PART 1: MWAKINYO Akubali KUPIGANA na HARMONIZE, Amvua NGUO - "WATU Wanataka NIMUUE, REFA Awe POSHY"

  Рет қаралды 10,604

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

Күн бұрын

PART 1: MWAKINYO Akubali KUPIGANA na HARMONIZE, Amvua NGUO - "WATU Wanataka NIMUUE, REFA Awe POSHY"
BONDIA Hassan Mwakinyo amezungumza na wanahabari kuhusiana na pambano lake dhidi ya mwanamuziki Harmonize ambalo limekuwa likizua gumzo mitandaoni.

Пікірлер: 39
@FestoMwajombe
@FestoMwajombe 4 ай бұрын
Upo vzl sana unajitambua
@abuuyusufamashi5459
@abuuyusufamashi5459 4 ай бұрын
Hizo ni husda, Allaah akulinde Hassan,na chuku zao
@JafetGaspar-wk1jz
@JafetGaspar-wk1jz 4 ай бұрын
harmonize asije akapigana uyu jamaa mbaya sanaa
@MirajiRashid-r7o
@MirajiRashid-r7o 4 ай бұрын
Ndugu yangu mwakinyo achana na huyu mwehu mmakonde waranzania tunamuona kama hana hakili
@GrationGaspaly-di9wt
@GrationGaspaly-di9wt 4 ай бұрын
Give chance to kiduku.
@CharlesMbise-c1u
@CharlesMbise-c1u 4 ай бұрын
Safi champez,mchape huyo fala wa kimakonde yaan nina hasira naye kishenzi japo mim ninacheza karate nataman nikutane naye nimchakaze
@NasraWaziri-l9f
@NasraWaziri-l9f 4 ай бұрын
Mashabiki wengine wapuuzi mwenzenu hamo maji ataita mma
@MsafiriOmary-fg6vw
@MsafiriOmary-fg6vw 4 ай бұрын
Bora we unajitambua bro yule mmakonde nahisi katumwa tu akuaharibie cv zako ikitokea kweli mchape za ukweli
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 ай бұрын
Hahahahaha mwangu WEWE JAMAA NI BISHO SANAAA! LAKINI NGUMI IPO WEWE JAMAA DU! NAKUFANANISHA NA WANANGU #DEVIS VS #GARCIA niwatoto Wa moto sanaaaa duh
@AzizSultan-fc7rn
@AzizSultan-fc7rn 4 ай бұрын
N mwamba kam mwamba...
@ShabaniMboto
@ShabaniMboto 4 ай бұрын
ndugu muue ili iwe fundisho kwa paka wengine
@GeofreyPhilipo-ef9im
@GeofreyPhilipo-ef9im 4 ай бұрын
mfumue mpakaaseme mamanakufa
@FellaMbogela
@FellaMbogela 4 ай бұрын
JITUNZE ASIKUVUNJIE HESHIMA ACHANA NAYE HUYO ANATAFUTA KIKI
@hishamally4846
@hishamally4846 4 ай бұрын
Hamna kitu hapa ni bolingo tuu
@barakawillson1741
@barakawillson1741 4 ай бұрын
Hauna uwezo wa kumpiga mmakondee.
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 ай бұрын
Milango ishafunguliwa maneno ya nn
@DuniaAlly-oz4ur
@DuniaAlly-oz4ur 4 ай бұрын
Nyinyi mabwabwa sioni pambano apo kati ya kanga moja na binti chimanogo has ni Kiki tu
@onesmoakwilini7197
@onesmoakwilini7197 4 ай бұрын
Mbona unaweka masharti magumu kama huogopi
@ramadhanibakar
@ramadhanibakar 4 ай бұрын
Kaka mchakazi atie akili
@barakawillson1741
@barakawillson1741 4 ай бұрын
We Kila siku ni mgomvi
@banzmozes8099
@banzmozes8099 4 ай бұрын
Harmonize ulikosea sana
@LucasPod0
@LucasPod0 4 ай бұрын
Kaka kaleta zalau muadabishe huyo mmakonde ,,,,
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 4 ай бұрын
Mpige uyu mmakonde atie adabu,,atolewe ulingoni kwa ambulace
@DaudiSaid-bj7dh
@DaudiSaid-bj7dh 4 ай бұрын
Kaka bwaba lile naomba ulikuw pale pale itakuwa johadi kubwa. Piga mzee piga nguruwe mweusi huwa.
@RamiaShembilu
@RamiaShembilu 4 ай бұрын
mmakonde ni boya
@twalibkatuli5318
@twalibkatuli5318 4 ай бұрын
Kuna wakati tuheshim fani za watu hizo ni kazi zao mtu hawez kupigwa kupoteza sifa yake Mr ajipange asibebe chuki na sifa za watu ulingoni atakua mwenyewe woote watamkimbia me nipo hapa nasubir kuomboleza 😂😂😂 ngumi sio kubeba vyuma ni vitu viwili tifaut
@amiribakari2528
@amiribakari2528 4 ай бұрын
Me natamani umpige ad umvue bucta ili ajue wewe ni mtanga.
@AbdusidMohammed-hi5ib
@AbdusidMohammed-hi5ib 4 ай бұрын
Uyu ngonjela nyingi muoga zuchu tu
@HamisSaidi-h3u
@HamisSaidi-h3u 4 ай бұрын
😂😂😂 zuchu!!😅😅😅
@alphonsimwaya7822
@alphonsimwaya7822 4 ай бұрын
Sikupi asilimia zote ktk kumpiga Harmo ila lolote linawezekana, ila Muddy huyo unaemwita kungwi, huyo jama ni noma kwenye martial art. Kwa namna yoyote huwezi kupiga.
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 ай бұрын
Huyo Mudy ni choko tu anawatisha nyienyie kwenu ila kwetu choko
@edinamwafongo9130
@edinamwafongo9130 4 ай бұрын
Kaka Mwakinyo nakukubali sana,tena unajua kuongea kwa jinsi watu wanavyo kuja nawe ndivyo unavyo wajb
@thehunter5920
@thehunter5920 4 ай бұрын
Wa kawaida tu
@SamsonyMasumbuko
@SamsonyMasumbuko 4 ай бұрын
😂😂 maneno mengi ugonja unamaneno wakati hata nyota unazo mbili tu maneno kibao hujui bwana kupigana
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 ай бұрын
@@SamsonyMasumbuko Bondia wako ananyota ngapi?
@SamsonyMasumbuko
@SamsonyMasumbuko 4 ай бұрын
We nae bwabwa ee hilo nalo begi sasa nahao wandishi kukaa kukusikiliza ww nimabwabwa pia naona unaogea pumba tu bwabwa ww
@Kibabe2024
@Kibabe2024 4 ай бұрын
Wewe umeshindwa haunampango vp umefungua kiwanda chaviatu na vp umefungua kiwanda cha gulovu maana wewe ndio zako wewe ulaya wanakosa kiatu achaujinga
@banzmozes8099
@banzmozes8099 4 ай бұрын
Chimanogo acha bangi mwakinyo siomwanamziki atakutwanga ww
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 18 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 98 МЛН
MWANAFUNZI MTUKUTU (FAINAL)
17:36
Mweusi Family
Рет қаралды 785 М.