Bony Mwaitege - Tumekombolewa (Official Music Video)

  Рет қаралды 119,622

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

4 ай бұрын

Tumekombolewa kwa damu ya yesu #tumekombolewa
Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Video Produced by : Director willy
For Inquiries Contact us +255 673 734 620 or ndillawilliam@gmail.com
Audio Produced by : Combination Sound (Man Water)
Distrubuted by - Alfonso Records
For inquiries, contact us at +61422547732 or info@alfonsorecords.com. Elevate your musical experience with Alfonso Records.
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
Bony Mwaitege - Tumekombolewa
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 281
@JohnRobin_KE
@JohnRobin_KE 4 ай бұрын
Leo mimi wa kwanza humu.
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana
@gladnesssanga1601
@gladnesssanga1601 3 ай бұрын
Tangu utoto wangu napenda vile Bonny mwaitege anacheza be blessed , nakumbuka ile nyimbo soma mwanangu ilinipa hamasa sana ya kusoma kila nikiitazama
@carolinekathambiregina8409
@carolinekathambiregina8409 3 ай бұрын
Tumekombolewa kwa damu ya Yesu ,,,kwa mikono ya madui zetu in Jesus christ team strong likes zenu please.
@user-bm3vb3jp8p
@user-bm3vb3jp8p 13 күн бұрын
Moyo wangu unarudi kwa Yesu Kila nikisiliza au kuangalia hi nyimbo,,Ubarikiwe Mtumishi Bony mwaitege
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi bony ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
@Solomyzerkeofficial
@Solomyzerkeofficial 3 ай бұрын
Mziki mtamu saana , tumekombolewa kweli.... Ubarikiwe sana...siku zote wanifunza kupitia kwenye nyimbo nzuri hivi. Nakusubiri jijini Nairobi we're going to enjoy it
@BrianObonyo-ox6uw
@BrianObonyo-ox6uw 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi 🇰🇪 you never disappoint
@UNITEDPRODUCTIONGROUP
@UNITEDPRODUCTIONGROUP 4 ай бұрын
His among the best
@phoebeadikinyi3441
@phoebeadikinyi3441 4 ай бұрын
Hakika tumekombolewa kwa damu ya yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏zidi kutuweka huru yesu
@Alfredmusa24
@Alfredmusa24 4 ай бұрын
Tunaingia Pasaka na wimbo huu🙏🏻 hongera sana Mtumishi. Utukufu kwa Bwana.
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana
@user-cx4jl6wk6m
@user-cx4jl6wk6m 4 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏...Asante Bwana Yesu kwa kunikomboa kwa damu yako
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@IbrahimNzogela
@IbrahimNzogela 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤Asante baba mung akupe maisha marefu tuzid barikiwa na nyimbo zako .
@DavidBaraka-ub1ct
@DavidBaraka-ub1ct 4 ай бұрын
🇨🇩 kwa kweli papa Bony Mwaitege bado ana tu zihirishiya kuwa huduma haizeeki God bless baba❤
@SAMUELMUNISHI
@SAMUELMUNISHI 4 ай бұрын
Baraka tele mtumishi bonny naomba tufanye kazi na wewe bonny niko kenya nairobi
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Hakuna shida ndugu karibu
@opizee3827
@opizee3827 4 ай бұрын
❤❤❤First to comment hizo likes sa wakenya sikam through
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
asante
@W_Konk_Tm
@W_Konk_Tm 4 ай бұрын
Hallelujah you the best of bony mwaitege
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
thanks
@JeaninnNduwayesu-cw8ni
@JeaninnNduwayesu-cw8ni 4 ай бұрын
Haleluya Aminaaaa Uinuliwe Mwokozi wetu yesu Damu Yako Niyasamani kwetuu Ubalikiwe Ndugu
@GloryGloria-pm7ce
@GloryGloria-pm7ce 4 ай бұрын
Ndugu yangu huwa nabarikiwa na nyimbo zako sana ,asifiwe yesu
@MaryWamboi-lz9xi
@MaryWamboi-lz9xi 4 ай бұрын
Kenya tumekombolewa👏👍
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 4 ай бұрын
Tumeeekombolewa×3 kwa damu ya YESU
@philipmbithi4051
@philipmbithi4051 3 ай бұрын
Hallelujah 🙏🙏🙏tumekombolewa na Damu ya YESU!!! AMEN
@jovialbenofficial
@jovialbenofficial 4 ай бұрын
Ujumbe mzuuuuri SANA🎉🎉🎉
@FabienIrambona-lt9np
@FabienIrambona-lt9np 4 ай бұрын
Kwiliii tumekombolewa kwa Damu YESU
@lennyonec.e.omtotowacommun7371
@lennyonec.e.omtotowacommun7371 4 ай бұрын
Amen thank you sir bonny God bless you
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen the same to you.
