Bony Mwaitege - '' Kazi ya Mungu (Official Music Video)

  Рет қаралды 154,318

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

10 ай бұрын

Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
Bony Mwaitege - '' Kazi ya Mungu
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 168
@james008BOND7
@james008BOND7 10 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU amuinue mtumishi wake@Bony mwaitege hatua hadi nyengine 🙏🙏 umbali huu YESU ni Ebenezer 🙏🙏 wapendwa tugonge likes kwa wingi kwa heshima ya BWANA YESU🙏🙏
@jacklinemasyuko262
@jacklinemasyuko262 10 ай бұрын
Mwwnyezi mungu abariki huduma ya mtumishi wake@bony mwaitege,,grt song
@erickkiunga1335
@erickkiunga1335 10 ай бұрын
🙏🙏
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 10 ай бұрын
Amuinue mara ngapi ashamuinua kitambo Zaid ni maombi yetu kwake aendelee mbele asirudi nyuma
@manmaster536
@manmaster536 9 ай бұрын
​@@bensonmgaya5693ni kweli
@niyingwaniraolave-co1zf
@niyingwaniraolave-co1zf 10 ай бұрын
Bwana bonny Asante kwa nyimbo hii mungu akupe nguvu za kumtimikia kwa haki na kwa kweliii
@RichardMuteke
@RichardMuteke 10 ай бұрын
tunaendeleya kuku sikiliza baba kama uko pamoja na si si leta bendera yako paha
@godwinnyambulapi6816
@godwinnyambulapi6816 10 ай бұрын
wooow Mungu hawezi kunipa nyoka nikimwomba mkate, ananiwazia mema wakati naona hali ngumu kumbe Mungu ananivusha 🔥🔥🔥
@AyubuFumbi
@AyubuFumbi 9 ай бұрын
SHALOM BABA NAOMBA SHEMEA NENO KWA M BARIKIWA MWAKIPESILE AMEE
@gracegasper8833
@gracegasper8833 10 ай бұрын
Kazi ya Mungu Haina makosaa❤❤❤❤❤ wimbo mzuri mtumishi barikiwa
@nurdinsaleh4786
@nurdinsaleh4786 10 ай бұрын
Bonny Mwaitege nakupendaga bure
@stephaniejeremiah9566
@stephaniejeremiah9566 10 ай бұрын
Nimeshukuru Mungu Kwa kuondokewa na mtt wangu kipenzi hakika kazi ya Mungu haina makosa pumzika kijana wangu mom Bado nakupenda kidonda hakijawai kupona hata siku moja😢😢😢
@bonimwaitege4073
@bonimwaitege4073 10 ай бұрын
Pole ndugu yangu
@manmaster536
@manmaster536 9 ай бұрын
Pole sana
@Fabianfideltz
@Fabianfideltz 10 ай бұрын
Barkiwa sana 🙏🙏🙏🙏🙏🎵🎶🙏🎵 wimbo mzr sana
@jeanmariemuco1132
@jeanmariemuco1132 10 ай бұрын
Comment yakwanza kutoka Lusaka zambia kama mumebarikiwa kama Mimi gonga Like tujuane waliyobarikiwa
@emmanuelmwasibata8904
@emmanuelmwasibata8904 10 ай бұрын
Nikweli kabisa mtumishi wa Mungu barikiwa sana kwa wimbo mzuri
@salummwipopo8142
@salummwipopo8142 10 ай бұрын
Kaka boni hongera Sana ndugu yangu nipo nyuma yako
@maureenmuhenje916
@maureenmuhenje916 10 ай бұрын
Hallelujah kazi ya Mungu haina makosa
@jacklinemasyuko262
@jacklinemasyuko262 10 ай бұрын
Mwenyezi mungu ambariki mtumishi wake
@caridahcarrie9908
@caridahcarrie9908 10 ай бұрын
Kazi ya Mungu kweli Haina makosa yatufaa tushkuru tu.barikuwa mno mtumishi
@user-ez8kf5zm1h
@user-ez8kf5zm1h 10 ай бұрын
Yote Ni kwa neema mungu akuwezeshe kwa kazi yaupashaji wa habari njema kupitia nyimbo
@bajkljs9058
@bajkljs9058 8 ай бұрын
Waaa MUNGU anisamehe kwakutoshukuru hatakama salary yangu nindogo aje MUNGU wangu asante...GOD blessyou man of God
@user-fj1gm2ik6n
@user-fj1gm2ik6n 10 ай бұрын
Barikiwe saana mt; kwa huduma yako utalipwa na baba mbinguni.🙏
