Dizasta Vina - Wimbo usio bora (Official Music Video)

  Рет қаралды 266,640

Dizasta Vina

Dizasta Vina

Күн бұрын

Music Video of Dizasta Vina Perfoming Wimbo usio bora
a record off the album THE VERTELLER
Category: Music
Song: Wimbo usio bora
Artist: Dizasta Vina
Music: Ringle Beatz
WIMBO USIO BORA - myurls.co/diza...
Video lyrics - • Dizasta Vina - Wimbo u...
Mdundo - mdundo.com/son...
Audiomack - audiomack.com/...
Soundcloud - / wimbo-usio-bora
Video directed: Black X
Theme director @traviehakim
Costume disigned by @ommy_jua_kali
dressed by @chingyfashion
Set up by @lastseen_profile
Special thanks to @street_verified and
@kingscleanORA - myurls.co/diza...
Other Musical contents
Audiomack - audiomack.com/...
KZbin - / dizastavina
Deezer - www.deezer.com...
Apple music - artists.apple....
Mdundo - mdundo.com/a/2263
Genius - genius.com/Diz...
Boom play - www.boomplay.c... - artists.spotif...
Connect with Dizasta Vina on social medias
Instagram - / dizastavina
Twitter - / dizastavina
Facebook - / dizastavina07
sw.wikipedia.o...
Business: Pan.authentik@yahoo.com
Website - bio.link/dizas...

Пікірлер: 1 300
@estonsmart
@estonsmart Жыл бұрын
For those who Listening to this song in 2090, This Guy was A Genius with 145 IQ 🔥
@fredrickmsomba4123
@fredrickmsomba4123 9 ай бұрын
mwamba anajua sana
@estonsmart
@estonsmart 9 ай бұрын
@@fredrickmsomba4123 Sio poa mzee wangu
@FadhiliRashid-m8h
@FadhiliRashid-m8h 5 ай бұрын
Anajua
@bobcomedian.9909
@bobcomedian.9909 2 ай бұрын
2091 hapa Babu yangu alinisimulia kuhusu Huyu jamaa anajua sana ❤
@viceboirapper1121
@viceboirapper1121 3 жыл бұрын
Daaah hii hatar sasa
@allysaleh2220
@allysaleh2220 6 ай бұрын
Hichi kiumbe watanzania tumepewa kama zawadi na Mungu tukilinde sana aiseee ......🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@HusseniMmbaga
@HusseniMmbaga Ай бұрын
Kweli kabisa Asante mungu🙏
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 3 жыл бұрын
Hizi sasa ndio nyimbo tunazotaka katika awamu hii ya Mama... Ujumbe umekamilika Asante Sana Brother Dizasta 🙏
@facebmzeewakimba1546
@facebmzeewakimba1546 3 жыл бұрын
Ukichukua marapa wote wa tamaduni ndio unapata dizasta mmoja
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 3 жыл бұрын
Safi sana
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@mosesbond202
@mosesbond202 3 жыл бұрын
Msuli Tembo,,,,,
@lexusnambasita1309
@lexusnambasita1309 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmHIl5Stl6tkbqM
@immanuelsamwel9409
@immanuelsamwel9409 3 жыл бұрын
Unju 🙌🔥 dizasta vina nakubali bro
@KassimYusuf-n5k
@KassimYusuf-n5k Жыл бұрын
Tunakuombea uhai kaka uishi kutufunza tusioyajua kutujuza huna mfano kaka
@mclosfoumusic
@mclosfoumusic 3 жыл бұрын
Kazi poa. Keep up. Kenya watching Welcome Kipawa Afrika Media. #InvestInTalentArtPays
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Family...... What's good??? Endelea kununua album ya THE VERTELLER kwa whatsApp au Email. Namba za malipo ni 0762158871 MPESA na 0655696811 TIGO PESA.
@anoldtengio261
@anoldtengio261 3 жыл бұрын
Bro unajua👍
@tonylatonga6234
@tonylatonga6234 3 жыл бұрын
Yo men, chupa kali,very simple but magnificent, umestick kwenye content, mpangilio nzuri sana wa chumba everything was smart.. big up kwa hizi hatua..! 👏👏👏
@johnsonrukaza5757
@johnsonrukaza5757 3 жыл бұрын
Big up Bro!tuna wait kichupa kingine
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Thank you...,
@stevemwachi254
@stevemwachi254 3 жыл бұрын
Nikihitaji ushuri wa maisha husikiza uandishi wako...keep it up
@directorluganongonya7212
@directorluganongonya7212 3 жыл бұрын
Asante Sana Dizasta Vina,humu umeandika mno.
