Alichokisema Roma ni kweli dakika ya 6:50 Ila Joh Makini 7, Ney Wa Mitego 7 , Dr Unju Nikki Mbishi 8, Fid Q 9, Jay Mo 10.
@jamalmariamАй бұрын
NIKKI MBISHI🔥🔥 acha chuki sema ukweliii wewee!
@antonymodestus51023 жыл бұрын
Roma ujuagi kilakitu tu unazingu
@amonilazaro8293 жыл бұрын
Unjuu 10/10 ww umezingua
@alihijiiddi89773 жыл бұрын
HAKUNA ATAMMOJA BORA NYINYI WACHENI UJINGA WA KISHETANI FREEDOM 🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹😇🇹🇿😇
@dando78193 жыл бұрын
Sema na hii ya kwangu unaipa Ngap maana Kitaa kimejaa wakali hamjui tuu,,, NATUMIA SITE MIRROR ULIE NYUMA NAKUTAZAMA, MIMI NDO BABA WA HESHIMA SI WANAKUITA MTOTO WA MAMA!? USIANGALIE KIMO UMRI NDO UTU UZIMA! KUNA WENGINE MBILIKIMO JE WATAIPATAJE HESHIMA.? DAN DO-SONG Ndama Jeuri.
@emmympangala24113 жыл бұрын
Unamuogopa unju ww
@abdulmohd68803 жыл бұрын
Muongo Roma ulitaka kumdisi Unju ila umejifunza kwa Joh alivyouliwa n Azma baada ya kumdisi😂
@mariellerashidi46493 жыл бұрын
Rose ree😘😘😘😘
@pepchallanga36263 жыл бұрын
Mwana mboka
@khamisrubea50833 жыл бұрын
Ndo nlishangaa roma kivipi
@ابوفوادهطجخمخ3 жыл бұрын
Ney katisha
@zulfikakalumba19773 жыл бұрын
Wakwanza hapa mzee mzima
@pepchallanga36263 жыл бұрын
Mbote
@liziwanishemzigwa34733 жыл бұрын
kaka roma vp
@alexmdoe84872 жыл бұрын
Unju & fid nomaaa
@luzigachunchu92443 жыл бұрын
Hakuna kama unju hapo Umezingua kabisa Hapo hapa Fid Kakalishwa
@jeremiahmsemwa83233 жыл бұрын
Nay wa mitego ndo kapewa nying
@kwetuarts3 жыл бұрын
Weken ya Raptcha
@luzigachunchu92443 жыл бұрын
Hakuna msanii wa rap hapo
@abdulmohd68803 жыл бұрын
Fala we yan Fidi nd mwenye Hip Hop yke Tz unampa 8 rubbish
@bossjoetv27453 жыл бұрын
Hajampa fid q ila ni mstar uliowekwa mkuu
@pepchallanga36263 жыл бұрын
Fid ndo Mwamba wa Hip hop bongo so ni ngumu kum-rate ukiwa na kiwango kidogo maana u gonna under-rate him
@aggreyenock12213 жыл бұрын
Exactly
@josephatchanzi16483 жыл бұрын
Najarbu tafta maana bado
@jasminembise91243 жыл бұрын
Okkkkk
@zinazotrend3 жыл бұрын
Nyimbo mpya ya Roma kzbin.info/www/bejne/p6usnoebq6d7Z8k