DUDUBAYA AMKAANGA CHIEF GODLOVE MAMBO YA UFRIMASONI APANIA SHOW YA CONGO ALIPWA MILIONI 20

  Рет қаралды 58,701

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 118
@zeroconscious1916
@zeroconscious1916 5 ай бұрын
Nipo hapa Botswana, nakuelewa sana Dudu & all my family
@evawilliamchatila8211
@evawilliamchatila8211 5 ай бұрын
Mwamposa alimuombea hadi ufahamu sai anaongea ponti sana n milango imefunguka❤ Mungu yupo
@DansonMtambi-fq2ff
@DansonMtambi-fq2ff 5 ай бұрын
Watoto wadogo hawawezi kukuelewa dudu mungu akutangalie katika harakati zako
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 5 ай бұрын
Aamina❤
@IsackManene-gt2ym
@IsackManene-gt2ym 5 ай бұрын
Bro, your wisdom will live . Mungu akutunze
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 5 ай бұрын
Anaongeaga poa saw huyu msukuma ❤
@masacha_dichampionbway
@masacha_dichampionbway 5 ай бұрын
Dudu Baya aka mambaz ati huyo kama anaweza pita nae kama upepo 😂😂😂😂😂 Mungu azidi kukuinua bro
@Patrick-n2u
@Patrick-n2u 5 ай бұрын
Congo unajulikana ni inchi ya kiswahil😂i goma bukavu uvira Baraka mpaka ubwari
@kwisa4899
@kwisa4899 5 ай бұрын
Dudu is very smart
@saidmohammed5003
@saidmohammed5003 2 ай бұрын
Ukiingiliwa na P.diddy huyu mwamba huwezi kumuelewa...dudu makini sana bro
@fezabillionea9398
@fezabillionea9398 5 ай бұрын
Ila kwa Zambia 🇿🇲 hapana aisee
@bossmtoto133
@bossmtoto133 5 ай бұрын
Komoro nakujuwa mimi na mdogo wangu tuu haki ya mungu konki😂
@TIZZOBOYOFFICIAL
@TIZZOBOYOFFICIAL 5 ай бұрын
uyu ni Mr nice
@FarajiPesa
@FarajiPesa 2 ай бұрын
Wanyooshe hao konk master pamoja mzee
@AthumaniBakari-o6r
@AthumaniBakari-o6r 5 ай бұрын
Congo ipi kaka KINSHASA AMA LUBUMBASHI
@SundayMbatia-hr8qp
@SundayMbatia-hr8qp 5 ай бұрын
Anasema anapitia Rwanda bila shaka itakua lubumbashi
@DannyAlfred-yx4jc
@DannyAlfred-yx4jc 5 ай бұрын
​@@SundayMbatia-hr8qpnon siyo lubumbashi ni goma town kwenye stadium afia
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 5 ай бұрын
Eeeeh jamaniiiii nyie wasaniiiii si mtawauaaaaa hao wachezaaaa show eti mnabana matumiziiii gharama wachezeee kwa zuchu mbosso lavalava queen darlin achezeee usiku hadi asubuhiiii mtawaua madancer mtamuuaaa angel nyigu na iyoboooo
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 5 ай бұрын
Kuna watu wasenge hun et kw nyimbo zp,watu wanaoulizia hivi nadhan mmezaliw mwk 2009
@Mbaley
@Mbaley 5 ай бұрын
Sasa kk génération yake ingeli unajua hâta kuruka?😂
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 5 ай бұрын
Hawajui madude ya dudubaya lipigwe cheka kidogo nione wako mwanya aiiiii weee watoto wadogo awajuiiii
@ellymzera2457
@ellymzera2457 Ай бұрын
Respect 🇰🇪
@humbleshoal
@humbleshoal 28 күн бұрын
Ni watoto hao Ivo hawamjui dudubaya vema
@humbleshoal
@humbleshoal 28 күн бұрын
​@@charleskaozya9924 Watajuaje na wamezaliwa juzi?
