Bony Mwaitege -Limebaki Jiwe '' (Official MusicAudio)

  Рет қаралды 48,722

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

4 ай бұрын

Huyu Yesu wa nazaleth amefufuka,limebaki jiwe tuu,tuungane sasa kwa wakati huu tunapoelekea kwenye kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu Kristo.
Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
limebaki jiwe, #limebakijiwe
Bony Mwaitege -Limebaki Jiwe '' (Official MusicAudio)
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 209
@ChegveraenerstMagufuli-wl5nc
@ChegveraenerstMagufuli-wl5nc 4 ай бұрын
wakwanza leo naombeni 20 likes zangu 🙏🙏🔥🔥📖🤝
@remmymwanziagospelsongs5896
@remmymwanziagospelsongs5896 4 ай бұрын
Wakenya wapi likes za our hero
@Bekita-nz7bq
@Bekita-nz7bq 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤Hizo hapo
@rosemarry1274
@rosemarry1274 4 ай бұрын
Amen Amen
@hellenkhisa1199
@hellenkhisa1199 4 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@rosekadzokillian9700
@rosekadzokillian9700 4 ай бұрын
Hallelujah
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 3 ай бұрын
Wakenya mko wapi kujeni tu support bony mwaitege nataka likes 50🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 4 ай бұрын
Naombeni like zenu mnaoo amini Yesu ni jiwe kuu la pembeni
@bupeisaya9063
@bupeisaya9063 4 ай бұрын
Powerful song,,, uwe unahusika na ushindi wa Simba Jana,afu usikilize na kawimbo katamu kama haka,,roho inatulia sana, Ahsante Baba yangu kipenzi 👏👏,,, Jamaaani nzuri sana,kama namuona Petro anavyoshusha upanga chini💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏,, Kama umerudia kuisikiliza hii nyimbo mara tatutatu gonga like hapa twende sawa
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Abarikiwe sana Mwanangu
@samsonimkali-uo4wk
@samsonimkali-uo4wk 4 ай бұрын
Ee mungu endelea kumuinua mtumishi wetu azidi kua juu sikuzote aimeee🙏🙏
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 4 ай бұрын
Kweli limebaki jiwe Mwaitege, Momumoo malafyale!
@victoriangalay9521
@victoriangalay9521 3 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu,na wale wanokutabiria kifo waambie hadi uwaone wana wa wana wa wanao❤❤❤
@JackieMajuma
@JackieMajuma 4 ай бұрын
Hallelujah 🙏 glory to God our everything our father hallelujah amefufuka YESU KRISTO WA NAZARETH AMEN 🙏 much love man of God. Flowing from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦 mkenya mwenyewe 🇰🇪🇰🇪
@AjuaLupembe-px2rb
@AjuaLupembe-px2rb 4 ай бұрын
Ameshinda kifo limebaki jiwe❤❤❤ utukufu kwa MUNGU
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@reginawafula3745
@reginawafula3745 4 ай бұрын
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 huu mwaka maisha yangu yatafufuka amen 🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 4 ай бұрын
Kenyans never disappoint you bony mwaitege,,always love your song the way am getting blessed with this song thanks mtumishi
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
thanks Rebecca.
