Ukweli ntupu Kaká commant ça va imenda iyo ngoma Duniani 🙌🔥🔥🔥🇹🇿🇺🇸🇻🇳🇸🇦🇵🇹🇿🇦
@channyanjen90476 ай бұрын
Yani wewe uko mbali ungechukuwa mkumbwa wao Pepsi ya baridi ukashushiya kaka, nakupenda Sana kwa sababu wewe nimsema kweli, Allah azidi kukubariki umri murefu kaka nakupenda sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@EzekiaMichael-jn5np6 ай бұрын
Uko sawa bro wanafki wakae kando na Simba wetu hatupendani sisi ni wanafki walisema jamaa amefulia ila Sasa ni wanafki tungekua kama Nigiria tungewaacha mbali sana Nigeria
@spaganiceboy6 ай бұрын
Nikweli Kaka sema Kweli 🎉🎉🎉
@YohanaKanyerere6 ай бұрын
Wa kwanza guys, NAOMBEN likes Every time unaspeak fact bro I appreciate you so much
@ramayonline22816 ай бұрын
Broh EL MANDO your the best 👏🙌🏽👑 you have always been spoken the truth now I’m waiting for your RECAP about the trip of Diamond Platnumz in Paris fashion show plus his collaboration with Jason Derurlo
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign6 ай бұрын
Vraiment Dieu aie bon courage Grand frère tu est Sage tu parles ce qui est réel dépuis le Congo RDC 🇨🇩 précisément à Kinshasa.
@EmmanuelMurula6 ай бұрын
Un kinois qui ne sait pad écrire le français
@AminaAbdullah-ws3wy6 ай бұрын
Don't worry about those hurt's. Bongos tatizo Roho mbaya. I agree with you
@SaidJuma-ru7vm6 ай бұрын
Well said bro
@JersonEliyasi6 ай бұрын
DAMOND PRATNNAMZ 🦁 simba wa AFRIKA saruti sana kwake
@hansdedes19036 ай бұрын
Asante sana nilikuwa sijuwi kama mdogo wake harmonise anafakazi kwa Diamond, Shukrani Sana kwa news much love's from Thailand 💓💓💞🇹🇿!!**
@volontemuvunja62606 ай бұрын
Unaongeya ukweli siku zote big up bro🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@KonvictIbra6 ай бұрын
Big up tz & much respect to diamond platinumz east African to the worldwide much love❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AmaniNangerembe6 ай бұрын
Ndomana na kukubali sn kk mkubwa namando nice one job brother 🎉🎉🎉
@AcksunBonifas-mj2sw6 ай бұрын
yan watu hawataki kubali sijui wapo aje ..kubalini ban ❤
@marthaanton69676 ай бұрын
Umeongea point kubwa sn watu niwanafiki watanzania Mungu atusaidie tupende vyakwetu
@titoamani-e8b6 ай бұрын
ujumbe kwa Harmonize.... Diamond harogwi😂😂😂😂
@michaeljuma2546 ай бұрын
Kweli kabisa🎉🎉
@JumaSaidi-xq7ui6 ай бұрын
Nakubali brooo❤
@rashidkibavu18636 ай бұрын
Nakubali sana uchambuzi wako broo
@magrethmagonza1866 ай бұрын
Diamond hana pesa ya kumlipa Chris brown ili acheze wimbo wake. People.acheni wivu
@DaudiMazengoMasterDTEM6 ай бұрын
You are right , wasanii hawapeani umoja. Nigeria watazidi kutuzidi kama hatuungani.
@theonekulwa6 ай бұрын
Umetisha leo wasanii wa bongo ni wanaaa.