@rodrickmungure7854
@rodrickmungure7854 3 жыл бұрын
Kuna wasanii wanafanya mziki wafahamike,bro we mziki utakufahamisha,utaishi kwenye huu mziki wa Bongo kama au zaidi ya legends waliokuwepo...You are too good to be real aisee...Hupotezi mda kabisa kwenye mambo ya kipuuzi..we ni genius,content kama hizi ni rare sana aisee..keep reckoning Tz Music ktk another dimension..I salute You
@TheRock-xz2ux
@TheRock-xz2ux Жыл бұрын
Genius kutoka panorama maisha malefuuu🤗🙏
@benadetakawogo6919
@benadetakawogo6919 3 жыл бұрын
Nimesikiliza nyimbo yako sito acha kuusikiliza na urudia unafundisha na nime subscribe
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@humphreykimelio8107
@humphreykimelio8107 3 жыл бұрын
Hatia hii 🔥🔥🔥
@kingrasdee445
@kingrasdee445 3 жыл бұрын
Nyimbo nzr sn na inaendan na waschan wasasa wapenda maish ya kwenye sinema. Big up Dizasta utakuwa Hip Hop president soon.
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼
@kulwamkole7400
@kulwamkole7400 3 жыл бұрын
Leo tena ijumaa namsikiliza the verteller Dizasta
@savagefranko5071
@savagefranko5071 3 жыл бұрын
Bro...kuna some artists in Bongo wako underrated sana..This guy is more than a just a rapper, a philosopher, a story teller..He is a lyrical genius keep doing what you do..bro Much love and respect from this side💪🏽💯
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Thank you bro
@kiumbekiumbe4711
@kiumbekiumbe4711 3 жыл бұрын
Bro I swear this man is on the next level no cap 🧢 salute kwako ✊
@alextanzania
@alextanzania 3 жыл бұрын
Nakubali nakubali
@antanation4995
@antanation4995 3 жыл бұрын
Noma sana huyu mtu
@yascoast6679
@yascoast6679 3 жыл бұрын
Sure💪
@MomumoMaKaNTa
@MomumoMaKaNTa 3 жыл бұрын
Ahsante... #Hisia Nyingi Humu.
@marselojr9884
@marselojr9884 2 жыл бұрын
We ni mwamba San, sorry teller na content creator. Genius 👍
@ramajanet9308
@ramajanet9308 3 жыл бұрын
Kutoka 254 .the best song ever kutoka tz big up brother
@alphaabdallah1406
@alphaabdallah1406 3 жыл бұрын
Kuna Dizasta mmoja tu duniani..✊
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Yoi know right...
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 3 жыл бұрын
True that mwenye vinA vyake
@manjaruu679
@manjaruu679 3 жыл бұрын
Mtaalam DIZASTA
@boss_the_dj
@boss_the_dj 3 жыл бұрын
Wangapi wanatamani madem zao waje kuone hii nyimbo.👇
@moseshandsam1865
@moseshandsam1865 Жыл бұрын
Dizasta vina nakuelewa sana star your number one fan 🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲
@kalziidazamba2658
@kalziidazamba2658 2 жыл бұрын
Daahh hii Ngoma kwangu naiona kama mpya kila siku maana hii históry ishawi nikuta kwenye mahusiano yangu ya nyuma...💯💯🇲🇿
@azeezbm2374
@azeezbm2374 3 жыл бұрын
Dah htr broo
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@jumarajabu1479
@jumarajabu1479 3 жыл бұрын
Namtaka mke wangu wa mwanzo sio huyu anaemuamkia mama angu kingereza, professor tungo aseee mm na ww tumetoka mbali asee nakufatilia sana kitambo sana ujua mpaka kujua your time now🙏🙏💥💥💯👑👑
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@francewamoyo7917
@francewamoyo7917 3 жыл бұрын
Nunueni album 🙏
@officialdevona6657
@officialdevona6657 3 жыл бұрын
Natamani siku moja nikae kwenye kitikio ya nyimbo yako bro UNAJUA SANA ONE DAY YES....💚💛🎉
@darksimpletz5349
@darksimpletz5349 3 жыл бұрын
Ntmie no yko my artist
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏 🙏
@rajabujumanne2745
@rajabujumanne2745 3 жыл бұрын
Blessup bloood
@hinikasteve176
@hinikasteve176 3 жыл бұрын
Tanzania tunapenda hip hop lakin nashangaa kwa nin hatuheshim na kuwapa thaman wasanii wanao fanya hip hop imagine hii ngoma na uqal wake wote ila views laki moja tu ila gidi ya diamond wimbo wa kipimbi kabsa una view m2 kwa siku 2 tu sijui rap inakwama wapi na kwa ni??
