Karibuni sana ndugu zangu nabarikiwa sana kuwaona mnaendelea kupenda kile ninachokileta kwenu,naomba tusambaze kwa wingi zaidi ili tubarikiwe kwa pamoja
@nikodemmwahangila333411 ай бұрын
Mimi napenda sana askof
@m.m.tvmbebamaono11 ай бұрын
Haujawi kutufelisha mtu wa Mungu barikiwa hapa nachezesha shingo taratibu na mgongo wapi Mchungaji bony naomba rimix mtumishi
@ezluckvoice111011 ай бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU 🙏
@YonnaEMgaya11 ай бұрын
Mimi wa kwanza kuitazama Naomba likes zangu ... Another level kutoka Kwa Mtumishi wa Mungu Bonny Mwaitege
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
Barikiwa sanaa
@anacletkabongo814411 ай бұрын
Mungu Awa bariki sana pasta Boni unitumiye number zako y'a WhatsApp napenda tukutana APA daré salam
@maureenironlady19885 ай бұрын
Wauh! This one is a hit my ringtone God bless you abundantly BABA 💕🙏🏾💕☺️
@DIEMEMUGISHA11 ай бұрын
Mimi naamin jinalayesu linanguvu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@PerisChari11 ай бұрын
Jina la Yesu Kristo ni juu ya majina yote na sisi tutashinda in Jesus name 🙏 🙏 🙏
@mrnickmusician713911 ай бұрын
Hongera sana ❤❤❤ mtumishi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@omasogreatfamily539511 ай бұрын
Aki surely Hii nini,hii wimbo kweli ukisikiliza inainua utukufu wa Mungu kweli ata ukicheza😢😢😢😢kweli mawimbi nimakubwa na naamini sasa kama wewe pia unapotea hivo,back to our true God Jesus Christ servant of Jesus please I beg you😢😢😢😢we love so much in this you're lift Up flesh but not souls of man.😢😮😢
@professor199211 ай бұрын
From luyha land kenya am ohangala gospel rhumba kazi safi sauti ya Martha baraka ndani piga likes tukifuatana
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
Asante sana
@moureenlydia168811 ай бұрын
Kwa jina la yesu kweri tutashinda ndugu yangu❤
@polynenkirote600711 ай бұрын
Kenyans mko wapi ❤❤❤❤❤let's show some love
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
Asante sana
@AjuaLupembe-px2rb11 ай бұрын
JINA LA YESU NI SILAHA YANGU NITASHINDA❤❤❤
@ezluckvoice111011 ай бұрын
Kazi nzuri sana mtumishi wa MUNGU hakika jina la Yesu Tutashinda kwa jina hilo🎉🎉🎉🎉🎉
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana
@ezluckvoice111011 ай бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU Natamani one day akituwezesha kama tuko hai tuje kufanya kza moja tu namini itakuwa yabaraka sana🙏
@milkanyabonyi212111 ай бұрын
I like your song, God be with you. Nice song
@rebeccamaunde408511 ай бұрын
Wapi likes za bony jameni..this song is more fire Kenyans let's gather here please
@rodgerssituma11 ай бұрын
Wimbo mtaamu kweli ubarikiwe mutumishi
@MishyWengi-gg2uw11 ай бұрын
Ameen kwa jina la yesu hatushindwi kitu safi Sana baba yangu ubarikiwe sana
@andersonmakassy881111 ай бұрын
Ameni ubarikiwe. San nyimbo ina ujumbe san
@adililukama375311 ай бұрын
nyimbo nzuri sana barikiwa sana mtumishi ila kuna wimbo wako kilq nikitafta sijawahi kuupata kwenye nyimbo zako wimbo wa amezaliwa kwenye holi la Ng'ombe ulitoka mwanzo kabisa huu ulipo naona kama sio wenyewe
@kefaJmalimali11 ай бұрын
Baba kumbe nawewe unaziweza izi aaah 😂😂😂😂😂😂 atali sana
@HITSCREATION111 ай бұрын
Kenya fan no one for bonny mwaitege
@RichardMuteke11 ай бұрын
Baba yangu umekuwa baraka kwakupitiya nyimbo zako 🇨🇩🇨🇩 2024 tuta chinda lazima
@Valentinomichael36711 ай бұрын
Umetumia akili ming sana huu wimbo Tunapenda ubunif 💯
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@sheillahwairai469111 ай бұрын
Amen 🙏 tuko vitani kwa kweli bali tutashinda kwa Jina la YESU aliye Mwokozi wetu. tumaini letu kwake na tutashinda yote. ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@judithjoelly629511 ай бұрын
Name of Jesus,good one .