@Saidesaideinacio
@Saidesaideinacio 4 ай бұрын
Mimi mwenyewe huwaga naokoka kwa nyimbo zako toka hapa Marrupa Mozambique 🇲🇿🕊️🎉
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu
@BizimanaDavid-up4gh
@BizimanaDavid-up4gh 4 ай бұрын
Bwana bony mwaitege towa diveo
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
sawa ndugu yangu
@SemeniMwaselela
@SemeniMwaselela 4 ай бұрын
Mungu mwema amekutengeneza wimbo wako hakika nimefurahi Sana mwana kondoo umeshinda
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen Ubarikiwe
@RichardMuteke
@RichardMuteke 4 ай бұрын
Mungu akujarie neema tena zaidi karibu kwetu RDC congo🇨🇩🇨🇩
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sama
@RichardMuteke
@RichardMuteke 4 ай бұрын
@@BonyMwaitegeOfficial ndio
@user-jg7ni9qp3r
@user-jg7ni9qp3r 4 ай бұрын
Ushindi uko upande wangu maana mshindi wangu alishinda kifo powerful song 🙏🙏🙏 be blessed mightily man of God much love frm Kenya ❤❤❤
@user-kv2en7uf1s
@user-kv2en7uf1s 4 ай бұрын
Ameeeeen Kubwa Limebaki Jiwe Miracle Hapa Baba
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
ameen
@user-xk3eq1cr5n
@user-xk3eq1cr5n 4 ай бұрын
Ubalikiwe sana baba yangu MUNGU aendelee kukuinua zaid na zaid
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana
@shillahelisha8581
@shillahelisha8581 4 ай бұрын
Mm wa kwanza leo❤
@henrylukosy4908
@henrylukosy4908 4 ай бұрын
Ameeeeeeh Sana paster bonny kwa mafuta makubwa MUNGU aliyo Mimina juu yako Barikiwà Sana Hakika limebaki jiwe
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@user-gq5vr9ih5w
@user-gq5vr9ih5w 4 ай бұрын
Hongera kwa wimbo mzuri barikiwa sana 🤝
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Ameen
@eliamanirakiza5127
@eliamanirakiza5127 4 ай бұрын
Amen,ubarikiwe mtumishi
@josaphatnieba9562
@josaphatnieba9562 3 ай бұрын
Ah mon frère, tu as choisi la bonne part en célébrant notre Seigneur, le Roi des rois Jésus Christ notre Seigneur. Tes chansons me font tellement du bien depuis la Guinée Conakry. Pluies de bénédictions sur toi et sur ta famille mon frère en Christ.
@marcelotshilewu
@marcelotshilewu 4 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu kwa wimbo huu mpya Mungu Mungu akubariki kaka
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
❤Asante sana
@ENOCKSAM1015
@ENOCKSAM1015 4 ай бұрын
Pst Bony Mwaitege,neema isikutoke kamwe ❤❤❤❤ from+254
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Ameen napokea
@abeljoseph4300
@abeljoseph4300 4 ай бұрын
Ewaaaa hakuna msiba tena
@irinenjombo3368
@irinenjombo3368 4 ай бұрын
Halleluya halleluya utukufu kwa Mungu, barikiwa sana mtumishi kwa wimbo mzur 🎧🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante ndugu yangu
@benjaminsteven7350
@benjaminsteven7350 3 ай бұрын
On 🔥 fire 🔥 kali sana mungu ongeza miaka baba yangu huyu 😅😅😅😅😅 sauti yake faraja ya wengi.....
