Рет қаралды 154,494
Hellow ndugu zangu ulimwenguni kote, ule wimbo wetu wa Nikwaneema sasa tumeufanya kwa upya na naamini utakubariki sanaa,
#neemaimenibeba
Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
Bony Mwaitege -Neema Imenibeba
MUNGU AKUBARIKI SANA.