wimbo ulio na Roho Mtakatifu mwenyewe ndani yake.