@user-rm8lp3tp3s
@user-rm8lp3tp3s 4 ай бұрын
It's nice song may God bless you from mozambique.🌺🌺🌺🌺🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@Maryhawi9592
@Maryhawi9592 4 ай бұрын
Ameen mtumishi ubalikiwe kwa kaz nzuri ❤❤❤❤
@GidioniTumaini-vv3mb
@GidioniTumaini-vv3mb 4 ай бұрын
Amina san🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@hilturdavalence5178
@hilturdavalence5178 4 ай бұрын
Kaz nzur
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
asante
@user-zr8lq9lo8y
@user-zr8lq9lo8y 4 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@Hagaisanga1010
@Hagaisanga1010 4 ай бұрын
Mzuriiiiii wimbo
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
asante
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d 4 ай бұрын
Asante baba nyimbo sahihi wakati sahihi baba
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen Asante sana
@KIBOSIBOSI
@KIBOSIBOSI 4 ай бұрын
Safi sana Askofu Na Mchungaji Mwimbaji pia wa Nyimbo za injili BONNY MWAITEGE Hakika Yesu ni jiwe kuu la pembeni
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Ameeen
@mnyakyusambunifu143
@mnyakyusambunifu143 4 ай бұрын
Duuu Kaka Sio Powa Kabisa Umeupiga Mwingi Limebaki Jiwe
@focusernest5610
@focusernest5610 4 ай бұрын
Amen,,,muimbaji halisi wa injili ❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante
@nyukiuvinza9933
@nyukiuvinza9933 4 ай бұрын
Wimbo mmoja ikikupendeza uende kwa producer Manwater🙏 jamaa anajua sana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu
@danielmatheka9978
@danielmatheka9978 4 ай бұрын
Yesu ameshinda kifo,,,a very encouraging song God bless you man of God 🎉🎉🎉
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
asante
@user-zl5dp6rq2m
@user-zl5dp6rq2m 4 ай бұрын
Barikiwa sana
@mmilly8952
@mmilly8952 4 ай бұрын
❤❤❤Like ya number 83 zikuje. Team gulf.. Team 254🇰🇪🇰🇪🥰🥰🥰na wapenda wote mlio ndaniiii 😘😘
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Ameen
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 4 ай бұрын
Mungu ni mungu me love you somuch dog
@rizikisilau9501
@rizikisilau9501 2 ай бұрын
Mungu akubaliki sana kaka nyimbo zako zinanitia nguvu sana
@user-kd9nk7st9i
@user-kd9nk7st9i 4 ай бұрын
Ubarikiwe mtumish wimbo mzur saaana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana
@bonifacemutemikituo3783
@bonifacemutemikituo3783 4 ай бұрын
Hayupo tena kaburini yesu,,,barikiwa Bonny
@mohest3397
@mohest3397 4 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mko wapi jameni ❤❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Tupo Tz
@FfFf-yb9cp
@FfFf-yb9cp 4 ай бұрын
Amen bony mungu akubariki kwa nyimbo za kujenga mtu imani na kutia moyo .mungu azidi kukuinua na akuweke nyota kubwa sana hapa inchini .kenya tunakupenda sana❤❤🎉❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu
@StephenKasolo
@StephenKasolo 4 ай бұрын
Baraka
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 4 ай бұрын
Amen amen
@meshackcaxocky7783
@meshackcaxocky7783 4 ай бұрын
Wow,nimeipenda,wambie wanyamaze hakuna msiba😅
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Aamen
@EliasdottoBugumba
@EliasdottoBugumba 4 ай бұрын
Waooo ubarikiwe sana na MUNGU kaka angu limebakijiwe
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana
@eliadaokombo7152
@eliadaokombo7152 4 ай бұрын
Hongera kwa wimbo mzuri wa matumaini na ushindi mkubwa Mchungaji Bonny
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana
@JofreyGalibondokaOfficial
@JofreyGalibondokaOfficial 4 ай бұрын
Amina
@eliudhezron181
@eliudhezron181 4 ай бұрын
Kaka bony hajawai kuchuja hakika iko siri katika kumtumikia Mungu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen Asante.