@hassanhababumakame8860
@hassanhababumakame8860 Жыл бұрын
Sjui kwa nn aseeee
@ibrahimmapesa6226
@ibrahimmapesa6226 5 ай бұрын
Ni wachache wanaoelewa hii mistar kaka. Hip hop ni hisia na ina mistari ya mafumbo pia. Mpaka uwe real ndo unaelewa.
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 ай бұрын
Aibu kwetu mashabiki tubadilike jamani
@taseni_vevo
@taseni_vevo Ай бұрын
views sio hoja kama wanaotazama wanalazimishwa na sources mbali mbali....hawa laki 2 PLUS NI truly fans WA D... THAT'S AWESOME
@mariamally9912
@mariamally9912 3 жыл бұрын
Wewe jamaa unachana mpaka Mashuka unajua Sana kaka unajua kutupa chakula kizuri Cha ubongo..nice kaza sana ipo siku wataelewa
@kidafrica_25
@kidafrica_25 3 жыл бұрын
Mrefu mweusi mwenye tatuu kwenye paja ulijuaje kama uku mfokonyoa 😀😀😀😀 all and all this is big tune na mafunzo ndani yake usiache kufanya brow 🤝
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🤦‍♂️ smh..anavaa nguo fupi
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 7 ай бұрын
Yani hii nyimbo dizasta umeniimbia mm Kila jambo uliloongea mm limenigusa mke wangu anatabia zote ulizozisema ahh nimechoka Bora nimrejeshe kwao
@cosmoantonio5682
@cosmoantonio5682 3 жыл бұрын
The most underrated rapper in the world.. Keep pushing bro this is hip hop 🔥🔥🔥
@simonsweka7305
@simonsweka7305 3 жыл бұрын
Hil jmaaa linaguxaa maisha kabxaa mwali kitandani ...huu upendo unanixhindaa.....dah nom xan keep it mzee wa pwani kma sjakoisea
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
😂😂😂
@firearmsentertainment
@firearmsentertainment 3 жыл бұрын
Nyuma ya mwanamume masikini kuna mwanamke mpumbavu.... 🤗🤗 💯 🔥
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Yess
@agreywilbert272
@agreywilbert272 Жыл бұрын
😂😂😂
@muddyhamza9606
@muddyhamza9606 3 жыл бұрын
Hili song kalii Sana ngoja niendelee kukufatilia
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@muddyhamza9606
@muddyhamza9606 3 жыл бұрын
Nilipenda Sana ile kanisa ulitisha Sana pia hii kwa upande Wang nimeipenda sanaaaa🔥🔥💪🏻🙏 ina ujumbe wangu humo aisee endelea kutuletea ngoma Kali Kama hizi zenye ujumbe kwa jamii
@jumazubeir5787
@jumazubeir5787 3 жыл бұрын
Vile nimekua mpole unajivika mapembe nimekupa Uhuru unanishiia(makende) Much respect kipaji kikubwa
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙌🏽🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@abbysailucas3527
@abbysailucas3527 3 жыл бұрын
aaaaah nakosa point mzee
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@mtuiart
@mtuiart 3 жыл бұрын
Sijawahi kuchoka kusikiliza hii nyimbo Daaah kwel hapa lazima utulie hii nyimbo ikipigwa Big up sana bro 💥💥💥
@rashidseleman2997
@rashidseleman2997 3 жыл бұрын
Super sana dizasta ...stil panorama🎤🎤🎤🎤
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼💪🏽💪🏽
@bongoflevakitambo9995
@bongoflevakitambo9995 3 жыл бұрын
DUUUIH DIZASTA WE NI JINI#DUUH NGOMA MBONA KALIII SANA OYAH BIG UP SANA MFALME WA VINA
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@issaomary7718
@issaomary7718 3 жыл бұрын
nilikupa uhuru sasa unanishika makende...D haswa d zasta
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Sana man
@donardmsomi8451
@donardmsomi8451 3 жыл бұрын
Brother Disaster...nilianza kukujua kwenye kipindi Cha dakika kumi za Maangamizi, kwenye East Africa Tv, Kuna wimbo ulichana ulikuwa u asema KANISA...hizo tungo za hayo mashairi zilinifanya nitamani kukufahamu zaidi. Uko unique brother...