@PatrickKenga-ls8ty
@PatrickKenga-ls8ty 5 ай бұрын
Ww unafakuwa presoo wa wasanii wote tanzania unakili sana DuDu
@Zaikadena
@Zaikadena 5 ай бұрын
Mungu mwema akuinue tena
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 5 ай бұрын
Aamina❤❤❤
@StevenMzungu-v9u
@StevenMzungu-v9u 2 ай бұрын
Uyoo anaejiita chief ni taperi wa mtandaon huyo mwehu mmoja tyuu
@Directorchusseyt1637
@Directorchusseyt1637 5 ай бұрын
Jaman hao mafara wanao sema hawa mjui dudu baya hiv wanaishi dunia gani
@KIDUCHUCASHPOINT
@KIDUCHUCASHPOINT 5 ай бұрын
Mh 😂,zombi weeh
@StephenNjau-y4y
@StephenNjau-y4y 5 ай бұрын
@LEONARDMPEMBA-e8u
@LEONARDMPEMBA-e8u 5 ай бұрын
WATAZANIA WOYEEEEEEEE😮
@pascalemmanuel2557
@pascalemmanuel2557 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Diskava14
@Diskava14 5 ай бұрын
Wote mnao mkundia dudu baya wote machoko
@humbleshoal
@humbleshoal 28 күн бұрын
Watoto wa elfu2 hao
@MichaelKilinga
@MichaelKilinga 5 ай бұрын
Kusaga mchawi sana
@japhetsilungwe4719
@japhetsilungwe4719 5 ай бұрын
GOD time is the best
@khamis9187
@khamis9187 5 ай бұрын
Akutake nani dudu, unaanza kukimbilia kwa mwamposa, mwisho wa siku utaenda kwa kalumanzila, lakini bado vyuma vimekaza...sauti yenyewe ishpotea!!!.
@InnocentMuzaliwa-c2u
@InnocentMuzaliwa-c2u 5 ай бұрын
Malawi let's gather here aliyese waku Blantyre kuchilobwe
@charlesjoel5340
@charlesjoel5340 5 ай бұрын
Ulibwino
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 5 ай бұрын
Kama vile imani ni nyingi, ukristo umegawanyika vikundi vingi ambavyo kila kimoja kinajitetea kivyao. Freemason=waashi huru. Waache kivyao wawe huru kama ninyi mrivyo huru. Freemason ilianzishwa na warumi
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 5 ай бұрын
Watu hawajui dini kazi kuhukumu ndio maana wanashindwa kufurahia dunia.
@TumainiMchomvu-zv3sv
@TumainiMchomvu-zv3sv 5 ай бұрын
Jamaaaa anaa akili sanaaaa
@FelistatituschuwaTituschuw-b8h
@FelistatituschuwaTituschuw-b8h 5 ай бұрын
Sasa ata kama umeisha kimziki ndoujiweke rafu rafu ivyo???
@MerrySamsoni
@MerrySamsoni 5 ай бұрын
Damu ya YESU ikatende mema juu yako.
@lucympelembwa7836
@lucympelembwa7836 5 ай бұрын
Hapa damu ya Yesu imeingiaje Sasa???
