KIMEUMANA..! JEMEDARI, GEOFF WAMSHUSHIA PUMZI YA MOTO ATEBA/ SIMBA HAWAJA BAHATISHA

  Рет қаралды 20,288

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@jimmymhina1264
@jimmymhina1264 3 сағат бұрын
Yaani hii Crown big up jamani ,Wasafi wakasome ,hawajamaa hawachambui mpira kimapenzi .Endeleeni hivyo hivyo.Kule Wasafi Kitenge na baba Levo wanaiharibu .Big up sana,sana Crown.
@daudmpemba5086
@daudmpemba5086 2 сағат бұрын
Ww hans moyoni unaumia sana Simba kushinda ww ni yanga tunakujua naikiwezekana ujitangaze hadharani ww yanga
@GodsonGidioni
@GodsonGidioni 2 сағат бұрын
Hansi sio penati osumani imechambua sio penat
@frankmaria6717
@frankmaria6717 Сағат бұрын
Hans alisema Simba hawashindi na hawaendi makundi kwamba yao imefika mwisho baada ya sare ya libya​@@daudmpemba5086
@shukuboythespecial9168
@shukuboythespecial9168 Сағат бұрын
unaweza pongeza bila kutaja brand nyingine, maoni mazuri lakin.
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 40 минут бұрын
Wasafi kazi yawo kubwaa niumbea tu nakufuatilia familiaa zawatu namambo yasowahusuu ila crown clauzi wako poa sana wanajuwaa mpaka wanajuwaa tenaa🙌❤❤❤❤❤
@clarencemeena1628
@clarencemeena1628 2 сағат бұрын
Crown mko vizuri sana, mnajua jinsi ya kuchambua soka
@ElyrehemaMartin
@ElyrehemaMartin 4 сағат бұрын
Huyo mkai ni yanga ndiyo maana maada zake hazina kichwa wala miguu
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 2 сағат бұрын
Yanga razima waumie mama siliipiku simba vrabu bora arfka sasa kichaka kiko pale pale
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 3 сағат бұрын
Hii ndio radio raha sana
@isacksimonmahungilo
@isacksimonmahungilo 3 сағат бұрын
Kwani jemedali alihamah
@kamanda7703
@kamanda7703 2 сағат бұрын
Hans itabidi ufanye maamuzi unataka furaha au mafanikio. Ukitaka furaha endelea kuchambua ki ushabik kama unataka kufika mbali na mafinikio acha mapenzi kazini.
@ANICIALUMALA
@ANICIALUMALA 2 сағат бұрын
Hans umechambua Vizuri Sana Ila ulipofikia hatua ya kusema kwamba TRIPOLI walinyimwa Penati hapo umeleta Uyanga
@cathbetsolomon3151
@cathbetsolomon3151 Сағат бұрын
Jamaa anaboa sana hajui tuu😂....anachuki na simba mchz
@BadMaradona
@BadMaradona Сағат бұрын
Jamani kwann uyanga kwa usingida amna acheni kukalili
@IsaacParuz
@IsaacParuz 18 минут бұрын
Hans we ni mchambuzi mzuri ila balance ushabiki. Wengi wanaoku point sio kwamba hawajui ubora wako kwenye kuchambua. Unajua ila balance ushabiki jifunze kwa wakina mbwaduke
@SeifHemed-p5p
@SeifHemed-p5p 3 сағат бұрын
Ateba ni baada ya emanuel okwi siku zote tulikuwa tunabahatisha
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 3 сағат бұрын
Leo Fadru anajua kuliko Hans?
@DeusRichard-e9w
@DeusRichard-e9w 3 сағат бұрын
Hans yy alitaka simba ifungwe ili aonekane anajua kuchambua kuliko but not in reality
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 10 минут бұрын
Alicheza mpira halafu hata jana Tripoli walipaswa wapige kadi nyekundu , Debora alichezewa vibaya mbona hiyo huisemei
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 3 сағат бұрын
Wewe hansi hujui mpira unatupigia kelele
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 3 сағат бұрын
Wote Hawa wanafiki wanaonekana wa mana sababu simba kashinda lakin kama mnyama angefungwa ndio ungeona upuuzi wanausema
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x Сағат бұрын
Wewe Godfrey Wacha Matusi Matusi Sio Spots Wewe Muhuni Si Mwana Spot Hujui Moira Umevamia Tu Wewe Mshabiki Mbio Ukiona Simba Inakimbia Naww Unakimbia Wacha Ushamba
@StanleySendalo
@StanleySendalo 2 сағат бұрын
😂😂😂😂 Hans anaona aibu
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr 2 сағат бұрын
Jemadar upo sahh xn
@edsonjonas229
@edsonjonas229 39 минут бұрын
Kiko wapi 😅
@erickprotace9463
@erickprotace9463 3 сағат бұрын
Mnanifurahisha uchambuzi wenu, mnachambua vizuri kweli. Lakin Kuna Hans humo anachambua kwa hisia za mapenz ya YANGA ndo maana akichambua Jambo Leo kesho linambana kulieleza. Hii ni kuchambua kwa hisia kukwepa ukweli
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 2 сағат бұрын
Kama Jemedar anavyochambua na Gef ki u Simba zaidi ukimwangalia Hans basi aanza kumkosoa Jemedar na Gef.