@samwelawayesu
@samwelawayesu 4 ай бұрын
Noma sana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
asante
@patrickndizeye2190
@patrickndizeye2190 3 ай бұрын
Tumekombolewa kwa famu ya Yesu.Damu yenye ngvu❤
@jaysonjeremaya8925
@jaysonjeremaya8925 4 ай бұрын
Legendary WA Gospel music, Baba hongera Sana ,nami huku nimekombolewa Na damu ya Yesu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu
@nancyshikuku-vs9le
@nancyshikuku-vs9le 4 ай бұрын
Hallelujah hallelujah ameeen..tumekombolewa kwa damu ya yesu...MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU.
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen asante
@JohnRobin_KE
@JohnRobin_KE 4 ай бұрын
Tumekombolewa kwa damu ya yesu. Wapi likes za Yesu?
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@user-gc2rd8ln3v
@user-gc2rd8ln3v 4 ай бұрын
Amen Amen hakika tumekombolewa kwa dam ya Yesu
@raimundosantana4263
@raimundosantana4263 4 ай бұрын
​76@@user-gc2rd8ln3v
@PASTEURGENEROSEKABAKA
@PASTEURGENEROSEKABAKA 3 ай бұрын
❤❤❤
@Samoei-n3b
@Samoei-n3b 3 күн бұрын
What's happening all over social media ​@@BonyMwaitegeOfficial
@marlineisiji414
@marlineisiji414 4 ай бұрын
To those listening to this song right now and those who listened to the first album when our bonny started his journey ,please comment if you can note that the beat doesn't get lost and it will remain to be the best beat ever,this guy deserves a trophy for his musical journey ,mfalme belshazai is still in me ,much unlimited love from my family and I right here in Kenya ,bonny to the world .
@prince001tv5
@prince001tv5 4 ай бұрын
Asante Mungu Kwa ukombozi
@masindebonnie
@masindebonnie 4 ай бұрын
Blessings watching from NYS TC Mombasa Kenya🙏🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
thanks
@nehemiahsamsony1085
@nehemiahsamsony1085 4 ай бұрын
❤❤❤❤ mungu akulinde mtumishi
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
asante
@Bekita-nz7bq
@Bekita-nz7bq 4 ай бұрын
Tumekombolewa kwa damu ya yYesu🙏🙏🙏🙏🙏, AMEN 🙏🙏🙏🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@emmanuelmwanjala7574
@emmanuelmwanjala7574 4 ай бұрын
Fireeeeee
@isackphares
@isackphares 4 ай бұрын
Born mwaitege Mungu akupe maisha malefu Muno naamini siku moja nitafanya japo wimbo mmoja na wewe
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante pia karibu sana
@celestineivayo1343
@celestineivayo1343 4 ай бұрын
Wow am so blessed by this song indeed we are saved by the blood of Jesus christ may God bless you Man of God Bony🎉🎉🎉
@RichardMuteke
@RichardMuteke 4 ай бұрын
Courage❤
@BENCBOYOFFICIAL193
@BENCBOYOFFICIAL193 4 ай бұрын
A man a man🙏🙌🔥🇰🇪
@visionman8277
@visionman8277 4 ай бұрын
Siku hizi hakuna mahaba...na mapenzi ya mkataba.... Mbona nasikia beat kama hiyo au ni masikio yangu mabovu😭😭😭😭😭
@EricDaniel-do5rw
@EricDaniel-do5rw 4 ай бұрын
Nimebarikiwa sana,mungu asifiwe
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sama
@user-tf2gw6yp8u
@user-tf2gw6yp8u 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa nyimbo zako zinatuinua 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@alineniyonkuru
@alineniyonkuru 3 ай бұрын
Nami nImekomborewa Amen Ubarikiwe Sana
@mnyakyusambunifu143
@mnyakyusambunifu143 4 ай бұрын
Umeupiga Mwingi Kaka Hongera Bonge la Nyimbo
@danielselemani6868
@danielselemani6868 4 ай бұрын
Niko mu congo namna nakupenda saaana
@kaybarakadoenoce
@kaybarakadoenoce 4 ай бұрын
Nice song keep up the good work and be blessed🎉
@patrickmambwe4936
@patrickmambwe4936 2 ай бұрын
Tumekombolewa kwa damu yasu alitufwila palupanda pamebu shesu amalumbo yabaekulitata mumulul🤘🙏🙏🙏🙏🇿🇲🇿🇲🌷🚶‍♂️🇿🇲
@judithpraisesmusic
@judithpraisesmusic 4 ай бұрын
i love this song, be blessed the servant of the most high God
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
thanks
@gladnesssanga1601
@gladnesssanga1601 3 ай бұрын