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 5 ай бұрын
unaenda kutumbuiza nyimbo zipi?? Tutajie
@Lilmbunah
@Lilmbunah 5 ай бұрын
Unaijua mpenzi wew mtoto wa 2000 nyamaza
@rashidlwengo6940
@rashidlwengo6940 5 ай бұрын
Dude baya acha kuzingua
@DivineWisdom-o8y
@DivineWisdom-o8y 5 ай бұрын
Anza kumuimbia Mungu achana na bongo fleva haiwez kukusaida
@humbleshoal
@humbleshoal 28 күн бұрын
Huwezi mpangia mwanadamu kitu cha kufanya ndugu
@DivineWisdom-o8y
@DivineWisdom-o8y 28 күн бұрын
@humbleshoal ni ushauri
@humbleshoal
@humbleshoal 28 күн бұрын
@@DivineWisdom-o8y Ndio auchukue au auache ni juu yake sasa
@ashantinicas
@ashantinicas 5 ай бұрын
corona ikaiingia wakkafunga mikapa 😂
@JosefuSwai
@JosefuSwai 5 ай бұрын
Kwa nyimbo zipi tisheti badilisha au kauka nikuvae
@abelmwakipesile9868
@abelmwakipesile9868 5 ай бұрын
Mjinga wew
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 5 ай бұрын
Wewe ni mchaga kweli au umeiba jina? Hebu kasikilize nyimbo zake halafu urudi tena hapa, enzi za mr nice ndo waliwika sana na huyu mwamba, kuna wasanii wakubwa leo walikuwa wanavutiwa na huyu mwamba, bila shaka umezaliwa mwaka 2005
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 5 ай бұрын
Kaka Piga kazi tunakukubali
@DINASSOUR
@DINASSOUR 5 ай бұрын
Condition zake ni zipi😅😅😅
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 5 ай бұрын
Bro acha dharau o sio mpeda wezio wananampenda.kwanfano huku Mozambique anapendwa sanaaa . watu wanapenda mzink nayeye anahitizake kibawo. Nyie uwa amupendi viyakuweno...
@DINASSOUR
@DINASSOUR Ай бұрын
Ana condition kadha wa kadha....Sasa hit sijui km Bado zippo....
@DINASSOUR
@DINASSOUR Ай бұрын
​@@alibachirofficial3939dah kaka Kila zama Zina nyakati zake
@GODBLESSINGS-hs6yj
@GODBLESSINGS-hs6yj 5 ай бұрын
Akili ndo kilakitu siyo ngoho america
@DenisLonato-d2r
@DenisLonato-d2r 5 ай бұрын
Wewe wa 2005 kaa kimya uwezi mjua
@Mabokitz
@Mabokitz 5 ай бұрын
😂😂😂😂🔥🔥
@Mbaley
@Mbaley 5 ай бұрын
Sasa dudubay uta perfom wimbo gani sasa ?🇨🇩🤷
@paulsanga7591
@paulsanga7591 5 ай бұрын
Ttz mtt wa 2009 ww
@DennisFandi
@DennisFandi 5 ай бұрын
We unachekesha shida hamtembei, hizi nchi za jirani wasanii wazamani wameacha alama wanakubalika kuliko wapya.
@RaphaelMuhindo-fg8el
@RaphaelMuhindo-fg8el 5 ай бұрын
Kongi
@Marwawilliam
@Marwawilliam 5 ай бұрын
Sasa mtoto wa 2012 utamjua konk master kweli
@boazambokile2587
@boazambokile2587 5 ай бұрын
bro kapige hela hizo
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 5 ай бұрын
Ndiooo
@DanielSumuni-mh4hn
@DanielSumuni-mh4hn 5 ай бұрын
Sasa nyie wandishi wapumbavu apo dudubaya ame kaanga nini
@Official_amrih
@Official_amrih 5 ай бұрын
Anamuiga Andrew Tate
@qtrqtr8016
@qtrqtr8016 5 ай бұрын
KENYA HATUKUTAKI TENA
@ANTHONYDCOSTA-u5p
@ANTHONYDCOSTA-u5p 5 ай бұрын
Sisi hatuwataki
@WaziriJuma-m2p
@WaziriJuma-m2p 5 ай бұрын
Kwani huyu nae nimsanii kumbe😂😂😂
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 ай бұрын
Mtoto wa elfumbili 15 utajua nini pole😂😂😂
@kennethkatanakabui2664
@kennethkatanakabui2664 5 ай бұрын
Si Makosa yako, ulizaliwa juzi.
