Bongo Star Search 2015 Grand Finale Follow Our Pages Facebook: / bongostarsearch Twitter: / bongostarsearch Instagram: / bongostarsearch SnapChat: BongoStarSearch
Пікірлер
@hildandunguru53994 жыл бұрын
Tulipangalia hii show 2020 tujuane
@MikaChavala9 жыл бұрын
Fonabo I believe you're gonna take bongo music to the international level keep it up man ...Kayumba hongera sana kipaji unacho endelea kuwa mnyenyekevu utafika mbali
@mussarajabu65444 жыл бұрын
good sana
@mumujey82659 жыл бұрын
hogera kayumba doh!!! iyo nyimbo imenigusa sana kila laheri mdigo Wangu mashaallah
@abshiradiis94999 жыл бұрын
Washiriki wote wanajua kuimba bt kanumba umetisha kaka mungu azidi kukubariki kila ufanyacho hongera
@joelisaacthomas47054 жыл бұрын
2020 tunaangalia ila 2015 ilikuwa ya moto kwakweli vijana walipambana
@omarali21449 жыл бұрын
mumetisha bongo star search. .. !! loved this season from the very 1st time. . all the top 6 were winners. . real winners!! bt at da end kayumba u rly deserved it..!! thanks R.J. good work👍
@hakimally42736 жыл бұрын
Kayumba juma umetisha ila funabo anajuw bt uswahil ndio umemfanya kayumba akubalike ......😘😘
@yordanyusti19035 жыл бұрын
Kayumba noma
@neymermponde78104 жыл бұрын
Kayumba anajuwa
@mapenziekela71364 жыл бұрын
I love y'all you're the best
@elizabethkabanda41054 жыл бұрын
Uzungu na bongo wapi na wapi kayumba kajua kucheza na mood ya kibongo dah hatareeee
@MikaChavala9 жыл бұрын
Fonabo I believe u'll take bongo music to the international level ....keep it up man , Kayumba hongera sana unakipaji sana
@deniskayombo92285 жыл бұрын
Nice mzeeee umetishaa saaana
@dethynduwa33549 жыл бұрын
Love this boy kayumba
@halimasssomar87935 жыл бұрын
Daa kuna watu Wana jua Bana.. kayumba oyeeeee
@bahatizainab90239 жыл бұрын
Kayumba am very happy you. though am far away from Tz nor am not healing from your country. But it have been said that "una chota kali" Have been lighting my candle and saying a little prayer for you since I heard about your family background. Receive more funs from Germany. and pliz usikalie Talent yako lifanyie kazi. Na kumbuka leta mabidiliko katika familia yako. And stay blessed Kayumba.
@gurishamndeme65645 жыл бұрын
Fonabo pia anajua sn ila nyimbo za kingereza weng wetu wabongo atuzielew tumezoea nymbo za uswahili big up kayumba juma
@mussarajabu65444 жыл бұрын
iko poa sana
@hamisikiyonga19325 жыл бұрын
2019 tupo
@allynguz99785 жыл бұрын
2po
@tiktoktdmdynamo31004 жыл бұрын
2020
@breezy9ine4 жыл бұрын
2020
@karimumanji74154 жыл бұрын
Ahahahaha nimejikuta tu nathrow back kuangalia haya maigizo na jinsi watu wanavyojipa raha za bandia😂😂...Atlast!! vijana wanaambulia ela walizotunzwa jukwaani🚶...Wabongo tunajua sana kuigiza aiseeeeeeeeee anashangilia hadi anageukia mashabiki Wewe Madam wewe hv hata Mungu humuogop jmni kweli?
@godfreyhaule83884 жыл бұрын
Umetisha sana kayumba
@kilahunjakilahunja8109 жыл бұрын
Kayumba u did it...fonabo uko pouwa but uko more international....i love u angel, u good
@barakasamson56229 жыл бұрын
I like it nice job...