@user-ii8wm5rx1m
@user-ii8wm5rx1m 4 ай бұрын
Kazi nzur baba
@ladyjusticeinspires
@ladyjusticeinspires 4 ай бұрын
Mtumishi barikiwa sana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen
@ChipangoSimon
@ChipangoSimon 3 ай бұрын
Zambia thanks nice music mwata mkushi
@TumainiJohn-je4ns
@TumainiJohn-je4ns 4 ай бұрын
God bless Bonny Mwaitege...forever🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@TumainiJohn-je4ns
@TumainiJohn-je4ns 4 ай бұрын
Yaani mtumishi nyimbo zako zinanibariki....Mungu akuinie zaidi na zaidi🙏
@KamandawaYesu24
@KamandawaYesu24 4 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@abrahamwanyama7952
@abrahamwanyama7952 4 ай бұрын
Karibu jacaranda bony tutakuwa apo mapema on Sunday ❤❤❤❤❤❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana
@SilasChimaswa
@SilasChimaswa 4 ай бұрын
blessed guys let's give our lives to Chris ❤❤❤
@catherinebarasa4467
@catherinebarasa4467 4 ай бұрын
Hallelujah. God loves you so much my brother.thank you for blessing us with God words.much love from Bahrain Vs Kenya.🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤️
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Ameeen Thanks
@catherinebarasa4467
@catherinebarasa4467 4 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@LispafulgenceSimon-rs1zg
@LispafulgenceSimon-rs1zg 4 ай бұрын
Mwanaume yesu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Simba wa kabira la Yuda
@TabiaMwaisumo-ss7pz
@TabiaMwaisumo-ss7pz 4 ай бұрын
Ameen and Ameen sifa na utukufu ni kwako Bwana🙏🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen
@isayalucas6639
@isayalucas6639 4 ай бұрын
Boni ni wa juu sana 👏👏👏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Ubarikiwe ndugu yangu
@user-hr3zr6qg1x
@user-hr3zr6qg1x 4 ай бұрын
Hongera sana
@rosrii6973
@rosrii6973 4 ай бұрын
Nice song😊i really like mwaitege's songs❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
thanks
@tymansphiri4351
@tymansphiri4351 4 ай бұрын
These are the song that change millions of people's life's..keep it up man of God 🙏🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
thanks brother God be with you.
@user-bu2qp6re7f
@user-bu2qp6re7f 4 ай бұрын
Kweli limebaki jiwe hongera sana mkuu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante ndugu yangu
@diuedonneeniyomwungere7837
@diuedonneeniyomwungere7837 3 ай бұрын
Ubalikiwe sana❤❤
@alphamaginyo7461
@alphamaginyo7461 4 ай бұрын
Powerful song he's risen indeed he's in our hearts ❤❤,so inspiring songs may God continue taking care of you and protect your ministry.🎉🎉🎉 Forever his favor follow you.ypu you are blessing to many souls .we love you big from🇰🇪
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Thank you man of God
@josephatmwanjisiofficial9777
@josephatmwanjisiofficial9777 4 ай бұрын
Ameni mkuu
@Elvylizz
@Elvylizz 4 ай бұрын
Revelation 19:11-16, his name is Faithful and True, he has marched forth in power and authority and rule and dominion with the heavenly angelic host bent on defeating and forever thwarting the schemes, snares and traps of the enemy. Victory he has given and the battle is his, HE has roused himself to war, he will not rest till Satan, that ancient serpent, the devil, the accuser of brethren, like a roaring lion, the great prostitute...in hour he will be defeated and destroyed FOREVER. AMEN
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen
@modestkonga9318
@modestkonga9318 4 ай бұрын
Yesu ni jeuri yetu, Thanks dad
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Aaamen
@mwanzafrank2466
@mwanzafrank2466 4 ай бұрын
Hakuna msiba tena..hallelujah
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Hakuna msiba
@Chizoofficial
@Chizoofficial 4 ай бұрын
Yes mwaitege you Made it🔥🔥🔥 SWEET MELODY 🎉🎉🎉
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
thanks brother.
@juniorgospelm7922
@juniorgospelm7922 4 ай бұрын
Hellow Mtumishi wa Mungu!? Kazi nzuri barikiwa sana🙏Naomba kuzungumza na wewe! Upatapo ujumbe huu tafathali nijulishe nikupigie simu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Hakuna shida ndugu yangu karibu sana
@naomindulu2306
@naomindulu2306 4 ай бұрын
God is faithful to is beloved ones. Moe grace brother for God s glory.