Amen nimekombolewa kwa damu ya Yesu 🙏🙏
@alexmwendwa6582
@alexmwendwa6582 4 ай бұрын
from kenya more love man of God
@Alexander-thomas04
@Alexander-thomas04 4 ай бұрын
I'm blessed 🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
thanks
@lilianwanjala2396
@lilianwanjala2396 3 ай бұрын
Amen tumekomkobolewa kwa damu yasu🙏🙏🙏
@user-sh3en3xj6x
@user-sh3en3xj6x 4 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu uzid kuhubir injil kwa njia ya uimbaji wako! Una barik weng baba 😊
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante Napokea
@herimboya
@herimboya 4 ай бұрын
Wow! Hongera sana kaka yangu, hujawahi kutuangusha😋😊🔥🔥
@Phoebenafula
@Phoebenafula 4 ай бұрын
👏👏👏👏Tumekombolewa Kwa damu ya yesu
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 4 ай бұрын
Waaooo haujawahi kutufelisha mchunga Bony mwaitege ,umenikumbusha zamani wakati tunasifu na kuabudu kwa kutumia Ngoma za asili za kusuka na ngozi. Naombeni like zeke mwaitege angalau 50 tu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana
@Fr-jonasIlunga-nn9bw
@Fr-jonasIlunga-nn9bw 4 ай бұрын
Alléluia 🙌🙌🙌
@zionfahariofficial2057
@zionfahariofficial2057 4 ай бұрын
Bonney Mwaitege My music dad,Comecomeee🔥🔥🔥🔥❤️
@DjColoo254official01
@DjColoo254official01 4 ай бұрын
Blessed
@user-lr9jk5wb1v
@user-lr9jk5wb1v 3 ай бұрын
Maestro en Jésus -Christ de Nazareth monté encore nous t'aimons beaucoup 🇨🇩🇨🇩💐💐 Grâce sur Grâce 🔥
@rosekadzokillian9700
@rosekadzokillian9700 4 ай бұрын
Amen, tumekombolewa kweli
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 4 ай бұрын
Amen kamanda wa yesu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@lupastarentartainment7144
@lupastarentartainment7144 4 ай бұрын
Kazi nzuri!
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
asante
@Nim68182
@Nim68182 4 ай бұрын
Tumekombolewa na damu ya YESU 🎉🎉🎉🎉 maua kwako mwaitege ❤
@Maryhawi9592
@Maryhawi9592 4 ай бұрын
Tumekombolewa jaman ubalikiwe kwa kaz nzur 👏👏👏👏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 4 ай бұрын
Amen,hakika tumekombolewa na damu ya yesu kristo
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante
@HappyMsuya-og7ok
@HappyMsuya-og7ok 3 ай бұрын
Ameen tumekombolewa kwa damu ya yesu
@zainaburuthzainaburuth3376
@zainaburuthzainaburuth3376 4 ай бұрын
Hallalluja🙌🙌🙌.
@emmanuelmwanjala7574
@emmanuelmwanjala7574 4 ай бұрын
Tumekombolewa ni atar na nusu barikiwa Sana mtumishi bony 🎉🎉🎉🎉🎉
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 4 ай бұрын
Haleluya nimekombolewa kwa damu ya YESU 👏👏👏👏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@mightykenkenn1964
@mightykenkenn1964 4 ай бұрын
aameennn ...god bless yo
@rebekabethueli1859
@rebekabethueli1859 4 ай бұрын
Aminaa mtumishii tumekombolewa Kwa damu ya yesu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@monicandanu5642
@monicandanu5642 4 ай бұрын
Amen ni kweli tumekombolewa
@djtwinstar254
@djtwinstar254 4 ай бұрын
i do like this music all the time
@plasdomligo2403
@plasdomligo2403 4 ай бұрын
Ooohh🎉 hallelujah barikiwa sana pastor
@lightfinekagoni3047
@lightfinekagoni3047 3 ай бұрын
Barikiwa sana kwa kazi nzuri
@nuruurio8319
@nuruurio8319 4 ай бұрын
Tumekombolewa kwa Damu ya Yesu. Ni kwa huruma zake tuuuu. Bonny mwaitege una kitu ndani yake
@UNITEDPRODUCTIONGROUP
@UNITEDPRODUCTIONGROUP 4 ай бұрын
His among blessed one
@JudicaelleGatali
@JudicaelleGatali 4 ай бұрын
Tumekombolewa ni atar na nusu barikiwa sana mtumishi bony 🙏🙏🙏💖💖💖
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante sana
@mmilly8952
@mmilly8952 4 ай бұрын
254🇰🇪 ndaniiii 😘😘 tume kombolewa kwa damu ya Yesu 🥰
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Asante
@bonifacemutemikituo3783
@bonifacemutemikituo3783 4 ай бұрын
The song is wow,,,katulia tu vizuri,,,such blessing song
@daudimhoha320
@daudimhoha320 4 ай бұрын
Hakika.tumekombole.na.Damu.ya.yesu.