@tabikanini2920
@tabikanini2920 9 ай бұрын
Nashukuru mungu kazi yako mungu haina makosa nimefelewa na kijana yangu nimemzika juzi nashukuru kazi ya mungu haina makosa
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 10 ай бұрын
Good job mtumish keep up 💯💯💯💯💪💪💪🔥🔥🔥🥀🥀🥀🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MohammadJoji
@MohammadJoji 8 ай бұрын
Asante mtumishi wa mungu kwa wimbo mazuri umeningia sana moyoni yesu Anderekukuongoza🇧🇷🇧🇷
@enockpanja6597
@enockpanja6597 10 ай бұрын
Ongera sana Mtumishi kwanyimbo nzuri
@stevendavid7784
@stevendavid7784 10 ай бұрын
❤mungu akuinue zaid ya hapa ndugu yang ❤❤❤❤🎉
@stevendavid7784
@stevendavid7784 10 ай бұрын
🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 Zambia tunapenda song zako
@ayubumwanisenga1478
@ayubumwanisenga1478 10 ай бұрын
Kazi ya Mungu haina makosa
@user-fd6mx8eo5l
@user-fd6mx8eo5l 10 ай бұрын
Baba angu wa kirohoo Mimi Alfa hii nyimbo inanibariki aiseee
@medarute-yo6qz
@medarute-yo6qz 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa wimbo mzurii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@analupia
@analupia 5 ай бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa.mungu huu.wimbo unanifariji sana
@EliasdottoBugumba
@EliasdottoBugumba 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana MTumishi wa mungu ni kweli tushukulu tu
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele 9 ай бұрын
Ongera KUBWA ƙwakweli
@BigtoneGsplMinistry
@BigtoneGsplMinistry 10 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 10 ай бұрын
Sawa kaka yetu
@mropeamadeus54
@mropeamadeus54 10 ай бұрын
Kazi mzuri Mtumishi
@alphoncio4496
@alphoncio4496 10 ай бұрын
Amen 🙏 ainuliwe Mungu
@dogokennmwalemtotowalugari7531
@dogokennmwalemtotowalugari7531 10 ай бұрын
Nimekaa miaka mingi bila kukusikiza ila nimesubscribe ila pale kwa utanitambuaje kama nimeokoka iko sawa sana love from kenya
@mwanaharusichizikalama7790
@mwanaharusichizikalama7790 10 ай бұрын
Mutumishi mungu ubaikiwe
@emmanuelmwansasu6839
@emmanuelmwansasu6839 10 ай бұрын
Ameeeeeeen Ameeeen anae panga ni Mungu kweri baba Yangu
@bonimwaitege4073
@bonimwaitege4073 10 ай бұрын
Amina Mwanangu.
@rizikisilau9501
@rizikisilau9501 3 ай бұрын
Kaz nzur sana kaka kama upo nasisi weka bendela yako
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 10 ай бұрын
Kweli mungu ndie mwamuzi wa yote,,am watching from uwarabuni it haven't easy and im listening for this song from brother bony..wacha tushukuru mungu kwa kila jambo, wakenya bado twakupenda sana you never disappoint
@ashrieljeanette5904
@ashrieljeanette5904 4 ай бұрын
My daddy is coming back strong 💪🏽 God bless you and keep protecting you. Your songs bless me too much 🥰
@shadrackosabil6354
@shadrackosabil6354 10 ай бұрын
Ahsante mtumishi wa mungu kw kazi nzuri❤❤🎉🎉.am a gospel singer from Kenya 🇰🇪
@chrissifuna7358
@chrissifuna7358 10 ай бұрын
Oooh what a grace , 🙏🙏🙏 all of us let's worship God 🌹 thank you Lord , from 254🇰🇪🇰🇪 let's meet here , , we love you @ bonny mwaitege🙏🙏
@mwandoabel3410
@mwandoabel3410 10 ай бұрын
Kazimjema hiyo
@NzirubusaGrodien
@NzirubusaGrodien 10 ай бұрын
Nikweli kabisa ongera.