@RojaPeter-oo7ru6 ай бұрын
Wambie bro 💥💥
@BazozMasudi6 ай бұрын
Bro mimi kwa upande wangu Big amesha support saaana mpaka na wale aliwo wa support doo wana msema vibaya tena naku shindana nae big ana roo ya kipekee this is from DRCongo a big fan
@hancebariki6 ай бұрын
Kweli kabix kaka
@Gervas-gv4gt6 ай бұрын
Nakukubali kak ukwelii 4rever❤❤❤
@AlmasEassy-ek9et4 ай бұрын
Kka nakubali yana na unacho sema🎉
@MatiShabby6 ай бұрын
True
@RonaldoSwagala6 ай бұрын
Uko sahihi bro 🤜🤜🤜🤜
@batilibatilizy53236 ай бұрын
Ukweli usemwe diamond ni babá 💯🇲🇿🔥
@JersonEliyasi6 ай бұрын
DAMOND PRATNNAMZ 🦁 simba wa AFRIKA saruti sana kwake acha ukweli usemwr
@lowkey-davontae6 ай бұрын
Big fact
@michaelcheyo40726 ай бұрын
uko sawa saaana!!
@flinchclassic15316 ай бұрын
Umeongea ukweli brother
@badeuxGerard6 ай бұрын
Tuko pamoja, umesema ukweli mtupu 👍
@MohamedAhmed-ns5mi6 ай бұрын
Wambie ukweli bro
@ramamabrok25236 ай бұрын
Simba 🙌🙌🙌🙌🙌
@paizinhosaide-cv9pm6 ай бұрын
Komassava🙌🙌🙌🙌
@NgabireyimanaJophrai6 ай бұрын
Wew nakubali waelimishe wafunz wanajifanya mtaila tanzania mumepewa kitu chasamani lakini hamukitambuwi
@hemedytz90136 ай бұрын
Sana Kaka Wana wivu
@GiftMwakifuka6 ай бұрын
Simba mutu mukubwa muache 2 ❤❤❤❤❤❤
@pascaljr.54396 ай бұрын
Umeongea vizuri
@Swaggerboyog6956 ай бұрын
Kama wanaweza walipie na wenyewe afanyiwe challenge na ngoma Yao sensema🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@LeganNtambi6 ай бұрын
❤❤
@EdmondNyirenda6 ай бұрын
People can be hypocritical
@ISSACKRICHARD6 ай бұрын
Siyo wamechaguwa njia kuchukiana wanachuk ya kwelii😂
@SalhaKhamis-n4j6 ай бұрын
Aseee umesema ukweli mtu yani kuna vijitu vingine jamani et anapambana kumkashifu simba😂😂😂 inachekesha sana
@babalao32506 ай бұрын
Mando we mnoma sana
@rajabdibwa64156 ай бұрын
Yaani kiukweli industry imebebwa na Mondi akisema anapumzika industry itapumzika😂
Chris anapenda kuwasupport wasanii wa Africa, kwani Diamond alishawai msupport msaani mdogo at kupost insta story acha kuwa na upande at mondi hasupport wengne UBAYA UBWELA 😁😂😁
@ipyanamwasaga73336 ай бұрын
Kaka ww ni wamoto sana unajua sana anae kupinga uyo ni mchawi
@suleimanfadhil-bg4wg4 ай бұрын
Chris Brown hana njaa na hakuna mxaani wa bongo kumlipa Breezy mbn kacheza ngoma ya twashalabam kwenye 11:11 Tour kwenye show kwenye majiji mengi
@EdwinJohn-vo8uf6 ай бұрын
Comasava would wide 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌍🌍🌍🌍
@RayAntone-qu9nf6 ай бұрын
Kwani yeye anahabali kuwa mnamzungumzia hivi 😹😹😹😹
@Rehemamakuka6 ай бұрын
Hana ndo nataka nimpelekee hii habari
@nasraalmasy6 ай бұрын
Kweli kabisa wasanii wabadilike na mashabiki maandazi Pia.
@AshaKibige-u5h6 ай бұрын
Kaka uko fact kabisa,waambie ukwel
@kassimabussa65836 ай бұрын
Kweli kabisa dolla elfu mbili hawezi pesa ndogo sanaaa amecgeza kwamapenzi TU
@jabirshomar82476 ай бұрын
Washamba hao Wachane bro Mwenzao anachanja Mbuga kwenye Mafanikio wao wana Piga ngenga tu na Umbea.
