Bony Mwaitege - LIMEBAKI JIWE (Official Music Video)

  Рет қаралды 130,300

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

4 ай бұрын

LIMEBAKI JIWE
Hellow Nakusalimu kwa jina Bwana wetu Yesu Kristo aliyeshinda kifo na mauti naimani kila mmoja wetu yupo katika tafakari kubwa sana husasani nyakati hizi ambazo tunaazimisha ufufko wa Bwana wetu aliyekufa Msalabani kwa dhambi zetu
kwaneema yake mwenyewe ametuwezesha kukuandalia video hii ambayo itatoka mapesa sana siku ya jumatano(kesho)naamini itafanyika baraka sana kwenye maisha yako
kama ndiyo mara ya kwanza unakutana na posti hii Mimi ni Bony Mwaitege muimbaji na mchungaji katika shamba la Bwana.
unaweza kunipata kwa kuandika tuu Bony Mwaitege youtube na ukabarikiwa sana... amefufufka Bony Mwaitege -#limebaki jiwe
Video Produced by : Director willy
For Inquiries Contact us +255 673 734 620 or ndillawilliam@gmail.com
Audio Produced by Nas B - For Inquiries Contact him +255 714 595 432
Distrubuted by - Alfonso Records
For inquiries, contact us at +61422547732 or info@alfonsorecords.com. Elevate your musical experience with Alfonso Records.
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 415
@njiaya6833
@njiaya6833 4 ай бұрын
kama unamkubari bony mwaitege weka like yako hapo
@benmtatemusic
@benmtatemusic 4 ай бұрын
Kaka mtanzania, sio KUBARI ni KUBALI
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
asante
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩

🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@YoanaRashid-fr4mj
@YoanaRashid-fr4mj 2 күн бұрын
Mmh wimbo nzuri. Lkn nilivyoona wadada wanaonyesha shepu zao nimekasirika sn
@Zainah3G
@Zainah3G 4 ай бұрын
kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 well represented chapa likes tukisonga 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
asante
@Zainah3G
@Zainah3G 3 ай бұрын
@@BonyMwaitegeOfficial tumebarikiwa na huu wimbo 🙏
@CARENBULUMA-we9xz
@CARENBULUMA-we9xz 3 ай бұрын
Be blessed man of God 🙏 🙏 🙏 🎉❤​@BonyMwaitegeOfficial
@LynnChep-vl8um
@LynnChep-vl8um 2 күн бұрын
Team smart girls tufikishee 200k
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@johnmanariyo4146
@johnmanariyo4146 2 ай бұрын
SULUWALI ndiyo inafanya nyimbo zake haziene mbele .Ukristo ni suluwali? Hakiri yako timamu kweri ?
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@jacksonmbassaga3860
@jacksonmbassaga3860 2 күн бұрын
Tatizo ni suruali walizovaa wadada zinatoa uwepo wa bwana katika wimbo mzuri nakushauri rudia tena video.
@blessedjedidah786
@blessedjedidah786 3 күн бұрын
There is no death in you ... Let the gospel of God go higher in Jesus name 🙏
@SAYARIDIGITAL232
@SAYARIDIGITAL232 3 ай бұрын
Kufaulu kwa msanii aumefaulu,lugha na Mukitadha wa picha jongefu,, tatizo kubwa kuliko yote hapo ni wanawake kuvaa suruali je, Tunaposema injili na miziki ya dunia ni vitu viwili tofauti kabisa. "Kuna TOFAUTI Kati ya Anayekutizama na anyekusiliza Maudhui" hii sijapendelewa kuona suruali. Ahsante sana
@belindasimiyu2142
@belindasimiyu2142 Күн бұрын
Nyimbo nzuri Baba. Tangu zamani ushindi uko kwetu aah nabarikiwa kila wakati na nyimbo zako mungu akuzidishie neema🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 3 ай бұрын
Waooooh asante mtumishi bony mwaitege mnapotea sana wasani wetu wa dini mpaka tunazama kwenye bongo forever 😂😂😂😂😂
@jeremiafurugutu7524
@jeremiafurugutu7524 3 ай бұрын
Hongera kwa wimbo HAKIKA LIMEBAKI JIWE. Nafurahia unavyobaki wewe katika ulimwengu unaobadilika.