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen
@rosekadzokillian9700
@rosekadzokillian9700 4 ай бұрын
Amen.. Pasaka iko karibu jamani
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante
@celestineivayo1343
@celestineivayo1343 4 ай бұрын
Wow Mtumishi wa Mungu Bonny you never disappoints congrats for this wonderful song🎉🎉🎉🎉
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
thanks
@justinegabrielofficial3210
@justinegabrielofficial3210 4 ай бұрын
Hakika Hapana tena msiba
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Ameen
@user-ce6uq8so7z
@user-ce6uq8so7z 4 ай бұрын
Very Blessing man of God ❤❤❤
@user-jn5ft7fw3d
@user-jn5ft7fw3d 4 ай бұрын
Mungu mubalik sana mtumishi wako
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen
@jumajoseph-uw6lr
@jumajoseph-uw6lr 4 ай бұрын
Ubarikiwe sanaa mtumishi 🙏🙏🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
asante
@rosemarry1274
@rosemarry1274 4 ай бұрын
Amen Amen hallelujah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen
@tumaininicodem1906
@tumaininicodem1906 4 ай бұрын
Wimbo mzuri
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
asante
@fideleduardoeduardo8944
@fideleduardoeduardo8944 4 ай бұрын
You are the best Glory be to God Forever. Blessed Man.
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen thanks.
@Bekita-nz7bq
@Bekita-nz7bq 4 ай бұрын
Glory to God 🙏🙏🙏🙏🙏
@laben_tz62
@laben_tz62 4 ай бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe sana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@zainaburuthzainaburuth3376
@zainaburuthzainaburuth3376 4 ай бұрын
Amen and hallalluja🙌🙌🙌
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@onesmusopuko6974
@onesmusopuko6974 4 ай бұрын
God bless you servant, you always inspire me by your songs
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
thank you so much.
@pacifiqueabedi3887
@pacifiqueabedi3887 4 ай бұрын
Hujawai kukosea baba yangu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante
@zainabunaliaka-ki5kd
@zainabunaliaka-ki5kd 3 күн бұрын
Rip bro 😭
@paullulandala8259
@paullulandala8259 4 ай бұрын
Barikiwa mno
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@daudimhoha320
@daudimhoha320 4 ай бұрын
Yesu..ni.jiwe.orijino.🙏
@daudimhoha320
@daudimhoha320 4 ай бұрын
Hakika.yesu.ameshinda.kifo.yesu.niorijino.🙏🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@silaskithekambuviofficial
@silaskithekambuviofficial 4 ай бұрын
A gospel song!
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen.
@ZipoOnline4289
@ZipoOnline4289 4 ай бұрын
God bless you all the time 👏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen thanks
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 26 М.
Bony Mwaitege - 'BADO NAMPENDA'  (Official Music Video) SMS SKIZA 9840971 TO 811
7:28
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 2,4 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 59 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 20 МЛН
MAOMBI YANGU Bella Kombo cover YAFIKE KWAKO AND HIYO DAMU, DAMU TAKATIFU WORSHIP BY DANYBLESS
25:33
Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka  - Ni Salama'' (Official Music Video)
7:47
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
Bony Mwaitege - MWALIMU (Official lyrics Video)
6:33
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 83 М.
Mama Ni Mama
8:39
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 240 М.
Bony Mwaitege - LIMEBAKI JIWE (Official Music Video)
5:36
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 130 М.
Sisi Sote | Bony Mwaitege | Official Audio
8:41
Bony Mwaitege
Рет қаралды 603 М.
Bony Mwaitege - Tumekombolewa (Official Music Video)
6:48
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 119 М.
Yesu Yupo | Bony Mwaitege | Official Audio
9:01
Bony Mwaitege
Рет қаралды 220 М.
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 543 М.
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 992 М.
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 780 М.
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
akimmmich
Рет қаралды 3,7 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 727 М.
BABYMONSTER - ‘FOREVER’ M/V
3:54
BABYMONSTER
Рет қаралды 92 МЛН
Әділет Жауғашар & SUNDET MUSLIM - Бір оқиға [M/V]
3:05
Әділет Жауғашар
Рет қаралды 106 М.