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Asante sana
@davidmsubi2639
@davidmsubi2639 3 жыл бұрын
Huwezi kuitabiri kesho ata ukiwa special
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼
@brunoboniventure6054
@brunoboniventure6054 3 жыл бұрын
Huu kwangu ni wimbo bora....content ilojitosheleza ikapikwa na ikapikika...keep it high brother.
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼💪🏽
@brunoboniventure6054
@brunoboniventure6054 3 жыл бұрын
You're the killer...
@balikiabdala823
@balikiabdala823 2 жыл бұрын
Hakika hinyimbo inaniliza kaka kira nikiskiriza
@cassiancbbrand7398
@cassiancbbrand7398 3 жыл бұрын
My All Time Best Writer
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Thanks fam
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Thanks
@kelvinsiaba5900
@kelvinsiaba5900 3 жыл бұрын
absolutely brother
@mussakarl3953
@mussakarl3953 3 жыл бұрын
Literature is creation of another world.. Poetry is collection of inner feelings and emotions in triunguility.. which reflection the reality.. we can use Dizasta Vina's stanzas as reference. The greatest rapper.. The same direction rapper, the maker of 'point of view'.
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Well written
@victorjonathan832
@victorjonathan832 2 жыл бұрын
Umetisha bro 🥺🥺👍👍
@desmonddaudi7465
@desmonddaudi7465 3 жыл бұрын
simulizi fantastic na adim.... dah! ingekua na mdudo ingekua poa sanaaa... Prof. TUNGO umenibania beat.
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼
@Glove233
@Glove233 2 жыл бұрын
Weee mjaamaaaa ni fundi sana 🎶🎶🎶🎶🎶💥🎼🎺🎸🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@TemuTV
@TemuTV 3 жыл бұрын
Dizastaaaaa 💣💣💣💣
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Yess
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Yees
@evalinemafie4649
@evalinemafie4649 3 жыл бұрын
%%%%%%%%
@clainxofficial576
@clainxofficial576 3 жыл бұрын
Big up broo
@lizilijillo9170
@lizilijillo9170 2 жыл бұрын
Black maradona we mwamba🙌🙌
@Basagamp4
@Basagamp4 3 жыл бұрын
Duuuh kumaaaamake
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
😂 na
@mnyamwezitv382
@mnyamwezitv382 3 жыл бұрын
Trust me katika ile real hiphop huyu jamaa ni kiti chake hiki💥💥💥
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏 🙏
@emany667
@emany667 5 ай бұрын
Hard truth,dizaster vinaa is the best rapper in tanzania,the lyrics hit deep,love from kenyaa,mwanzoo ndoaa uliuwaa babaa,
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 3 жыл бұрын
Sijawai jutia kununua kaz zako, ambazo ni 1- Wonder boy 2-Jesustar 3-The Verteller Amani kwako Prof Tungo
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Asante sana kaka....top fan
@fredrickmsomba4123
@fredrickmsomba4123 9 ай бұрын
Next level , this talent is beyond imagination
@panduafricangiant4902
@panduafricangiant4902 3 жыл бұрын
What a wise lyrics to be heard to every woman in Tz and all over the world .....bigup broo Disaster
@zahndimbo4936
@zahndimbo4936 3 жыл бұрын
Duuuu brother yaani we ni kitabu cha Chuo kikuu unadhidi kutufundisha jinsi ya kupass maisha kwa zile changamoto tunazo kutana nazo maana unatufunza tokea wadogo mpaka tunakuwa na mpaka wajukuu watajifunza yaani nasijui we kitabu ni bei gani ila nashukuru nakusoma bila garama kubwa na ninapata maarifa makubwa sana asante sana asante sana
@rajabsosthenes8936
@rajabsosthenes8936 3 жыл бұрын
Ngoma zako huwa zinaniondolea stress zote Broo!!!! Unaweza
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@dinhomnyonga7298
@dinhomnyonga7298 Ай бұрын
Nlimsikia profesa j akisema we ndomsanii wake no 1 badae tena namsikia hero wangu fidq ndo hapo nkaanza kukufatilia duu weee jamaa nibalaa sana 🙌
@shax_music08
@shax_music08 3 жыл бұрын
I believe in your music Prof. TUNGO, like some people believe in fairy tales...