@shamaamohamed16099 жыл бұрын
ONGERA SANA KANUMBA ILA HIYO NYIMBO YA MAMA IMENIGUSA SANA
@westnetworksolutionsltd23579 жыл бұрын
Kayumba please keep it up. God will Bless you in your vision
@johnsonfrodianus62376 жыл бұрын
Hongera sana kayumba
@ayubdafa93949 жыл бұрын
Fonabo lov u much bro
@DeejayJulius2546 жыл бұрын
Kayumba walahi kajaliwa kipaji na mola amzidishie mema na maarifa bila ya kusahu ujasiri, love you bro,
Nassib nassib yu r grt nomatter wat ni ile tu watz hawajui
@ayubdafa93949 жыл бұрын
Kayumba cjui niseme nn m nasra xhekidele find plz
@jescarrabson84759 жыл бұрын
ilkuwa poa...Frida we n mkali hommie...luv u halaf hao majaji final nmependa mlikuwa original
@agathakatondo46309 жыл бұрын
jamani fonabo ndoyuko mzuka sasa mmefanya nini
@thebesttynednkuny83162 жыл бұрын
Isso é um marketing Kayumba, ulichora kile ambae waiishi wanakipenda umeshinda das🇲🇿2022
@josephinemalakurwa13159 жыл бұрын
i predicted the winner and am happy for you Kayumba God above all fonabo uko vizuri pia n you swt girl frida i knew you will come this far keep it up .Salama I heart you n i wish to meet with
@ikisaleh71375 жыл бұрын
Hamis kaishiawapii
@brianmekere3259 жыл бұрын
nassib unajua kaka watanzania hawawezi kukuelewa.lakin pia tusisahau band imejitahid sana kupiga vizur
@happyrose33418 жыл бұрын
kayumba upo juu saana
@zhuubae72649 жыл бұрын
hongera sana mshindi Kayumba Juma , u deserve it ur show WAS EPIC nyota yako ni shidaaa... , Naseeb Fonabo ur exceptional go for tusker project fame please... they will understand u moree and i love ur voice fonabo .., the show was nice ...but Runtown show was so short though was nice , and wabongo tujifunze kushangilia wasanii wakiwa wanapeform na sio kuwa kama tumetiwa maji ya baridi, , a bit shame ni mtazamo tu ......majudges kazi yenu was rea nice na imeonekana , no matter what end of the day the winner is just one person , but i guess among of the changes mnazotakiwa kufanya in up coming season mtoe zawadi kwa washindi wa 3 bora and not ony one 1 person....Bila salama Jabir am not enjoying the show , she is so real, honest and strait...love u salama. madam Rita u have a good heart and big up for the idea of bringing Bongo star search unawasaidia sana vijana waonekane and u change their status in real life......Master J most of the time ur on point and u help washiriki to reach the top level, well done and God bless all of u ... I ENJOYED WATCHING THE SHOW .
@IreneMutambo-hk5mm Жыл бұрын
Iike
@maryseriah1576 жыл бұрын
Yani kayumba na Huyo mnyama wa kaskazini ni nouma
@nururajabu34502 жыл бұрын
Hii ndo bss Sasa,,wasanii wakali.sana walikua
@anitaphilip20709 жыл бұрын
Hki majaji mgekua mwachagua washindi watatu thafadhali kwani wote wanashida fonabo wakwanza kayumba watatu na angle wakwanza apewe milion 30millions wapili apewe 15 nawatatu apewe 5 pls
@lordgardmassawe12753 жыл бұрын
eti katumba wa tatu nyie ndio wacha wenyewe
@petitkizzomusic50264 жыл бұрын
Kayumba is number one
@jassyjastine34898 жыл бұрын
Noma sanaaaaa ilikua
@mhujoaloyce87668 жыл бұрын
Nassib unajua bhana wabongo hawaelewi tyu
@musaaziza22859 жыл бұрын
nyc
@sarahsamwel30196 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@antoniamtega28799 жыл бұрын
nice kayumba
@blandinekandjadi31728 жыл бұрын
Hi
@minnaomar92509 жыл бұрын
I love you salama ur my idol
@cynthiajuliane59783 жыл бұрын
Kayumba really blessed
@christinawambura56469 жыл бұрын
kayumba hongera sana kaka mungu aendelee kukuweka fonabo gud boy!
@rachelemmanuel62445 жыл бұрын
kila ki2 nawakati wake wakat wake umefka
@prettyshiii51534 жыл бұрын
Wow..🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️🙌🔥🔥🔥
@killer-zy2jn4 жыл бұрын
Kayumba jeshiiiiiiiiiiiiiii
@stylistofficial14057 жыл бұрын
Fonabo mshindi apo
@davidmanase29135 жыл бұрын
kayumba katisha
@alicemmbaga79548 жыл бұрын
kayumba uko juu sana dogo
@BarakaAndrew9 жыл бұрын
Wabongo kwa u-rough! nenda weka pesa sepa, kuanza kumshikashika akiboronga hapo ndo iweje sasa? Waafrika tuko very disorganized kwa kweli.