Na hizo collabo zote ulizo zitaja Chris Brown anazijuwa, sababu Hao wasanii Ni wakubwa mno, Na wako close Na Chris Brown, niku sema Chris Brown anamjua vizuri DIAMOND PLATINUMZ, Na ana fahamu kuwa DIAMOND PLATINUMZ he's from Tanzania
@KingMoses-i2v6 ай бұрын
Huruma sana Tanzania Ila I Love Diamond
@davidnyerere24746 ай бұрын
Hapo kwa Rick Ross unatundanya ju Kuna wimbo unaitwa millioner by mista'rii ft Rick ross
@Xuxu-f7j6 ай бұрын
We nawe em tuache cm yenyew umemiliki juzi tena ni infinix sisi huku tunatumia kupigia mahesabu yan ni kama calculator
@patriciamwamakula68496 ай бұрын
Zamani nilikuwaga sikuelewagi kabisa,,ila sasa unaeleweka
@RAJABUShaibu-mx2iy6 ай бұрын
Jux ndo kapost sio mnafki yule broo
@sheilacruz64586 ай бұрын
We usiseme kila mtu mbona harmonize na rayvanny na marioo hawakupost diamond kafanya kazi nzuri sana lakini usijumuishe wenye hawakupost
@verbalverbal20196 ай бұрын
Hiyo ya kusema wasanii ni wanafiki kwa sababu hawakusapoti komasava wakati inatoka, wakasapoti baada ya Chris Brown kushiriki challenge, hapo you are being negative aisee, wakati komasava inatoka na wao walikuwa na project zao, yaani haiwezekani wasanii wawe kazi yao ni kusapoti nyimbo za diamond tu wakati wao pia wana project zao, hili la Chris Brown ni kubwa kuliko, ndio maana industry ikasimama wasanii wakaacha mambo yao for a minute to celebrate the milestone... Wasanii wetu wana upuuzi kuvimbiana, lakini hawa wachache waliosapoti kwa kupost tusiwavunje nguvu, haikuwa unafki bwana, ni appreciation ya kweli, tuwazungumzie hao kina Harmonize wanaoleta mambo ya Misomisondo mara sijui Chris Brown kalipwa, hao sasa ndio wadwanzi, ila hawa waliopost tusiwavunje nguvu ya kuonyesha love siku nyingine
@Khalidniya3806 ай бұрын
Nakuelewa ila hao ambao wamempost Diamond baada ya kuona Chris Brown amempost ni unafki kwani saa hii bado hawana projet zao za kupush wakiamua kukaa kimya waache waendelee wasifosi issues
@verbalverbal20196 ай бұрын
@@Khalidniya380 Ukisikia mtu anajisikia kama ana homa homa hivi, unaweza ukamuombea tu kwa mungu ukaendelea na mambo yako, ila ukisikia kazidiwa amelazwa unalazimika kusimamisha shughuli zako uende ukamuone... Kwa hiyo kuacha mambo yako inategemea na uzito wa kinachoendelea... Wakati komasava inatoka, zilitoka nyimbo ngapi? Yeye Diamond aliachana na Komasava akaanza kuzisapoti? Si aliendelea Kui-push komasava yake !? Au kabla Rayvanny hajafanya show na Maluma, alikuwa ashafanya show ngapi akiwa Next Level? Diamond alikuwa anazipost? Mbona ile show na Maluma Mtv Music Diamond alipost na kusifia kuwa haijawahi kutokea akashauri na vijana waache bangi watafanikiwa Harmonize akamind... Diamond alifanya unafki kwa kuwa show zingine hakuwa akizipost? Watu hawawezi kuja kwenye kipaimara cha mtoto wako, ukawatimua ukawaambia eti wanafki mbona siku zingine huwa hamji, yaani unataka nyumba yako iwe inajaa watu kila siku, watu wanakuja kukutembelea tu wewe kwa kuwa wao hawana makwao au? Watu watakuja kwa jambo maalumu, sio ukiamka unafagia watu waje, ukikaanga mayai watu waje, haiwezekani, watu wataacha shughuli zako ukiwa na jambo la msingi... WABONGO AKILI ZETU ZIMEZOEA UHASAMA, KWA HIYO HATA LIKITOKEA JEMA TUNAONA BAYA, Kwanza wasanii karibu wote waliompongeza ni washkaji zake Barnaba, Jay melody, Baba levo, Zuchu....