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
And I believe in your support
@frankstarstz470
@frankstarstz470 3 жыл бұрын
Dah 👐👐🙏🙏🏹🏹🇹🇿🇹🇿kipaji kikubwa Sana dizasta mm mwanao nakubar Sana kaka song zako skujui haunijui ila ww ni 💪
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@casbertemilllian739
@casbertemilllian739 3 жыл бұрын
Another good song from dizasta
@quraishibrahim3590
@quraishibrahim3590 3 жыл бұрын
Oya dizasta vinaaaa heshima mrmaaaaaaa kakaaaa bonge la message brother heshima yako brother 🙏
@goodluckabdon4673
@goodluckabdon4673 3 жыл бұрын
This is master piece 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥
@kibahaonline8817
@kibahaonline8817 3 жыл бұрын
Hyo pisi ya wap, ni kali hatar. Big up bro.
@davidkojo9525
@davidkojo9525 3 жыл бұрын
Buda, you are talented. You are blessed. Massive track. Taking depth to another level.
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Thank you brother... Please share
@ShenyanMoyutang
@ShenyanMoyutang 3 жыл бұрын
De ☝️en ONLY in dis WORLD
@fredaugustin9701
@fredaugustin9701 3 жыл бұрын
Dizasta brother unajua sana.....nashindwa kukuelezea
@abbysailucas3527
@abbysailucas3527 3 жыл бұрын
nice song guys kama umerdia zaid ya mara moja gonga like twnd sawa
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@deepoisonofficial5539
@deepoisonofficial5539 3 жыл бұрын
We we unafaa kugombea up resident mwamba
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 3 жыл бұрын
Ngoma za Dizasta unaweza kuzickiza ata pakiwa na bimkubwa coz ngoma zke huwa n class..
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏 🙏
@Inno-qz2ec
@Inno-qz2ec 3 жыл бұрын
Itachukua mda watu kuelewa bt unajua bro..
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
💪🏽💪🏽
@nyotamy3678
@nyotamy3678 3 жыл бұрын
Dizasta ni hatari sana
@greyibra6892
@greyibra6892 3 жыл бұрын
Bonge moja la ngoma mzee dizasta
@edwriter
@edwriter 3 жыл бұрын
😂😂😂 et "nilikupa uhuru sasa unanishika makende" Disasta🙌
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@suleshmwakz8329
@suleshmwakz8329 3 жыл бұрын
@@dizastavina noma 🤣🤣🤣
@prod.byjaylabelonthebeats
@prod.byjaylabelonthebeats 3 жыл бұрын
Dizasta Mungu Akupe Maisha Malefu Kaka Nilikuwa Skuelewi Kilasiku Kwenye Nyimbo Zako Unafanya Nini Mke Waku Kapagawa Nahii Kazi Namipia Mungu Akupe Maisha Malefu Nijibu Hii Messeji Hii Nitafurah Sana
@abbiking
@abbiking 3 жыл бұрын
nilijua tu mzigo utakuwa 🔥
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Sasa je??