@MohammedAmour-nf9wq
@MohammedAmour-nf9wq 3 сағат бұрын
Kaka wewe niki geu geu
@shilladickson3852
@shilladickson3852 24 минут бұрын
Tuta la wapi ..chura churani
@ElyrehemaMartin
@ElyrehemaMartin 4 сағат бұрын
Nyie hamna lolote
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr 2 сағат бұрын
Hans we kuma muong
@jacksonmtenga1276
@jacksonmtenga1276 2 сағат бұрын
Haka kajamaa ka uto mlikatoa wp ile ilikuwa penalty wakati Chemalone alicheza mpira?
@mirajichima969
@mirajichima969 3 сағат бұрын
Hans ana Matatizo yaani anaumia Simba kushinda 😅😅
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 2 сағат бұрын
Kwer Kisha wanaumia sananasana😂😂
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 3 сағат бұрын
Jemedali upo sawa lakn mwambien ansi tutakuja kumfanya kitu kibya kuma huyo anaendekeza njaa kuliko kaz kuma huyo
@SeifHemed-p5p
@SeifHemed-p5p 3 сағат бұрын
Mukwala kibu na ateba ndiyo suluhisho la simba kwa sasa
@EdwardKyabon
@EdwardKyabon 51 минут бұрын
Hapa kuna mnafiki hans anasimamo na kisema alisema tunatolewa leo
@ChijaLugola-xe5tn
@ChijaLugola-xe5tn Сағат бұрын
Hansi unajitetea kwa jemedari alikuwa wazi??
@Nufaila442
@Nufaila442 2 сағат бұрын
Sema ongezeni Busta ya usikivu wa Redio tunapata taabu sana
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 2 сағат бұрын
Ktk wachambuzi wasenge kuwahi kutokea tangu Dunia iumbwe ni huyu Matako Hans hajui mpira anachambua kwa mahaba na mitazamo yake na sio uhalisia na mbaya zaid akitabir na matokea yakija tofaut analazimisha iwekama alivyotaka ni aibusana
@AnaniaKileo
@AnaniaKileo Сағат бұрын
we hans unataka tu matusi ila we njaa imekuzid ulisema simba itafungwa
@abdulkarimnassor284
@abdulkarimnassor284 29 минут бұрын
Huyu Hans anazidi kujiharibia eti wamenyimwa penati ya wazi,huyu bado kwenye sheria za mpira hazijui
@DanielChaula
@DanielChaula 2 сағат бұрын
Kutokushanga ndio uchambuzi Gani sasa huo unazingua
@hamisiyoyo5847
@hamisiyoyo5847 2 сағат бұрын
Mmeaibikaaa kengele nyie hiyo ndio SIMBA BABA LAO mmekomeshwaa yamewashukaa
@anoldmbarama985
@anoldmbarama985 3 сағат бұрын
Kuna uchambuzi na kuzungumzia mpira hanz ni mchambuzi na jemendar ni legend wa mpira wa Tanzania mchambuzi ni mshehereshaji kulingana. Na mtazamo wake ila unapozingumzia mpira unazungumzia fact za mpira uchambuz wa hansi huwa na mihemko sana na kutaka kuaminisha wengi kulingana na mtazamo wake
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 2 сағат бұрын
Jemedar pia anazungumzia kishabiki pia ila Hans unamuona anazungumza kishabiki Kwa kuwa hayupo upande wako
@mussahamad404
@mussahamad404 2 сағат бұрын
​@@selemanmcharazounajuwa km jemedari ni ynga
@fredylucas2484
@fredylucas2484 2 сағат бұрын
​@@mussahamad404Hata Haji Manara ni Simba ujue
@michaelsokko1090
@michaelsokko1090 2 сағат бұрын
Mukwala na ateba wacheze pamoja mutale akae benchi
@kitururuelisa830
@kitururuelisa830 25 минут бұрын
🤝🤛Bro, unajua sana
@princetanzania
@princetanzania Сағат бұрын
Huyo hans sio mchambuzi wampira
@cathbetsolomon3151
@cathbetsolomon3151 Сағат бұрын
Niggah anachotofautiana na baba levo yeye ni anajificha kujifanya mchambuzi, ila huyu hans ni yanga dhahili hamna mchambuzi hapo aweke waz tumuhesabie km mshehereshaji wa kipindi
@atupelemsyani7411
@atupelemsyani7411 7 минут бұрын
Hans acha uongo hakukuwa na penat pale huo ujinga huo
@HamzaMkumbange