@yamfashijerosette709410 ай бұрын
Nyimbo nzuri ☑️☑️☑️
@derickboniphace-ci9jn11 ай бұрын
❤ ubarikiwe auncle mwaitege
@henrylukosy490811 ай бұрын
Waaaooooh Moto Moto Jina la Yesu barikiwaa Sana mtumishi wa MUNGU
@DoreenKigosi11 ай бұрын
Hakika baba ubalikiwe sana na tutashishinda kwa jina la YESU alie hai
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@midevabethrel470811 ай бұрын
Can't wait for the video
@PendaelHagaiMRPH11 ай бұрын
Nimeipenda hii kali Kaka yangu Bonny mwaitege 1:15 ❤
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@YakoboMwamboya11 ай бұрын
Kweli kabisa tutashinda Kwa jina la YESU
@StanslausiMalya11 ай бұрын
Aleluyaaaaaa jina la bwana ni ngome imara ubarikiwe sana kaka
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@modestkonga931811 ай бұрын
Amkeni amkeni,Mambo ni Moto, Thanks my lovely father
@meshackemmanuel761511 ай бұрын
Jaman wimbo mzur,barikiwa sana mtumishi🎉🎉🎉
@rachaeljumba194311 ай бұрын
Heeeeloooooo.......safiii sanaaa
@anosiata824211 ай бұрын
Ni sengeri
@GabrielJosue2311 ай бұрын
Inyimbo kali sana
@oscanyakunga11 ай бұрын
🎉🎉❤❤🎉🎉🎉❤❤🎉🎉 tunategemea, Jina la Yesu
@masterkey53611 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji mwaitege
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@Sabinambithekioko11 ай бұрын
❤❤❤❤nice song Jina lake yesu inatosho
@MagawaDotto-ex7pc11 ай бұрын
❤❤❤❤
@tupilikeiswasu547411 ай бұрын
Ameen mtumishi wa Mungu kazi nzuri nimebarikiwa👏🏼
@PethomeNiyonzima-x3b11 ай бұрын
Burundi tunangoja Mungu akubaliki
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@yoshiexplores128411 ай бұрын
Amen bro Bonny God bless you all days alm there in dubai l love it ⚘
@goodluckjackson556411 ай бұрын
Mungu akutunze baba yangu mpendwa
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
Asante sana
@petermwabulambo391911 ай бұрын
Waoo mtumishi
@HonestFulgence11 ай бұрын
Best gospel
@LilianMuhandi11 ай бұрын
Jina la yesu linaushindi
@MariaKesowani11 ай бұрын
Hongera sana baba.
@priscakimburi-sl9ml11 ай бұрын
Amen tutashinda kwa jina la yesu, barikiwa sana mtumishi mwaitege,naskiza kutoka Kenya 🇰🇪
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@Mercy-jl1pn11 ай бұрын
Tutashinda Kwa Jina la Yesu
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@SesyKenesy-ge2ri11 ай бұрын
Mtumishi hata wewe tena kwasngeli 😭😭😭🙏
@andulilemwakalinga763511 ай бұрын
Ameen Barikiw sana mtumishi
@jeanettegloria624411 ай бұрын
Shuja wa gospel Bony Mwaitege proud of you daddy barikiwa sana
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
thanks
@aishafrancis771411 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU🙏
@celestineivayo134311 ай бұрын
Wow nice song Bonny you never disappoints 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
thanks
@deborahemmanuel879711 ай бұрын
Grory to God ,,,, hallelujah 💪❤️❤️❤️❤️
@Linet-h3g11 ай бұрын
Great powerful song may God bless you man of God 🙏
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
thanks
@mrnhocomedy380410 ай бұрын
Zambia we celebrate you
@atuganilemwakabuta276311 ай бұрын
Ni vile ninavyo barikiwa na nyimbo zako hongera
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@barackzacharia90711 ай бұрын
🎉 Amen
@kingmasaku11 ай бұрын
God bless u take you to high levels
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
thanks
@stellambilinyi540211 ай бұрын
Baba hongera Sana tutashinda.
