Mungu amjaze kheri nakumpa maisha marefu inshallah, kwa kila afanyalo liwe ni jambo jepesi kwake.
@alhamdulillah57966 жыл бұрын
Allah akuzidishie rizk za halali, na akulipe malipo mema akhera na duniani, Amiin Allahumma Amiin
@hythamalmaamiry93557 жыл бұрын
Asante shemegi Allah akuzidishieoyo huo huo
@balqisabdullah62007 жыл бұрын
Mungu akuzidishie imani akujalie na barka
@Fetty-r4o6 жыл бұрын
Nasra Salum aamen yaa Rabb awajaalie na wengine pia 👏🏽
@mwanajumaomahundumla65047 жыл бұрын
Allah atakulipa kwa wema wako ewe mfanyabiashara
@sheebqpsheebqp83146 жыл бұрын
Mungu akubarik
@maryamalbahry13877 жыл бұрын
MashaaAllah
@afropanorama47307 жыл бұрын
mashallah
@ussikhamisussi48827 жыл бұрын
Well done! Njia moja hufungua nyengine, muitiko wa kutoa ndio muitiko wa kuingia, concept iliyomo ktk mafundisho anai-apply practically, anafungua milango ya kuingiza biashara anapata fedha na wakati huohuo anapata thawabu.
@khamiskhamis53237 жыл бұрын
Asante
@asiakheir38467 жыл бұрын
Bopar m,mungu akuzidishie in shaAllah.
@slyte77517 жыл бұрын
Asia Kheir asante
@fayeezomar29027 жыл бұрын
Respect u
@suleimansalimali72516 жыл бұрын
Jambo zuri lkn nashangaa SMZ na SMT kodi hadi kwa wauza malai mnapeleka wapi hela au ndio Bombadier na Flyover na Zenj bila hata kituo cha daladala.
@aliomar4646 жыл бұрын
Bora serikali wasaidiwe kwa vitu, ukiwapa hela hamna kitu kufanywa.
@RashidAbbas-zy6xx10 ай бұрын
Kumbe tajiri nae ni muheshmiwa
@mundhirsalum10626 жыл бұрын
Mbona ZBC hawatoi habari kama hizi lol
@oopsm35747 жыл бұрын
Kwani serikali hamna pesa maisha mnasaidiwa na pesa za serikali ziko wapi na bajeti zenu za mabilioni mnazozitaja ziko wapi???
@zanzibarsmzenji7 жыл бұрын
Ooops malindi hawa watu maslahi tu,unafikiri zile bajeti inakua kweli???"mavi ya kenge". Misaada mtapewa mpaka mwisho wa dunia.
@islimhassan78007 жыл бұрын
Ooops malindi mpuuzi ww kwan serekali haisaidiwi
@oopsm35747 жыл бұрын
Islim Hassan : serikali inakuwa na bajet ya kila sehemu. Mwisho mtasaidiwa mpaka pads za wake zao
@islimhassan78007 жыл бұрын
Bajeti inayotolewa haiwezi ikamudu wizara nzima usiwe unaongea pumba ndg yngu mfano wizara y mambo y ndani siyo police tu bali magereza zimamoto uhamiaji na idara nyengnezo jee bajeti inayokuja mixhahara, mafunzo, kwa kila mwaka kwa askari n madawa n hpo ukitizam hilo jengo wmeanza kulijenga tyr yy Katoa mxaad w kulimalizia ulizonazo ww n siasa tu