@DadiezRec6 ай бұрын
Uyo anajua Ila anajinafkisha tu
@verbalverbal20196 ай бұрын
Duh
@mustafamsati95996 ай бұрын
Ila je yeye chibu anapost kazi za wasanii wenzake ?
@thomaswilbert64316 ай бұрын
Ndio wanapotushinda Wana Nigeria
@hassankhamis73806 ай бұрын
Yani sijaona country km tz ambayo ina muona ghost singer km msani wa kawaida wkt inchi zingine zina muheshimu yani tz uswahili ni mwingi sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wa tz mjifunze
@milazoomilazoo44946 ай бұрын
Nakupenda nakupebda na ndo maanq kila siku nasema watanzaniq wana chuki za kisenge jamaniiii daimondiiii ni moja ya msaniii ambyo ameshaa fanyaa shooo kubwa Africa lkn wanafk wanaongea vitu vya ujingaaaaa ila daimond is the best from est Africa nakubal Iiinakukubliiiu mond na utachukuwa Grammy kwa heshima hao wanafkiiiii watafarikii
@mustafamsati95996 ай бұрын
Kwaiyo kumbe miso misondo hakuwapost mlitudanganya? Vp na yule msauzi? Kapostiwa au uongo?
@thierrybisimwa33126 ай бұрын
Wa TZ mtabaki down kimziki, sasa Chris kucheza ngoma nimiugiza kweli, wanigeria mbona wange chukuliya fresh tu mnadogosha simba mbele ya wanigeria kwaku pampana na kondeboy
@HospiaceMata5 ай бұрын
Wewe nae WA mchango sasa msanii aache kupromo Mambo aanze kupromote muziki WA mwenzio Acha ujinga we mwandishi WA ajabu Sana sasa huyu diamond alichagiza wimbo WA harmonize single again? Wakati inafanya vema kimataifa mbona hukuzungumza yote hata kama lengo lako wasanii waishi Kwa upendo
@PrinceBonnyTz86 ай бұрын
Wabongo tuache ushamba Kwani Akicheza ngoma ya komasafa ndio Nini Sasa ujingatu 😊
@INOCENTMGIMWA6 ай бұрын
Mshamba ni ww usiejua hata kuandika pambana upate hela uache makasiriko
Huyo jam alinikela sana mfupimfupi kama chula anajiita pimbi
@PaulHaule-zd7tl6 ай бұрын
Endelea kuwaelimisha wenyechuk
@furahachuma90396 ай бұрын
Hata Ray C yuko Paris😂😂
@ibrahimfarha38536 ай бұрын
Diamond yuko kikazi
@jcrackcrack16696 ай бұрын
Kila mtu n msanii kaka,so kila mtu anavutia kwake,wanauza bidhaa moja,so kitu n kwamba lazma kuwe na upinzani,utazoea hakuna support ama usitarajie support kutoka kwa msanii mwenzako labda awe n rafiki yako tu
@ankalmzito2546 ай бұрын
broo hapa kuna mashabiki na wanafiki sasa tutapiga kelee ila ukweli utabaki tuu....
@kasereka-vy3mw6 ай бұрын
Sasa kama diamond amichaka fa kolabo na neyo kwanini challenge tu kufanyiwa na chris inawa changaza namuna muchucha pia mond kuya ongeleya sanaa