@selenabendera66856 жыл бұрын
Baraka Andrew umenena baba😂😂😂yaan seriously mtu anaenda anamtikisa kichwa 🤦🏾♀️
@hadijarashid52006 жыл бұрын
+Selena Bendera mmmh vzr
@tausak45685 жыл бұрын
Baraka Andrew 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@thuminthumz55369 жыл бұрын
hii nyimbo mama kama mama kayumba umenigusa saaaaaana
@mawazomgassa64006 жыл бұрын
kayumba alistahili kabisa,dogo anajua
@babycombo26359 жыл бұрын
salama unajiamin vibayaaaaa hadi raha
@alphadangha48204 жыл бұрын
Kwl
@sarahgaula22206 жыл бұрын
Juma sijui kaishia wapi.
@bensonfrank95788 жыл бұрын
Kayumba anajua ila nasibuu ni bora mara ×4 yake
@mercykagori9 жыл бұрын
#katoto kayumba congrats
@hasiyakeniyausiachiebabu76346 жыл бұрын
kayumba we nimshindi mpaka mashauzi
@hadijarashid52006 жыл бұрын
unajua
@carrfavour69646 жыл бұрын
Mlivokua mnamzingira Jamani doh
@hawaynatimam9825 жыл бұрын
Mii naamini wote ni wazuri lkn kwavile anatakiwa mmoja bas sio mbaya
@hawamkuya31089 жыл бұрын
waooooooh
@sophicatesalim97575 жыл бұрын
Nampenda dada salama
@richardwanga8316 жыл бұрын
English ya nn kayumba safi sana
@yohanashawala91485 жыл бұрын
Safii
@kingfey82428 жыл бұрын
nice
@Zanzibar_quiztv5 жыл бұрын
Asante kayumbaaaaaaaaaaaa
@jassyjastine34898 жыл бұрын
Iko vzriiiii
@hamisishabani5685 жыл бұрын
Jassy Jastine hongera kayumba jumaaaaaaaa
@ngororehonore26738 жыл бұрын
N
@rehematawalani74726 жыл бұрын
Hadi salama kamkubali
@YoungVee9945 жыл бұрын
khamisi alienda wapi ama kuna bss ya watoto inaendelea swali tu masela
@ayubdafa93949 жыл бұрын
Cjawahi ona bss kali km hii
@berthadaniel27285 жыл бұрын
Ayub Dafa for sure
@zakyahya46455 жыл бұрын
Duh eti nimetokwa na machozi mmmh honger J
@Asma-ud5oz7 жыл бұрын
Yani mm ningekufa apo apo akiamungu daaaah
@iddeydarusi93575 жыл бұрын
Cjawahi chukia tanzania isipokuwa kwa BSS,kamati ya roho chafu
Ritha You are too emotional, I always want to hear what Salama as to say. i think she knows what she is doing. am sorry but truth be told ;)
@rehematawalani74726 жыл бұрын
YAANI umewateka hadi wanaume
@hasiyakeniyausiachiebabu76346 жыл бұрын
majaji pia mnabidii
@harryvicemsele99738 жыл бұрын
fonabooooo noumaaa xanaaa
@stevenmaleko90275 жыл бұрын
fonabo
@majanja34666 жыл бұрын
2018????????????????
@fraixcamtembei68095 жыл бұрын
Actually 2019
@ngemabohero28536 жыл бұрын
uko vizuri kayumba kaza kaza usilewe sifa.
@omanjalan78926 жыл бұрын
Jmn
@vincentpaulo64314 жыл бұрын
irikua hatar sana
@brthegreat97154 жыл бұрын
Naikumbuka ile cku et nackia kayumba anaanza imba taarabu nilixhika kchwa na kulala chn na kuxema kayumba unafanya nn ila ikaturn out gud. Mxhkaj anajua alikua mxhnd wngu tangu mwanzo. Km xalama alvyoxema apa bongo bhna nymbo za mbele n mbele
@elizabethkabanda41054 жыл бұрын
Mwenyewe nlisemaga nini hiki jamani kayumba 😂😂😂
@michaelmadebele51946 жыл бұрын
Fonabo mkali
@katembokr44275 жыл бұрын
jamn wimbo aliyo imba mshiriki wa pili Nosa sjui nn kaimba nan
@silvestabahebewadudu66252 жыл бұрын
Kama hujaipata hio nyimbo... Michael tello nosa nosa