@petermwangangi2590
@petermwangangi2590 10 ай бұрын
Hallelujah oh sana 🔥🔥🔥
@aknyillmedia
@aknyillmedia 10 ай бұрын
been waiting for this video like no mans business
@tabikanini2920
@tabikanini2920 5 ай бұрын
Anayepanga ni mungu 4months i lost my son now i have lost my sister nashukuru mungu
@papatmaurice2628
@papatmaurice2628 10 ай бұрын
Asante sana legend
@AlexAnyonge
@AlexAnyonge 10 ай бұрын
Kweli mungu hupangaa kwa yote asante God bless you
@user-cx3nl4zs4h
@user-cx3nl4zs4h 10 ай бұрын
Barikiwa sana mwimbaji
@user-mx6lw8bf4f
@user-mx6lw8bf4f 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@StellaTabalia
@StellaTabalia 10 ай бұрын
Kazi yako mungu kwa kweli Haina makosa...barikiwa kaka❤
@beatricepaseka
@beatricepaseka 10 ай бұрын
O yes! Thank the lord every time ❤
@damarisnjerunjeru399
@damarisnjerunjeru399 10 ай бұрын
The man of God that is always active both spiritual and ministry Neema tele mtumishi
@GloryVicent-rn1jt
@GloryVicent-rn1jt 10 ай бұрын
Nice song 🙏🙏 Ndug shukur Kwa Kila jamboo
@user-dy6km7et7s
@user-dy6km7et7s 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana akupe maicha marefu
@christianbahati3533
@christianbahati3533 10 ай бұрын
Asante sana baba muimbaji, unaimba vema. Kazi ya Mungu haina makosa kabisa. Tuna panapashwa shukuru Mungu kwa kila jambo. Asante Mungu kwayote una endeleya tenda katika maisha yangu.
@nyambabazichantal3231
@nyambabazichantal3231 10 ай бұрын
Awesome song god bles you.
@user-gy7rm1xo9v
@user-gy7rm1xo9v 10 ай бұрын
Felizarda, Deus abençoe os que te procuram,naomba unisaidie
@RichardMuteke
@RichardMuteke 10 ай бұрын
hongera sana
@fideleharerimana8534
@fideleharerimana8534 10 ай бұрын
Hio nyimbo imepangwa vizuli saana
@johndgurty9011
@johndgurty9011 9 ай бұрын
Barikiwaaaa mno mtumishi utume mwema
@rodriguepattbadesire4199
@rodriguepattbadesire4199 10 ай бұрын
nyimbo nzuri, suit nzuri.. big up Ndugu Boni
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 10 ай бұрын
Amen shukuru Mungu kwa kila jambo
@johntwo-DR
@johntwo-DR 10 ай бұрын
Mziki mkubwa kama kawaida
@GladDullah
@GladDullah 10 ай бұрын
zamen nabarikiwa na nyimbo zako ❤❤❤
@mwaupinailejeyetu
@mwaupinailejeyetu 10 ай бұрын
Mngu atajibu tuu
@patrickkatana8823
@patrickkatana8823 10 ай бұрын
Napenda kila mara Backup ya MARTHA BARAKA chini kwa chini..