@donprinceabselhalims7421
@donprinceabselhalims7421 3 жыл бұрын
Dizasta Vina kazi nzuri sana keep it up
@maishaforreal7798
@maishaforreal7798 2 жыл бұрын
Your songs will last forever bro . Genius 🔥🔥🔥🔥🔥
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 3 жыл бұрын
Daah Nakubali Sana Maendeleo ya Dizasta vina see you at the top Brother video kalii na Maudhui Mazuri "hawajatambua kuwa ndio we Master na hakuna jabali kama Dizasta"
@franksimiti8210
@franksimiti8210 3 жыл бұрын
Underrated MC.....Genius,story tell,philosopher
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@manigamsela369
@manigamsela369 3 жыл бұрын
Duuh yan kumbe dizasta nimsanii minlkua ata sjui nani kaimba hii nyimba naupenda af naskiaga redion daah kumbe ndio huyu bro respect
@eliwahavehaeli9938
@eliwahavehaeli9938 3 жыл бұрын
I only like this Feeling Emotional. Bruh 🙌🏾🔥🔥
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
I see
@nokkotz164
@nokkotz164 3 жыл бұрын
Rudi Nyumban kapumzike ukishabadirika Utarudi.......BigUp sn Mzee Vina Huu wimbo nautumia kam darasa kwangu..
@drmubarakhassan8010
@drmubarakhassan8010 3 жыл бұрын
Oiiiii my broda, nimeamini kuna maajabu tisa na kumi ni Dizasta' 🔥🔥
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@magonzampogole3339
@magonzampogole3339 Жыл бұрын
Oyaaaaa kamkubwaaaa umetishaaa nasubili unayo uza viungoooo mkuuu chief wa hip hop respect sana mkuu
@aissaleekimondoboy
@aissaleekimondoboy 3 жыл бұрын
Your always my best raper in tanzania broh🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Thanks
@einsteinmboje4730
@einsteinmboje4730 2 жыл бұрын
WOOOOOW Huyu Mtu Kwann Ndo Namjua Leo ??? ..Watsap With This Country Vipaji Ka Hivi Havipromotiwi 🥺🥺
@princemallya4085
@princemallya4085 2 жыл бұрын
Immortal rapper 🔥🔥🔥
@issayarashid9845
@issayarashid9845 3 жыл бұрын
Mwanangu kabisa huyu... Nakukubar Mzeeee Wangu
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@amanidzoro1952
@amanidzoro1952 3 жыл бұрын
Such a masterpiece!!! Good music. Nice video. Art!
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Thanks bro
@fasahakaimu5363
@fasahakaimu5363 3 жыл бұрын
Nakukubali Sana kaka
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
Asante sana kaka
@kanyika14kanyika16
@kanyika14kanyika16 3 жыл бұрын
Nahisi mpenzi una wazimu ❤️❤️💃
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼
@simonevarist4383
@simonevarist4383 3 жыл бұрын
💥💥💥makin sna
@dizastavina
@dizastavina 3 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Dizasta Vina - Hatia IV
7:37
Dizasta Vina
Рет қаралды 181 М.
Hiki ndicho alichomanisha Dizasta Vina kwenye "MBUZI"
2:01
Swahili dictionary tv
Рет қаралды 6 М.
Кого Первым ИСКЛЮЧАТ из ШКОЛЫ !
25:03
New Colour Match Puzzle Challenge - Incredibox Sprunki
00:23
Music Playground
Рет қаралды 44 МЛН
New Colour Match Puzzle Challenge With Squid Game 2 - Incredibox Sprunki
00:30
Dizasta Vina - Best Friend
8:28
Dizasta Vina
Рет қаралды 264 М.
Msodoki Young Killer - A New Girlfriend Story (Official Video)
5:11
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 2,1 МЛН
Adam Shule Kongwe ft Dizasta Vina- Wa Ngau (Lyric Video)
4:48
Adam Shule Kongwe
Рет қаралды 10 М.
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
EastAfricaRadio
Рет қаралды 773 М.
WAKADINALI PRESENTS "THE RONG CYPHER" (Official Music Video)
5:04
Wakadinali
Рет қаралды 2 МЛН
Dizasta Vina - Achia jala  Ft Kaa La Moto
8:34
Dizasta Vina
Рет қаралды 146 М.
Dizasta Vina - Wimbo usio bora (Video lyrics)
5:12
Dizasta Vina
Рет қаралды 33 М.
KIMEWAKA NDANI YA VINA MEZANI NI MICHANO JUU YA BEAT
25:38
Crown Media
Рет қаралды 169 М.
Master B Shako ft Mwalimu - Kizazi kya Nyoka (Official Music Video)
5:53
Кого Первым ИСКЛЮЧАТ из ШКОЛЫ !
25:03