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@user-of7ms8is3s
@user-of7ms8is3s 3 ай бұрын
Truly i knew Bony mwaitenge when i was class around three now am in campus.This man he didn't call himself he was called by the Most High.Amen.Father Continue ministering to us may the Lord bless you with 1M subscribes.❤❤❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Thank you so Much
@HakeemWilliams1
@HakeemWilliams1 3 ай бұрын
Asante sana Boni kwa wimbo mzuri wa Limebaki Jiwe! Hakika, Yesu amefufuka. asante pia kwa Alfonso Records kwa kuhakikisha usambazaji mpana wa wimbo huo Ni vizuri sana kwamba naweza kusikiliza nyimbo zako mahali popote na wakati wowote, na Director Willy kwa uzalishaji mzuri sana wa video, na mtayarishaji wa sauti kwa melody nzuri sana. Hakika kazi nzuri sana! Mungu Akubariki Bony
@INNOLENJEMET
@INNOLENJEMET 2 күн бұрын
Hakika mungu akubalik sana mtumishi wa mungu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wew nijiwe
@abbyimbukwa3835
@abbyimbukwa3835 2 күн бұрын
Injili isonge mbele... hakuna msiba much love from 254
@user-io2rj2yp5d
@user-io2rj2yp5d 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana baba mtumishi
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩quebec latorati 22:5 😢
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@EmmanueliZani-ur9bi
@EmmanueliZani-ur9bi 3 ай бұрын
Mwaitege umechemka kutuwekea wanawake wavaa Suluali. Pole sana.
@user-ex9oz1kw7n
@user-ex9oz1kw7n 3 ай бұрын
Ule bonny mwaitega wa njoo ufanyiwe alienda wapi 😢anyway ujumbe ushapata kaburini ayupo tena
@andamaemmanuel4359
@andamaemmanuel4359 2 күн бұрын
Thanks for being lively for the gospel...no retirement...until the end...God bless you servant of God.
@GoodluckMwilela
@GoodluckMwilela Күн бұрын
Vizuri sana n'a ubarikiwe
@yamfashijerosette7094
@yamfashijerosette7094 4 ай бұрын
❤❤❤ indirimbo zawe ziranyubaka🙏
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@emmanuelpius6387
@emmanuelpius6387 2 күн бұрын
Nitarudi badae nilikuja kuangalia tu kama amekufa kweli kumbe hayupo limebaki jiwe😂
@esthernduga2101
@esthernduga2101 3 ай бұрын
Eeeeeeh Nyimbo zako zakungumuzi kindani, am blessed so much with your songs
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@izhyoomwakisambwe759
@izhyoomwakisambwe759 3 ай бұрын
Mtumishi boni mwaitege MUNGU akuinue sanna Sana nabalikiwa sanna na nyimbo zako songa mbele Baba
@innocentkitonga6776
@innocentkitonga6776 3 ай бұрын
Very powerful,,kweli akuna kulia Tena,,,how I pray I be like you man of God
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5😢😢😢
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku
@ErickDibwe-pm5qp
@ErickDibwe-pm5qp 4 ай бұрын
Ubarikiwe baba mutumishi kwa wimbo
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
asante
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@ApostleBRIAN-qe2hv
@ApostleBRIAN-qe2hv 3 ай бұрын
From Kenya man of God l like your songs aky
@Phoebenafula
@Phoebenafula 4 ай бұрын
👏👏🥁🥁💃💃💃💃💃Tweñdeee injili lazima iende mbele, keep going team strong ya bonny mwaitege, Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Ahsante sana
@Phoebenafula
@Phoebenafula 3 ай бұрын
@@BonyMwaitegeOfficial continue shanning in jesus name
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@sharoncheptoo465
@sharoncheptoo465 3 күн бұрын
😢😢rest well bony nimeona news nikastuka sana
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
😭🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
😭 suluali 🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@niyingwaniraolave-co1zf
@niyingwaniraolave-co1zf 3 ай бұрын
Wambie wajua yakwamba amefufuka amshinda kifo.unastahili milioni zaidi ya vieus we love you from 🇧🇮
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu
@candidadilemile5882
@candidadilemile5882 4 ай бұрын
Amen Amen Amen God bless you 🙏❤
@RoseMdesa-cc2vm
@RoseMdesa-cc2vm 3 ай бұрын
Amefufuka YESU oooooo limebaki jiwe tuuuuuuuu
@JohnMakambo-td1kb
@JohnMakambo-td1kb 4 ай бұрын
Nyimbo tamu kweli
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Asante