@HamzaMkumbange 3 сағат бұрын
Tuta sio lazima ufunge
@DottoWache
@DottoWache Сағат бұрын
Sasa robo fainali kwani simba ilikuwa pia inajiunga weee jemedali wacha ukoloboi uwo😂😂 simba mwaka huu ndio imekatika inajiunga unga tuone kama itafika robo fainali ya shilikishoo nipo pale 😅😅😅
@AllyRashid-q9m
@AllyRashid-q9m 3 сағат бұрын
Umekosa la kuongea
@AllyRashid-q9m
@AllyRashid-q9m 3 сағат бұрын
Hamna lolote nyie
@KelvinSarapi-bk1gr
@KelvinSarapi-bk1gr 56 минут бұрын
Huyu Hansi cyo mchambuzi Labda Uchi wa mbuzi apunguze kujichua hawez kumiliki kichwa chenye akili mjinga huyu
@saidkilima6485
@saidkilima6485 12 минут бұрын
Hawa ndio wachambuzi sio walio kuwa wasafi wao KAZI Yao umbea tu kuiponda simba
@athmanilatifu8648
@athmanilatifu8648 Сағат бұрын
Hiyo penati labda ungeweka ww
@daudmpemba5086
@daudmpemba5086 2 сағат бұрын
Hansi anaonekana kabisa kaumia simba kushinda jitangaze hadharani ww ni yanga tuache kabisa
@YusufuAliy-cd6dc
@YusufuAliy-cd6dc Сағат бұрын
Nchi nzima mchambuzi mjinga hns kaka acha ushamba fanya kazi kwaumakin iri ufanikiwe usiweke ushabiki wa yanga mbere au ww nichawa wa yanga mpzzz ww
@sangaelly8548
@sangaelly8548 2 сағат бұрын
Simba ni moto wewe hujui mpira, Simba nikubwa
@JumaLulanje
@JumaLulanje 49 минут бұрын
Commet maana yake nimaoni sio matusi,
@SeifHemed-p5p
@SeifHemed-p5p 3 сағат бұрын
Mara nyingi simba wanafelishwa na uvivu wa mabeki
@ce-08
@ce-08 2 сағат бұрын
😂😂😂 duuh
@weeknd_places
@weeknd_places 3 сағат бұрын
Kijamaa kimeumia Sanaa Simba kushinda..😂
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 3 сағат бұрын
kama che malon alicheza mguu nini kilibadilisha direction ya mpira??
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 Сағат бұрын
Sasa kama angeshinda 1-0 jana sikapigwa 3-1 hivyo agg ingekuwa Simba 3 Al Ahli 2 siangepita Simba? Na hata jana sikuna goli la Simba la Ateba limekataliwa? Wewe mtu mweusiii hans km maguta ya bunduku acha ushabiki kwenye ulipoajiria ukaharibu kazi za watu wewe ukitoka hapo ndio weka ushabiki vijiweni
@athmanilatifu8648
@athmanilatifu8648 Сағат бұрын
Uwache ubwege wako nenda ukaishi libia kenge ww
@hamishatibu699
@hamishatibu699 32 минут бұрын
Hans ni mnafki tu wew usijitetee wew umelilia adi penati ya uwongo wa Tripol penati kwani lazima wazinde uyu hans ni mtoto bado anakipaji tu,
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 18 минут бұрын
Penalt gn hiyo, jamaa ni mpumbavu
@Joo20138
@Joo20138 44 минут бұрын
Mchambuzii unasema ilikuwa penalt tukio la che malone...? sasa wewe na refarii kazi nani anajua sheria zaidi...? mimi nilimsikiliza kwenye kipindi chake mpaka akamsifia refa wa mchezo..!! Fanya kazi yako tu kaka..... ushabiki tuachie huku tusio na mic.
@kulwampalashimpalashi7224
@kulwampalashimpalashi7224 11 минут бұрын
Inakuumiza nn ww
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Сағат бұрын
Hans wewe k kubwa
@ChijaLugola-xe5tn
@ChijaLugola-xe5tn Сағат бұрын
Wewe hans tatizo lako unapochambua unakuwa kama ndo unautafsri mchezo bdo muongo wewe ...penalt ipi uliiona wewe
KIBU DENIS AMERUDI NA UKALI WAKE/ ATAWASUMBUA SANA KWENYE LIGI
8:43
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍 @Mikecrab
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 41 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 22 МЛН
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04