@daudimhoha320
@daudimhoha320 4 ай бұрын
Haleluyaa.tumekombolewa.na.Damu.ya.yesu.hakika.Damu.yayesu.niorijino
@candidadilemile5882
@candidadilemile5882 4 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏in the blood of Yesus Christ❤
@anacletkabongo8144
@anacletkabongo8144 4 ай бұрын
I'm congolese DRC and i love your songs,be blessed man of God
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
aimen thank yuo
@user-qw2ir8mw9w
@user-qw2ir8mw9w 3 ай бұрын
Félicitations papa Bony pour la chanson et que Dieu vous bénisse abondamment
@JoyMwash-ou5bw
@JoyMwash-ou5bw 3 ай бұрын
God bless you 🙏 ❤️ 🙌 nimekombolewa
@stephennyimbili4904
@stephennyimbili4904 4 ай бұрын
Tumekombolewa na damu ya yesu🎉🎉and watching you from Zambia
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
thanks
@user-nm5mk3cb3w
@user-nm5mk3cb3w 4 ай бұрын
Aminaa Sanaa Kweli tumekombolewa hakuna Cha kututisha sie Tena Asante sana YESU Ubwarikiwe sana baba
@joankenya3479
@joankenya3479 4 ай бұрын
Amina. Tumekombolewa kwa damu ya Yesu.
@ErnestFomo
@ErnestFomo 4 ай бұрын
Nime komboleea na yesu
@walterongaga
@walterongaga 4 ай бұрын
Limeimbwa neno la wokovu. Barikiwa ndugu Mwaitege
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
amen
@TonysOtieno
@TonysOtieno 4 ай бұрын
Swine Mile 👏👏
@yohanasyelang2656
@yohanasyelang2656 4 ай бұрын
Be blessed bro!
@DavidTirra
@DavidTirra 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@johnbernad3990
@johnbernad3990 4 ай бұрын
Hallelujah hallelujah Glory to God Glory to God nauona uwepo wa Roho Mtakatifu kwenye wimbo huu kila niusikilizapo naziona nguvu za Roho Mtakatifu zikishuka
@user-lr9jk5wb1v
@user-lr9jk5wb1v 3 ай бұрын
Amen Amen 🤲 je croi Serviteur de Dieu vivant 🇨🇩💐💐🙌🙌🙌
@user-hr3zr6qg1x
@user-hr3zr6qg1x 4 ай бұрын
Nikiwa mdogo nilikua nasema sitawahi msahau mwimbaji bony mwaitege, Asante Kwa wimbo mzuri 🙏🙏
@charlesrashidi6028
@charlesrashidi6028 4 ай бұрын
Safi sana na ubarikiwe mutumishi wa Mungu ❤👍
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 4 ай бұрын
Amen
@user-mb3zq6fq7k
@user-mb3zq6fq7k 4 ай бұрын
Merveilleux, depuis Mbujimayi RDC.
@yusuphabonike1050
@yusuphabonike1050 4 ай бұрын
Msanii wangu pendwa Mwaitege Mungu akutunze sana ile ngoma yakuomba msamaha siyo ujinga inaishi sana kichwani kwangu na hii tena tumekombolewa aisee endelea hivo kaka mkubwa.
@CosmasMunge-mb2cg
@CosmasMunge-mb2cg 4 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@Innocentswai120
@Innocentswai120 4 ай бұрын
Kaz nzuri mtumishi
Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka  - Ni Salama'' (Official Music Video)
7:47
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 26 М.
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 23 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1 МЛН
Yakobo Mwamboya  _Najivunia_  (Official Music video)
6:14
Yakobo Mwamboya
Рет қаралды 2,6 М.
Rose Muhando - Wanyamazishe (Official Music Video) SMS SKIZA 7634235 TO 811
7:20
Rose Muhando Official
Рет қаралды 27 МЛН
NEW VIDEO NIMEZIDIWA paschal cassian offiacal
7:19
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 45 М.
Bony Mwaitege - TUTASHINDA(Official Music Video)
6:12
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 95 М.
Mama Ni Mama
8:39
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 239 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,9 МЛН
Bony Mwaitege - Acha Nizaliwe (Official Music Video)
6:58
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 2,8 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 897 М.
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 321 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 7 МЛН
Zattybek & ESKARA ЖАҢА ХИТ 2024
2:03
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 532 М.
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 1,5 МЛН
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 992 М.