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 5 ай бұрын
ndio ila nakuelewa maanake wew wa 2000
@NyagoIncmedia
@NyagoIncmedia 5 ай бұрын
Ndio unavunja ungo nini
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 5 ай бұрын
Ww mtoto wa elfu 2.tuliza boli Hyu ndo msanii wetu mkubwa enzi hzo
@Kiganja
@Kiganja 5 ай бұрын
hivi ni sawa kwa Bongo5 kurekod video kamera ikiwa outfocus? Na ukubwa wote huo? that so shame aisee
@W1T647
@W1T647 5 ай бұрын
Ubaya wake Nini Sasa kaka
@Aliytwaha
@Aliytwaha 5 ай бұрын
Kabla ajaenda aende saloon basi
@PhilipPhanuel
@PhilipPhanuel 5 ай бұрын
Watoto wa 2000 hawawezikumjua huyu mwamba
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 5 ай бұрын
Huelewi maana ya msanii
@muchirifredrick4674
@muchirifredrick4674 5 ай бұрын
Sijui nyimbo ata Moja ya dudu
@MaulidHaji-tx2gi
@MaulidHaji-tx2gi 5 ай бұрын
Kunguru hafugiki
@israelnibigira4990
@israelnibigira4990 5 ай бұрын
Una myaka mingapi?
@bonsondavid5756
@bonsondavid5756 5 ай бұрын
Umezaliwa 2010
@augustinhopastory1142
@augustinhopastory1142 5 ай бұрын
Kaa kushoto tupishe wakongwe
@Directorchusseyt1637
@Directorchusseyt1637 5 ай бұрын
We kama unasema hujui Wala kusikia wimbo wa dudu baya.hatushangai maana ww ndio kizazi Cha kina marioo ivyo kaa utulie
@michaelmndeme-jc7md
@michaelmndeme-jc7md 4 ай бұрын
Dudu baya alikuja mpimbwe katavi huku kwenye ukumbi WA kaparare kama darasa mwamba huyuuuu mmmmm
@JandaalHaqeem
@JandaalHaqeem 5 ай бұрын
Dudu bay, kipaj huna😅
@DivineWisdom-o8y
@DivineWisdom-o8y 5 ай бұрын
Wewe unakipaj gani?
@humbleshoal
@humbleshoal 28 күн бұрын
​@@DivineWisdom-o8y Kitoto cha elfu2 icho achana nacho
@khamis9187
@khamis9187 5 ай бұрын
Sasa ww dudu!!! Africa asilimia kubwa ya watu wake ni vjana, wewe uliimba takriban miaka 20 nyuma, huna maajabu tena...tuache kidogo uongo mtupu!!..
@DaudiSaid-bj7dh
@DaudiSaid-bj7dh 4 ай бұрын
Yeye pia analijua hilo na hawezi imbia watu wasioelewa. Watoto wakaimbe nyimbo zao na akina Harmonize
@humbleshoal
@humbleshoal 28 күн бұрын
​@@DaudiSaid-bj7dh Semi za vitoto vya elfu2 izo
@RASHIDIGASPARD
@RASHIDIGASPARD 5 ай бұрын
Nguo siyo garama 😢😢😢 ??
@The_mediator255
@The_mediator255 5 ай бұрын
Uongoo😅
@FekiHappy
@FekiHappy 5 ай бұрын
Huyu nae kachoka machine na vjn
@evaristjames9845
@evaristjames9845 5 ай бұрын
Huyu jamaa muongo alishafanya sho kibamba Tena sio club ni bar mnafiki huyu
@FredrickMajami
@FredrickMajami 5 ай бұрын
Ww ambae si munafiki wimbo wako unaitwaje au ushafanya nn sa kama munafiki Mbona unamfatilia
@resgoldphilays1800
@resgoldphilays1800 5 ай бұрын
MBONA ASIRA KAKA
@humbleshoal
@humbleshoal 28 күн бұрын
​@@resgoldphilays1800 Kwa kua anaongea pumba, huenda ni kitoto cha elfu2
@PlickaChacha
@PlickaChacha 4 сағат бұрын
Amesema kwa nje ya nchi afanyi kwenye bar
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Mkasi | SO9E09 with Dudubaya ( Extended Show )
48:44
MkasiTV
Рет қаралды 113 М.