@Valentinomichael367
@Valentinomichael367 4 ай бұрын
Ameeen 🔥🔥🔥🔥this song
@ChegveraenerstMagufuli-wl5nc
@ChegveraenerstMagufuli-wl5nc 4 ай бұрын
Wakwanza leo naombeni 💯 likes zangu kwenye wimbo wa Bony Mwaitege 🙏🙏🙏🏼📖📖♥️🇯🇲
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
asante
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mwaitege kwa huduma na utumishi wako wa kiimani juu ya ushindi wa Bwana wetu Yesu kristo
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 4 ай бұрын
❤❤❤❤ wimbo nzuri sana himeninguza moyo Wang 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
amen
@user-jr7ce7lo4k
@user-jr7ce7lo4k 3 ай бұрын
Nakukubali sana mtumishi wa Mungu.​@@BonyMwaitegeOfficial
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@rebecanjinge8603
@rebecanjinge8603 3 күн бұрын
Wimbo unatia nguvu lakn kwann uruhusu wavaa suruali😥😥😥😭😭😭ni msiba kwa kanisa kwamba hawakuweza tuu kujistiri japo siku Moja watoe album 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu atufungue fahamu zetu
@isaya.m.mwakapesa9808
@isaya.m.mwakapesa9808 3 ай бұрын
Mimi ISAYA MWAKAPESA nakukubali sana baba angu bony mwaitege kweli amefufuka na ameshinda kifo nakukubali sana baba na na MUNGU Akubariki sana Kwa wimbo mzuri huuu
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Asante ISAYA
@papatomaso4874
@papatomaso4874 3 күн бұрын
Akuna msiba tena
@emillyajiambo4703
@emillyajiambo4703 4 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 with God everything is possible
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@alikomwandelile7158
@alikomwandelile7158 3 ай бұрын
Mwalimu wangu mwenyewe ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana Sana tupo pamoja
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Asante sana Mchungaji MWANDELILE kwa maombi yako kwangu.
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@niyomwungerebonnide2821
@niyomwungerebonnide2821 4 ай бұрын
Tunabalikiwa sana na ujumbe wako bonny may God bless you
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@EZRALWESHA-gn4wm
@EZRALWESHA-gn4wm 3 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri ubalikiwe mtumishi.
@teclasicho94
@teclasicho94 4 ай бұрын
Wauh ❤❤❤❤
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@faithmutheu171
@faithmutheu171 4 ай бұрын
First one to view.... Nipe likes za Bonny tukisonga mbele🎉
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 3 ай бұрын
Udogo wangu nimeishi nakusikia namtukuza Mungu kwa hili🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
asante
@joankenya3479
@joankenya3479 4 ай бұрын
Amina na Amina
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@chetrizaza610
@chetrizaza610 4 ай бұрын
Be blessed man of God 🙏🙏🙏
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@silascheminingwa5925
@silascheminingwa5925 4 ай бұрын
Amina. Mwanaume ni yesu.🎹📯🎤🎼
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@christophermteulle-ko3yb
@christophermteulle-ko3yb 3 ай бұрын
Amina mtumishi bony, wimbo huu unanibariki Sana . Congratulations 🎉
@TeresiahMugure-fn5gh
@TeresiahMugure-fn5gh 3 ай бұрын
Hallelujah wimbo wa baraka,,,amefufuka Yesu Kristo ameshinda kifo hakuna kilio tena..nimebarikiwa sana hongera mtumishi wa Mungu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Asante sana
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@Namvua476
@Namvua476 3 күн бұрын
Live long Bony🇰🇪
@caltonjackton9870
@caltonjackton9870 4 ай бұрын
Hongera mkuu kazi njema
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@Ibrahimmwakyando7151
@Ibrahimmwakyando7151 3 ай бұрын
AMEN mtumish mungu asikupungukie
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
asante
@user-vv8wc8gg7p
@user-vv8wc8gg7p 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉wimbo mzili sana
@patrickndizeye2190
@patrickndizeye2190 3 ай бұрын
Muenyezi Mungu awazidishiye baraka❤
@KingPDLTO-gp7ft
@KingPDLTO-gp7ft 3 ай бұрын
wow i don't have much to say but to ask God for blessing and to wish to meet you real life in my life time. all Love baba. mbalikiwe sana na Mungu.