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@floranceonyango952511 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤wao ndugu nimebarikiwa saana kutoka Kenya 😊
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
Asante sana
@rosemwanyalo569311 ай бұрын
Nice song..❤❤
@AnastaziaGibosy11 ай бұрын
Barikiwa sana baba😂😂😂
@mwandoabel341010 ай бұрын
Nikweli iyo unasema
@bupeisaya906311 ай бұрын
😂😂😂😂😂ubunifu wa viwango vya Rami,, nimeipenda hii barikiwa sana Baba yangu kipenzi,,,unatupatia radha tofauti kuchoka ni ngumu sana, keep it my spiritual daddy ❤❤❤
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
Asante sana mwanangu
@phoebeadikinyi344111 ай бұрын
Being blessed here from kenya,much love mwaitege ❤❤❤❤
@ayubumwanisenga147811 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hapa baba ume tusuprise saaaana😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤ umenifunza kuthubutu
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
Asante mwanangu
@AgnesMvumba11 ай бұрын
Nice song ❤❤❤
@frankfrancis696511 ай бұрын
Tutashinda Kwa jina la Yesu
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@prof.oduoroduor647111 ай бұрын
GREAT SONG..
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@focusernest561011 ай бұрын
Great gospel artist 🔥
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
thanks
@propheticRazor11 ай бұрын
Celebrating this might man of God from Kenya. Bonny Mungu akulinde sana pamoja na jamii yako🙏
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu
@moureenlydia168811 ай бұрын
You're going far in Jesus name
@justinegabrielofficial321011 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 sikutegemea 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
Haha, yeah, sometimes life throws unexpected things at us. Thanks for being here!
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@ENOCKSAM101511 ай бұрын
Lazima tushinde kwa jina la yesu 🙏💪
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@bwanjexchifundomkandawire304811 ай бұрын
Kiongozi mbona unatoka kwenye kusudi la Mungu umeanza kuingia kwenye sengeri japo ujumbe ulie ndani ya hii wimbo ni muzuri lakin umekosea kutumia sengeri
@CastroNyau8 ай бұрын
safi katekwa
@marakwetlastbornvalee627811 ай бұрын
Tutashinda kweli❤❤🙏🙏
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
Ameen
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@marakwetlastbornvalee627811 ай бұрын
@@BonyMwaitegeOfficial 🙏🙏🙏🙏
@NicoleDismus-ls9bh11 ай бұрын
A great one from a great man of God... More moves in Jesus Name
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
ameeen
@m.m.tvmbebamaono11 ай бұрын
Wapi wale tunao litegemea jina la Yesu like zenu hapa🎉
@WilsonKivuvo11 ай бұрын
Wow kama audio ni kali hivi video yake itakuwa aje kucheza singeli
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@Iasah11 ай бұрын
God bless you my pastor bless you
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@fearful25411 ай бұрын
Nitashinda
@kefaJmalimali11 ай бұрын
Ameen ameeen
@Hudson2541611 ай бұрын
Wow Avery nice song .May God keep lifting up much ❤❤❤ from🇰🇪.
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
thanks
@veronicawilliam727611 ай бұрын
Unaimba singeli ya injili kaka aaaise imba zile tulizozoea zenye utukufu
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@SylvesterYollam-ze7bd11 ай бұрын
Amina mtumishi
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@jeanettegloria624411 ай бұрын
Wow hi leo ni kali sana 👏👏👏👏👏 ngoja ni share kwanza huku nikisubiri video yake
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@ENOCKSAM101511 ай бұрын
Amina, 🙏 kibao kizuri
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
asante
@Franckmulaj-Officiel11 ай бұрын
Amina djina laushinda
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
amen
@AnnaAnna-sz3vo11 ай бұрын
Nice song, watching from kenya
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
thanks
@djthankskofficiel11 ай бұрын
Godot musique 🎉🎉🎉🎉🎉❤ Congo
@BonyMwaitegeOfficial11 ай бұрын
thanks
@nyokskinyah824611 ай бұрын
🔥🔥
@Valentinomichael36711 ай бұрын
💪💪💪💪
@uwezopower755111 ай бұрын
❤❤❤❤AMEN LAZIMA TUSHINDE
@Imanirwadesaper111 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@hassanyohna612111 ай бұрын
Mwaitege Na singeri wapi na wapi imba nyimbo za Utukufu sio Singeli........Dar isiwe Tatizo