@douglasnyogesa5573
@douglasnyogesa5573 10 ай бұрын
Be blessed servant
@jaclinaa9509
@jaclinaa9509 10 ай бұрын
God bless you my mum were you are long life my sweet mum❤❤
@user-bf2xz1lt7v
@user-bf2xz1lt7v 7 ай бұрын
Nakukubali sana m2mishi wa mungu
@user-jv4re9xn1rmilly
@user-jv4re9xn1rmilly 10 ай бұрын
Amen 🙏 be blessed
@abrahammochache3558
@abrahammochache3558 10 ай бұрын
Tunakupenda mwaitege,for good and encouraging songs
@carolinemwugusi8945
@carolinemwugusi8945 10 ай бұрын
Nashukuru Mungu Amen barikiwa mtumishi kwa wimbo mzuri
@violakipchumba2424
@violakipchumba2424 10 ай бұрын
Woow, beautiful song ❣️
@Dianachepkoech-ze4ze
@Dianachepkoech-ze4ze 10 ай бұрын
Very true💞💞💞💞💞💞🇰🇪🇰🇪
@NolyneArmstrong-bi6yr
@NolyneArmstrong-bi6yr 10 ай бұрын
Lovely 🌹🌹🌹 song my brother
@rukiambodze-my5dc
@rukiambodze-my5dc 9 ай бұрын
Be blessed man of God. Nyimbo zako zanibariki sana
@sibajenesimatanga8570
@sibajenesimatanga8570 10 ай бұрын
Continue giving us your songs with lyrics please in english may God bless you
@philomenamutheu238
@philomenamutheu238 5 ай бұрын
I liked your songs since I was a kid they bless me alot
@MonteiroSamuel
@MonteiroSamuel 9 ай бұрын
Yes very Good music 🇦🇴👋🙏🙏🙏👋
@ilungaamedeo9665
@ilungaamedeo9665 10 ай бұрын
Nimi ipenda sana iyi nyimbo like compte yangu
@eliudmwalugelo5191
@eliudmwalugelo5191 10 ай бұрын
A wonderful song God bless you
@user-rk4kq1pp1i
@user-rk4kq1pp1i Ай бұрын
Weee this song ❤❤❤🎉🎉🎉
@maurinemukolwe8541
@maurinemukolwe8541 10 ай бұрын
Amen 🙏 barikiwa sana ndugu ❤❤❤
@titusmutungi9407
@titusmutungi9407 10 ай бұрын
Mungu hakubari sana Bonny ❤❤❤❤
@fideleharerimana8534
@fideleharerimana8534 10 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
@pheniastaekwondoforlife9275
@pheniastaekwondoforlife9275 10 ай бұрын
Nice song
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 10 ай бұрын
Wow mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@officialjoakim3555
@officialjoakim3555 10 ай бұрын
Ubarikiwe
@raylinecarol8326
@raylinecarol8326 10 ай бұрын
Nice one mkubwa🎉
@ratemosamson7502
@ratemosamson7502 10 ай бұрын
What an inspiration everything happens through God's will ❤
@user-pe5bv2ol1i
@user-pe5bv2ol1i 10 ай бұрын
poipppol 0 O
@uwizeyimanasara
@uwizeyimanasara 10 ай бұрын
Amena❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@OmaryIssa-yc9lu
@OmaryIssa-yc9lu 10 ай бұрын
Mungu akubalike mtumishi
@valentineomoiti1022
@valentineomoiti1022 10 ай бұрын
True God is the One who plan everything
@carolineouma8660
@carolineouma8660 10 ай бұрын
Ushauri wako unafaa Sana mungu akubari Sana.
@bugramsafi9873
@bugramsafi9873 10 ай бұрын
Mungu akubariki legendary
@milymulumbu
@milymulumbu 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ much love from Kenya I love your songs
@ruthmwende3897
@ruthmwende3897 10 ай бұрын
Amazing
@JacintaKevoh-fl7yl
@JacintaKevoh-fl7yl 10 ай бұрын
Mambo ni 3
Bony Mwaitege -Wamefunga Ndoa (Official Music Video) SMS TO SKIZA 9840976 TO 811
6:59
BONY MWAITEGE - MWAMINI MUNGU (Offiicial Music Video) SMS SKIZA 9840973
7:00
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 678 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 75 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Bony Mwaitege - Safari Bado (Official Music Video) ft. Bahati Bukuku
7:52
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 6 МЛН
Komando Wa Yesu - Ndio Mimi (Official Music Video)
4:56
KOMANDO WA YESU
Рет қаралды 57 М.
Bahati Bukuku ft Bony Mwaitege - Dawa Yangu (Official Video)
5:45
Bahati Bukuku
Рет қаралды 545 М.
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 26 М.
Martha Baraka - Jina la Yesu ni dawa (Official video)
7:31
Martha Baraka
Рет қаралды 520 М.
Komando Wa Yesu -SINA UENDE (official vide-)Skiza 6980422 to 811
5:51
KOMANDO WA YESU
Рет қаралды 967 М.
Bony Mwaitege - 'BADO NAMPENDA'  (Official Music Video) SMS SKIZA 9840971 TO 811
7:28
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 2,4 МЛН
AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE-SIFAELI MWABUKA SKIZA  DIAL  *860*413#
8:18
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 4 МЛН
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
akimmmich
Рет қаралды 3,7 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 897 М.
BABYMONSTER - ‘FOREVER’ M/V
3:54
BABYMONSTER
Рет қаралды 92 МЛН
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
GOLDEN SOUND
Рет қаралды 10 МЛН
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 780 М.