@leontinebinlydi9459
@leontinebinlydi9459 4 ай бұрын
Amen amen ✊️
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@JohnCharleston-hv9iz
@JohnCharleston-hv9iz 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana Bonny, translation niliifurahia sana. Tafadhali ijumuishe zaidi kwenye nyimbo zako zinazofuata. Asante na timu yako ambao wamefanya utayarishaji na utafsiri. Mungu akubariki.
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Ameni Asante sana
@justinebanigwa
@justinebanigwa 3 ай бұрын
Ushindi uko upande wetu..The living Legend, 🙏🙏🔥
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@monicandanu5642
@monicandanu5642 3 ай бұрын
Ni kweli hakuna msiba. tena
@johnjulius9582
@johnjulius9582 4 ай бұрын
Baraka na utukufu kwake
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Amen
@ammymwakitalu
@ammymwakitalu 3 ай бұрын
MTUMISHI WA MUNGU NA BARIKIWA SANA NA WIMBO HUU KAZI NZURI SANA PASTOR BONY UBARIKIWE
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Asante sana
@FollowGospelSingers
@FollowGospelSingers 3 ай бұрын
Aaa kakaa tam 🎉🎉🎉Sana hiyo kaka 🎉🎉🎉
@user-pn7sd9mk6w
@user-pn7sd9mk6w 4 ай бұрын
Be blessed
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@evansmuchu6230
@evansmuchu6230 4 ай бұрын
Mungu akubariki wewe unapojitoa 🙏🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Ameen
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@owenmmanga
@owenmmanga 4 ай бұрын
Thanks my brother for translating in English God bless you and your team all the time 🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Thank you too
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
thank you God bless all
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 4 ай бұрын
Amen kazi njema daddy
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@lusajosajent5487
@lusajosajent5487 3 ай бұрын
Eloli eehh!!
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@juniornyamwange2320
@juniornyamwange2320 3 ай бұрын
Thanks for this song nimefuta machozi💓🙏🙏🙏🙏
@jonathanmwakai2821
@jonathanmwakai2821 3 ай бұрын
Kazi safi sanaaa ❤
@obedymwilenga7490
@obedymwilenga7490 3 ай бұрын
Mtumishi chapa kazi cc tumeona wimbo umetubariki sana achana nao hao wanao ona suluali cc hivyo havionekani god bless you bony mwaitege 😂😂😂😂😂😂😂
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Asante
@BISHOPLUTENGANOMWAKALIBULE
@BISHOPLUTENGANOMWAKALIBULE 3 ай бұрын
Pamoja sana mcha Mungu
@LameckPatrick-co9nr
@LameckPatrick-co9nr 3 ай бұрын
Mwalimu wangu mungu akubariki Sana wimbo mzuri sana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Asante sana
@user-hq5iq5bp8h
@user-hq5iq5bp8h 3 ай бұрын
Wimbo huu imenibariki❤nafuraha
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Asante
@user-hq5iq5bp8h
@user-hq5iq5bp8h 3 ай бұрын
Amen uendele na ubarikiwe milele na milele usirudi nyuma na songa mbele
@aime6186
@aime6186 3 ай бұрын
Mungu Akubariki saana Nimebarikiwa saana ❤
@barakanimfa6773
@barakanimfa6773 3 ай бұрын
So nice I like the music 🎵🎉 congratulations
@samsonmogaya7312
@samsonmogaya7312 4 ай бұрын
Napenda sana songs zako,nko Kenya
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Asante sana
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Ah😭😭bony ah Nyimbo zako azende bele kwamana umetoka muma pezi ya mungu wanawake wana vaa suluwali 😠paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge🇨🇩🇨🇩
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
@Victoirepopole662
@Victoirepopole662 3 ай бұрын
Barikiwa Baba
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Ameen
@jimmyngata
@jimmyngata 3 ай бұрын
Barikiwa mtumishi...
@Franckmulaj-Officiel
@Franckmulaj-Officiel 3 ай бұрын
Mungu asifiwe ubarikiwe sana mutumishi wa mungu wa juu ❤❤❤❤,na kupenda sana natafuta sana number zenu kabisa
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Karibu sana
@NgoyNgongoj
@NgoyNgongoj 3 ай бұрын
Nafurahi kwa wimbo tumekombolewa,hakika nimekombolewa kwa damu yake yesu,mungu awabariki sote
@hellenrichard187
@hellenrichard187 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba❤
@luzirojanson2730
@luzirojanson2730 3 ай бұрын
Mtumishi huyu namkubali hajawahi kuniangusha
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
asante
@jofreymfugale4752
@jofreymfugale4752 3 ай бұрын
Ujumbe mzur imetoka wakat sahihi
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Asante sana
@user-xl4zf8gi2i
@user-xl4zf8gi2i 3 ай бұрын
Amina❤ mtumishi wa MUNGU UBARIKIWE SANA
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
asante
@pauldaniel6227
@pauldaniel6227 3 ай бұрын
Bonge la ngoma baba umetisha sana god bless
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
asante
@jovialbenofficial
@jovialbenofficial 3 ай бұрын
Ujumbe wa USHINDI Mtumishi🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
amen
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 4 ай бұрын
Ongela sana Kaka yangu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
Ahsante sana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
karibu
@JustusKimeli
@JustusKimeli 3 күн бұрын
​@@BonyMwaitegeOfficialnapenda nyimbo zako huku kenya
@MusukwaAmos
@MusukwaAmos 3 ай бұрын
Mungu akubaliki Sana mutumishi wa mungu am Amos musukwa from Zambia
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 3 ай бұрын
asante
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 3 ай бұрын
Aamen
@user-mm1zq8wj7x
@user-mm1zq8wj7x 4 ай бұрын
Ongela rafiki yangu Born
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩😭😭Mtumishi bony nyimbo zako aziedembele kwamana umetoka mumapezi ya MUNGU wanawake wana vaa suluwali,paschal cassian uko wapi umuonye bony mwaitenge😭🇨🇩🇨🇩kumbukubu latorati 22:5 😢
@ruthmutaba4665
@ruthmutaba4665 3 ай бұрын
🇨🇩😭Mimi uku Congo kwazia album ya matendo 2009 nilikuwa Na miaka 10🇨🇩Hivideo imeharibika wanawake wana vaa suluali 🇨🇩😭😭 uku Congo waimbaji wegi wame aribika wame vaa suluali 🇨🇩🇨🇩😭 uku kumbukumbu la torati 22:5
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 26 М.
Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka  - Ni Salama'' (Official Music Video)
7:47
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 105 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН
ROSE MUHANDO PERFORMING LIVE AT LIKONI CRUSADE
9:13
Dr. WILSON TAYO SWAHILI CHANNEL
Рет қаралды 951 М.
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 167 М.
Bony Mwaitege - MWALIMU (Official lyrics Video)
6:33
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 83 М.
Bony Mwaitege - Tumekombolewa (Official Music Video)
6:48
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 119 М.
Bahati Bukuku ft Bony Mwaitege - Dawa Yangu (Official Video)
5:45
Bahati Bukuku
Рет қаралды 545 М.
Bony Mwaitege - 'Neema Imenibeba' (Official Music Video)
7:51
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 670 М.
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
HYBE LABELS
Рет қаралды 21 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 543 М.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 52 МЛН
Munisa Rizayeva - Aka makasi (Official Music Video)
6:18
Munisa Rizayeva
Рет қаралды 8 МЛН